MWAKYEMBE AWEKA HADHARANI MTANDAO WA MASHOGA TANZANIA BILA WOGA WATU WABAKI MIDOMO WAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 398

  • @babumrisha
    @babumrisha ปีที่แล้ว +16

    Naomba Mungu ampe ulinzi Dr. Mwakyembe kwa kazi nzuri anayoifanya.

  • @ivonachuwa6596
    @ivonachuwa6596 ปีที่แล้ว +19

    Makonda nimeamini Mungu yupo nawe, acha akuinulie Watu, kinywa cha Mungu hakifungwi🙏

  • @lusuvilonzowa8769
    @lusuvilonzowa8769 ปีที่แล้ว +12

    Muheshimiwa tuna kila Sababu ya kumrudia Mungu asante kwa kazi nzuri muheshimiwa

    • @guardianndumhula6174
      @guardianndumhula6174 ปีที่แล้ว +1

      eeee mungu wetu tusaidie na hii laaana. kama ni umasikini basi.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwakiyembe Mungu akulinde miaka mingi,viongozi wameingiliwa na ushetan ,Uganda wangenyongwa

  • @haidarykufakunoga5973
    @haidarykufakunoga5973 ปีที่แล้ว +15

    NAMSHUKURU MOLA WETU MTUKUFU ALLAH S.W. BADO ANATULINDA NA KUTUPA HEKIMA JINSI YA KUEPUKA UCHAFU HUU ULIOKITHIRI. HII LAANA TUIKEMEE SOTE. WAMELAANIKA MASHOGA, MABASHA NA WASAGAJI. TAKBIIR ALLAHU AKBAR, ALLAHU AKBAR, ALLAHU AKBAR.

  • @harrisonmariki1112
    @harrisonmariki1112 ปีที่แล้ว +1

    Mzalendo Mhe. Mwakyembe.Mungu akubariki akulinde. Watanzania wenzangu ,Viongozi ndio Hawa. Mungu tujalie Viongozi wetu wawe na moyo nguvu na ujasiri wa kusimamia maadili ya UchaMungu.

  • @daudimazengo7772
    @daudimazengo7772 ปีที่แล้ว +5

    Dr. You are strong doctor.
    God bless you.

  • @tuntufyecharles1647
    @tuntufyecharles1647 ปีที่แล้ว

    Njia sahihi ya kutokomeza tabia hii ya ajabu ni kutumia wasiojulikana kuteketeza wote wanaofundisha,wanaofanya na wanaofanywa. Kwa kuwa ni aibu si vema kujadili na kuaandaa sheria nyingi. Serikali ifanye kazi yake kimya kimya wakiona wanateketea wataingiwa na hofu. Ngazi ya familia tutoe elimu kwa watoto wetu hali ni mbaya. Asanteni kwa kutufahamisha mashirika yanayojihusisha na uovu huu. Hatuhitaji sheria nyingi na kali wala miswaada na hatimaye sheria kujadili upuuzi huu. Hapa lazima tumkimbize mwizi kimyakimya. Sheria kuu ni maandiko matakatifu. Tufikirie toba.

  • @restitutanjau2585
    @restitutanjau2585 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde Mr.Mwakyembe kwa kutufunilia haya,Kazi sasa kwa serikali

  • @talents7934
    @talents7934 ปีที่แล้ว +5

    Tumebaki na kazi moja tu, Nikuwahasi au kuwauwa wala hamna dhambi hapo kama tukiwauwa

  • @josephntungiye6232
    @josephntungiye6232 ปีที่แล้ว +2

    Sababu zakumuua Magufuli zipo nyingi sana😢😢😢😮😮

  • @basumaadam2686
    @basumaadam2686 ปีที่แล้ว +5

    Mungu azidi kukulinda mzee wetu ukweli umesema

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 5 หลายเดือนก่อน

    ❤🎉🎉❤❤🎉🎉mzee mwakiembe👍👍👍👍👍❤❤

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 ปีที่แล้ว +4

    Jamani hao wazungu tuwafanye Nini mioyo yetu inauma vijana wetu kuhalibiwa ,Wamalekani mashetani,ya Dunia niatari Tumuombe Mungu

