BARUA YAVUJA KUHUSU HOTELI YA RAMADA NA CHAMA CHA MASHOGA "UCHUNGUZI WA PROF MWAKYEMBE NA KAHABI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

ความคิดเห็น • 291

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 3 หลายเดือนก่อน +21

    Mr.Mwakiembe kazi hii mungu atakulinda

  • @GOZBERTMTASINGWA
    @GOZBERTMTASINGWA 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyezi MUNGU atusaidie!!

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 3 หลายเดือนก่อน +7

    Yesu ulinzi wako tu ndo uwalinde hawa watu uliowatuma mwenyewe.damu yako YESU iwalinde iwafunike Amina

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli kazi ni kubwa
    mnayoifanya Mungu atawalipa kwa hili

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 หลายเดือนก่อน +11

    Hiyo kazi ni ngumu Sana Mungu awateteeni watu wa kweli daah

    • @blessjo1678
      @blessjo1678 2 หลายเดือนก่อน

      Naomba namba zako Mwekyembe na Catherine,kuna jambo

  • @siamuchunguzi
    @siamuchunguzi 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ee Mwenyezi Mungu tunaomba utasamehe kwa dhambi zinazotendeka Ee Bwana, tuhurumie na kutuokoa ktk kizazi hiki kiovu cha zinaa.

    • @user-vv6ox9xh9k
      @user-vv6ox9xh9k 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kusamehewa omba adhabu ya moto ishuke

  • @emanuelmichael5295
    @emanuelmichael5295 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu awabariko na kuwalinda watumishi wa Mungu asiwapo mtu mwenye uwezo wa kuwadhuru kwa lolote bali wakipanga baya limpate yeye au wao in Jesus name🙏🙏🙏

  • @chrissamani7921
    @chrissamani7921 3 หลายเดือนก่อน +18

    Hakuna selikali hapa, kuna mfano wa selikali ,nchi inauza utu na heshima yake kwa sababu ya misaada!

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 3 หลายเดือนก่อน

      Sawa nenda marekani au lile taifa linaombewa makanisani kuwa ni taifa teule la israel lakini pia ndio makao makuu ya rangirangi

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@nassercurtis9579Marekani ipi ?

    • @emanuelmichael5295
      @emanuelmichael5295 3 หลายเดือนก่อน

      Hivi serekale itakuwa haijui haya mambo kweli??!!

    • @user-yb9cl6fr6l
      @user-yb9cl6fr6l 3 หลายเดือนก่อน

      Shee kitwete katuletea ushoga yeye ndio anamkontroo mama ,mama .wenyewe hanakazi nikama rimoti na tv tu inchi Sasa iko mikononi kwakikwete huyu mama analazimiahwa tu nakikwete ni freemasoni jamani tena niwakala wa huu ushoga ebu jiulize Toka hizi habari zaushoga zianze ulishawahi kumsikia kikwete akisema chochote Sasa yeye ndio kamlazimisha mama aweze kusaini huu ushoga iliwapate mabilioni ya ushoga kwasababu pesa walizonazo wanaona haziwatoshi wanajiona kama wataishi milele hapa duniani

  • @TimotheoSoteli
    @TimotheoSoteli 3 หลายเดือนก่อน +16

    Mpeni makonda wizara ya mambo ya ndani Waone shughuri,dah! Inauma sana,ngoja nirudi kutoka huku niliko

    • @kakorejrboyz6447
      @kakorejrboyz6447 3 หลายเดือนก่อน

      JIAMINI WEWE USIMUAMINI MWANADAM MWENZAKO KILA MTU ANAVITU VINAMUONGOZA ROHONI

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 3 หลายเดือนก่อน

      Alikua Mkuu wa Mkoa na mpaka Hotel inapew Tunzo inamaanisha shughul haikuanza jana

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 3 หลายเดือนก่อน +10

    Viza ya kuja alipata,na alipokelewa airport YEHOVA turehemuu, Tusamehe Tusaidie ni hatari Sana Tusamehe Ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai

  • @SamuelErnest
    @SamuelErnest 3 หลายเดือนก่อน +18

    Amazing work♥️🔥🙏 Mungu awabariki sana🔥🔥♥️

  • @abelbest4984
    @abelbest4984 3 หลายเดือนก่อน +10

    Habari kama hizi uzukuti clouds, wasafi,tbc,efm,millard

    • @user-xq6rg2pb1x
      @user-xq6rg2pb1x 3 หลายเดือนก่อน

      Na mimi nashangaa abali za msingi kabisa

    • @ommylax7231
      @ommylax7231 2 หลายเดือนก่อน

      Uzikute vipi wakati nao ni wale wale wanao sapoti ushoga, ndiomana asilimia 95 ya wasaninii wengi mashoga msikilize sana chid benz interview zake!! Anajuta sometimes kwa kuingia kwenye mziki na hata akipata mtoto au mtu akimuomba ushauri wa kufanya mziki atamkatalia na kumwambia Big Nooo afanye mishe zingine mziki ni ushetani na media ndio wanao waongoza wasanii waweje kwaiyo hawawezi kutoa siri zao hadharani

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 3 หลายเดือนก่อน +34

    Serikali ya CCM Ina mkataba ilisaini kukubali shwala hili kwa Siri kwanini haiko makini na issue hii?

    • @mamyomar1241
      @mamyomar1241 3 หลายเดือนก่อน

      Kwanza fikiria kabla ya kuandika, haiwezekani kama wanajua hilo jambo wakakubaliana nalo hiyo ni dhana , na hakuna kitu kibaya kama dhana tuombeni kwa vile hili jambo lishajulikana ni kheri yetu na vizazi vyetu Allah awangoze. Wacha kushuku watu.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 3 หลายเดือนก่อน

      Sio kushuku ni jambo liko wezi ungua macho na ufahamu wako utaelewa, nanukuuu kauli ya wenye nchi, mfanyaneni nyie wakubwa kwa wakubwa waacheni hawa wadogo mwisho wa kunukuu, je unakumbuka hii kauli? Na je hawa watoto wanaolawiti serikali inasimama nao? Walawiti wanalindwa sana na serikali matukio mengi tumeyona na watuhumiwa wako mitaani na ushahidi upo wazi kama watoto wetu wa shule na wahusika ni walimu viongozi wa DINI hili jambo Lina ukakasi, kama halijakupata huwezi jua maumivu yake, hivyo sijakurupuka

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@mamyomar1241Mambo yetu mengi yanaharibika kwa kuingiza siasa badala ya kuijadili issue.

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu dada huwa anapaniki wakati wa kuwasilisha hoja yake😢

    • @StephanoMoses
      @StephanoMoses 3 หลายเดือนก่อน

      ​​​@@mamyomar1241sasa kama rais wa nchi alishasema. USHOGA FANYANEN NYIE WAKUBWA KWA WAKUBWA ILA WATOTO WETU MUWAACHE WABAKI SALAMA. Hivi wakubwa wakisagana na kufirana watoto wanapataje kuepuka. Yaan hata kwa akili ndogo2 huon kwamba hili suala ni zito mno. Na limeshasainishwa bila kupinga kutokana na shida . Hivyo wamepitisha2 maana sis ni omba omba hivyo mkuu wa nchi kupinga ushoga ni kupinga misaada. Hiv hayo ni maneno ya kuongea mkuu wa nchi kweli tafuta hyo hotuba ili usibishane tena 5:17 5:17 5:17 5:17

  • @DainaNgonda
    @DainaNgonda 2 หลายเดือนก่อน

    Mwakyembe na uyu dada ni WAMBA hakika 🙌🙌

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 3 หลายเดือนก่อน +12

    Selikari ina deport ushoga
    .

  • @beatricefilbert1171
    @beatricefilbert1171 3 หลายเดือนก่อน +6

    Yesu tusaidie Yesu u mwema

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 หลายเดือนก่อน +5

    Raisi wetu mwenyewe anapewa pesa huko na nchi zinazolinda ushoga,,,,,,Je mwajua masharti ya kupewa pesa na wazungu?????? Hii Vita ngumu Sana, mungu atusaidie

    • @David-im8fw
      @David-im8fw 3 หลายเดือนก่อน

      Ndiomana Kuna maana kubwa ya Tanzania bara iongozwe na kiongozi kutoka bara,huyu mzanzibar anatuletea mambo ya hovyo!!!

  • @neemasanga5333
    @neemasanga5333 3 หลายเดือนก่อน +21

    MIUNGU AWALINDE NYINYI VIUMBE,MNAOLIISHI KUSUDI
    LA MUNGU TANZANIA 🙌.

