Mimi nakuelewa vizuri sana. Hawa watu kina Martha, shusho, Roz,... Wameifuatisha dunia hii!!! Bwana Yesu, hayupo ndani yao, siwahukumu ila uhalisia ndo huo.!! Warumi 12:2 , 1Yohana 2:15. Msiipende dunia wala mambo yaliyomo katika dunia mtu akiipenda dunia kumpenda Baba hakumo ndani mwake. Watumishi wa Bwana Yesu, turudini kwa Bwana Yesu!!! Dunia hii imeshakauka!!! Amen.
Mungu asaidie sana maana katika makanisa kulingana na pahali waimbaji wengi wa injili wamefikia inamaana watu wanasikiliza nyimbo za mashoga na wasagaji bila kujua. Ubarikiwe sana mtumishi kwa kazi unayofanya.
Nilijua TU hii comments ni ya mkenya mwenzangu😂😂😂😂😂😂😂. Haupitwi bi kidude wa Kenya 🇰🇪 🇰🇪 sie tupitwe na uhondo tuchekwe😂😂😂😂 tuko Kila mahali kama mchuzi wa pweza😂😂😂😂
Just watch Nigerian movie showing exactly what mtumishi umesema. Someone enjoying wealth helping outsiders but family members No. It's hurtless even your mom can't be helped..😢😢
Nikweli tupu mtu akiipenda Dunia kumpenda Mungu hakumo , Mimi nikishaona mwimbaji nyuma ya mwamposa uwezi kunishawishi kuwa anamtumikia Mungu wa kweli mfano Martha, Emmanuel mgogo , rose na wengine
Mungu aendelee kukutumia kataka kweli yake ili kuwasaidia watu wala usichoke kusema kwele atakaesikia asikie asiesikia kazi kwake wewe unawe kama neno linavosema aminaaa
Sahihi kabisa mtumishi, nikweli dadaetu Matha kaiacha njia kabisaa, katekwa n'a dunia hiyo iko wazi kwanzia mwonekano wake Mana hayo siyo mavazi ya mtu wa Kristi, huyo hatukonae Tena, Ila tumuombee2
Ni kweli mtumishi wa Mungu unachokisema kiko sahihi kabisa. Ilikuwa ni mwaka jana may 2023, niliota ndoto nikimkemea Martha kwani nilimuona anatafuta kuwa superstar kama Zuchu. Toka wakati huo kiu ya kusikiliza nyimbo za Martha iliniisha kabisa.
Huyu cassian ni miongoni mwa watumishi wachache sana ninaowaamini kwa sasa
.ubarikiwe sana mtumishi
Aamen
Mtumishii your real correctly,, endelea kunawa mtumishii ❤❤ nakuelewaa sana PASCHAL CASSIAN
Mimi nakuelewa vizuri sana. Hawa watu kina Martha, shusho, Roz,... Wameifuatisha dunia hii!!! Bwana Yesu, hayupo ndani yao, siwahukumu ila uhalisia ndo huo.!! Warumi 12:2 , 1Yohana 2:15. Msiipende dunia wala mambo yaliyomo katika dunia mtu akiipenda dunia kumpenda Baba hakumo ndani mwake. Watumishi wa Bwana Yesu, turudini kwa Bwana Yesu!!! Dunia hii imeshakauka!!! Amen.
Amen ❤
Mtoe rose hapo
Litamukwapo lipo,kaa halipo lipo njiani
Umemsahau Bella kombo aliyevunja ndoa yake baada ya kupata hela..now ni uhuni tuu na kina zoravo
Ila rose umemuonea
Hilo ndilo neno la Mungu.Barikiwa sana Cassian
Amina
Mungu akubariki saana mtumishi!!!!
Akupe siku nyingi za kuishi duniani
Mungu asaidie sana maana katika makanisa kulingana na pahali waimbaji wengi wa injili wamefikia inamaana watu wanasikiliza nyimbo za mashoga na wasagaji bila kujua.
Ubarikiwe sana mtumishi kwa kazi unayofanya.
Msema kweli siku zote.Kenya tunakupenda mtumishi barikiwa
Nilijua TU hii comments ni ya mkenya mwenzangu😂😂😂😂😂😂😂. Haupitwi bi kidude wa Kenya 🇰🇪 🇰🇪 sie tupitwe na uhondo tuchekwe😂😂😂😂 tuko Kila mahali kama mchuzi wa pweza😂😂😂😂
@MariamKarembo 😂😂😂hatupitwi kabisa.Uko side gani Tanzania😂😂
@@TabbytheeJournalist marekani😂
@@MariamKarembo mimi nko huku Kenya nimeapa sitapitwa na hili😂😂
Uishi milele mtumishi Pascal kwa kazi njema ya kusema ukweli. MUNGU akubariki sana
vyema sana
Umeongea ukweli. Maana kuna watu. Tunawaomba pesa na hawo watu wanapesa ila kutusaidia awataki
Exactly hata Vanessa Mdee amesema sana juzi ,na nyimbo za Martha saivi ni Baba au Mungu,za Yesu ilikua zamani kabisaa
You are the best mtumishi kwani unasema ukweli,mungu akupiganie sana kwa kazi yako iliyotukuka
Kabisa??
