Nimefurahi kusikia shuhuda kama za pastor KATEKELA naye ameshuhudia mengi nansa ni mtumishi mkubwa anahubiri injili watu wato kwenye huduma potofu. Mbarikuwe wote . Imani mnayo. Asante 🎉🎉
Jamani kwa Beatrice kuongea hadharani na kulipua yote haya sio akili yake ni Mungu alitaka haya yajulikane ili afunue uovu uliomo ili cha kutengeneza kitengenezwe au kiharibiwe!
My Pastor Pascal Cassian I hope one day to come Just see you Nipo nipo Nje ya nchi Asia Unaanza kuongea popote ulipo bara la Asia unatugusa mtumishi. Mungu akubariki sana.
Nimefurahi unaposema Mama ni Mungu wa pili Duniani, Mtaelewa sisi tunao muheshimu Mama Bikira Maria Mama wa Yesu,simchezo kubeba mimba miezi 9,ukanyonyesha takribani miaka 2,mara ukose usingizi,kumbuka Mama Maria alipo kimbiria Misri kumficha Yesu asiuawe,sio Yesu aliye mwambia Mama yake tukimbilie Misri no ni Malaika alimwambia Yusuph, Yesu alitunzwa na wazazi km Watoto wengine ingawa alikuwa ni Mwana wa Mungu,na mambo mengine mengi ninapo soma ktk Biblia. Asante Mama Maria,Mama wa Yesu 💪🙏🏽
Kumbuka kila lililotendeka kwa Maria ilikuwa ni muujiza na pia ulikuwa mpango wa Mungu ili maandiko yatimie ya kwamba "Bikira atachukua mimba kwa uwezo wa Roho mtakatifu......" Pili,Maria aliitenda kazi yake kadiri ya mpango wa Mungu wakati akiwa hai,hata kuwaombea watu Yesu atengeneze Divai ile Siku ya harusi ya kana alikuwa hai bado,kwa hivo kuwaombea watu kwa Yesu kristo kwa wakati ule ilikuwa sahihi kama jinsi tynavyoagizwa nasi pia kuombeana sisi kwa sisi lakini tulisa bado tupo hai,,tukisha kufa hakuna tena connection kati ya mfu na mtu alie hai,kama jinsi kitabu cha muhubiri kinavyoelekeza,na hiyo si kwa Maria peke yake hata kwa mitume na manabii wote waliokufa,,mfu hawezi kumwombea aliye hai wala alie hai hana uhusiano na mfu,,,,haya ndio maelezo ya biblia Tatu,hakuna Mungu wa duniani,kuna Mungu mmoja tu aliye BABA anayetawala mbingu na nchi,kinachotokea kwa wazazi ni kutoka katika amri ya nne ya Mungu ambayo ni "waheshimu baba na mama yako ili siku zako zipate kuongezeka ama upate heri na miaka mingi duniani ni amri pekee iliyotoka katika kinywa cha Mungu na iliyo na ahadi,,, Kwa hivi,sio rahisi kuwakosea wazani nawe kuwa salama ni ngumu mno maana Mungu wetu ni Mungu wa haki na amri zake ni thabiti,kwa issue ya Maria hakuna connection yoyote ya kiungu kati yako na yeye yan katika safari yetu ya kwenda mbinguni anayetuunganisha na mbingu ni mmoja tu naye ni Yesu kristo mwenyewe hakuna mwingine,,,,Amina!
Kweli mtumishi huwezi kumpenda mtu baki kuliko mama yako na ndugu yako wa tumbo moja yani nimeumia sana Mungu atusaidie jamani maisha yasituchanganye tukajitenga na familia zetu pastor ubarikiwe sana umesema ukweli kabisa
Mungu aendelee kukulinda mtumishi wa bwana nakufuatilia kutoka Canada. Nakupenda sana mtumishi Paschal Cassian mungu wa mbinguni aendelee kukulinda usiku na mchana.
