Mungu awasaidie sana watu wa MUNGU msipingane na kweli iliyotabiliwa na Mungu mwenyewe manabii na makiristo wa uongo watakuwepo ili neno litimie, vilevile ukiwa kweli unawito wenyewe uliokusudiwa na Mungu hakika huwezi shindana na watu wala kuchunguza watu ukiwa unatambua aliye luhusu huyo nabii wa uongo na makliristo wa uongo anawo uwezo wa kuwaondoa haipaswi watumishi muanze mikwaluzano MUNGU hapendi wala hakukusudia hivyo simameni katika kweli ikiwa haki anaijuwa Mungu MUNGU wetu ni MUNGU mwenyeenzi yote hajawahi shindwa na lolote ndiyomaana maandiko yanasema wabaya wameandaliwa kwa siku ya ubaya mtukuzeni JEHOVAH MUNGU MWENYEENZI ilimpate kuwa hodali katika BWANA chuki, wivu katika huduma havitakiwi wabaya na wema tambua wote wameumbwa na Mungu niyeye ndiye aliwapa kibali cha uzima Basi yeye ndiye anayetutambua vyema kuliko tujionavyo tuombeane muhukumu ni MUNGU tuu pekee sisi nikwaajili ya utukufu wake tuu tuongeze bidii katika huduma chochea moto ndani usiwe vuguvugu tuko katika liadha anaeishia njian siyokazi yako kumshutumu kaza mwendo songa mbele safar tulianza wote tambua hatutofika wote ni kwa neema tuu ya MUNGU wa mbinguni tumwache yeye mhuku wa Haki atatenda haki na Mungu wa mbinguni☝️ awabaliki sana 🙏
3:51 paza sauti Baba usiache mm niko nyuma yako, Usiogope sema kweli ,Ole wa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kinga amelaaniwa, sema ht ukifa, heri wafu wafao ktkt Bwana maana wana ijala
Hapana jamani serikali haipendi kutukanwa kuambiwa ukweli serikali inapenda cassian I kama unaesikiliza maneno hayo zimo cassian haongei.vizuri hila hizo rais alikosea wapi ningekuwa mama samia ningesema mpelekeen naye sadaka jamani madhambi tu wakina cassian katoa sadaka mwache.Yesu alijua yote ndio ma'ana alisema viache vikuwe pamoja atakuja mwenye.shamba atang'oa.yy mwenyewe inaonekana cassian nae hamuamin.Mungu mm namuamini Mungu.nikiona anaenda kinyume namuona huruma sana ma'ana mafimbo.yapo haijalishi lin.Mungu.hajawahi.feli na ukuta.wake ni mlefu.haruki.mtu na hataruka.mtu.matilion.hawajaruka.ndio ma'ana Mungu aliwaka kwA nuhu akapunguza miaka ya kuishi na akasema.sitashindana na mwanadamu milele ikiwa dunia imezalisha madhambi ya.kutisha ila ikae ikijua.Mungu hatashindana na wanadamu atawafuta.akipenda
Badala ya kuhubiri watu wamjuwe Kristo na kuacha dhambi unawachafuwa watumishi wa Mungu na kuwahukumu unaye simama badala ya Mungu kana kwamba umsafi sana za hata ya huyo Mungu,haya tuonyeshe kazi yako uliyoifanya ya utumishi na hilo kanisa ulilofungua,tuna mashaka na utumishi wako, Bible inasema usiwanenee watumishi wa Mungu neno lolote, acha kushirikisha watu dhambi ya kuwasema watumishi wa Mungu
Mama Samia hongera sana Mimi nakupongeza sana kwa sadaka uliyo mtolea mungu kupitia kanisani kwa mwamposa; kutoa sadaka ni Imani huwezi toa Kila sehem hata magufuli mkapa Nyerere hata rowasa nk: walitoa sadaka pale walipo amini kwako nisahihi mungu atawasikia: wahubiri wadini ya kikristo muwe na hekima; acheni kuropoka kuwasakama viongozi wanapo timiza wamjibu wao; ikumbukwe hata yesu hakuponya waisraeli wote ila niwaletu waliokua na haja ndivyo maandiko yanavyo sema
Mungu mwenye nguvu, Mfalme wa ulimwengu aumbae mbingu na nchi akupiganie na akukumbatie akutie nguvu na damu ya KRISTO YESU ikufunike ili kwamba ulihubiri NENO wakati ukufaao na usiokufaa.
