Mpendwa ndugu yangu wa thamani,, wewe ni mtumishi wa Mungu wa Kweli,, lakini katika hili ujakaa chini na kumuulizs Bwana,, Kwa hili umetumia akili na theolojia ila sio Ufunuo wa Roho Mtakatifu. Kwa hili ndugu yangu. Uko kinyume na vile Roho wa Bwana anavyoyashuhudia makanisa yote ya watakatifu. Nawapendwa wote mnaosoma comment hii,, msimfikirie kwa ubaya ndugu yetu cassian hata mtumishi wa Mungu nayeye ni Mwanadamu. Hata mimi ninaweza kukosea. Shalom shalom Endeleeni kumsapoti cassian ni mtumishi wa Mungu. Kuteleza sio kuanguka.
Ee Mwenyezi MUNGU Tusaidie sisi sote Ambao tumesikia somo hili Utujalie na tukaufanyie mapenzi Yako. Hili somo ni la kweli na Uhakika mm nimetazama1-mwisho. Ev Caasian Bwana azidi kukutumia. 🙏🙏
Unafundisha vizuli sana nakupongeza Kwa kuzungumza ukweli naomba ufafanuziwako kuhusu amri ya nne katika kitabu Cha kutoka 20:8-11 ili nielewe siku ya sabato inayozungumziwa hapa ni ipi ni jumapili,jumamosi,ijumaa.tuelimishe Kwa hili Asante sana mtumishi wa mungu na pole Kwa kupotelewa na vifaa mungu atafungua njia
Mtumishi tunaomba utuambie. Raisi mzuri ni yupi basi ili tuujui unabii wako ni mzur. Hakuna lishindikanalo kwa Mungu tukiomba mimi na wew. Tuachane na. Maneno tuombe Mungu atusaidie tumrudie Mungu.
Mungu atusaidie sana maana haya mambo yako ki Roho zaidi.. mtumishi uko sahihi wewe hubiri tu hata kama watakutukana ...hakika Biblia inasema kweli kabisaa watu tumepofushwa fikra zetu.. Mungu atusaidie sana
Ooh dear, mungu hadhihakiwi, mungu Sasa hakuona🎉, jinsia moja tu ! Nani anasikia watu wameshaharibika unabii ukooje , Sodom na Gomorrah ilikuwaje , eee MFALME WA AMANI usitutumbukize juu chini, tunakuomba uliye juu. Ameen Baba
Mungu atusaidie sana, maana hakuna aliyemkamilifu kwa wote waliokuwa wanawania uraisi, Harris na Biden nao wote wako pamoja na Obama wafreemason wote. Mungu amemuweka hapo ili unabii utimie. Hivyo basi tuzidi kuangalia Mungu pekee tusiye tukaibiwa kwa njia yeyote.
Enyi kizazi cha nyoka, mtumishi wa Mungu atasema nanyi na kuwafungua macho hadi lini, mnapenda kusikia mnayoyataka na si anatoyataka Mungu, mnasikiliza manabii wa uongo na mafundisho ya kidunia kuliko sauti ya mtumishi wa Mungu aliye hai.
Get ready for the ' rapture' any time now! Myaonapo hayo changamkeni! "ukombozi wenu" umekaribia! Kanisa, halitakuwa ndani ya d🎉hiki yenyewe.lakini litaonja 'joto ya jiwe'. ya dhiki kuu. Cassian... u r doing an excellent job! God has called u for such a time, Keep It Up. Tuko pamoja! Shout!
Hii meseji inashida mtumishi, Mungu hawezi kumtega mwanadamu ili akamuangamize labda zamani za torati Huwa Nakufuatilia na nabarikiwa na mengi usemayo lakini hili hapana, ninasema haya kwa heshima kama tulio viungo ndani ya Kristo.
Najiuliza sana kuhusu ukweli wa somo hili, vip kama angeshinda yule mwanamke ambaye alikuwa anaunga mkono ushoga na kutoa mimba, je, ndo angekuwa choice ya mungu! 😢
Ni kweli kabisa hapa mtumishi wa MUNGU casino kwenye hili umekulupuka chama cha kina obama kinasapoti ushoga huyu anapinga ushoga hili hujaongozwa na roho mtakatifu umetumia akili za kibinadamu mungu akusaidie
Nadhani tuihubiri injili watu wamjue Kristo! watu hawasomi Biblia wanataka kusomewa na kusikiliza tuuuuu! Tatizo siyo kuponda saaana, fundisha watu kufunga na kuomba walijua neno,waijue kweli na hakuna kinacho mshinda Mungu! Yehoshofati alimtegemea sana Mungu akishinda vita! Vema hubiri neno achanana na habari za Trump. Shetani anatega watu kupitia 1. Money 2. Power 3. Women!