  • @kivurichumamwerumungwi9382
    @kivurichumamwerumungwi9382 ปีที่แล้ว +1

    Your special in this National sistet. Nimekupenda sana. God stand with you always

  • @YorandaBonephas
    @YorandaBonephas 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde maana mawakala washetani wanaumia kuhusu wewe ila mungu atakulinda mungu awalinde wote wanaopinga ushoga duniani mungu awape ushindi Saudi namwisho mwema maana mungu huwapenda watu wema Amina,

  • @peterdoisso2414
    @peterdoisso2414 ปีที่แล้ว

    Hongera sana raisi wa Uganda kwa kukemea hilo kwa nguvu zote bila kujali vitisho vya Marekani na misaada yao.

  • @ruthmwangi3199
    @ruthmwangi3199 ปีที่แล้ว

    Watching from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦 Mimi ni.mukenya.😭😭🥱😭🥱🙊🙊🙊🙊🙊

  • @gabrielkabato9909
    @gabrielkabato9909 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mwakyembe japo hii vita ni kubwa sana

  • @lonedoggy7176
    @lonedoggy7176 ปีที่แล้ว

    Komaaa Dr Mwakyembe,vijana tuna kuombea sana kwa Mungu😅😊

  • @Stays_Shopping
    @Stays_Shopping ปีที่แล้ว +18

    Nimeogopa sana, kumbe sensa imedanganya takwimu, wanaume tupo wachache sana

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 ปีที่แล้ว +4

    Hivi mpaka unakubali kufanyiwa operation kubadili jinsia then unapata madhara baada ya miezi sita wafe tu, mimi sio Mungu lkn ktk hilo hapana

  • @ahmedhamisi-jc2hs
    @ahmedhamisi-jc2hs ปีที่แล้ว

    Kwa kweli kabisa uyu mzee asema kweli kabisa mungu lazima akasirike

  • @wariditambi8679
    @wariditambi8679 ปีที่แล้ว +6

    Msiba mkubwa kwa kweli mungu atunisuru na watt wetu

  • @erubemalita7162
    @erubemalita7162 ปีที่แล้ว

    Sema mzee wangu hatutaki mizigo ya zambi iliyozidi baraka na neema aliyotupa mungu hatutaki kuipoteza eeh mungu tusaidie

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 ปีที่แล้ว +1

    Umu ndani kuna watu wanao wanunua hao mashoga nao Mungu awaumbue

    • @justinemangari2890
      @justinemangari2890 ปีที่แล้ว +1

      Kuna jmaa namuona anajitafuna, anahangaika sana sijui anawasiwasi na nni hapo ndani

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 ปีที่แล้ว +1

      @@justinemangari2890 😁😁😁😁😁😁😁 wateja wao wakuu ni ma boss ndio sababu maisha kwao ni safi

    • @justinemangari2890
      @justinemangari2890 ปีที่แล้ว

      @@edinakyaruzi9226 Sasa hvi nchi inapokea misaada ya masharti nafuu ndg, kumbe masharti ni magumu sana serikali iangalie hili suala nguvu kazi inaisha, mwanaume unashindwa nini kuomba mwanamke akupe hadi upewe na mwanaume mwenzako, au hizo hamu za mwanamke anampa Tena mwanamke? Mungu atusaidie kiukweli

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 ปีที่แล้ว +1

      @@justinemangari2890 we acha tu ni shida sana

  • @jolitabukabengwe3070
    @jolitabukabengwe3070 ปีที่แล้ว +8

    Mzee Magufuli alikuwa akiwapinga sana hawa wazungu.
    Ila kuna watu hawakumuelewa. Sasa wizara ya Afya wanaujua huo mpango na hawafanyi chochote.. Hili ni janga la taifa.. Kuna viongozi wanapenda vya kupewa misaada yenye masharti. Hapa ndo kunatatizo.. Cjui hata itakuwaje..