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 2 หลายเดือนก่อน

    Inna Lilahi Wa Inna Ilayhi rajiuun....heart breaking
    kwakweli na sisi tuna watoto wa kiume kama hao Allah tunakuomba
    nusuru vizazi vyetu

  • @SimbaNaali-fw3zz
    @SimbaNaali-fw3zz 3 หลายเดือนก่อน +15

    Hiyo hoteli ipigwe bomu kumanina zao usenge gan wanatuletea Tanganyika dash.. Magufuli angekuwepo

  • @ksinzagebo120
    @ksinzagebo120 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzur, mmebarikiwa

  • @AbelifestoKasebele
    @AbelifestoKasebele 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yesu kristo tunaomba rehema na msamaha wako kwenye nchi yetu

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sama mh Wilson Mwakyembe
    Ila viongozi waliopewa dhamana ya kuliongoza Kanisa,(Maaskofu)wanayaonea haya maneno ya Mungu mbele za wanadamu.
    Wangalizi wa makanisa;mliopewa Neema ya na Mungu kusema na Serikali na ulimwengu na mnajifanya hamuoni ole wenu
    roho za watanzania waliopotelea ktk mambo hayo mtadaiwa vichwani mwenu

  • @godfreyhiza1075
    @godfreyhiza1075 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hivi vitu vimewekezwa Sana....vimepakwa rangi hadi vikaitwa haki za binadamu na serikali ilishatoa barua kuwa ishasaini kutambua haki za binadamu...kipindi Makonda RC-Dar hivyo cha:
    Kwanza MUNGU ndiye muweza wa yote yeye anaweza kuamsha viongozi watakaona ushoga ni hatari zaidi ya ujambazi na Ugadi.
    Cha pili abiria jichunge mwenyewe kisha chunga mzigo wako.

  • @edesaron9070
    @edesaron9070 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mbona serikali haichukui hatua yeyote waziri anajifanya kulia bungeni😢😢

    • @hosseasimon3887
      @hosseasimon3887 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hapo kwenye kujifanya kulia...😂😂

    • @PartySekemi
      @PartySekemi 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hamjaona yule mama anajifanya waziri yule hana sifa kwanza rais ametuzikitisha kutochukua maamuzi kwanzia siku ile huyu waziri alipo tania watanzania bungeni ilitakiwa atumbuliwe siku ile ile ile

    • @PartySekemi
      @PartySekemi 3 หลายเดือนก่อน

      Hawo ndio ndio wataweka rehani maisha ya watanzania kwaajili ya misaada na hatuishi kwa misaada yao tuna rasilimali ya kutosha

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nashauli Catherine uwe una mvumilia Mh. Kizungumza

    • @benjaminmunkondya
      @benjaminmunkondya 3 หลายเดือนก่อน

      Angejua Kuwa Anaongea Na Watu Wazima Pia.Angemuacha Mzee Mwakyembe Aongee Kwanza!!.

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 3 หลายเดือนก่อน +21

    Hii movement ina ni vita kali kati ya nuru na giza Mungu awasimamie

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc 3 หลายเดือนก่อน +7

    Safi Sana watumishi wa mungu lakini mbona Shelia hazichukuliw jaman shida nini ? Kweli iinch ya mtumba

  • @theresiariwa4691
    @theresiariwa4691 3 หลายเดือนก่อน +2

    Umekosea Mwakiembe; ni wazazi wote wahakikishe watoto wao hawaendi Lamada na siyo , wa mama wa Kristo . Watoto wote ni wa Mungu na hatutaki waharibikiwe .

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 3 หลายเดือนก่อน +8

    Serikali inasubiri nini isiwakamate wahusika jamani tz imekwisha

  • @siamuchunguzi
    @siamuchunguzi 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akulinde sana Mwakiembe baba, maana wewe una hasira kwa wataenda dhambi na ninaamini Mungu anaiona kazi hii.

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 22 วันที่ผ่านมา

      Samahani hii Hotel iko sehemu gani ? Kwa Dar

  • @jumamkwanda8031
    @jumamkwanda8031 3 หลายเดือนก่อน +1

    Catherine tayari chuma kimejibu kuhashiria kuwa Yeye ni Mwanamke hasaa...Hongera

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akujaalie Q😂🎉😮

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 3 หลายเดือนก่อน +1

    Inalillah wainaillah rajiuni 😭😭😭

  • @khamisihamadi629
    @khamisihamadi629 3 หลายเดือนก่อน

    Asanteni sana mungu awalinde na muendelee nakazi yenu

  • @HashimuHashboy-bo2wl
    @HashimuHashboy-bo2wl 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hii vita sio yenu pekeenu mungu yupo na nyinyi