Hili jambo kwa.sasa limetokea kwa wakati ss wa Mungu.Watumishi ss tuone nguvu za Mungu.Marha arudi kwa.Yesu.
Kahaba wakutupa jinga Moja, siwote walitajalo jina la bwana wataurithi ufalme wa mungu, amefeli mtoza ushuru tu amefukuzwa kazi na Yesu kitambo
Very true Mungu ni cheo. Anapaswa kutuambia ni Mungu yupi, ni Yehova au ni shetani kwakuwa naye anaitwa mungu wa dunia hii. Upo sawa.
Mungu wa Mbinguni akulinde sana mtumishi.
Mungu awezeshe kutambua Ukuu wa Mungu..
que Dieu te bénisse tu es un serviteur de DIEU depuis la RDC nous te suivons
Mungu akubarikipasikari,siyeye Mather,harisi,wamemzika katika,,hapo hamuwezi,kumubadilisha,hizo tabia nisakidhetani,kashakuwa kahaba,awameshamzika katka ulimwengu waroho,ndio maana munaona hhajaokoa..
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu akupe na akuongoze maisha marefu.
Mama ni mungu mama ni arithi ya mwili wa mwanadamu mama rundo la umbo lako pastor uko sawa ,nimeongeza zaidi kwa maneno yako❤
Tunachofeli ni kwamba hatuwasapoti watumishi kama hawa ambao ni wa kweli! Tuwe tunawapa pesa
Wanapenda wa kuwadaganya
Ni kweli anaweka neno baba au Mungu hajawah taja YESU kwenye nyimbo zake
Barikiwa sana mtumishi Yesu akubariki❤
Huna baya Cassian Mungu akutangulie sana
Mungu akubariki sana mtumishi Cassian, maneno yako msumari nchi sita.
Just watch Nigerian movie showing exactly what mtumishi umesema. Someone enjoying wealth helping outsiders but family members No. It's hurtless even your mom can't be helped..😢😢
Mr Cassian you are actually the real shepherd and I beg our almight God to let you always stay be blessed.
Wachache wenye roho wa kweli wataelewa unachokisema kaka, Asante
Mungu azid kukubariki na kukuinua Kwa viwango vya juu uzid kuisema kweli ya Mungu Alie hai
No matter what I like you matha may God continue blessing.
I like your songs.
😢😢Mimi Nita angaika na maisha ivoo ivoo nipate sawa ninkos saw
pata vya halali tu vina raha yake
From Kenya....and what the pastor is saying is 100% true..ni ukweri kabisa.
Jamani 😂😂😂pesa pesa pesa nakwita marangapi (3) wewe pesa nishetani😂😂😂 mutumishi mungu akubariki sana🎉🎉🎉❤❤❤
Nabarikiwa sana kakaangu nanyimbo zako Mungu akubariki sana najifunza mengi hata nikiwa kwenye huzuni nafarijika
Kabisa mungu mungu Yesu akuna unasema kweri mutumishi wa mungu baba iyo kweri Yesu akubariki sana sana
Nikweli tupu mtu akiipenda Dunia kumpenda Mungu hakumo , Mimi nikishaona mwimbaji nyuma ya mwamposa uwezi kunishawishi kuwa anamtumikia Mungu wa kweli mfano Martha, Emmanuel mgogo , rose na wengine
Hakika umenena vyema sana mtumishi wa Mungu akutunze
Ni kweli kbsa😢😢😢😢 Yesu kristo amsaidie😢😢😢
Mungu aendelee kukutumia kataka kweli yake ili kuwasaidia watu wala usichoke kusema kwele atakaesikia asikie asiesikia kazi kwake wewe unawe kama neno linavosema aminaaa
You have spoken well hundred percent ukweli mwingi mungu akulinde kaka crispiani
Hi dear🙋
Barikiwa sana mtumishi Cassian Mungu azidi kukupigania
Nafasi bado ipo kwa Martha kumrudia Mola. Arejelee kwa msalaba, amlilie Mungu wa wate wenye mwili na atasamehewa.