    • @saidmtenda1628
      @saidmtenda1628 ปีที่แล้ว +1

      Wewe acha kupenda sn, mbona magufuli alishindwa kumtetea makonda alipolaumiwa na maabeberu Kwa kuwakamata mashoga, serkali ya magufuli ilisema haihusiki na kamatakamata ya mashoga Hadi makonda akashindwa

    • @anethcleophace9199
      @anethcleophace9199 ปีที่แล้ว

      @@saidmtenda1628 .

    • @eidallyeidally5093
      @eidallyeidally5093 ปีที่แล้ว

      Tatiz si kupinga wazunguu niusajil uliofanyika kww mujib wa sheria za tz

    • @josephsiwila2397
      @josephsiwila2397 ปีที่แล้ว

      @@saidmtenda1628 mbn nmesikia 2016

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 ปีที่แล้ว +3

    Baba mwakyembe mungu akubariki sana kwa kutujuza juu ya hili janga, ningekuwa na mamlaka ya kuteketeza mashoga yote hata kama kufanya hivyo ni zambi bora niwe mwenye zambi kuliko kukumbatia uharamu wa mashoga. Mwenyezi mungu tunusuru watanzania na dunia nzima.

  • @danielmziray5081
    @danielmziray5081 ปีที่แล้ว

    Waweken waz mm ni mtanzania nina uchingu na nchi yangu weken picha zao tuwapeleke mbel ya Mungu chap hyo vita ni kubwa mkuu wenyewe hamuwez Mungu ibarik na nchi yang

  • @kambiyusufu2776
    @kambiyusufu2776 ปีที่แล้ว +1

    Dah kweli kimeumana

  • @enockabumba7513
    @enockabumba7513 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki Mh mwakembe utaripwa na Mungu

  • @mwandajemtoto2323
    @mwandajemtoto2323 ปีที่แล้ว

    umeongea ukweli mzee mwakyembe na mungu akulinde awo wazungu hawawezi kushindana na mungu

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 ปีที่แล้ว +4

    Jamani watanzania wenzangu wakristo na waisilamu tafadhalini tukemee hawa watakuja na misaada kutokana na umaskini wetu tukaja kupotea hata kwenye nyumba za ibada tuweni makini

  • @saidmtenda1628
    @saidmtenda1628 ปีที่แล้ว +2

    Mzee Mwakyembe jambo hili c la kisiasa, tunaomba bungee lipitishe Sheria km Uganda ya kuharamisha ushoga.

  • @dickisoniryoba3989
    @dickisoniryoba3989 ปีที่แล้ว

    Mungu .tusaindie wa tz ..na watto wetu..🙏💒🙏

  • @gastonamnon7005
    @gastonamnon7005 ปีที่แล้ว +6

    HIZI NDIO GHARAMA ZA MISAADA YAO 😭😭😭 SERIKALI IMESHAJIKOLOGA CHA KUFANYA NI KUTAPIKA TUU NO WAY OUT

    • @priscambwambo1030
      @priscambwambo1030 ปีที่แล้ว

      Cheep is very expensiv, Baba Magufuli lala salama ungeshawakimbiza hao wanaharamu siku nyingi

  • @HaulaSaid-p5p
    @HaulaSaid-p5p 6 วันที่ผ่านมา

    Laanatu llah jamn hatar sana wanaona kwao wazung kuna mafuriko wanataka kuleta na huku jaman ah allah anatisha jaman

  • @hashakishabani4896
    @hashakishabani4896 ปีที่แล้ว

    Namuomba mola alie umba mbigu na aridhi atuongezee watu kama baba mwakyembe pia mola wetu mpe hifadhi muja wako mwakyembe huyu baba ni zaid ya mtumishi wa mungu pia mzalendo wa kweli wa nchi yake