Kwakwel yule mama Niliona ad nililia na mimi jamn MUNGI AMTIE NGUVU SANA YULE MAMA NA WANAO SEMA KUA SIO MAMA YAKE WANAKOSEA INATAKIWA WATUMISH MSAIDIE KUONDOA IYO ROHO ILOMUINGIA mather jamn Amtambue mama yake sio yeye afanyiwe maombi 😢 Yan inauma kwakwel
Heri kubaki na yesu kuliko kukimbilia utajiri usio kua na haki ni heri uchache ulio nao na ni wa haki aki tujinyekeze kweli Mungu wetu pia anaweza kutupa utajiri kushinda shetani aki tumtegemee Mungu tu Asante mtumishi wa Mungu nko na imani atakombolewa juu mdudu amejitokeza tena tuzidi kumwombea sana martha huyo dada joan vile anaongea ni kuungua ana ungua na hii maombi ya ukombozi na anazidi kuadhirika katika kiroho na Mungu anaenda kumnyamazisha juu yeye ndio kikwazo kwa hio familia Amina 🙏
Diamond naye anampenda mama yake hiyo inatokana na masharti wanayopewa huko. Na ndo maana baba diamond aliumwa sana kipindi kile na akampigia magoti lakini hakumsaidia hata punje ya hela ..hay a kanumba naye kwa baba yake ilikuwa hivyo hiyo
@@FruitfulMpanduji upended wa kanumba kwa mama yake sio wa masharti...ju ungekuwa wa masharti,hao freemasonry walipomwambia apeane mama Yake kama sio maamuzi yake ya kupenda mama mamaye angemtoa tu hila alikataa...na ndio akataka kujitenga na wao hila kwa tamaa ya Mali akakataa kurudisha.
Nikweli kabisa NAKUMBUKA Kuna kipindi dada yangu alikua hayuko vizuri na mama aliharibikiwa na mambo yake alipotengeneza na mama nakupa udhuhuda amefanikiwa SANA.. kweli kama Martha hajakengeuka Yale machozi ya mama yake yata mgharim tu.. na kama YUPO kwenye mikataba ya SHETAN atafanikiwa tu
Ni heshima kuandika Neno Yesu au Mungu kwa kuanza na Herufi kubwa yaan capital letter. Tazama anakuja na mawingu kila jicho litamuona. Jesus is coming soon!
Ni kweli kabisa mtumishi, vituko zote anazofanya kajiunga freemason dalili zaonyesha. Nina imani kwamba akisikia haya na kujirudia neema ya Mungu haikomi atamkomboa.
Mtumishi simama hivyo hivyo mana waimbaji wakongwe Wana haribu injili, nikweli waimbaji wengi Wana mtaja Mungu kwenye nyimbo zao na siyo YESU, mana ili tujuwe umemtaja MUNGU wa kweli ni lazima YESU atajwe
Ni kweli,kuna dada alienda kwa mchungaji wa kike huko Tanga,yule mchungaji wa kike akawa analala na yule dada kichawi halafu anamwambia asante,yule dada akaenda kuwaambia waxee wa kanisa,hakusaidika,Akahama kanisa
Sema Kamanda wa MUNGU maana wenye akili ndo tunakuelewa maana wewe, huku gizani ndani kwa Shetani ulikwepo, ndo maana unapasua sana na kuwaponda Waongo na wapotoshaji🇹🇿🇮🇱🎤🌎🔥
Mtumishi wakati wa Mungu ukifika au kikombe chako kikijaa mambo huwa yanafanyika wazungu wanasema from no were hyo bint alikuwa na maumivu sana na yy Martha imefika muda wa kuwekwa peupe shetani ndivyo alivyo n mtu wa kukuumbua hanaga urafiki wa kudumu
Nimekuelewa sana pastor Cassian, wala huongei pumba uko sawa kabisa mtumishi wa mungu
Uko sawa, ndiyo maana ni Msagaji na Joan ,ni mtumishi wa shetani mia kwa mia.Amen
Alisha kusaga?