Kuna mambo hapa jifunze na wewe.. 1.achana nakujivuna na kujiona upo sawa maana utakufa na dhambi zako. 2. Zingatia maneno na unamwambia nani maana kuna wengine tunakuona wewe ni mjinga tu na unateswa na roho ya KAINI 3.Achana na roho ya mbwa unabweka sana kuwatukana viongozi wetu na hali wewe hata mkanda tu hujavaa. 4. Mtandaoni ni sehemu ya kuwahubiria watu HABARI NJEMA ZA YESU KRISTO na siyo kutukana viongozi wako wewe ni mtoto mdogo na hao ni wazazi wako. 5. Halafu kumbuka kuna kesho kijana jiheshimu ili uheshimiwe.🙏🏾
Eti jamani????Mimi najiuliza tu kwa sauti!!! hizo pesa angepewa yeye angesemaaa??????Ila kwasababu kapewa Mwamposa imeshakuwa shidaa.Shida sanaaaa.Mungu tusaidieee.dah!!!!!!!!!!!Hatari sanaaaa.Wivuuuuu mbayaaaa sanaaaaa jamaniiiii
Mtumishi ningekuomba kitu ukihubiri neno usitaje mtu tumia hata falsafa nyingine ambayo inaweza kumfikia mtu bila kumkwanza mungu akubaliki sana iina labwana lihimidiwe🎉
Nakukubaligi sana hasa nyimbo zako , ila kwa hili kuhusu kiboko ya wachawi hapana sikubaliani na wewe , naomba uendelee tu kuhubiri kwa njia ya nyimbo ..
Kila ufalme hauwezi kufitinisha ufalme wake maana Mwamposa anapingana na wachawi,waganga wa kienyeji,mizimu,mapepo lakini baadhi ya wachungaji wanapinga kanisa eti wanamtetea MUNGU hahahaa soma vizuri biblia inasema mawazo ya Mungu sio ya wanadamu
Mungu akusaidie cassian hekima itawale kwako,Sio kila kitu kwako Unaona watu wanakosea Tu wewe Ndio Unafanya mazuri Tu before and Now,Soma Bibilia ikusaidie kuishi kweli ya kristo nasio kila siku Unaamka kuwazungumzia hawa watu. Ndio Kwanza Unawapa kuzungumziwa na kuwapa airtime Mungu alimtwaa Henoko sio kwamba alishindwa kuwazingua wale watu kwa Ule wakati Punguza Kua Hakimu kumbuka hata wewe Una Black Page yako,Watu wamekaa kimyaa Tu
Wachungaji watoto wa injiri bado sana ila mnataka kupaishwa na mitandao. MUNGU anasema usihukumu. Hiyo ni kazi ya MUNGU ajuae ya sirini. Na wabaya wapo kwa siku ya ubaya kama shetani alivyo huru nawe ukawa mwanachama wake. Kwa hayo mahubiri ya wivu ni ishara bado hunatoka. MUNGU HASOMEKI.
Mtandaoni ni sehemu ya kuwahubiria watu HABARI NJEMA ZA YESU KRISTO na siyo kutukana viongozi wako wewe ni mtoto mdogo na hao ni wazazi wako. Lakini pia huyu cassian anajiona yupo perfect sana
@@festinamwakipale3919kwani yy natamani hela yoyote? mbona hata makanisani tunatoa michango ya ujenz ununuzi wa vitu mbali mbali hiyo Ni moja ya kazi ya MUNGU huko ndo kutumika
@@Pendopasilika na Mungu amesema msiingie mikono mitupu kwenye maibada.yangu ila siku.hizi za mwisho Mungu atahukumu nia za watumishi inaonekana Wana nia ya kupata hela ndio mAana.wanapinganapingana.lakini.watakaohubili injili ya unabii Wa.Yesu.itahubiri na watu tofauti subiri wasiona michanganyochanganyo na maneno mengimengi
@@festinamwakipale3919barikiwa mteule et kumuona mtumishi ni hela jamani tunakwenda wapi dunia hii na wengine wamegeuza nyumba za ibada Ni za kufanyia biashara MUNGU atusaidie
Unaongea ukweli ila kumbuka huyo ni raisi ambae unaongelea unatakiwa uwe na mipaka ndugu huwezi ukamuuliza raisi kwamba yeye na hao wachungaji Kuna nini Yani Nikama unamchunguza
Ni kweli mama kakosea kwasabb kwakufny hvyo KAHALALISHA UPOTOFU WA MWAMPOSA, wasiojua km n nabii wa giza kupitia sadaka ya mh Rais bc wanajua HUY YKO SAW MAANA MPK RAIS ANAMUUNGAMKONO!
@@Visionofeagle9689 manabii feki wapo wengi Kama yeye ndo kafukuzwa tunaweza kusema MUNGU amehusika unajuwa MUNGU hapangiwi kaluhusu yy afukuzwe na serikali yawezekana yy ni mbaya zaidi ya wengine MUNGU atusaidie
Tanzania wapigaji wa. Pesa niwengi lakini kila mtu anakuja staile yake. Wengine wanaogopa kuiba darekiti.wanaingia kwa sitael ya wachungaji.leo hii tuna madhehebu zaidi ya 900...hawo nimaasikofu wenye madhehebu 900..wachungaji kwa kila kanisa wengi hata idadi imepita.chukulia tuna vijiji zaidi ya laki sita nakijiji kimoja kuna makanisa mangapi tofauti tofauti wote wanataka kula wanataka sadaka.