  • @honoreizala4695
    @honoreizala4695 ปีที่แล้ว +4

    Iiiiiiiii nimeumia sana Mungu atupe mwisho mwema

  • @hashimmajira2598
    @hashimmajira2598 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainna illah rajiun Allah atunusuru sisi pamoja navizaz vyetu inauma Sana hii na kwapamoja hamnadini inayosapoti hili huunimsiba mzito mmnoo

  • @kapistranhaule-rn6ft
    @kapistranhaule-rn6ft ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki na kuwalinda

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 ปีที่แล้ว +7

    Subhana Allah

    • @albertkuzilwa7442
      @albertkuzilwa7442 ปีที่แล้ว +1

      Kinasiku wapo watakao simama bilakuogopa tanzania kwasasa bado watu wataogopa ila Tanzania yaMungu

  • @abdullahamer5192
    @abdullahamer5192 ปีที่แล้ว +1

    Innah lillah wa innah ilayhi rajiooon .....huu msiba mkubwa Allah awanusuru vijana wetu jamani 😭😭😭😭🙏🙏🙏
    Yametengenezwa kweli dah

  • @ayubukaaya4576
    @ayubukaaya4576 ปีที่แล้ว +19

    Mapesa tunayopwa ya bure, lazima tulipe gharama kubwa sana, ndiyo maana mzee magufuli aliyakataa haya mambo kwa kutuaminisha kuwa tunaweza kujitegemea na ni kweli tunaweza. Sasa ukikaa unasikia uviko, mara msaada kwenye afya, kilimo n.k watanzania tujitambue sisi siyo wakoma MUNGU wa mbinguni ametujalia raslimali nyingi sana. Viongozi wetu tusaidieni taifa linaangamia.

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 ปีที่แล้ว +2

      Hakutaa magufuli ndiyo maana wizara mambo ya nje ilimpiga makonda aliposema atapambana na mashoga mbona alikaa kimya si engemfuza waziri na yeye atoke hadharani kukataa

    • @ayubukaaya4576
      @ayubukaaya4576 ปีที่แล้ว +1

      @@isaliisu3408
      Siwezi kujibu hoja yako , kwa upande wangu cjui kwanini unakuwa mkali pengine?

    • @highnessibrahim4550
      @highnessibrahim4550 ปีที่แล้ว

      @@isaliisu3408 mungu wambingu na nchi atutangulie.

    • @hadija846
      @hadija846 ปีที่แล้ว

      Ndugu ngoja nikueleshe kidogo nchi nyingi sana duniani kote wanapeana misaada na madeni hata kipenzi chetu Magufuli katuachia madeni kibao. Lakini deni la hatari ni deni la wachina maana ukishindwa kulilipa lazima aridhi mugawane. Marecani na Japani ni nchi kubwa sana zinazotowa misaada kwa nchi maskini hata Uingereza na bila matatizo yoyote.
      Ili swala la ushoga 😭 ni baya sana pia ni chafu kupita maelezo na hii sheria yao imepitishwa miaka hii ya kariburini. Lakini haya mambo ya kifirauni yapo tokea zamani sana. Yaani Dar. Ndio usiseme mashoga adhalani na watu walikuwa wanafurahishwa na haya mambo lakini sasa hivi tumeletewa huo ujumbe watu tunapinga kwa kasi kubwa na mashoga wapo kibao na hawawezi kuwa madume tena itakuwaje? Kuhusu madawa wanayo wawekea na ushaidi wanao wasitungazie muhimu ni kumkamata huyo mzungu na kumrudisha kwao na kufanya msako mkubwa kwa watu kama hao matangazo hayafai chochote hatuyataki.
      Msasani kuna shoga linaitwa Anko Fao yeye kila mwaka anafanya birthday kubwa na mashoga wenzake kibao na serikali za mitaa wanalijuwa ili lakini wanalipotezea na party za mama Diamond pia mashoga wapo kibao na mtandaoni wanajulikana kabisa lakini kimya hii hari ya mashoga ni mtihani wetu sisi wenyewe na mashoga wanajitokeza kwa sababu wapo mabasha. 😭😭😭

