MBUNGE ATAKA RIPOTI YA MWAKYEMBE KUHUSU USHOGA IFANYIWE KAZI "KWANINI MNA KIGUGUMIZI KUCHUKUA HATUA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @rithaurassa
    @rithaurassa หลายเดือนก่อน

    Mbunge barikiwa sana kwanini hao mashoga wasagaji wasikamatwe wote? Mwenye kihusika na hiki kitengo yuko wapi? Kwanini wasifuatiliwe? Chukua maua yk 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 7 หลายเดือนก่อน +5

    Safi kabisa Mbunge

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mama Rais wetu usipo chukua atua huu ujinga utarudi malangoni kwako
    Mama kataa huu ujinga haraka Mungu mala nyingi anaanza na kichwa kichwa cha Tanzania ni wewe kwa sasa mama mama mama kataa huu ujinga

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 7 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali za kiafrika zinaongozwa na wazungu, na hivyo mikakati yoyote itakuwa ni ile iliyoamuliwa na wazungu. Ripoti ya Mwakyembe haiwezi kufanyiwa kazi kwa sababu si agizo la wazungu. Ripoti hiyo ikifanyiwa kazi itatufarakanisha na miungu watu wazungu. Ni nchi zile tu ambazo haziitaji misaada ya wazungu ndizo ambazo ziko huru kuweka sheria za mikakati ya kuzuia ushoga. Kwa nini makamu wa rais wa marekani alikuja kutembelea ikiwa Tanzania inapinga ushoga????. Ni marais wenye ujasiri wa maamuzi ya uhuru wa fikra ndio wanaweza kuthubutu kupinga ushoga.

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mwakyembe arudishwe serikalini

  • @musamkembela1395
    @musamkembela1395 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wabunge nao wanazingua kwann wasigome kushinikiza selikali itoe tamko la kuwataka itungwe sheria kali

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mbunge nimempa heshima yake kuanzia leo

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 7 หลายเดือนก่อน +2

    Yan mambo ya yasha aribika ndyo mnashtka viongoz wetu wa ovyo kwel mashoga wamejaa mitaan alaf serkali ipo t inaangalia kiongoz ususani rais ndyo mwenye kauli ya mwisho kwann asitamke kuwa ushoga autakiw nchini saiv kwanza t mizik ya wa sanii wetu znaamasisha ujinga mtupu basata pia wapo wanaume wanavaa magaun wanamaana gn Kama syo kuamasisha ushoga

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 7 หลายเดือนก่อน +6

    Wabunge acheni unafiki kwa nini hamtaki kuwa na msimamo kama Uganda, hatutaki ushenzi na upuuzi wa manguruwe weupe

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 7 หลายเดือนก่อน

      kabisa mashoga wanaongezeka kla kkicha serkali yetu shda inapenda misaada ya waisan

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mku wa nato kashasema atawalinda mashoga kwa nguvu zote

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน +2

    Serikali Ina siri kubwa na hili swala sio kwa ukumya huu MUNGU atawalipa kwa kila mnachotufanyia yeye hashindwi na kitu😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Samia utajibu nini kwa MUUMBA wako? 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢kauli yako nakumbuka, 😢😢😢😢😢😢😢

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wanunge kuweni wawazi mmejaa uongo Uganda ilitoa tamko dunia nzima wanajua nyie ni blabla tu hao wamaghalibi hawawezi tupa technology Ila vitu vibaya wapo mbele kusaidia utaona ushetani wao. Wamejaa hila na makatili majanja tu mbona nchi za kialabu hawaenda wao wanapata kichwa .

  • @technicalgearboxenginebysc1360
    @technicalgearboxenginebysc1360 7 หลายเดือนก่อน +6

    Shida serikali yetu ombaomba mbona Uganda ni karibu tu hapo nyuma wametunga sheria Kali

    • @Masterplan696
      @Masterplan696 7 หลายเดือนก่อน

      pepo hawezi kumtoa pepo mwenzake

    • @charlesmwambinga4355
      @charlesmwambinga4355 7 หลายเดือนก่อน

      Na uchumi wao unaongezeka kwa kasi

    • @jeremiahblazio4781
      @jeremiahblazio4781 7 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo ni raisi sio waziri maana Uganda wamewezaje

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน

      Uganda museveni alisimama kidete na atakaye gundulika ni kunyongwa

  • @jeremiahblazio4781
    @jeremiahblazio4781 7 หลายเดือนก่อน +2

    mmmh Waziri

  • @chrispinboniface3329
    @chrispinboniface3329 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ipo siku bunge litajaa mashoga maana ni hatar wamefyata mikia hata hamna wanachofanya