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch 3 หลายเดือนก่อน +1

    Haya Mambo yanahitaji utulivu na hekima kushughulika nayo na hao watu waliothirika wahudumiwe Kwa upendo ...let love lead

  • @christianlutego1288
    @christianlutego1288 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dah! Hivi Kwa nn vyombo vya habari vikubwa hizi habari za USHOGA hawatoi kbs,

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 3 หลายเดือนก่อน +4

    All the best Mr. Mwakyembe bt the issue is so complicated on ground, unfortunately mnadeal upande mmoja tu wa wazungu, it's great, ila the other side ni malezi kwa wazaz Mwananyamala na other places interior wazungu hawajafika ila mashoga wanahappen. Na propose kufanya research juu ya issue kuliko kuchafua brands za biashara za watu.... abnormal psychology ni disgusting kuna pedophiles mko nao kwenye siasa na hta hapo kanisan ni issue hajaambiwa na wazungu afanye hvyo ila ni complicated kujua psychology ya binadam, wazungu wanaendeleza pale jamii ilipofikia, so the roots ni society.

    • @BestElisaKatunzi
      @BestElisaKatunzi 3 หลายเดือนก่อน

      Angalau wanafanya wanaloliweza, hawawezi kufanya kila kitu,

    • @ellykibale190
      @ellykibale190 3 หลายเดือนก่อน

      una uwakika gani kuna mwananyamala na other interior places hawajakfika? baadhi ya hizi taasisi nazijua, zinafanya shughuli zake interior places zaidi kuliko hata mjini

    • @unjuusalvatory5331
      @unjuusalvatory5331 3 หลายเดือนก่อน

      @@ellykibale190 still concept haibadiliki bro kuwa jamii nayo inalea hv vitu aw imeharibika that's my main point, kabla wazungu hawajainfluence tyr watu kitaani washakuwa na tabia za kishetan, pia malez mabovu single mothers wako wengi watoto wanahitaji malezi na ulinzi. Pedophiles wakiwaharibu watoto kizazi hakitosalimika hv vitu havihtaji Dua na kuwapigia kelele juu ya wazungu tu, inahitaji juhudi ya pamoja malez, Sheria Kali za serikali, uwajibikaji wa wazaz na jamii nzima kuwa macho. Pedophiles na machoko wote ni wa kukemea,

    • @unjuusalvatory5331
      @unjuusalvatory5331 3 หลายเดือนก่อน

      @@BestElisaKatunzi hawawez kufanya kila kitu na at the same time hawawez kugusa eneo Moja kwa kupiga kelele, huyo Mwakyembe si alikuwa Waziri wa Sheria hizi topics zishawah enda mezan kwake alifanya nn individually. Asikemee tu wazungu akemee pia na jamii, huu uchafu ni tatizo linalochangiwa na vitu tofaut tofaut/multifacets ukibase na wazungu tu hausolve tatizo, watoto wanalawitiwa na wazaz wao na wajomba na majiran tangu wako wadogo jamii inapotezea aw inalinda...wazungu Wana ajenda sawa ila je lililopo mikonon mwetu kama jamii hatulioni. Unaona wanachokifanya Uganda ile ndo approach sasa

    • @ellykibale190
      @ellykibale190 3 หลายเดือนก่อน

      @@unjuusalvatory5331
      Kuna nguvu kubwa sana inatumiwa na Marekani kupromote haya, jaribu kufikiri kwa nini? Uganda inawekewa vikwazo kwa ajili ya kupinga suala hili....Trump alivyoingia madarakani aka block pesa za walipakodi wa Marekani kutumika kupromote haya mambo...hizi taasisi zimekuwa zikifanya kazi tangu zamani hivyo ni ngumu kubainisha unaposema kabla ya wazungu, ninavyojua kuna mda hawa watu wana operate kwa vificho na kuna mda wanaoperate kwa uwazi...mpaka mnawagundua haimaanishi ndiyo wameanzia hapo.

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 3 หลายเดือนก่อน +4

    Jaman atusaidie kwanin tusimpe nchi mwakyembe tuliponye taifa? Kuliko kuwapa majambaz nchi alafu wanatuuza kwa mafilauni wapenda pesa chagua watanzania tuamke

    • @mamyomar1241
      @mamyomar1241 3 หลายเดือนก่อน

      Wacha kubwabwaja mnaokwenda huko ni nyinyi, mkiona jambo baya kulisemee sio kumpiga vijembe mama kwani yeye anaamua kilajambo mwenyewe bila ya washauri , na pia msifikirie mojakwamoja wanajua. hiyo ni dhana. Sasa hivi kama haitochukuliwa hatua yeyote ndio ulisemee. Allah ndie ajue kila kitu lakini sio binadamu kama haujapata taarifa kama tulivyoipata hivi sasa , ndio tunajua kama kuna mambo hapo.