    • @jeniphermyingajeniphermyin8029
      @jeniphermyingajeniphermyin8029 ปีที่แล้ว

      Mmmh huu ndy ujinga wa Kumtegemea misaada ona Sasa taifa linavyoangamia

  • @aishamzeehamissi6859
    @aishamzeehamissi6859 ปีที่แล้ว +2

    Tutakuwa na Taifa lisilokuwa na uzazijamani tupambane jamani wasakwee wapigwe kama uganda

  • @saadatiyahyashabani-yg2xy
    @saadatiyahyashabani-yg2xy ปีที่แล้ว

    Asee wazee teteeni taifa letu 🇹🇿✊🏿

  • @ahmedhamisi-jc2hs
    @ahmedhamisi-jc2hs ปีที่แล้ว

    Mzee kimea kwa nguvu zako mungu atakulinda

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 ปีที่แล้ว +15

    Hivi Serikali yetu haijui haya!?!?!?
    Ni kilio kwa kweli daah!

    • @kentkihongole8235
      @kentkihongole8235 ปีที่แล้ว +1

      Jeshi tunalo hili halijaona

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 ปีที่แล้ว +1

      Inajua sana ndiyo mana kipindi kile Makonda alianzisha kampeni ya kuthibiti ushoga akazimwa

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 ปีที่แล้ว +1

      Watu wa Pwani Kwani wana maana?!

    • @hamismabula9934
      @hamismabula9934 ปีที่แล้ว

      @@mimiraia2531 🤣🤣🤣

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 ปีที่แล้ว +2

    Tumekwisha jamani MUNGU ATUREHEMU😢imagine mkoa mmoja una makampuni zaidi ya 5 kwa jili ya kutengeneza mashoga na wasagaji Tanzania hatupo salama hata kidogo

  • @GoodluckTarimo-u3j
    @GoodluckTarimo-u3j 6 หลายเดือนก่อน

    Kwann wasiuawe❤

  • @severinitarimo8669
    @severinitarimo8669 ปีที่แล้ว +4

    tunaomba mashirika ambayo yanasapoti ushoga huu yafutwe na serikali yetu . vijana wetu wanaharibika sana kwa matatizo haya

  • @faustinemavere1450
    @faustinemavere1450 ปีที่แล้ว

    Kweli kipenzi chetu jpm aliwakataa hawa watu alilijua hili ee Mungu tusaidie watanzania mwamba alikuwa na macho ya rohoni uwiiii Mungu tuhurumie na watoto wetu

  • @MsafiliMwammoghera-ot4lr
    @MsafiliMwammoghera-ot4lr ปีที่แล้ว

    Mungu lete tetemeko kwawale wanao halibu watt wetu maana watt mashuleni kula kukicha wanafanyiwa hivyo vitu nawapumbavu wa shetani flani wasio julikana kumbe wamepewa tenda na mashetani Asante mweshimiwa mwakye mbe kwauchunu ulio nao kwa Taifa letu mungu tusaidie kumbe lisemwalo lipo hakika tumeona wameona korona imedunda.

  • @MkudeKunambi-mi7cs
    @MkudeKunambi-mi7cs ปีที่แล้ว +3

    Mhhh hofu yangu je hayo mashtaka je yatafanyiwa KAZI? Au ndio yataishia hapa hapa tu

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 ปีที่แล้ว

    Hali si schwarz Tanzania iko mikonnoni mwa marekani ma ushoga umeshakaribishwa haya mashirika ya kishoga Magufuli alliyakataa . Mashirika mashenzi ya kisetani kisa vyandaru shae sana😊

  • @Msakatonge23
    @Msakatonge23 ปีที่แล้ว

    Dahh!! Tanzania tupo mbali mnoo Sasa mungu atulinde na awepe nguvu muendelee kuziamsha akili zetu