Tumuombee Trump, vita yake bado ni kubwa sana, ijapokuwa ameshinda uchaguzi lakini waliotaka kumuua, na pia tunajua yuko kinyume na mashetani na mashoga na watoa mimba... watataka kumwangamiza tu. Lakini kwa neema ya Mungu awe salama. Amen
Amina nakwelewa Mungu atuokowe namajaga nkiukweri Mungu atuvushe nahayo yote maana kiukweri izi nilikuwa zamwisho jama tutokeni kwenye usigizi maana kumekucha niwakati wakuinuka siwakati wakulala niwakati wamapambano mtumishi wa mungu akumbariki na akulinde
Amina mtumishi watu kukuelewa ni ngumu sana watakuja kuelewa wakati wamechelewa, nikama mbinu za ccm kumtuma lowasa kuingia chadema watu wote walijua amenjiunga chadema baadae ilikuweje fungukeni msipende kuwabishia watu wa Mungu aliye hai hao wanaongozwa na ROHO mtakatifu. Kama unabisha si uombe na ww utaona hayo anayo yasema mtumishi ,pia ata ushuhuda wa lsaac javana pia upo utube dalili za kurudi kwa Yesu na unyakuo angalia part1-6 ,utaona hadi utashaanga kuwa kweli kuna watumishi wakweli nyakatihizi za mwisho , hdi kushambuliwa kwa donard trump ebu fuatilia shuhuda hiyo.
Soma isaya 24 nao wakuu wa dunia watafungwa akili watatiwa upofu watalemewa cassia I bado chekechea hatushindani na wakuu wa dunia tunashindana na wakuu wa.giza hao unawaonea tu biblia inasema kuna vitu wakuu wa dunia hawavijui unawaonea tu bado hujasoma biblia
Hubiri injili mtumishi, hakuna raisi ambaye ni mwema duniani, hata watumishi wengi ni wabaya kuliko rais trump, so kuna madhehebu kibao ya shetani huyo trump tunajua Mungu kaacha apite kwa makusudi yake
Trump ni chaguo la shetani? Kwa hiyo Kamala ndo alikuwa chaguo la Mungu maana mpaka alionekana akipinga Ukristo kwenye kampeni zake,Anataka mambo ya watoto kubadili jinsia,Ushoga na uchafu wa kila aina! Harafu wewe Mchungaji unayejifanya uko kiroho sana unamuona anayepinga mambo hayo machafu ambaye ni Trump kuwa ni alama na chaguo la shetani. Mimi nakuona kama umepotoka kila kitu kwako ni unabii na uongo mwingi sana huku ukijihesabia haki
Mtumishi wa Mungu asante kwa mafundisho yako,lakini Trump ameinuliwa na Mungu kurudisha ukristo mengine mengi, yeye sio mpinga kristo .jaribu kuchunguza
Iv ni Mungu anae kuongozaga kusema aya au ni kipawatu cha kuongea maana du akuna lililosahihi kwako kila kitu wewe unakiongelea tu hapana bhanatupe mafundisho ya Mungu bas ubili tu neno ayo ya watu muachie tu Mungu ndiea aukumuye aki ungekuw wew ndie mbona tungenyoka
Sasa hapa ndio naamini kwamaba n kweli kua vifaa viako via kuandaa vipindi n kweli havipo camera yako iko black and white pole sana mtumishi mungu akuangazie nuru yake tena mali fraha upendo viote hivio virudi tena katika maisha yako amen
Hapana, kuhusu Trump umekosea pakubwa sana. Trump anamwamini Kristo, wewe unataka kumaanisha kwamba Kamala Harris ndio chaguo la Mungu? Kamala asiyemkiri Kristo, anayesapoti utoaji mimba, na anaye sapoti ushoga. Hapa hujakaa sawa. Pia kwa hili umemtukuza shetani.