    • @DaimonMwapelele
      @DaimonMwapelele 3 หลายเดือนก่อน

      @@mamyomar1241 acha kutetea ujinga rais ni Kama mzazi anaesimamia familia rais unakubal ushaur wa kijinga ukiuza watu wako update hela unakubal alafu kesho utoke hadhalan useme wewe unafaa kuwa rais wa kukubal ushetan mkumbuke maguful Freemason wanaowatetea wanawake kupitia ajenda za hak sawa wamepata waliokuwa wanataka makufulu zid ya mwenyez mungu

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tanzania siyo sehemu salama kwakweli tunaishi lakini tunaendelea kupandikizwa uchafu mwingi sana

  • @user-fl1xz3ln3c
    @user-fl1xz3ln3c 3 หลายเดือนก่อน +2

    Innalillah wainnalilah rajiun tz

  • @josephinamkono5183
    @josephinamkono5183 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu akulinde baba ndomana hukufa kwajili ya hilo

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 3 หลายเดือนก่อน +7

    Sio wakristo tu wote wanapaswa kujiepusha na mambo hayo hayampendezi mungu hata kidogo.

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 3 หลายเดือนก่อน

      Amesema hivyo sbb hapo yupo na wakristo maaskofu

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 3 หลายเดือนก่อน

      Tatizo kuna watu huwa wanadhani wakristo hawataki kuongozwa na dini nyingine, heri wewe una macho umeona.

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 3 หลายเดือนก่อน

      @@leahmgunda4154 hapo alikuwa anaongea na waumini, tazama madhari na misalaba hapo, alikuwa haongei na wananchi jumuishi

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 3 หลายเดือนก่อน

      @@easternyerembe7271 Katika jambo zito kama hili alipaswa kutumia kauli ya umoja mfano Watanzania hapo haongei na waumini wa kikristo tu Bali hata wewe na mimi tunausiwa kujiepusha na majanga kama hayo yanayoangamiza umma.

  • @IdirisaKhamis
    @IdirisaKhamis 3 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh ni hatar sana hivi viongozi wanafungua hizi hotel hawazijui

  • @staminacastory5322
    @staminacastory5322 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie sisi kwa akili zetu hatuwezi

  • @philipjoseph6880
    @philipjoseph6880 3 หลายเดือนก่อน +1

    Laana

  • @user-xx1je7sy4h
    @user-xx1je7sy4h 2 หลายเดือนก่อน

    Redio nyingi zimefadhiliwa na hao mashoga na watangazaji nao ni mashoga wasafi redio ni mojawapo ya redio yenye watangazaji wengi mashoga na machawa mashoga na wasanii mashoga

  • @DanielYohana-uu6nk
    @DanielYohana-uu6nk 3 หลายเดือนก่อน

    Dah Mungu atusaidie 😢😢

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 3 หลายเดือนก่อน +3

    Muulizeni Samia anayajua haya maana amesign Kamara Harris alipokuja hapo early this year

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 3 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo ushoga umekuja awamu ya samia? Wee nae

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 3 หลายเดือนก่อน +1

      we hujui ndugu hawa wapo tangu enzi ya nyerere sasa lamada hoteli imejengwa samia alivyoingia madarakani ?unaijua haki za bnadamu apo ndipo serikali nyingi ziliingiakwenye bila kujua wao walijua haki za kawaida kumbe ata ushoga unaingiakwenye haki za binadamu jamaa walitumia akili ya mbali sana alafu wakaficha kodi ndio mana leo kuchomoka kazi

  • @JoyceBenbaya
    @JoyceBenbaya 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 หลายเดือนก่อน +1

    Inasikitisha mnoo 😢😢

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Samia Kwa Nini mbona hajasema lolote Hawa watu wakamatwe wafungwe.