Ukitaka kutajirika haraka anzisha kanisa tu.Hakuna kodi,unapata hela bure na serikali inakuogopa hivyo uko huru kuiba kadiri ya uwezo wako.Tufumbue macho,kodi na kisomo cha wachungaji iwe mhimu.Matapeli katika jina la Yesu wamezidi😢😢
watumish punguzeni kuwa wana siasa jamani piganeni rohoni nikutajana kila kukicha mtu ana mtaja taja tuu mtumishi mwenzake bila kujua nikanisa mnalizalilisha tuu punguzeni watu wa MUNGU kunakufa kihoro hooooooy!!!
Raisi anaona na anashuhudia ni namna gani watu wananchi wake wanasaidika kwa kuponywa magonjwa yao,wanafunguliwa,wanabarikiwa na kuinuliwa kweli,kwanini asiunge mkono ndugu yangu,Kasiani. Mwito mkuu ni kuhubiri injili kwa kila kiumbe,kaka,na sio kuhubiri habari za watu kila kukicha ila kujipatia followers na kupata kipato. Usione wivu kwa karama walizopewa wenzako,kaka,badala yake na wewe muombe Mungu akudhihirishe kwa nguvu zake.
Kutoka 14:16 Musa alinyoosha fimbo juu ya bahari nyekundu na bahari ikajitenga huku na huku na wana wa Israeli wakapita katikati ya bahari katika nchi kavu.
So, throughout the scriptures,we countless examples that to God's power,nothing is impossible. The Holy spirit can choose to use any medium to express Himself. Mfano ni huo wa Musa,alipokabiliaana na changamoto ya kuigawa bahari ya Shamu,alinyoosha tu fimbo yake juu ya bahari na Roho Mtakatifu akajiexpess kupitia ile fimbo.
Yesu pia alitumia sauti za watumishi wake Petro na Yohana kuleta uponyaji kwa kiwete katika mlango mzuri. Sauti ya kwa jina la Yesu. John 3:6 Then Peter said, ' Silver or gold I do not have ,but what I do have I give you. In the name of Jesus Christ of Nazareth,walk. Kwahiyo roho mtakatifu anaweza kutumia sauti au kitu chochote alichokiumba.
Acts 2:1-2 When the day of pentecost came,they were all together in one place. Suddenly a sound like the blowing of a violent wind came from heaven and filled the whole house where they were sitting. Kwahiyo wakati wa pentecoste,ilikua ni sauti ya upepo wa kisulisuli na kunena kwa lugha Mungu alitumia kujiepress Himself na Roho Mtakatifu akaja juu wa wanafunzi wake.
Numbers 22:28 The the Lord opened the donke's mouth,and it said to Balaam, ' what have I done to you to make you beat me these three times? Hapa tunaona Mungu anamtumia punda kuongea na kumrekebisha na kumtangazia onyo kupitia kinywa cha punda. There's nothing God created that He cannot command, control or instruct.
Mtumishi umejaribu kumfikishia ujumbe huu raisi personally hukumpata?,kuweni na hekima basi,sasa hapa unatuambia sisi au raisi?afu watu mnashabikia tu hii sio sawa.Mbona Magufuli hamkuthubutu kumwambia hata pale alipokosea?Tunahitaji watimishi wenye hekima.Mimi sikupingi ila namna ya kufikisha ujumbe mimi sijaipenda.Mjifunze kwa Kulola,Mwakasege nk
Huyu kama mchungaji ni chizi basi, sasa yeye kama mkuu wa nchi si ana Imani zake nae,.kama kwa mwamposa kapeleka sadaka hao wengine misaada yake sio lazima iwe pesa hata wakipata huduma Bora ya maji, umeme, barabara, n.k ni Moja ya sadaka, kazi na jitihada za mhe. Rais.
ile sadaka iliyopelekwa kwa mwamposa imekuuma sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ulitamani iletwe kanisani kwako sema ndohivyo huna karama ya uponyaji. una karama ya wivu 😁😁😁😁😁
Mnapewa Uhuru mnajisahau uku ulipo fika nimbali, mbona kawaida tu rais ni wa watu wote, mbona hayati Raisi magufuli alijenga misikiti, au hiyo sio sadaka? Muacheni mama . rais anaekua madarakani haeshimiwe
Nachosema . Acheni vitimbi. Mi mtumishi gani unaweza kumwona ni mkweli . Je ww unaona kuliko Mungu . Ss sote ni wanadamu . Mslletee watu hofu kw sababu ya wivu wa kidini . Hakuna mwanadamu anaeweza kuona dhambi ya mwingine . Toa kibanz chak ndipo sasa tutaona borit. Tuache kuhukum tusije kuhukumiwa
Amina Mungu Akute Nguvu Akupiganiie Akukubatie Kama Kuku Anavyokumbatia Watoto Wake Katika Jina La Yesu Kristo Amina.