NI KWELI UNA HUBIRI NENO LA MUNGU.MAONGEZI YAKO HAYA NI MITAZAMO YAKO TU.MTAZAMO WANGU NI KWAMBA TRUMP YUPO UPANDE WA BWANA SI WA MPINGA KRISTO.KAMALA HARISI NA WENGI WA CHAMA CHAKE WAPO UPANDE WA MPINGA KRISTO.TAFAKARI KWA KINA ASKARI WA YESU
Reality kwenye kufuatilia nilijua hata mm kuwa yupo kimkakati naomba mtafute huyu mkwewe anaitwa jared kushner utapata kitu alafu ukiipata cku nitakupa kitu pia
Mimi nakubaliana na wewe 💯 unachozungumza ni kweli kabisa watu wanadhani trump kaja kama mbadala wa ajenda za kiovu wanasahau ya kuwa na yeye yupo kwenye mfumo ule ule sema yeyee kaja kwa sura ya kondoo wakati huo ndani ni mbwa mwitu
Mnachekesha jameni sababu trump manabii wengi wa Mungu walitabiri atakua raisi na Mungu atamtumia ,nyinyi watumishi wa Mungu mnatuchanganya sababu mnahubiri mambo ambayo yanakinzana mara mmoja anasema hivi mwingine hivi
@godfreymikmta5008 hapa umesema ukweli kabisa sababu hawa watumishi ni wengi hata Facebook na nimewaamini ila napata mmoja anasema trump Mungu amemruhusu awe raisi sababu ako na makusudi yake mazuri sana tena mwengine anasema shetani alichagua trumb awe raisi sababu vile yy ni mwanaume atakua na nguvu na ujasiri kupush ajenda zake hapo nashindwa tu nimwamini nani wanagoroka akili yangu aisee
Haya hayana budi kutokea watu hawataki kuwaambia ukweli wajiandae ila wanataka kuambiwa watakwenda mbinguni maana bado wapo gizani laiti tungejua tusipinge ila twende kumuomba MUNGU atupe mwongozo asante YESU kwa kutupenda wanao jiandaeni kukabiliana yawezekana uelewa ni kwamba mpinga kristo hayupo maana tramp kaja sera ya biblia MUNGU tusaidie
Papa alisema wote Trump na Kamala hakuna anayefaa kuwa Rais wa Marekani , sasa nafikiri unatumia muda mwingi kupiga kelele wala hausomi mtazamo wa huyo Papa unayesema yuko na Trump
Tu focus na solution sio kutiana hofu,ndio maana hatufanikiwi weusi,dini zenyewe tuliletewa na hao hao lakini wenyewe hawasali Wala ku swali,tuache ujinga hakuna kitu kinaitwa mungu Wala shetani,hizo ni drama,kwahio amkeni acheni ujinga,Hadi papa anawashangaa weusi mnamatatizo gani?
Muhubiri Kristo, siyo watu, hubiri utakatifu na kuishi kwa imani ya YESU wa Nazareth !! Inaonekana unawapenda wanaoshabikia laana za sodoma na gomora!!
Mifumo ya Marekani ni migumu mno maana mmi namkubali kwa sababu ushogo hapendi mno mbona hata kwenye nchi za Africa kuna shida viongozi kung'ang'ania madaraka.
Kuna muda kumbe mnafika mnatumia akili zenu na si sauti ya Mungu ndani yenu, kwa unabii huu umechemka mno, hapa umetumia uelewa wako na akili yako tena ile ya kawaida kabisa,,, rudi tena kamuulize Mungu kama upo sahihi
Yani pascal kama mtu akikusikiliza kama Hana nguvu ya roho mtakatifu na ayajue maandiko vizuri lakini nakwambia unawapa watu elimu kubwa Sana ila wapumbavu waache na upumbavu wao wapotee tuu
Kusudi lake lipi?! La kupitisha SHERIA YA JUMAPILI? huyo amerudishwa madarakani makusudi kabisa kwakuwa ni mtu shupavu na jasiri ili atekekeze adhima ya shetani kupitia upapa Ili marekani ianze kumpa nguvu Papa na ajenda zake,na mwisho kabisa kupitishwe Sunday law.... Tuamke ndugu yangu,huu wakati sio wakucheza na dhambi, shetani ana trick nyingi sana lkn lengo lake liko palepale
Mpendwa ndugu yangu wa thamani,, wewe ni mtumishi wa Mungu wa Kweli,, lakini katika hili ujakaa chini na kumuulizs Bwana,, Kwa hili umetumia akili na theolojia ila sio Ufunuo wa Roho Mtakatifu. Kwa hili ndugu yangu. Uko kinyume na vile Roho wa Bwana anavyoyashuhudia makanisa yote ya watakatifu. Nawapendwa wote mnaosoma comment hii,, msimfikirie kwa ubaya ndugu yetu cassian hata mtumishi wa Mungu nayeye ni Mwanadamu. Hata mimi ninaweza kukosea. Shalom shalom Endeleeni kumsapoti cassian ni mtumishi wa Mungu. Kuteleza sio kuanguka.