  • @abdikapilima8695
    @abdikapilima8695 ปีที่แล้ว

    mungu atunusuru ni Hali mbaya

  • @KichuyaMaja-qq5zn
    @KichuyaMaja-qq5zn ปีที่แล้ว

    Hayo mambo kama wanayapenda si wafanye kwao kwetu watuachie mila zetu...mungu ibariki tanzania

    • @priscambwambo1030
      @priscambwambo1030 ปีที่แล้ว

      Hawawezikutuacha maana wanawakumbatia utazani Miungu yao . Magufuli alikuwa na akili sana aliyajua haya ndio maana alitaka space na wao hakutaka ukabu na wapuuzi mashetani hawa

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm ปีที่แล้ว +2

    Hawa mabasha ndio serikali wanatakiwa wadilonao zaid wao ndio wanaoharibu zaidi

  • @barayclassic8572
    @barayclassic8572 ปีที่แล้ว

    Hawa mashoga wapo hawana kazi ila wanapesa Sana wanatumia magali ya bei mbaya sana ko Asante Sana baba sasa tumejua kwanini wanapesa kumbe wanafadhiliwa na wazungu 😭😭😭

  • @ZawadiNyambulapi-lk1np
    @ZawadiNyambulapi-lk1np ปีที่แล้ว

    Selikali yangu naomba mnimilikishe bunduki hao hawafai Kuishi

  • @gazzomaster9462
    @gazzomaster9462 ปีที่แล้ว +4

    Watuuluhusu tukikuta shoga apigwe mawe ad kufa

  • @AdiliSanga-os6hn
    @AdiliSanga-os6hn ปีที่แล้ว

    Naomba nammi niingie kupiga vita ushoga meshack andrea lukanga from iringa

  • @HaulaSaid-p5p
    @HaulaSaid-p5p 6 วันที่ผ่านมา

    Mm sitak hat kusikia upuuz huu tz mashoga wamekuwa weng sana

  • @highmedland9280
    @highmedland9280 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe ndio kuja kwa watalii wengi na kupewa heshima ya hali ya juu kujenga maendeleo ya nchi , lkn kumbe kuleta ushoga nchi Tanzania na visiwani na ivi sasa juzi2 imepelekwa meli mzima ya watalii kibao visiwani znz na pemba kwa ajili hio kuharibu vizazi vyetu wanasingizie maendeleo kumbe maharibiko kuleta wazungu kuwafanya wawe mashoga, tunaomba serekal waondoshe watalii wote wasije tuletea balaa ya maangamizi ya Allah kutugharikisha nchi yetu na visiwani, bilaivo tusubiri maendeleo ya sunami kutoka kwa m/mungu, Allah atunusuru hatuna usalama tena😭😭😭😭

    • @anzuruniyasini9939
      @anzuruniyasini9939 ปีที่แล้ว

      Bc mungu alete kiamaa 2 bc inauma viongonzo wanchi iwapo watayaridhia hya Bora 3 Liam's like

  • @chacha_jr20
    @chacha_jr20 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nisaidie

  • @ZuberiOdarukusi
    @ZuberiOdarukusi 8 หลายเดือนก่อน

    Shida sio maisha magumu bali watu wanataka pesa bila kufanya kazi mm naona wanaojiuza pia elimu ya ndoa pia kupunguza mahari na mabinti na vijana wawe tayari kuolewa na kuoa

  • @severinitarimo8669
    @severinitarimo8669 ปีที่แล้ว +2

    tunaomba mpango wa kupewa misaada ya marekani nishida . na mpango ushoga utakwicha tanzania . acheni kusani mikataba

  • @saidausi9917
    @saidausi9917 ปีที่แล้ว

    Baba Mdogo Mwakyembe weka wazi hayo na ikiwezekana mashoga wakipatiwa tiba wapewe Sumu wafe