  • @happykamuu9262
    @happykamuu9262 7 หลายเดือนก่อน +1

    Vip 😂

  • @jeremiahblazio4781
    @jeremiahblazio4781 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo sio wizara tatizo ni raisi mwenyewe mbona yupo kimya

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน

      Analo jambo sio bure

    • @yordanyona1234
      @yordanyona1234 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika umeongea ukweli yeye mbona hajatoa msimamo wake ...maana sauti yake ndio kuu

  • @BonifaceHassan-j5m
    @BonifaceHassan-j5m 7 หลายเดือนก่อน +1

    Malumbano juu ya jambo la ushoga, wanaokuwa na kigugumizi, wanaonyesha wamegraduate ktk ujinga!

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wengine wanakaa kimya wamekula hela ya kumaliza nchi hii,au ndio mashoga wenyewe

  • @olarivolariv1313
    @olarivolariv1313 7 หลายเดือนก่อน

    Ivi Raisi Hana uwezo wa kutoa kauli kuhusu ishu ya ushoga?.

  • @novatlast9760
    @novatlast9760 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mnavoendlea kujikatalisha na kijijadili ndivo akili za watoto wenu na masikio yao yanasikia
    Mkumbuke chanzo cha imani ni kusikia....
    Shenzi kabsaaa
    Yaan bungeni mnatamka maneno ya namna hiyo inchi hii...ilitakiwa mmalize wenyewe kwenye kamati zenu huko mahakama zipo sheria zipo alafu mnaanza kujadilj???et mnalalamikia wizara?...

  • @novatlast9760
    @novatlast9760 7 หลายเดือนก่อน +1

    Siasa ni kitu cha ajabu sana
    Et leo hawa wabunge wanajadili wakate ushoga?? Yaan nilitegemea hii ingelikuwa ishaisha ktambo ikisika neno la namna hiyo na anyongwe mtu huyo...

  • @kisoso890
    @kisoso890 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa ni wasenge tu kumamae zao makuma tu kuna mambo mengi ya kujadili kuhusu nchi sio kila siku mnajadili ushoga alafu wenyewe ndio wanaongoza kuwafirwa madada zetu jadilini na mtimize jambo kwa mara moja mmeona hamna kiki safari hii mmeanza tena na mambo ya ushoga kwani si mlishayaongea

    • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
      @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 7 หลายเดือนก่อน +1

      Na wewe utakuwa shoga lazima

    • @kisoso890
      @kisoso890 6 หลายเดือนก่อน

      @@SmilingBulldogPuppy-nb9ur nipe mama yako akuzalie mdogo wako

    • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
      @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@kisoso890 mkundu uko wazi umefirwaa unanuka mimavi mboo haisimami unataka uzae,au uzalishwe shoga wewe

    • @kisoso890
      @kisoso890 6 หลายเดือนก่อน

      @@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 😂😂😂😂 we nigee uone namfiraje mama ako

    • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
      @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 6 หลายเดือนก่อน

      @@kisoso890 una laana ya mimavi wewe

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 7 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali ya ccm inawaogopa wazungu,maana huu ni mpango wa wazungu kuhakikisha tanzania na afrika wanazalishwa mashoga wengi ili kizazi chetu kije kipotee,maana mashoga na wasagaji wakiwa wengi maana yake ni "kutakuwa hakupo kuzaliana"na kuzaliana kusipokuwepo maana yake ni "kutoweka kwa kizazi na nchi itabaki tupu"watanzania tuamke,tusije wategemea hawa vibaraka ati waokoe kizazi chetu,hawa wanapokea tu maagizo kutoka kwa wazungu wenye nia ovu kwetu,na ndio maana hata bidhaa nyingi zinazoingizwa humu nyingi ni hatari kwa afya,yaani ni vurugu tupu,na serikali inajua yote haya,tanzania tunahitaji viongozi kama ibrahim traore,na sio hawa kina samia na wenzake,ambao wanatuuza sisi na rasilimali zetu kwa mpigo

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 7 หลายเดือนก่อน +1

    Saf Sana Hawa mashetan wanataka kutuletea laana, wakomeshwe

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz 6 หลายเดือนก่อน

    Saanaa na Utamaduniii

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 7 หลายเดือนก่อน +1

    th-cam.com/video/SoAK1lIC8wM/w-d-xo.htmlsi=KYr1erNQwoNH8lip
    Biblia mpya hiyo ishaingia inayo ruhusu ushoga

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 7 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/eRkt0Da35e0/w-d-xo.htmlsi=tkwCdV4nOmZ86SOP ushoga haufai