Huyu mwamba anafuata mafundisho potofu ya kiadventista
Ni kweli kaka cassian yupo vzr sana ila kuna vitu vichache kama mwanadamu hua anakosea lkn yupo vzr,kuna vitu inabd awe anavichunguza kwanza

Jaman wtu wamungu mbona hamuerewi una bii soma neno la Mungu nakulitqfakali mtumishi wamungu m namuunga mkono yupo sahii kulingana nilivomwerewa
Saa ikifika utaelewa ni swala la muda tu@@jorambranchofmud6299
Ee Mwenyezi MUNGU Tusaidie sisi sote Ambao tumesikia somo hili Utujalie na tukaufanyie mapenzi Yako. Hili somo ni la kweli na Uhakika mm nimetazama1-mwisho. Ev Caasian Bwana azidi kukutumia. 🙏🙏
Unapotoshwa wewe.Hawa wa adventist ni ma antichrist in deep
Unafundisha vizuli sana nakupongeza Kwa kuzungumza ukweli naomba ufafanuziwako kuhusu amri ya nne katika kitabu Cha kutoka 20:8-11 ili nielewe siku ya sabato inayozungumziwa hapa ni ipi ni jumapili,jumamosi,ijumaa.tuelimishe Kwa hili Asante sana mtumishi wa mungu na pole Kwa kupotelewa na vifaa mungu atafungua njia
Siyo rahisi huyu raisi yuko vizuri ktk uongozi wake ana hofu ya Mungu, na Mungu amsaidiye kuongoza dunia ilipo sasa haielewiki Mungu atusaidiye sana.
Subiri kidogo tuu!
Shetani atumii nguvu kutawala anatumia akili ili iwe lais kumkamata mwanadam
Mtumishi tunaomba utuambie. Raisi mzuri ni yupi basi ili tuujui unabii wako ni mzur. Hakuna lishindikanalo kwa Mungu tukiomba mimi na wew. Tuachane na. Maneno tuombe Mungu atusaidie tumrudie Mungu.
Huyu ni mganga kutoka kuzimu,do not waste you data listen to this false prophet
Mungu atusaidie sana maana haya mambo yako ki Roho zaidi.. mtumishi uko sahihi wewe hubiri tu hata kama watakutukana ...hakika Biblia inasema kweli kabisaa watu tumepofushwa fikra zetu.. Mungu atusaidie sana
Bwana Yesu asifiwe Sana Mungu alimtumiya Mflume wa Babel na alimgeuza kuwa mtumishi wake
Hii bala anataka ushoga uendelee?
Hili jamaa ni pepo
Umechemka Sana umepotea😂😂
Sio kachemka kachemswa
Casiani casiani mambo usiyoyajua ni bora ukanyamaza maandiko yanasema tusiwe waalimu wengi kuna hukumu iliyokuu juu ya walimu wa uwongo
Trump yuko spandex wa Mungu kuliko democrats😊
Ooh dear, mungu hadhihakiwi, mungu Sasa hakuona🎉, jinsia moja tu ! Nani anasikia watu wameshaharibika unabii ukooje , Sodom na Gomorrah ilikuwaje , eee MFALME WA AMANI usitutumbukize juu chini, tunakuomba uliye juu. Ameen Baba
israel the servant always following from Nairobi Kenya # more grace
Mungu atusaidie sana, maana hakuna aliyemkamilifu kwa wote waliokuwa wanawania uraisi, Harris na Biden nao wote wako pamoja na Obama wafreemason wote. Mungu amemuweka hapo ili unabii utimie. Hivyo basi tuzidi kuangalia Mungu pekee tusiye tukaibiwa kwa njia yeyote.
Mungu akurejeshee milik zako zotee mtumishi nimeumia san
Uniombee tu Bwana atatenda
@@paschalcassianoriginal9411 Amina amina azidi San
Mimi ninachojua Unyakuo upo karibu sana kuliko watu wanavyofikiria
Ubarikiwe sana mtumishi,usemayo ni kwelu ya mungu
Ni kweli mtumishi unayoyasema ubarikiwe Kwa kutufahamisha na Mungu atusaidie
Ubarikiwe mtumishi, tramp amekuja kama mnyama wa pili kama ktk kitabu cha ufunuo tunavyoambiwa atakuja kama mwana kondoo
Enyi kizazi cha nyoka, mtumishi wa Mungu atasema nanyi na kuwafungua macho hadi lini, mnapenda kusikia mnayoyataka na si anatoyataka Mungu, mnasikiliza manabii wa uongo na mafundisho ya kidunia kuliko sauti ya mtumishi wa Mungu aliye hai.