Kwel atujibu??? Kma MUNGU amekuonyeshaa basi muombeen kwa sababu yeye si malaika jaman@@MariamObote
weee pastor me ndio mana nakupenda sana kwel wee ni mtumishi wa MUNGU umeongea vzr sana barikiwa mno
Anaushauri mzuri sana jamani dada Martha akiiona hii ninaimani atabadilika kabisa
@HappyKunambi ameeeen kwa jina la YESU
Huyu ni mchungaji mzuri kwasababu alipitia kule Martha alikopitia so Ndio maana anaweza kuwashaur watu Vizur
Mauwa yako kaka mm nilisema kapewa masharti makubwa mkitaka kuamini atoke uko mtaona atakavo yumba
Mchungaji nimekupenda Bure balikiwa sana baba
This is my best pastor from now onwards as he speaks the truth everyday , Let's go on praying for him so that this work continues in the name of Jesus
Ooooh yes he is
Apo shetani anawaangalia tu.......uko aliko na anakotakiwa AENDE Kuna tofaut gn
Amen
Nimefurahi kusikia shuhuda kama za pastor KATEKELA naye ameshuhudia mengi nansa ni mtumishi mkubwa anahubiri injili watu wato kwenye huduma potofu. Mbarikuwe wote . Imani mnayo. Asante 🎉🎉
Amen Paschal Mungu akubariki
Mwambie aache upumbavu nakukubari sana pastor
Paschal Cassian upo vizuri sana brother,
Anachozungumza huyu kaka Pascal ni code za wachache za watu wa rohoni tu ukiona uelew kaa pembeni
Uko sawa,Martha anamkataba na wapo wengi leo,Joan ni msagaji mwenza wa Martha.Amen
Aiseee
Mtazameni sana MWAPOSA kaanzia kwa Martha saiv yupo kwa PAUL MAKONDA haendi Bure kwa hao watumishi kunakitu tena kikubwa
Jamani kwa Beatrice kuongea hadharani na kulipua yote haya sio akili yake ni Mungu alitaka haya yajulikane ili afunue uovu uliomo ili cha kutengeneza kitengenezwe au kiharibiwe!
Nimewapa Leo mchana Mungu ndiye karuhusu matha awekwe wazi yamkni kamuonya sirini hajataka kugeuka
My Pastor Pascal Cassian
I hope one day to come Just see you
Nipo nipo Nje ya nchi Asia
Unaanza kuongea popote ulipo bara la Asia unatugusa mtumishi.
Mungu akubariki sana.
Hee mungu na yesu kiritu nipushe na tamaa za donia nibaki njia za yesu kiritu mwanao nirzike na unacho nipatia mungu wangu
Nimefurahi unaposema Mama ni Mungu wa pili Duniani,
Mtaelewa sisi tunao muheshimu Mama Bikira Maria Mama wa Yesu,simchezo kubeba mimba miezi 9,ukanyonyesha takribani miaka 2,mara ukose usingizi,kumbuka Mama Maria alipo kimbiria Misri kumficha Yesu asiuawe,sio Yesu aliye mwambia Mama yake tukimbilie Misri no ni Malaika alimwambia Yusuph, Yesu alitunzwa na wazazi km Watoto wengine ingawa alikuwa ni Mwana wa Mungu,na mambo mengine mengi ninapo soma ktk Biblia.
Asante Mama Maria,Mama wa Yesu 💪🙏🏽
Mama Maria sio mama yako yule ni mama wa Yesu
@EstherJerald-tc6ct kwahiyo
Kumbuka kila lililotendeka kwa Maria ilikuwa ni muujiza na pia ulikuwa mpango wa Mungu ili maandiko yatimie ya kwamba "Bikira atachukua mimba kwa uwezo wa Roho mtakatifu......"
Pili,Maria aliitenda kazi yake kadiri ya mpango wa Mungu wakati akiwa hai,hata kuwaombea watu Yesu atengeneze Divai ile Siku ya harusi ya kana alikuwa hai bado,kwa hivo kuwaombea watu kwa Yesu kristo kwa wakati ule ilikuwa sahihi kama jinsi tynavyoagizwa nasi pia kuombeana sisi kwa sisi lakini tulisa bado tupo hai,,tukisha kufa hakuna tena connection kati ya mfu na mtu alie hai,kama jinsi kitabu cha muhubiri kinavyoelekeza,na hiyo si kwa Maria peke yake hata kwa mitume na manabii wote waliokufa,,mfu hawezi kumwombea aliye hai wala alie hai hana uhusiano na mfu,,,,haya ndio maelezo ya biblia
Tatu,hakuna Mungu wa duniani,kuna Mungu mmoja tu aliye BABA anayetawala mbingu na nchi,kinachotokea kwa wazazi ni kutoka katika amri ya nne ya Mungu ambayo ni "waheshimu baba na mama yako ili siku zako zipate kuongezeka ama upate heri na miaka mingi duniani ni amri pekee iliyotoka katika kinywa cha Mungu na iliyo na ahadi,,,
Kwa hivi,sio rahisi kuwakosea wazani nawe kuwa salama ni ngumu mno maana Mungu wetu ni Mungu wa haki na amri zake ni thabiti,kwa issue ya Maria hakuna connection yoyote ya kiungu kati yako na yeye yan katika safari yetu ya kwenda mbinguni anayetuunganisha na mbingu ni mmoja tu naye ni Yesu kristo mwenyewe hakuna mwingine,,,,Amina!