  • @sadamamon4073
    @sadamamon4073 ปีที่แล้ว

    Mungu tuongoze tuepukane na haya

  • @mertus.nestory.bishirangon4624
    @mertus.nestory.bishirangon4624 ปีที่แล้ว

    Nyimbo.zenye.we.zinahamasisha.ete.mwimbo.una.ibwa.mpalange.kiukweli.hizinyimbo.ukiskiliza.zinahamasisha.ushoga
    Emungu.utuhulumie.sisi.na.dunia.nzima

  • @AzahOmary-kd2db
    @AzahOmary-kd2db ปีที่แล้ว

    Jamani muwatajeee allah awadhibu

  • @YusraMadodo-sl5oh
    @YusraMadodo-sl5oh ปีที่แล้ว

    Yarabi ewe mola wetu Mungu tunusuru inchi inatakiwa kuongozwa na mwanaume so na mwanamke hii inchi ingeongozwa hata na wakina Kassim majaliwa au jobu ndogai wangeliokoa taifa letu siku Kassim majaliwa au jobu ndUgai nitafurahi sana mana wanamsimamo sana nawaombeaga usiku na mchana waje wagombea uraisi moja wapo atapita

  • @BIOBIBER_Musician
    @BIOBIBER_Musician ปีที่แล้ว

    Mungu akupe umri mrefu tumxhinde shetani ushoga ni dhambi kubwa sana

  • @nimbetebwangabwa8521
    @nimbetebwangabwa8521 ปีที่แล้ว

    Yes ,we can survive without USA,,

  • @goodluckndagile9381
    @goodluckndagile9381 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU akulinde

  • @FidasMwaiteghelesya-hw9qs
    @FidasMwaiteghelesya-hw9qs 8 หลายเดือนก่อน

    Unaweza kushangaa hapo pia wapo

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 ปีที่แล้ว

    Nte Mwakymbe hawa wazungu wamechanganyikiwa sana

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 ปีที่แล้ว

    Kumbe tanzania bara kuna mashirika kiasi icho wamejificha tu kisha wanaoneka wa Zenji ndio wanafanya hayo doh asante kwa kutufichulia

  • @mosially6402
    @mosially6402 ปีที่แล้ว

    Mungu akuoe hekima nabusar kutuweka wazi

  • @daudigabriel9860
    @daudigabriel9860 ปีที่แล้ว +1

    Viongozi wetu Kila mtu kwa nafasi yake pls pls liponye taifa letu na watoto wetu wekeni nguvu kubwa ktk hili. Heri lawama kuliko hasara yamkini Mungu atatuonea huruma. ipo siku Kila mwenye nafas atajibu mbele za Mungu.

  • @aishaswidiq
    @aishaswidiq ปีที่แล้ว +1

    Njia salama ni moja tu ambayo nikurudi kwa Allah na kufata sheria zake basi hapo tutasalimika

  • @regnaldymambaly9880
    @regnaldymambaly9880 ปีที่แล้ว +2

    Ushauri wangu kwa raisi wetu ni ni huu , wewe ndie kauli ya mwisho katika taifa letu imefika mahali wakufanya maamuzi magumu bila kuogopa chochote kwasababu hawa wazungu wanatupeleka kwenye laana kubwa sana kuliko misaada wanayo tupa ni afadhali kukosa misaada lakini tukaepukana nalaana ya Mungu ,

    • @priscambwambo1030
      @priscambwambo1030 ปีที่แล้ว

      Akina Museven na kenya washatoa sauti bado kwetu tunasubiria

  • @flova7022
    @flova7022 ปีที่แล้ว

    Sina Imani na serikali maana mashirika yote haya husajiliwa na serikali.

  • @SunguraFesto-ir2mp
    @SunguraFesto-ir2mp ปีที่แล้ว

    Huyu Mzee alipaswa kuwa Raisi ana misimamo sana namkubali sana

  • @emaanursery6183
    @emaanursery6183 ปีที่แล้ว

    Haya yamepangwa Sana huoni akiyekuja kutembelea Tanzania huyu nabendela hamuiyoni angalia

  • @dicksontontol5654
    @dicksontontol5654 ปีที่แล้ว

    Kweli huu ni usodoma Kama washinga watapata chama Chao hata wale alshabaab wapewe

  • @sositenesssabuni2480
    @sositenesssabuni2480 ปีที่แล้ว +1

    JPM alitufundisha kujitegemea bila misaada ya wazungu ila Kuna viongozi wanajipendekeza kwa wazungu kwasababu ya njaazao wanazani wayazikwa na mabegi ya dola.