Get ready for the ' rapture' any time now! Myaonapo hayo changamkeni! "ukombozi wenu" umekaribia! Kanisa, halitakuwa ndani ya d🎉hiki yenyewe.lakini litaonja 'joto ya jiwe'. ya dhiki kuu. Cassian... u r doing an excellent job! God has called u for such a time, Keep It Up. Tuko pamoja! Shout!
Nacked truth
Kuhusu pope kuwa mwanzilishi wa ushoga hapo umedanganya Pascal.
Pope Francisco alisema hawezi kuwatenga mashoga kama wanadamu. Alitaka wasaidiwe.
Wasaidiwe kuoana wanaume Kwa wanaume au?
Ndio kukubaliana na ushoga kwenyewe huko@@simonnjovu586
Trump Trump Trump.He belongs to Jesus.Huna ufahamu wa kutosha kujua mifumo ya Utawala America.
Huyu jamaa mjinga, mbona rais wetu vip amewekwa na nan?
Mambo anayoyahubiri mengi ni baadae ya kanisa kunyakuliwa unatuvuruga Sasa, ndo maana maandiko yaonya juu ya waalimu wengi huyu anaunga unga sana
Duuuh nihatari sana lakini Salama kwa tulio ndani ya YESU KRISTO
Hakika MUNGU atusaidie katika hii dunia ya sasa🙏
Hii meseji inashida mtumishi,
Mungu hawezi kumtega mwanadamu ili akamuangamize labda zamani za torati
Huwa Nakufuatilia na nabarikiwa na mengi usemayo lakini hili hapana, ninasema haya kwa heshima kama tulio viungo ndani ya Kristo.
Najiuliza sana kuhusu ukweli wa somo hili, vip kama angeshinda yule mwanamke ambaye alikuwa anaunga mkono ushoga na kutoa mimba, je, ndo angekuwa choice ya mungu! 😢
Ni kweli kabisa hapa mtumishi wa MUNGU casino kwenye hili umekulupuka chama cha kina obama kinasapoti ushoga huyu anapinga ushoga hili hujaongozwa na roho mtakatifu umetumia akili za kibinadamu mungu akusaidie
Nadhani tuihubiri injili watu wamjue Kristo!
watu hawasomi Biblia wanataka kusomewa na kusikiliza tuuuuu!
Tatizo siyo kuponda saaana, fundisha watu kufunga na kuomba walijua neno,waijue kweli na hakuna kinacho mshinda Mungu!
Yehoshofati alimtegemea sana Mungu akishinda vita!
Vema hubiri neno achanana na habari za Trump.
Shetani anatega watu kupitia 1. Money 2. Power 3. Women!
Yes huyu ndio atakaeleta Sunday law na kumleta mpinga kristo it is big plan mtu Kwa haraka hawez kutambua so Cassian proceed
Hii ni ukweli kabisa mtumishi Asante sana mungu akubariki 🙏🙏🙏
Sio mbaya kama anatimiliza unabii hakuna namna,hata Yuda alimsaliti Yesu.unaongea saana mtumishi mpaka unaharibu, kwahiyo wewe ulitaka nani ashinde
Tumuombee Trump, vita yake bado ni kubwa sana, ijapokuwa ameshinda uchaguzi lakini waliotaka kumuua, na pia tunajua yuko kinyume na mashetani na mashoga na watoa mimba... watataka kumwangamiza tu. Lakini kwa neema ya Mungu awe salama. Amen
Twambie kayi ya Trump Vs Kamala nani ulimtaka?