Mama ake Yesu wewe anakuhusu nn? 😂😂😂 Kuwa siliaz
Hizo sifa MPE mama Ako
Amen Mtumishi wangu i love so much
Mungu akulinde mtumish Cassian
Nimekupigia makofi mtumish wazaz ni Mungu wa pili duniani
Amina mtumishi Mungu akulinde milele useme kwerr watu waokoke
Amen Amen baba ubarikiwe mnooooo pascal cassian
Kweli mtumishi huwezi kumpenda mtu baki kuliko mama yako na ndugu yako wa tumbo moja yani nimeumia sana Mungu atusaidie jamani maisha yasituchanganye tukajitenga na familia zetu pastor ubarikiwe sana umesema ukweli kabisa
HAKIKA na siku zote mama akoseiii yaaan unaona kabisa mama akoo analia unamwacha tu nakumthamin mtu back kwelii Hy inaingia akilin kwelii jmn
Mtumishi wa Mungu kumkumbali Tanzania ❤❤❤🎉🎉🎉🎉 ni wewe baba
I gree with you 100%
Pastor umesomeka vyema kabisa kwakweli hizi hekima ndani yako ni za maana kabisa mungu akutunze🙌
Kaka pascal upo vzr, mahubili yako nimeyapenda sana,
Mungu aendelee kukulinda mtumishi wa bwana nakufuatilia kutoka Canada.
Nakupenda sana mtumishi Paschal Cassian mungu wa mbinguni aendelee kukulinda usiku na mchana.
Ubarikiwe na wewe kwa kufatiliaa...usisahau kusapot kaz yake
Waoooo
Mtumishi nimekuelewaaa
Mungu akubariki kwa hekimaaa
Kumbe kunyamaza ni hekimaaa
MUNGU akulinde mtumishi,,,,,, amen
Mungu anapenda martha amurudiye kwenye maisha yake
Mungu mlinde mama yangu ,,mamangu akaanguke mikononi mwako maana kumenjaa huruma ,,mlinde mama yangu🧎🙏
Amina
Mungu akubariki sana mtumishi, ushauri mzuri🙌
Kwakwel yule mama Niliona ad nililia na mimi jamn MUNGI AMTIE NGUVU SANA YULE MAMA NA WANAO SEMA KUA SIO MAMA YAKE WANAKOSEA INATAKIWA WATUMISH MSAIDIE KUONDOA IYO ROHO ILOMUINGIA mather jamn Amtambue mama yake sio yeye afanyiwe maombi 😢 Yan inauma kwakwel
Mtumishi Mungu akubariki umehubili hujaongea Mungu akuyunze kwaajili ya wenhi tupone tujifunze tupate kuiga
Heri kubaki na yesu kuliko kukimbilia utajiri usio kua na haki ni heri uchache ulio nao na ni wa haki aki tujinyekeze kweli Mungu wetu pia anaweza kutupa utajiri kushinda shetani aki tumtegemee Mungu tu Asante mtumishi wa Mungu nko na imani atakombolewa juu mdudu amejitokeza tena tuzidi kumwombea sana martha huyo dada joan vile anaongea ni kuungua ana ungua na hii maombi ya ukombozi na anazidi kuadhirika katika kiroho na Mungu anaenda kumnyamazisha juu yeye ndio kikwazo kwa hio familia Amina 🙏
Inaweza kuwa kweli JINA LA YESU halitajwi karibu kwenye nyimbo zake zote ndo maana napenda kwaya zaidi kuliko nyimbo za watu binafsi
Na mimi napendaga kwaya kwa kweli
Jamani mungu atusaidie
You are so smart and confidant person
Njomana shetani anawinda kilicho kwenye huyo Martha❤
God bless you kwa kazi unayofanya babaangu
May the almighty God protect you from evils
Kwenye ukweli unachukiwa,,,ila sasa tunapenda watu wakweli❤
Good pastor ever come across. Mungu akubariki sanaaa
Barikiwa Sana mtumishi Asante kwa kutufichulia vitu vilivyo jificha
Kimenuka mitandaoni duuuh 🔥 Mungu tusaidie🙏
Safi sana mtumishi, ushauri huo safiiiiiiii nimekupenda sana sana
Kweli Kanumba alikuwa anampenda mamake....laiti tu angekumbali kurudisha mali ya hao watu angekuwa mtu mkubwa wa Mungu.