15:Mungu awe nguzo ya moto ktk kazi zako.
Atakulinda km mboni ya jicho ,atakufunika ktkt uvuli wa mbawa zake, songa mbele Mungu yupooo.
Mungu akuinue nakubali Sana mtumishi ww ni fire
Mungu awasaidie sana watu wa MUNGU msipingane na kweli iliyotabiliwa na Mungu mwenyewe manabii na makiristo wa uongo watakuwepo ili neno litimie, vilevile ukiwa kweli unawito wenyewe uliokusudiwa na Mungu hakika huwezi shindana na watu wala kuchunguza watu ukiwa unatambua aliye luhusu huyo nabii wa uongo na makliristo wa uongo anawo uwezo wa kuwaondoa haipaswi watumishi muanze mikwaluzano MUNGU hapendi wala hakukusudia hivyo simameni katika kweli ikiwa haki anaijuwa Mungu
MUNGU wetu ni MUNGU mwenyeenzi yote hajawahi shindwa na lolote ndiyomaana maandiko yanasema wabaya wameandaliwa kwa siku ya ubaya mtukuzeni JEHOVAH MUNGU MWENYEENZI ilimpate kuwa hodali katika BWANA chuki, wivu katika huduma havitakiwi wabaya na wema tambua wote wameumbwa na Mungu niyeye ndiye aliwapa kibali cha uzima Basi yeye ndiye anayetutambua vyema kuliko tujionavyo tuombeane muhukumu ni MUNGU tuu pekee sisi nikwaajili ya utukufu wake tuu tuongeze bidii katika huduma chochea moto ndani usiwe vuguvugu tuko katika liadha anaeishia njian siyokazi yako kumshutumu kaza mwendo songa mbele safar tulianza wote tambua hatutofika wote ni kwa neema tuu ya MUNGU wa mbinguni tumwache yeye mhuku wa Haki atatenda haki na Mungu wa mbinguni☝️ awabaliki sana 🙏
Mungu AKUBARIKI SANA na abariki ushujaa wako..
Wewe ni Shujaaa ❤
Amen Kubwa mkono wa kulia ukifanya jambo wa ku shoto usijuwe
Amen..sema kweli tuu ili ituweke huru....Mungu akutunze na kukurinda paschal cassian ...tunaponywaaa
3:51 paza sauti Baba usiache mm niko nyuma yako, Usiogope sema kweli ,Ole wa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kinga amelaaniwa, sema ht ukifa, heri wafu wafao ktkt Bwana maana wana ijala
Mungu aendelee kukutumia mtumishi wa Mungu pia akufiche na mbawa zake zaidi na zaidi uendelee kufungua zaidiidi
Amen amen ubarikiwe sana
Mungu akufanyie ulinzi mkubwa mtumishi wa mungu
Mungu akutie nguvu sana❤❤❤❤
Mungu akulinde kwa kusema kweli tena tunakuombaya sana,
Mh! Nduguyangu bado familiya yako na watu kama ssi bado tunakupenda, kuwa makin serikali haipendi kuambiwa ukweli utapotea ndugu yangu Mungu akulinde
Mungu atasimama tu Yesu mlinde Pascal uwiii😭😭😭😭
Amlinde maisha yake yot casian
Hapana jamani serikali haipendi kutukanwa kuambiwa ukweli serikali inapenda cassian I kama unaesikiliza maneno hayo zimo cassian haongei.vizuri hila hizo rais alikosea wapi ningekuwa mama samia ningesema mpelekeen naye sadaka jamani madhambi tu wakina cassian katoa sadaka mwache.Yesu alijua yote ndio ma'ana alisema viache vikuwe pamoja atakuja mwenye.shamba atang'oa.yy mwenyewe inaonekana cassian nae hamuamin.Mungu mm namuamini Mungu.nikiona anaenda kinyume namuona huruma sana ma'ana mafimbo.yapo haijalishi lin.Mungu.hajawahi.feli na ukuta.wake ni mlefu.haruki.mtu na hataruka.mtu.matilion.hawajaruka.ndio ma'ana Mungu aliwaka kwA nuhu akapunguza miaka ya kuishi na akasema.sitashindana na mwanadamu milele ikiwa dunia imezalisha madhambi ya.kutisha ila ikae ikijua.Mungu hatashindana na wanadamu atawafuta.akipenda
Mungu aendelee kukupigania paschal Cassian 🙏🙏🙏
Nakupenda vile huna uwoga kwenye ukweli mungu akutunze
Badala ya kuhubiri watu wamjuwe Kristo na kuacha dhambi unawachafuwa watumishi wa Mungu na kuwahukumu unaye simama badala ya Mungu kana kwamba umsafi sana za hata ya huyo Mungu,haya tuonyeshe kazi yako uliyoifanya ya utumishi na hilo kanisa ulilofungua,tuna mashaka na utumishi wako, Bible inasema usiwanenee watumishi wa Mungu neno lolote, acha kushirikisha watu dhambi ya kuwasema watumishi wa Mungu
Cha muhimu ni wewe bado una mfatilia mahubiri yake!