Anayeendeleza ushoga au anaye kataa ushogo😂😂
Chizi uyu
mutumish wabwana ubalikie sana kwa somo zuri sana hakika huu ni unabii una timia yesu anarudi tena dunian
Amina nakwelewa Mungu atuokowe namajaga nkiukweri Mungu atuvushe nahayo yote maana kiukweri izi nilikuwa zamwisho jama tutokeni kwenye usigizi maana kumekucha niwakati wakuinuka siwakati wakulala niwakati wamapambano mtumishi wa mungu akumbariki na akulinde
Munguakulindenamaovuwendeleyekusemaukweliwaneno
siri ya mungu ni kubwa sana ,na itoshe kusema TUZIDIDHE KUMSIHI YEYE NA KUMUOMBA YEYE. AMEN
Zamani nilikua nakuelewa Sana lakini siku hizi sikuellewi
Huyu jamaa ni kiazi,
😂😂😂
Huyu mtumishi Mungu amsaidie sisi tunaelewa kabisa Mungu AKUBARIKI,,ameni
Wewe n matako @@sosthenesmaemba
Mungu akubariki sana mtumishi🙏🙏
Amina mtumishi watu kukuelewa ni ngumu sana watakuja kuelewa wakati wamechelewa, nikama mbinu za ccm kumtuma lowasa kuingia chadema watu wote walijua amenjiunga chadema baadae ilikuweje fungukeni msipende kuwabishia watu wa Mungu aliye hai hao wanaongozwa na ROHO mtakatifu. Kama unabisha si uombe na ww utaona hayo anayo yasema mtumishi ,pia ata ushuhuda wa lsaac javana pia upo utube dalili za kurudi kwa Yesu na unyakuo angalia part1-6 ,utaona hadi utashaanga kuwa kweli kuna watumishi wakweli nyakatihizi za mwisho , hdi kushambuliwa kwa donard trump ebu fuatilia shuhuda hiyo.
Soma isaya 24 nao wakuu wa dunia watafungwa akili watatiwa upofu watalemewa cassia I bado chekechea hatushindani na wakuu wa dunia tunashindana na wakuu wa.giza hao unawaonea tu biblia inasema kuna vitu wakuu wa dunia hawavijui unawaonea tu bado hujasoma biblia
Ile mizimu ya freemason Bado inakusumbua ukapimwe akili
😂😂😂
Sasa na wewe Cassian unatuchanganya tu hapa, hebu kwa kando kwanza na unabii wako. Tunaanza kuchekecha akili zako zikoje!
Zakwako zipoje Nas tunakuchekecha tunakuona n boga hv huon huelewi vp we
Hubiri injili mtumishi, hakuna raisi ambaye ni mwema duniani, hata watumishi wengi ni wabaya kuliko rais trump, so kuna madhehebu kibao ya shetani huyo trump tunajua Mungu kaacha apite kwa makusudi yake
Trump ni chaguo la shetani? Kwa hiyo Kamala ndo alikuwa chaguo la Mungu maana mpaka alionekana akipinga Ukristo kwenye kampeni zake,Anataka mambo ya watoto kubadili jinsia,Ushoga na uchafu wa kila aina! Harafu wewe Mchungaji unayejifanya uko kiroho sana unamuona anayepinga mambo hayo machafu ambaye ni Trump kuwa ni alama na chaguo la shetani.
Mimi nakuona kama umepotoka kila kitu kwako ni unabii na uongo mwingi sana huku ukijihesabia haki
Sasa casani, kamara anayeunga mkono kutoa mimba pamoja na ushoga ni chaguo la nani?
Nimekuelewa sana mtumishi Mungu awe pamoja nawew
Ni mbaya sanaaa kujikutaaa unajuaa mambo ya siasaa kumbe umepoteaaa na ufahamu wako
Huo ndo ukweli mtupu Mungu akubariki tunakuelewa anae kupinga Mungu amsaidie
It is true i agree with you because my postor Said it before
Mtumishi wa Mungu asante kwa mafundisho yako,lakini Trump ameinuliwa na Mungu kurudisha ukristo mengine mengi, yeye sio mpinga kristo .jaribu kuchunguza
Iv ni Mungu anae kuongozaga kusema aya au ni kipawatu cha kuongea maana du akuna lililosahihi kwako kila kitu wewe unakiongelea tu hapana bhanatupe mafundisho ya Mungu bas ubili tu neno ayo ya watu muachie tu Mungu ndiea aukumuye aki ungekuw wew ndie mbona tungenyoka
Kanisa litaonja dhiki,na hizi sasa ni dalili za kuingia kwa dhiki hiyo. Calendar ya dhiki inabakia miaka 7.
Hakuna mungu Wala shetani,turudi kwenye tamaduni zetu za asili,tutashinda ila kwakutiana hofu hivi hatufanikiwi kamwe.
Sasa hapa ndio naamini kwamaba n kweli kua vifaa viako via kuandaa vipindi n kweli havipo camera yako iko black and white pole sana mtumishi mungu akuangazie nuru yake tena mali fraha upendo viote hivio virudi tena katika maisha yako amen
Hapana, kuhusu Trump umekosea pakubwa sana. Trump anamwamini Kristo, wewe unataka kumaanisha kwamba Kamala Harris ndio chaguo la Mungu? Kamala asiyemkiri Kristo, anayesapoti utoaji mimba, na anaye sapoti ushoga. Hapa hujakaa sawa. Pia kwa hili umemtukuza shetani.