Kbs kaka mama akujiunga kanumba akutaka dhambi kubwa aliona ajitoe mwenyewe
Diamond naye anampenda mama yake hiyo inatokana na masharti wanayopewa huko. Na ndo maana baba diamond aliumwa sana kipindi kile na akampigia magoti lakini hakumsaidia hata punje ya hela ..hay a kanumba naye kwa baba yake ilikuwa hivyo hiyo
@@FruitfulMpanduji upended wa kanumba kwa mama yake sio wa masharti...ju ungekuwa wa masharti,hao freemasonry walipomwambia apeane mama Yake kama sio maamuzi yake ya kupenda mama mamaye angemtoa tu hila alikataa...na ndio akataka kujitenga na wao hila kwa tamaa ya Mali akakataa kurudisha.
Eti Shetani
Mungu turehemu na utusaidie
usichoke kuhubilia ukweli taji lako likombinguni Amina sana mtumishi
Mungu akulinde na akubariki uzid kusemea ili waliokwenye vifungo waende wakafunguliwe
Kweli kabisa nakuelewa sana mtumishi
Faida ni kubwa Toba ya kweli ktk Mama na Mungu ktk Kristo Yesu na yote yatakwisha
🤔🤔 maajabu sana Mungu tusaidie
😂😂😂kama ni kweli basi Duniani Sitamuamini mtu yeyote... Yesu TU anatosha
Sasa hakuna haja kusikiza nyimbo zozote juu marha nyimbo zake zinakuanga tamu
Mungu peke yake ndio anayepaswa kuaminiwa.mwanadamu anabadilika
Ndivyo ime tupasa kufanya,bwana yesu christo sifiwe.
Amina ndo inavyotakkiwa
Hakika mtumishi uko sawa huyo dad's haimbagi ukifwatilia vzri nyimbo zake anahubiri mungu na amsaidie atoke huko
💯sure 👏👏👏
MUNGU azidi kukutunza Sana Mtumishi wa MUNGU Alie hai.
Mtumishi upewe mauwa yako aise napenda sana nyimbo zako na ukweli
Nikweli kabisa NAKUMBUKA Kuna kipindi dada yangu alikua hayuko vizuri na mama aliharibikiwa na mambo yake alipotengeneza na mama nakupa udhuhuda amefanikiwa SANA.. kweli kama Martha hajakengeuka Yale machozi ya mama yake yata mgharim tu.. na kama YUPO kwenye mikataba ya SHETAN atafanikiwa tu
Mutumishi barikiwa sana ❤
Ni heshima kuandika Neno Yesu au Mungu kwa kuanza na Herufi kubwa yaan capital letter. Tazama anakuja na mawingu kila jicho litamuona. Jesus is coming soon!
Ni kweli kabisa mtumishi, vituko zote anazofanya kajiunga freemason dalili zaonyesha. Nina imani kwamba akisikia haya na kujirudia neema ya Mungu haikomi atamkomboa.
Nakuelewa Pastor
Nakukubali sana Pascal cassian
Mtumishi simama hivyo hivyo mana waimbaji wakongwe Wana haribu injili, nikweli waimbaji wengi Wana mtaja Mungu kwenye nyimbo zao na siyo YESU, mana ili tujuwe umemtaja MUNGU wa kweli ni lazima YESU atajwe
Deep revelation, Mungu anampenda
Nakupenda sana mtumishi
Kwakwel Pastor maua yako Baba🎉🎉🎉 Mama ndio MUNGU WA PILI SO SAD mama alia vile kwel 😢
Wow mawaita mazuri sanaaaa barikiwa kwa huo ushauri wako kwa Martha mwaipaja na tena kwa ptirice mwaipaja
Uko vzr umetufumbua macho ,Nahuyo Johan yawezekana kabisa c mtu nikiumbe Cha rohon
Mtumishi Mimi binafsi nimekwelewa ushauri mzuri sana huo
Yaan dunia imekwisha, . Mungu Baba atusaidie sana.