Shuja wa imani mungu akutie nguvu mtumishi
Mama Samia hongera sana Mimi nakupongeza sana kwa sadaka uliyo mtolea mungu kupitia kanisani kwa mwamposa; kutoa sadaka ni Imani huwezi toa Kila sehem hata magufuli mkapa Nyerere hata rowasa nk: walitoa sadaka pale walipo amini kwako nisahihi mungu atawasikia: wahubiri wadini ya kikristo muwe na hekima; acheni kuropoka kuwasakama viongozi wanapo timiza wamjibu wao; ikumbukwe hata yesu hakuponya waisraeli wote ila niwaletu waliokua na haja ndivyo maandiko yanavyo sema
Wew ni lijingajinga
Akili hunawewe
Hamna kitu hapa kwa huyu jamaa anaukubari mpaka ujinga
acha ujinga wew
we msenge unapata wapi ujasir uo wa kumwambia mtumish wa mungu ivo
Amen mtumishi wa mungu
Mungu akulinde , endelea kuhubili ukweli mtumishi
JEMBE LA YESU👏👏👏
Upo sahihi Mungu akutie nguvu.
Ubarikiwe mung akutie nguvu❤❤
Mtumishi wa bwana Mungu azidi kukutia nguvu
Mungu akubariki sana maana sio kazi nyepesi, kisitokee chochote kibaya kwako
Mungu akusamehe Tu hujui ulitendalo so ulitaka apeleke kwa Waganga
Mungu mwenye nguvu, Mfalme wa ulimwengu aumbae mbingu na nchi akupiganie na akukumbatie akutie nguvu na damu ya KRISTO YESU ikufunike ili kwamba ulihubiri NENO wakati ukufaao na usiokufaa.
MUNGU akutunze mtumish
Mungu akutunze
Nakuombea sana mtumwa wa mungu ukumbukwe na mungu
Ubalikiwe mtumish
Usitawale uhuru wa mtu na imani yeke.na heshimu utawala na uhuru uliyo nao.linda imani ya Tanzania,
Piga mbio Wala usizimie njian unanibariki Sana👏👏Watu wa Njombe tunakupenda na tunakuombea kwa BWANA.
Kuna mambo hapa jifunze na wewe..
1.achana nakujivuna na kujiona upo sawa maana utakufa na dhambi zako.
2. Zingatia maneno na unamwambia nani maana kuna wengine tunakuona wewe ni mjinga tu na unateswa na roho ya KAINI
3.Achana na roho ya mbwa unabweka sana kuwatukana viongozi wetu na hali wewe hata mkanda tu hujavaa.
4. Mtandaoni ni sehemu ya kuwahubiria watu HABARI NJEMA ZA YESU KRISTO na siyo kutukana viongozi wako wewe ni mtoto mdogo na hao ni wazazi wako.
5. Halafu kumbuka kuna kesho kijana jiheshimu ili uheshimiwe.🙏🏾
Perfectly Said
Mama Samia ni Rais wa wote....wazuri na wabaya
Eti jamani????Mimi najiuliza tu kwa sauti!!! hizo pesa angepewa yeye angesemaaa??????Ila kwasababu kapewa Mwamposa imeshakuwa shidaa.Shida sanaaaa.Mungu tusaidieee.dah!!!!!!!!!!!Hatari sanaaaa.Wivuuuuu mbayaaaa sanaaaaa jamaniiiii
@@annejacobilkiuyoni2971 lichawi hili lichungaji
Hmm Mungu akurinde saana mtumishi maana hio nikwel na inahusu serikali,
Amina Unavyo Ongea Mtumishi Ni Vema Kabisa.
Huyu hakufunzwa namna ya kufikisha ujumbe ,
Janani mchungaji. Wakiume amevaa viatu vyakonkonko amevaa mokayakike achanicheke mungu nisamehe baba
Barkiwa sana
Kila hatua mungueakakutangulie na akulinde nami nakumbea mungu akupe maisha marefu anusulu vizazi vyetu kwanjia yainjili asante sana sana ameeen
Mtumishi ningekuomba kitu ukihubiri neno usitaje mtu tumia hata falsafa nyingine ambayo inaweza kumfikia mtu bila kumkwanza mungu akubaliki sana iina labwana lihimidiwe🎉
Hivyo anavyofanya ni sahihi, akifanyanya unavyoshauri wewe itakuwa ni unafiki. Kwani anaficha nini??? Acha mwenye kuponyeka apone
Nakukubaligi sana hasa nyimbo zako , ila kwa hili kuhusu kiboko ya wachawi hapana sikubaliani na wewe , naomba uendelee tu kuhubiri kwa njia ya nyimbo ..