Kwa kumbariki muisraeli Mungu awe pamoja naye
Kama humuelewi Trump basi nenda kachague mwenyewe.Trump siyo Mnyama.Hiyo nakukatalia kabisa.
WEWE MTU AKITREND TU ANAKUWA MAHUBIRI YAKO HUNAGA UJUMBE WA MUNGU
Hahaha.
yaaan ni kwel anakera huyu mtu sio bule anakwenda na upepo ili apate views
Sawa lakini hata mzidi roho mtakatifu alietupa Mungu pia Mungu hata liacha kanisa liangamie Bwana wetu yesu kristo
The world will never understand this until it is too late, AMEN 🙏🏽🙏🏽
We mwache trump kabisa,, unaongea hovyo, unatakiwa kufungiwa wewe mpotoshaji
NI KWELI UNA HUBIRI NENO LA MUNGU.MAONGEZI YAKO HAYA NI MITAZAMO YAKO TU.MTAZAMO WANGU NI KWAMBA TRUMP YUPO UPANDE WA BWANA SI WA MPINGA KRISTO.KAMALA HARISI NA WENGI WA CHAMA CHAKE WAPO UPANDE WA MPINGA KRISTO.TAFAKARI KWA KINA ASKARI WA YESU
Asomaye na afahamu
@@stellatemu2458Amen
Kwahiyo kati ya Trump na Harris ni nani alifaa kuchaguliwa?
Cassian umechanganyikiwa sana
Reality kwenye kufuatilia nilijua hata mm kuwa yupo kimkakati naomba mtafute huyu mkwewe anaitwa jared kushner utapata kitu alafu ukiipata cku nitakupa kitu pia
Mimi nakubaliana na wewe 💯 unachozungumza ni kweli kabisa watu wanadhani trump kaja kama mbadala wa ajenda za kiovu wanasahau ya kuwa na yeye yupo kwenye mfumo ule ule sema yeyee kaja kwa sura ya kondoo wakati huo ndani ni mbwa mwitu
Exactly
❤❤❤ ukweli ndo huo
Amina
Mungu akusaidie sana mtumishi Pascal Cassian Endelea kutupasha habari hizi njema za nyakati za mwisho
Mnachekesha jameni sababu trump manabii wengi wa Mungu walitabiri atakua raisi na Mungu atamtumia ,nyinyi watumishi wa Mungu mnatuchanganya sababu mnahubiri mambo ambayo yanakinzana mara mmoja anasema hivi mwingine hivi
Awa usiootumia akili wanakupoteza
@godfreymikmta5008 hapa umesema ukweli kabisa sababu hawa watumishi ni wengi hata Facebook na nimewaamini ila napata mmoja anasema trump Mungu amemruhusu awe raisi sababu ako na makusudi yake mazuri sana tena mwengine anasema shetani alichagua trumb awe raisi sababu vile yy ni mwanaume atakua na nguvu na ujasiri kupush ajenda zake hapo nashindwa tu nimwamini nani wanagoroka akili yangu aisee
Mungu atusaidie
Haya hayana budi kutokea watu hawataki kuwaambia ukweli wajiandae ila wanataka kuambiwa watakwenda mbinguni maana bado wapo gizani laiti tungejua tusipinge ila twende kumuomba MUNGU atupe mwongozo asante YESU kwa kutupenda wanao jiandaeni kukabiliana yawezekana uelewa ni kwamba mpinga kristo hayupo maana tramp kaja sera ya biblia MUNGU tusaidie
Papa alisema wote Trump na Kamala hakuna anayefaa kuwa Rais wa Marekani , sasa nafikiri unatumia muda mwingi kupiga kelele wala hausomi mtazamo wa huyo Papa unayesema yuko na Trump
Wewe nae unaonekana huelewi,,kwa hiyo Kamala ndio alikuwa mzuri aliyekuja kushinikza ushoga Afrika,,wewe unaona Ni vizuri kizazi kuharibiwa
Aisee angalia naona ume anza mkufuru Roho Mtakatifu usi hukumu ukaja kuhukumiwa ni uongo mtupu
Umefundisha hii kitu sahihi Sana. So alie na mashikio na alisikie neno hili ambalo roho wa bwana awaambialo makanisa
Ukweli mtupu huu
Very true 100%
Wafundishe watu neno LA mungu tramp yesu anampenda haijalishi anadhambi Gani wewe hata bibilia unayoisoma huijui
Mtumishi wa Mungu maana ya chata ya nyoka na msalaba ni nini?