It's not too late to turn to God,,Mather Our God is God of second chance.repentance mis what God needs and turn our ways to Him
Katika siku ya leo nmebalikiwa kupitia wewe mtumishi wa mungu❤ ubalikiwe saaaana
Mara nyingi watumishi wa mungu wepesi kusamehe iwaje kwa Martha
Ubariwe sana mungu na kwa yesu kristo alie hai unelimisha jamii tuko pamoja
Mungu akulinde uumsema kweli daima
Mungu akubariki mt wa Mungu aliye hai.Yeshua amashia
Nimekuelewa mtumishi
Mungu akulinde pascal
Inaumiza sana kumbe ni bora mtu uchague kufa kuliko kwenda kumpigia magoti shetani kwa hakika shetani ni mnyama
Baba napenda shauri zako mungu wetu akubariki ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Cassin is right.Wakenya tumeanza kuchoka na hao wamama wa tz😢😢😢😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪💔💔💔💔‼️‼️
Teba buna ere....tumechoka
Mimi kwa ujumla pasko hongela sana
Mungu amsaidie
Hata nyimb zake sasahv hazina upako kabisaaaa na shusho wake
Hahahahahahahaaaa
Be blessed man of God
Casiano tusaidie tumjue mungu uimwengu uumekwisha
Kaka ubarikiwe sana kwa kusema ukweli kiukweli kwa waimbaji wa kike martha amekuwa tofauti sana akifatia na yule aliyeolewa marekani
Mungu akubariki sana kaka hatua kwa hatua.
Barikiwa sana mtumishi 🙌🙌🙌🇨🇩
kuna mdada huko tiktock anamuletea ujumbe kutoka kwa Mungu watu wakamutusi yule dada 😢 ona sasa Saa hii Mungu ameamua kumuanika huyu MARTHA😢
True kweri Asante baba🙏🏾🙏🏾
Mungu akubarik sana mtumishi kwakwel matha kapotea
Hakuna apendae ukweli Pastor, mungu akulinde milele👏
Mungu asante wanaanza kuwa peupe
Tuna kushukuru mtumishi mungu akubariki nipo kongo
May Martha be healed in Jesus. Name..kwa. Mtego y Ibilisi shetani😢😢
Ubarikiwe mtumishi
Mungu akubalik sana , nakuelewa sana mtumishi,damu ya yesu ikufunike
Kweli kabisa muchugani.. Una Sema ukweli. Mwana mke yeyote anaye.. Amua kuwa Bila mwana ume niushetani %100
Yesu atusaidie tukae katika neno la kweli
MUNGU akubariki Mtu wa MUNGU nimejifunza Kitu kikubwa😢😢😢😭🙏🏻🙏🏻
Sahihi kabisa mtumishi, nikweli dadaetu Matha kaiacha njia kabisaa, katekwa n'a dunia hiyo iko wazi kwanzia mwonekano wake Mana hayo siyo mavazi ya mtu wa Kristi, huyo hatukonae Tena, Ila tumuombee2
Kweli kabisa pastor..tunakuelewa Sana
🙏🙏ubarikiwe sana
Mathar atuachie Yesu wetu, ajiunge konde gengi
Tuombeane jamani Asante mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏
Uyu Kuanzia Leo Nitamfuatilia sna
Martha ana kiburi.Na nyimbo zake zinamhusu yy.
Ukweli usemwe kwa jina la Yesu Kristo
Yule ni mama yake mzazi ndugu mchungaji wala halina shaka
My brother unaendeleaje 🎉🎉🎉
Mungu aendelee kukupa nguvu mutumishi unasema kweli toka DRC nakufuata 5/5
I love to hear the truth John 8:31-32 God bless you man of God this is end time people are blinded with the world
Daa ni kweli kabsa mtumishi hata mm naona hilo
Hata Shetani arikuwa maraika
Good people tarn ever
This is a true servant of God... he's speaking the truth 🙏💕
MUNGU akulinde Mtumishi
Ubarikiwe sana🙏🙏🙏
Barikiwa sanaa
Mtumishi
Mungu akubariki mtumishi wa mungu hiyo ni kweli kabisa
Alisema Vanessa Mdee kwenye interview kuhusu hiyo mikataba😅😅😅
Kweli
Kweli Mtumishi wa Mungu japo ukweli unauma but that is the truth.
Nikweli mtumishi MUNGU atutiyenguvu sana
Mungu wangu jamn yesu anarud
asante san cassian YESU asimame na ww zaidi na zaidi tunao kuelewa tumekuelewa
Nikweli baba Mungu akulinde watumishi wengi wangenena kama ww kanisa lengepona
Ni kweli mtumishi wa Mungu unachokisema kiko sahihi kabisa.
Ilikuwa ni mwaka jana may 2023, niliota ndoto nikimkemea Martha kwani nilimuona anatafuta kuwa superstar kama Zuchu. Toka wakati huo kiu ya kusikiliza nyimbo za Martha iliniisha kabisa.
TOBAA..... kumbe tunasikilizaga nyimbo za kishetani wenyewe tunafurahiaaa😂
Mim simpendag Martha kabisa yan
Asante sana mchungaj, Mungu akulinde
Barikiwa baba🎉