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 3 หลายเดือนก่อน +4

    Shenz kabisa iv kwel serikali ipo au ndio ushenz waliokuwa wanaousubil waoufanye baadae ya kumuua maguful nchi Haina kiongoz Wal hatuna viongoz wa din tuna maboya Toka tumeanza kusikia hiz kelele Nini wanafanya, mungu atuokoe kwa mkono wake mwenyewe

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 หลายเดือนก่อน

      Mama samia yuko makini atatokomeza uchafu huo

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@MathewNathan-yb2bzunakumbuka kauli yake? Hapa ni kuomba rehema za MUNGU tuu

    • @DaimonMwapelele
      @DaimonMwapelele 3 หลายเดือนก่อน

      @@MathewNathan-yb2bz yeye alisema hayo Mambo waachiwe wakubwa Sasa Kama wakubwa wanafanya watoto wataiga min Tanzania tumegezwa taifa la mafilaun

    • @DaimonMwapelele
      @DaimonMwapelele 3 หลายเดือนก่อน

      @@MiriamAbdallah kwel hapa tulipo tuombe rehema za mungu maana hatuna rais wakututetea

    • @DaimonMwapelele
      @DaimonMwapelele 3 หลายเดือนก่อน

      @@MiriamAbdallah kwel hapa tulipo tuombe rehema za mungu maana hatuna rais wakututetea

  • @faridsalehmohamed1230
    @faridsalehmohamed1230 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nchi hii imekufa maadili kwa sababu viongozi wanajali maslahi binagsi

    • @mamyomar1241
      @mamyomar1241 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa mawazo yangu hata hao watu ambao hawapo kimaslahi pia hawajui kama wanajua wangekuwa washasemee.

  • @kisakanzotah5861
    @kisakanzotah5861 3 หลายเดือนก่อน

    Yesu anakuja.hizo nidalili mbaya.tunamda mchache hp.shika Amri 10 ikiwepo Sabato takatifu.Soma Danieli 7:25.Hiyo ni mamlaka ya Vaticani inayofanya hayo mambo.nayeye ndiye alibadili sheria za Mungu nakuleta ibada ya Jumapili.hiyo siku Biblia inasema nisiku ya kwanza ya juma.Soma Marko 16.Yohana 21 Na Luka 24.Tokeni kwake enyi watu wangu.Ufunuo 18:4.Babeli ni Roma na wajukuu wake wote.rudini katika ibada ya kweli ya Mungu.Kutoka 20:8

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki ,nyie ni zaidi ya maskofu, ambao kazi ni fungu la kumi wamenyamaza tyu

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 2 หลายเดือนก่อน

    Kaserini badilisha mwonekano huo wa kikahaba usichukie dhambi hii na kupenda dhambi hile mbona makahaba wamejaa au mnadhani mungu anapendezwa nayo mnaona ushoga,ufiraji,ndo dhambi kubwa hacha kupoteza watu hakuna wa kuzuia hilo zaidi ya kutii AMRI ZA MUNGU NA SHERIA NA IMANI YA YESU ni ujinga au kudanganyana

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu atunusuru

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 3 หลายเดือนก่อน

    Wechekeshaji tu hawa

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 3 หลายเดือนก่อน +3

    Siyo akina mama wakristo tu ni wote tu

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 3 หลายเดือนก่อน

      Hapo alikuwa anaongea na wakristo na maaskofu waliokiwepo hapo

  • @mabulajoel1967
    @mabulajoel1967 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa Mbingu na Nchi shuka, uwalinde watu hawa kwa hili jambo walilo lifunua kwa jamii ya Watanzania.

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 3 หลายเดือนก่อน

    Mweeeee!!!Mungu tunusuru na haya mambo jamani

  • @damaspmtz1018
    @damaspmtz1018 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna viongozi wanaenda kushika madada poa na wakati kuna mashoga na wanajua wapo wapi lakini hawawashiki

  • @MkuzoSmart-sb9gh
    @MkuzoSmart-sb9gh 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika mungu anafungua macho

  • @JamesChrizestome
    @JamesChrizestome 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo huyo dada pamoja na kazi nzuri anayoifanya lakini apunguze kelele

    • @lydiajoseph2571
      @lydiajoseph2571 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kila mtu ameumbwa tofauti, wapo watu wakimya na pia wapo wanaoongea saana kama huyu dada, so ndivyo MUNGU alivyopenda iwe. Na maadam kuongea kwake hatendi dhambi basi ni vizuri.

    • @jamilaratabu1586
      @jamilaratabu1586 3 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂ushaona keleletena mtuanakemea uovu. Yaani wewe unapigakelelezakuombamsaada weziwameingiakwako utapigakelele kwa sautindogokweli????