Huyu rais atakuwa mbya sana kuliko ni swala la muda watu watashuhudia
Baba Umefeli Mara Wanasema Kamala Haris Ndie Anatoka Kwenye Chama Cha Ki Freemason Wewe Nawe Unakuja Na Utafutaji Wa Views Toka Huko
Tu focus na solution sio kutiana hofu,ndio maana hatufanikiwi weusi,dini zenyewe tuliletewa na hao hao lakini wenyewe hawasali Wala ku swali,tuache ujinga hakuna kitu kinaitwa mungu Wala shetani,hizo ni drama,kwahio amkeni acheni ujinga,Hadi papa anawashangaa weusi mnamatatizo gani?
Kwa heri kaka naomba kzqa makini na wewe from now. Thank you
Kwahiyo wamekuibia vyombo ili usihubiri ,malaika awasake walipo wajiseme na kutubu hao maajent wa shetani.Mungu atarejesha yote ktk jina la Yesu.
Usituchanganye nawewe
Jaman jaman wewe casian mbona mimi siku hizi sikuelewi!!! Kila kitu unapingaga tuuu shida nini kwani
Inamata maana Kamara ndio yupo upande wa Mungu?wakubali ushoga, kutoa mimba.Ina maana angeshinda yeye ungesema kweli ni chaguo la Mungu ?!
Casiani acha kutudanganya ufahamu wako ni mdogo sana jutufundisha haya, Sasa unatuda nganya wewe unajichanganya, vipi kuhusu raise wako,
Muhubiri Kristo, siyo watu, hubiri utakatifu na kuishi kwa imani ya YESU wa Nazareth !!
Inaonekana unawapenda wanaoshabikia laana za sodoma na gomora!!
Acha kuongee sana
Wewe Mtumishi ni Muongo kumbe kama unasema Trump ni Mnyama na wewe ni umoja wao wa Unyama asanteni
Mungu atusaidie tufunguke fahamu zetu tumjue kikamilifu.
Huwezi kujua kikamilifu kwani imeandikwa tunajua kwa sehemu.
@simonnjovu586 kiroho na kweli, ndio kikamilifu.
Kwahiyo angepita Kamala yeye ingekuwa ni Mungu amemuweka hebu pambanua Mtumishi
Mifumo ya Marekani ni migumu mno maana mmi namkubali kwa sababu ushogo hapendi mno mbona hata kwenye nchi za Africa kuna shida viongozi kung'ang'ania madaraka.
Acha stori za abuhu muhasii
Style ya ruto
Ktk hayo anayo ongea mengi ni ya kichwani mwake, hayana uhakika ktk Maandiko,
Kuna muda kumbe mnafika mnatumia akili zenu na si sauti ya Mungu ndani yenu, kwa unabii huu umechemka mno, hapa umetumia uelewa wako na akili yako tena ile ya kawaida kabisa,,, rudi tena kamuulize Mungu kama upo sahihi
Uwongooo huwo plzz we ubiri injili acha maneno mengine kwa ushauri wangu,,
Mungu tusaidie tupe macho yaoihon eeyesu turehemu😭😭
Mungu ni yote katika yote.Romans 8:28
Mungu wa mbinguni akubariki sana hakika wewe umemjua Mungu wa kweli endelea kuisema kweli Mungu yupo na atalipa kwa kadri ya kazi uliyoifanya
Yani pascal kama mtu akikusikiliza kama Hana nguvu ya roho mtakatifu na ayajue maandiko vizuri lakini nakwambia unawapa watu elimu kubwa Sana ila wapumbavu waache na upumbavu wao wapotee tuu
Mimi niaminivyo ni Mungu kamrejesha Trump madarakani kwa ajili ya kusudi Lake
Kusudi lake lipi?!
La kupitisha SHERIA YA JUMAPILI?
huyo amerudishwa madarakani makusudi kabisa kwakuwa ni mtu shupavu na jasiri ili atekekeze adhima ya shetani kupitia upapa
Ili marekani ianze kumpa nguvu Papa na ajenda zake,na mwisho kabisa kupitishwe Sunday law....
Tuamke ndugu yangu,huu wakati sio wakucheza na dhambi, shetani ana trick nyingi sana lkn lengo lake liko palepale
❤❤❤❤Mungu atusaidie