Ameni Baba mama ni mungu wa pili
Mtazameni sana MWAPOSA kaanzia kwa Martha saiv yupo kwa PAUL MAKONDA haendi Bure kwa hao watumishi kunakitu tena kikubwa
Yaan na nikamwona Tonny ndio kabisa iman na watumish wa mitandaon imeishaaaaa
@@esthermalamsha2847mawakala wa shetani wote tuu mtandaoni sema tu binadamu tunafungwa ufahamu kichawi
❤❤❤❤❤yesu atusaidie Ali nimbayaa
Cjaelewa mwamposa kafanyaje
Safii sana pastor
❤❤❤❤❤❤Mungu akubariki sana
Ubarikiwe sana mchungaji kwa kutufumbua
Mtumishi hakika Kuna jambo Liko njiani Kwa huyu Dada shetani atajizihlisha .🙏
Kweli kabisa atengeneze na Mungu ktk Kristo Yesu na mambo yatakuwa safiiii
Ulishaayasema mtumishi hata na wimbo ukaimbia Dunia iko nwishoni mm hata siwezi pingana na ww hata nukta na mm hukufatilia sana kwenye video 💯
Tena kuanzia sasa hivi bora nisikilize tenzi za rohoni sio kuwasikiliza kina oludumare😂😂😂😂
Yaan wewe upo kama Mimi ninasikiliza Tenzi za Rohoni,tu
Hata Mimi ni tenzi TU
Mm hyo nyimbo siipendi nyimbo zinazotrend nyingi Zina kanamna
Wewe umeniiga mm.... Hakuna mziki nasikiliza zaidi ya tenzi
Umeshinda 😂😂😂🙌
Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ushauri wako mzuri
Amen bible says what does it profit you to gain the whole world. And lose your soul
Dunia na mambo yake jmn yesu mi naomba tu uniweke mbali nahizi madhabahu pia naomba Jehova usiniache mana siwez pekekeangu bila ww baba yangu
Noted broda🎉
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu🙏
Uendelee kubarikiwa na Mungu wa mbinguni ili uendelee kutufunua zaidi mtumishi wa Mungu aliye hai.
Bom a mensagem pastor paschal obrigado
Ni kweli,kuna dada alienda kwa mchungaji wa kike huko Tanga,yule mchungaji wa kike akawa analala na yule dada kichawi halafu anamwambia asante,yule dada akaenda kuwaambia waxee wa kanisa,hakusaidika,Akahama kanisa
Kweli kabisaaaa, MUNGU amkomboe Mtumishi wake,Huduma ya Martha anaokoa wengi
Nani atakayesimama atakapoonekana mwana wa Adam,Mungu tusaidie tusijeogopa utakaposhuka,nafasi ya ufalme tusijeikosa😢😢😢,
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Pasteur .mon compat..una ongeya kweli baba
Pastor pascal ubarikiwe sana
Sema Kamanda wa MUNGU maana wenye akili ndo tunakuelewa maana wewe, huku gizani ndani kwa Shetani ulikwepo, ndo maana unapasua sana na kuwaponda Waongo na wapotoshaji🇹🇿🇮🇱🎤🌎🔥
Betreace nakubali ni dadake martha mwaipaja juu wanafanana sana ata sauti
Mungu atajibu maswali yenu ameen
Duuu Mungu atusaidie Kwa Kweli kama hayo ni ya kweli na hata kama sio ya Kweli pia Mungu awe nasi
Nikweri.kabisaa❤❤❤❤❤
Nikweri mtumishi mama ni mungu wa piri
Mtumishi wakati wa Mungu ukifika au kikombe chako kikijaa mambo huwa yanafanyika wazungu wanasema from no were hyo bint alikuwa na maumivu sana na yy Martha imefika muda wa kuwekwa peupe shetani ndivyo alivyo n mtu wa kukuumbua hanaga urafiki wa kudumu
Nakupenda Sana uniombee piya Sisi wa kokomani
Kokomani ndio nini?