Bwana Yesu akunyamazishe. Jitahd ili na wewe uwe na watu utapewa sadaka. Wewe bado unamtumikia freemason. Ndo maana unachafua kanisa.
Kila ufalme hauwezi kufitinisha ufalme wake maana Mwamposa anapingana na wachawi,waganga wa kienyeji,mizimu,mapepo lakini baadhi ya wachungaji wanapinga kanisa eti wanamtetea MUNGU hahahaa soma vizuri biblia inasema mawazo ya Mungu sio ya wanadamu
Wewe ni nani unaye hukumu kazi ya mwingine? Hukumu ni kazi ya MUNGU Tena kazi za watumishi wake uzipima Kwa moto sio kwa matusi na kuvunjiana heshima
Mnaambukiza roho ya ajabu Kwa vijana kutukana watu ovyo mitandaoni
Mungu akulinde mtumishi wa mungu
More grace man of God
WACHAWI NDO WANAOFURAHIA KUFUKUZWA KWA KIBOKO YA WACHAWI 😂😂😂😂⛹️⛹️⛹️⛹️
Mungu akubark sana kaka
Kweli kabisa ubarikiwe
Serikali haina dini lakini Viongozi wanadini zao... Yesu akupe kuelewa hilo usihubiri injili kwa kuwasema watu sema kilicho sahihi 🙏🙏
Hongera sana raisi Samia Kwa kumtolea mungu wako.je ingekuwa ni ww utumiwe sadaka kanisani kwako unge kataaa cassiani?
Mungu akusaidie cassian hekima itawale kwako,Sio kila kitu kwako Unaona watu wanakosea Tu wewe Ndio Unafanya mazuri Tu before and Now,Soma Bibilia ikusaidie kuishi kweli ya kristo nasio kila siku Unaamka kuwazungumzia hawa watu.
Ndio Kwanza Unawapa kuzungumziwa na kuwapa airtime
Mungu alimtwaa Henoko sio kwamba alishindwa kuwazingua wale watu kwa Ule wakati
Punguza Kua Hakimu kumbuka hata wewe Una Black Page yako,Watu wamekaa kimyaa Tu
Wasingetangaza Kama rais katoa sadaka, Sadaka ya hiyari haitangazwi
Wachungaji watoto wa injiri bado sana ila mnataka kupaishwa na mitandao. MUNGU anasema usihukumu. Hiyo ni kazi ya MUNGU ajuae ya sirini. Na wabaya wapo kwa siku ya ubaya kama shetani alivyo huru nawe ukawa mwanachama wake. Kwa hayo mahubiri ya wivu ni ishara bado hunatoka. MUNGU HASOMEKI.
TUMEPATA WAINJILISTI WASIO WAOGA , KAMA AKINA ISAYA , HUYU NI MMOJA TU HUYU KASIIANI NI ROHO YENYEWE ILE YA AKINA ISAYA NA EZEKIEL .🙏
Mtandaoni ni sehemu ya kuwahubiria watu HABARI NJEMA ZA YESU KRISTO na siyo kutukana viongozi wako wewe ni mtoto mdogo na hao ni wazazi wako.
Lakini pia huyu cassian anajiona yupo perfect sana
Kama wakina isaya wangelihubiri dunian kama cassian injili isingefika hapa mhubiri unakuwa na hila wasome wakina isaya kama walitamani.hela yoyote
@@festinamwakipale3919kwani yy natamani hela yoyote? mbona hata makanisani tunatoa michango ya ujenz ununuzi wa vitu mbali mbali hiyo Ni moja ya kazi ya MUNGU huko ndo kutumika
@@Pendopasilika na Mungu amesema msiingie mikono mitupu kwenye maibada.yangu ila siku.hizi za mwisho Mungu atahukumu nia za watumishi inaonekana Wana nia ya kupata hela ndio mAana.wanapinganapingana.lakini.watakaohubili injili ya unabii Wa.Yesu.itahubiri na watu tofauti subiri wasiona michanganyochanganyo na maneno mengimengi
@@festinamwakipale3919barikiwa mteule et kumuona mtumishi ni hela jamani tunakwenda wapi dunia hii na wengine wamegeuza nyumba za ibada Ni za kufanyia biashara MUNGU atusaidie
Yaan dhairi unaonekana unachuki na huduma za wenzako mungu apendi
Lichawi hilo
Lina wivu
Kwakwel mutumsh wamungu mungu akuzidishie nguvu uendelee kuongea ukwel nakupenda saña mutumish wamungu
Unaongea ukweli ila kumbuka huyo ni raisi ambae unaongelea unatakiwa uwe na mipaka ndugu huwezi ukamuuliza raisi kwamba yeye na hao wachungaji Kuna nini Yani Nikama unamchunguza
😮 hatuna hela ya kuchangia mtu tena asifungwe sisi
Mtumishi hongera MUNGU akibariki sana kwa kuwafunulia ukweli wana na binti za MUNGU 🙏🙏🙏🙏
Waambie
Watumishi msitucganganye! Mungu peke yake anawajua walio wake,
Wachawi ndio wanaofurahia kufungiwa kwa kiboko ya wachawi 😂😂
Nani akuroge kunguru huna damu pumbavu wewe unatapeliwa jinga wewe
m nasoma comment zenu tu😮
Naunga Mkono Hoja Mheshimiwa Spika 😅😅😅😅⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️
Mama samia mpelekee na yeye sadaka tuone kama ataikataa😂😂😂😂
Maria wewe pumbavu saana mnaibiwa saaana jisafishe mwe
Jinga kwer maria
sadaka, ni siri ndio lakini, moyo wa mtu huwezi upangia nn cha kufanya na unataka nn
kama sio wivu nn, ni jambo ambalo huwezi lisema moja kwa moja
Ni kweli mama kakosea kwasabb kwakufny hvyo KAHALALISHA UPOTOFU WA MWAMPOSA, wasiojua km n nabii wa giza kupitia sadaka ya mh Rais bc wanajua HUY YKO SAW MAANA MPK RAIS ANAMUUNGAMKONO!