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@lydiajoseph2571fimbo zimekuingia vizuri

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@jamilaratabu1586hatari sauti ikiwa ndogo unaisha😢😢😢

    • @PastorsTz
      @PastorsTz 3 หลายเดือนก่อน +1

      Duh kelele tena au imekuniasa

  • @shaban6644
    @shaban6644 3 หลายเดือนก่อน +8

    Waziri Gwajima atumiwe hii Clip, Aliahidi bungeni kwamba atashughulika na mashoga wote ndani ya Tanzania.

    • @ephraimkabeya9648
      @ephraimkabeya9648 3 หลายเดือนก่อน

      Sidhani Kama anaweza kuwagusa wafadhili, wahisani, wawekezaji. Fuatilia malengo Mahususi ya wizara bila Mungu ni shiida tupu...

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hapa Kuna manyangumi na mapapa, serikali ya CCM imewakumbatia

  • @abdulazackabdul1894
    @abdulazackabdul1894 3 หลายเดือนก่อน +1

    💔

  • @BenWerner2530
    @BenWerner2530 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu awalinde wote. Ila hiyo vita kubwa sana

  • @MosesMnyantope-zw4ed
    @MosesMnyantope-zw4ed 3 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 3 หลายเดือนก่อน

    Daaah mbona hatari sana

  • @StephanoMoses
    @StephanoMoses 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahahahaha hatari sana.serikali inatakiwa ichukue hatua madhubuti kuthibiti vitendo hivyo

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wizara ya Utalii?yawezekana kweli hii inawahusu ?

  • @lelaiddy6856
    @lelaiddy6856 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi huyu catherine hawezi ongea kawaida anaongea kama anafoka foka..

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wachungaji mmelala sana,mpaka Mungu ataipiga nchi hii kwa kutokupeleka hizi hoja mbele zake atokomeze huu ujinga

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 3 หลายเดือนก่อน

      "Acheni magugu na ngano yakue pamoja 'unaelewaje andiko hilo? Ingekuwa rahisi dhambi zote zingekomeshwa.

    • @Ufahamu-01
      @Ufahamu-01 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@leahmgunda4154 Wewe uliye sema maneno haya unajielewa?
      Kwaiyo tuendelee kunyamaza kimya kwasababu andiko limesema tuache magugu yakue pamoja na ngano!!?
      Umetukosea sana wanaume kwa hii comment yako

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt 3 หลายเดือนก่อน

    Tumefikia sehem mbaya sana taifa letu

  • @salehekabandika454
    @salehekabandika454 3 หลายเดือนก่อน

    pesa 5:17

  • @esterjuma827
    @esterjuma827 3 หลายเดือนก่อน

    Nyie hizo barua mnazitoa wapi acheni kutubadilisha akili nyie mnatutangazia tujue sio mnakemea

  • @ilakozasembumende1975
    @ilakozasembumende1975 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli kabisaaa na ushahidi tunao huwa wanafanya semina zao pale hata weeek nzima na baada ya seminar wanafanyaga party kubwa kila mwaka kila mwaka. Na wanaingiza pesa nyingi pale hotel . Na huwa wanajifanya wako kwenye mafunzo na msd 😂😂😂😂😂😂😂

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmmmmh!!!!!!!!atariiii mbona mwakyembe ajateuliwa na mama yetu sehem yyte ?? Kuna shida gani nampenda huyu baba jaman

  • @LaurenceOswsrd1
    @LaurenceOswsrd1 3 หลายเดือนก่อน

    Mwakyembe ukaangalie mafuta yanayotumika pale ni baraa,

  • @mossesezekiel7862
    @mossesezekiel7862 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU muumba mbingu na nchi akulinde mweshimiwa Dr Mwakyembe pamoja na kundi lango katika jina la YESU KRISTO mwana wa MUNGU alie hai!!!!!

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 3 หลายเดือนก่อน

    Ramada Kama Umeisha FANYA Makosa jisahihishe.Acha hiyo Biashara.