  • @basumaadam2686
    @basumaadam2686 ปีที่แล้ว

    Mmmh mazito 😰😰

  • @mahmoudidriss1560
    @mahmoudidriss1560 ปีที่แล้ว

    Mashoga wauwawe tu...hao ni mashetani hi.....tuache, huruma kwahao Mashoga.

  • @issabrain-tl8jw
    @issabrain-tl8jw ปีที่แล้ว

    Acheni upuuzi mumeuza vijana wenu halafu munasomea idadi kwani Shelia simunayo kwanini musiwanyonge?

  • @viviantarimo7440
    @viviantarimo7440 ปีที่แล้ว +11

    Mungu wa Mbinguni naomba uturehem😭🙏🙏
    Yan naomba kila mmoja wetu atakayeona hii comment tumwombe sana mwenyez Mungu rehema ya hali ya juu ili tunusurike na vizazi vyetu
    Eeeeh Mungu naomba uturehem
    Ndo maana ata mvua hazinyeshi daaah 😭😭😭😭

    • @marthaanton6967
      @marthaanton6967 ปีที่แล้ว +1

      Da jamani Mungu tusaidie sn😭😭😭

    • @anzuruniyasini9939
      @anzuruniyasini9939 ปีที่แล้ว +1

      Jamani jamani jamani viongonzo wanchi tatizo nn tz imekosa mini jano eeemungu wewe ndio mjuzi tunakuomba utunusuru mh

  • @Neema935
    @Neema935 ปีที่แล้ว

    Ni kweli bb,siyo marekani peke yake ni nchi nyongi sana ya wazungu inafundisha ushoga mashuleni. Mtoto miaka mitano, anafundishiwa akuwe na rafikiyake (awara,ama kubadili jinsiya) Ndiyo sababu PUTINE anawapinga hao maghaidi.

  • @yasmine937-so4mi
    @yasmine937-so4mi ปีที่แล้ว

    Kwahiyo Kisura wa Mbeya Shirik llikuwa uwanjani kwao🤭🤭🤭

  • @elizabethnnko-z7u
    @elizabethnnko-z7u ปีที่แล้ว

    Jamani baba naomba shuulikia ili swala jaman usiogope kusema sauti yamungu

  • @aishamzeehamissi6859
    @aishamzeehamissi6859 ปีที่แล้ว +1

    Sema baba ukombowe Taifa let,u wakishikwa wachapweee

  • @asmahtamla4749
    @asmahtamla4749 ปีที่แล้ว

    Ndo zictishwe hzo neti lkn ndo kwanza zinaongezwa kl UCHAO.

  • @issabrain-tl8jw
    @issabrain-tl8jw ปีที่แล้ว

    Acheni wafanye kazi kwani mpaka hayoyote munayajua na munawafahamu basi nyie ni washiliki wao yani mpaka vitabu vyao munavyo na majina yao munayajua basi inchi imewashinda mujihudhulu huo ni upuuzi tu

  • @mozasuliman3959
    @mozasuliman3959 ปีที่แล้ว

    Fikiria maisha yko ya halafu fanya biashara rudi kijijini kalime unaka unajiuza wwe unatia aibu mchiyko kesho utaenda kusema nni kwa Allah nyooo

  • @SimioniMagembe
    @SimioniMagembe หลายเดือนก่อน

    Mwakyembe utaongea Ila ukwei ni kwamba serikari yetu ndo inasapoti ushoga keani umeongea mala ngapi serikari ipo kimya tu hayo yote na misada za wazungu Tena misanda yenyewe Haina maana