Kama moyo wa mfalume umo mikononi mwa Mungu ndiyo maana alipeleka sadaka kwa mtumishi mwamposa,
Yaani unaonyesha kabisa sio Imani bali shida Yako ni pesa. Mbona katoa pesa kwa wengi? Acheni basi hayo makanisa!!
Wanafungia kiboko ya wachawi sababu ni mkongo, ila matapeli ni wengi Tz makosa sana.
Hapa sikuungi mkono kiboko ya wachawi aondoke tu safi sana amefukuzwa akwende kwao tapeli huyo
@@mcharnathaniel3497 aondoke aende wapi? Kwani walio tapeliwa nani kawatuma kwa kiboko ya wachawi kama sio wao peke?
Angekuwa wa MUNGU asingefukuzwa
@@Pendopasilika kwani apo Tz amna ma nabii fake ni yeye tu?
@@Visionofeagle9689 manabii feki wapo wengi Kama yeye ndo kafukuzwa tunaweza kusema MUNGU amehusika unajuwa MUNGU hapangiwi kaluhusu yy afukuzwe na serikali yawezekana yy ni mbaya zaidi ya wengine MUNGU atusaidie
Amina mtumishi
Waoo shalom shalom MUNGU Akuongoze sawa sawa na mapenzi yake🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Jamani unakosea pastar raisi alimtolea Mungu unakosea pastar unakosea pastar hiyo ni sadaka
hahahaha sadaka kwa mungu daah
Mtumishi Hapana unakosea raisi samia sadaka yake hakumtolea mwamposa alimtolea Mungu anaehubiliwa na watumishi wa Mungu
Namba wazo Moja Mimi nipo kigoma shida yagu naumwa magojwa kama vilusi nipe ushauli
Barikiwe saaana
Huyu jamaa anasumbuliwa sana na wivu.
Usimfundishe rais juu y Imani acha ulitaka akupe wewe uo unafki w kirohoo kunabayagani
Unahitaji ukombozi wa fikra
Tanzania wapigaji wa. Pesa niwengi lakini kila mtu anakuja staile yake. Wengine wanaogopa kuiba darekiti.wanaingia kwa sitael ya wachungaji.leo hii tuna madhehebu zaidi ya 900...hawo nimaasikofu wenye madhehebu 900..wachungaji kwa kila kanisa wengi hata idadi imepita.chukulia tuna vijiji zaidi ya laki sita nakijiji kimoja kuna makanisa mangapi tofauti tofauti wote wanataka kula wanataka sadaka.
Ukitaka kutajirika haraka anzisha kanisa tu.Hakuna kodi,unapata hela bure na serikali inakuogopa hivyo uko huru kuiba kadiri ya uwezo wako.Tufumbue macho,kodi na kisomo cha wachungaji iwe mhimu.Matapeli katika jina la Yesu wamezidi😢😢
Unalahisisha hakuna kazi ngumu kama ya kuanzisha kanisa duniani wengi wachungaji wataishia jehanamu na makanisa yao.maana Mungu atahukumu nia zao
Kweli kaka casino umeongea ukweli
Kwa hili mtumishi wa mungu ,mungu akulinde na kukubariki
watumish punguzeni kuwa wana siasa jamani piganeni rohoni nikutajana kila kukicha mtu ana mtaja taja tuu mtumishi mwenzake bila kujua nikanisa mnalizalilisha tuu punguzeni watu wa MUNGU kunakufa kihoro hooooooy!!!