  • @ChristinaHabiye-el3ni
    @ChristinaHabiye-el3ni 3 หลายเดือนก่อน

    Mwnyezi Mungu ingilia kati

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 3 หลายเดือนก่อน

    Kwenye midomo ya viongozi wetu na sheria vinaweka wazi kuwa Tanzania inapinga ushoga. Lakini kiuhalisia matamko hayo na sheria ni kiini macho tu. Ukweli ni kwamba nchi yetu inatambuliwa na wazungu kuwa imekubali ushoga kwa siri. Tunaona masuala na kesi za ushoga zikishuhudiwa kila leo, lakini serikali haichukui hatua yoyote ila wanaobaka wanawake kama ilivyo kwa wazungu. Leo harakati nyingi ni dhidi ya wanaowapa wanafunzi mimba bila kuwepo harakati za serikali dhidi ya ushoga. Tanzania kama ingekataa ushoga kivitendo isingesifiwa na kupewa misaada na wazungu na hata makamu wa rais wa Marekani asingetembelea nchi yetu. Viongozi wanauza utu wetu ili wapate misaada ya kimaendeleo ili tuwasifie kuwa wnaupiga mwingi. Hila zilizopo ni kwamba viongozi wapinge ushoga majukwaani na kunukuu katiba, lakini bila kuwepo na mikakati ya kuupinga ushoga kivitendo. Kwa hiyo ushoga unaendelea kupitia harakati zilizoruhusiwa kwa siri. Ni sawa na dini kumkemea shetani wakati ambapo matendo yao na mafundisho ni ya yule shetani.

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani jamani jamani 😱😱

  • @nr8782
    @nr8782 3 หลายเดือนก่อน

    Wazungu wanataka kuwamaliza....atakaebainika anasaidiana na wazungu kuingiza ushoga tanzania wafungwe maisha na hiyo ramada hoteli ifungwe...haraka sana

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hao wasani wakubwa wakinani?watajeni tusiende kwenye shoo zao zote

  • @WazirOmar-uh7uf
    @WazirOmar-uh7uf 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 3 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali ktk hili nadhani hawana uwezo,kabisa, Ila mwakyembe anaweza.

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 3 หลายเดือนก่อน

      Ndiyo sababu sharia haina nguvu kwa roho bali kwa mwili.

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 3 หลายเดือนก่อน

    Eee Mungu Uturehemu Tanganyika na Utuokoe na Uovu huu😭😭😭 Wapatilize Kwa mabaya Viongozi wote walioukubali Ushoga ktk nchi yetu.😡

  • @hellenmassawe7284
    @hellenmassawe7284 3 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo maanaaa mafuriko Aliuwa

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa uhakika hakuna kabisa

  • @madreks253
    @madreks253 3 หลายเดือนก่อน

    Kama viongozi wa nchi ni mashoga msishangaee kila kitu kwenye nchi na pia sheria itabadilika kuwalinda na kusambaza ushoga....

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 3 หลายเดือนก่อน

    Raisi aifungie jamani

  • @user-wl9ry9tk7p
    @user-wl9ry9tk7p 3 หลายเดือนก่อน

    Hata Tabora hiyo Hoteli ipo kiukweli ni Hotel KALI ila sikujua kama mmiliki ndo hivo

  • @Khmediy3241
    @Khmediy3241 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie wakristo vip papa kiongoz wa ukristo dunian si kawalusu

    • @AsnatDaudi-pt8cf
      @AsnatDaudi-pt8cf 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe munafiki unajuwa ufiraji uliaza Kwa baba zenu waarabu wazungu wameinga TU ila ufiraji kwenu ni suna

    • @Khmediy3241
      @Khmediy3241 3 หลายเดือนก่อน

      @@AsnatDaudi-pt8cf Sawa lakin wameacha na azabu kuchinjwa ndo wale unaonaga tunachinja ila nyinyi ruksaaaa human rightttttt

    • @user-tw9wu2gz4g
      @user-tw9wu2gz4g 3 หลายเดือนก่อน

      Hapa suala la ushoga mzee sio dini.

    • @philipjoseph6880
      @philipjoseph6880 3 หลายเดือนก่อน

      Papa hajaruhusu. Waandishi wa nchi za Magharibi wanapindisha tafsiri ya Papa kwa vile waandishi hao ni wanaharakati za ushoga.

    • @PartySekemi
      @PartySekemi 3 หลายเดือนก่อน

      Acheni mambo ya upapa papa ndio nini? Yani hizi dini ndio koloni moja alilo baki afrka siku nchi zetu za kiafrika wakiachana na hawa wazungu kwa mambo ya dini afrika itaendelea

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 3 หลายเดือนก่อน

    Sheria ichukue Mkondo wake.Nchi inakwisha.

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona media zetu zote ZIPO kimya kuhusu hili vipi?

    • @kulwamafuluka9122
      @kulwamafuluka9122 3 หลายเดือนก่อน

      Media zote zina support

    • @PastorsTz
      @PastorsTz 3 หลายเดือนก่อน +1

      Niwale waleeee