Asante kwa Mungu kutupa John The Baptist wewe ni nabii paza sauti bila kukoma tuna kuombea
Rais hayuko churchality, huwez mpangia hayo unayajua ww,
mafuta yapo kibiblia ila ww unasoma upande mmoja wa shilingi unapwaya sana
Raisi anaona na anashuhudia ni namna gani watu wananchi wake wanasaidika kwa kuponywa magonjwa yao,wanafunguliwa,wanabarikiwa na kuinuliwa kweli,kwanini asiunge mkono ndugu yangu,Kasiani. Mwito mkuu ni kuhubiri injili kwa kila kiumbe,kaka,na sio kuhubiri habari za watu kila kukicha ila kujipatia followers na kupata kipato. Usione wivu kwa karama walizopewa wenzako,kaka,badala yake na wewe muombe Mungu akudhihirishe kwa nguvu zake.
Kutoka 14:16 Musa alinyoosha fimbo juu ya bahari nyekundu na bahari ikajitenga huku na huku na wana wa Israeli wakapita katikati ya bahari katika nchi kavu.
So, throughout the scriptures,we countless examples that to God's power,nothing is impossible. The Holy spirit can choose to use any medium to express Himself. Mfano ni huo wa Musa,alipokabiliaana na changamoto ya kuigawa bahari ya Shamu,alinyoosha tu fimbo yake juu ya bahari na Roho Mtakatifu akajiexpess kupitia ile fimbo.
Yesu pia alitumia sauti za watumishi wake Petro na Yohana kuleta uponyaji kwa kiwete katika mlango mzuri. Sauti ya kwa jina la Yesu. John 3:6 Then Peter said, ' Silver or gold I do not have ,but what I do have I give you. In the name of Jesus Christ of Nazareth,walk. Kwahiyo roho mtakatifu anaweza kutumia sauti au kitu chochote alichokiumba.
Acts 2:1-2 When the day of pentecost came,they were all together in one place. Suddenly a sound like the blowing of a violent wind came from heaven and filled the whole house where they were sitting. Kwahiyo wakati wa pentecoste,ilikua ni sauti ya upepo wa kisulisuli na kunena kwa lugha Mungu alitumia kujiepress Himself na Roho Mtakatifu akaja juu wa wanafunzi wake.
Numbers 22:28 The the Lord opened the donke's mouth,and it said to Balaam, ' what have I done to you to make you beat me these three times? Hapa tunaona Mungu anamtumia punda kuongea na kumrekebisha na kumtangazia onyo kupitia kinywa cha punda. There's nothing God created that He cannot command, control or instruct.
Kwani samia ni Dini gani,? Gods work ,it will stand , in Jesus Name,
Kama ujui kitu Kaa kimya!!
Mtumishi umejaribu kumfikishia ujumbe huu raisi personally hukumpata?,kuweni na hekima basi,sasa hapa unatuambia sisi au raisi?afu watu mnashabikia tu hii sio sawa.Mbona Magufuli hamkuthubutu kumwambia hata pale alipokosea?Tunahitaji watimishi wenye hekima.Mimi sikupingi ila namna ya kufikisha ujumbe mimi sijaipenda.Mjifunze kwa Kulola,Mwakasege nk
Aaaaaaaaaah Wangeongea Kipindi Cha Magufuri , Wangepotezwa Kusiko Julikana .😅😅😅😅⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️
Mungu akubariki sana mtumwa wa Kristo Yesu
Daaah hi n ngumu kimeza
Upo sahihi brother ! Sio wamsikiti tena!
Inaumiza tu!!!
Huyu kama mchungaji ni chizi basi, sasa yeye kama mkuu wa nchi si ana Imani zake nae,.kama kwa mwamposa kapeleka sadaka hao wengine misaada yake sio lazima iwe pesa hata wakipata huduma Bora ya maji, umeme, barabara, n.k ni Moja ya sadaka, kazi na jitihada za mhe. Rais.
Cassian subiri zamu yako mama Kizimkazi anakuletea sadaka UIKATAE tuone.
Kama mngeungana wachungaji wote kupinga iman potofu hakika tanzania tungepona sasa wengi wanafiki
ile sadaka iliyopelekwa kwa mwamposa imekuuma sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ulitamani iletwe kanisani kwako sema ndohivyo huna karama ya uponyaji. una karama ya wivu 😁😁😁😁😁
Mnapewa Uhuru mnajisahau uku ulipo fika nimbali, mbona kawaida tu rais ni wa watu wote, mbona hayati Raisi magufuli alijenga misikiti, au hiyo sio sadaka?
Muacheni mama .
rais anaekua madarakani haeshimiwe
Mungu akusaidie sana mtumishi wa Mungu
Kah jamani😢
Akifa nahama Tanzania🇹🇿
Kweli hawaja mtendeya haki kiboko😭
Kwa kohani Mussa je?