Upo sawa mtumishi wa Mungu,, nami naomba nikuambie kitu ACHA KUCHONGA NDEVU chagua moja kuacha ndevu au kunyoa ndevu Maana siyo Neno la Mungu kuchonga ndevu
Barikiwa mtumishiwa Mungu Asante sana Rohomtakatifu azidi kukupaka mafuta yake Kila Leo,mbinguni hakuna mawigi wa ulembo,sana paskari,lnjili isiyogoshiwa,ha t,a,g ndio waongoza,marembo ya mwili wape neno hao ,
Kiukweli hii injili ya huyu mtumishi naipenda sana.!! Huyu ni MUNGU anazungumza kabisa na kanisa.!! Mimi ni TAG lakini naungana na wewe kabisa kukemea hili la kujipamba
nimefurahi sana kukutana na mtu anayekemea uovu, hakika UTUKUFU WA MUNGU idumu hata milele na milele hakika wakiwepo elfu kama wewe hakika ukweli wa haki utasema na kuwaokoa wengi hakika makanisa mengi yameshapotea hawasemi ukweli wala hawakemei dhambi wanabembeleza ili kumpeleka mtu kuzimu badala ya kukemea hawajifunzi YESU Mwenyewe alivyokuja duniani alikemea sasa hawa wachungaji wasikuhizi wananishangaza hawasemi ukweli duuh! namwomba ROHO MTAKATIFU awaokoe watu wake waijue kweli na si kufuata madhehebu bali wafuate ile kweli ya Mungu aliye Mkuu wavyote
Aliye na masikio asikie ,mlango unafungwa SIKU karibu sana, Sikilizeni wimbo wa Mbarikiwa mwakipelesi unaoitwa Fungua mlango tuingie❤🙏🙏🙏 YAANI watu wanaonywa LAKINI wanadharau TUBUNI TUBUNI ,UNYAKUO Huko Karibu sana Amina ,mtumishi wa MUNGU DAMU ya YESU ikufunike milele 🙏🙏🙏🙏❤
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, akukinge na hila zao zote. Shetani amewapofusha macho. wale ni wafuasi wa shetani. Tunakupongeza kwa ujumbe huu. Bwana awasambaze maadui kwa njia saba, mutumbukie wenyewe katika mashimo yenu. Hii ni enjili kamilifu, bibi arusi tujiandae bwana yu aja.
@@peterjusine8509samahani mtumishi nakuomba urudie tena kusoma vinzuri Nimungu atakupamba au wewe ndo unajipamba Kama mungu anataka sisi tujipambe Mbona Mungu aliwambia waisilaeli wavue mapambo alipo mwambia musa ninyi ni watu wenye shingo ngumu Kama Mungu anataka tujipambe Mbona yakobo aliwambia wakezake waondoe miungu migeni Nawakatoa bangili pete masikioni Nakingine naomba uniambie ni mwanamke gani kwenye biblia aliye wahi jipamba zaidi ya yezebeli mama wa makahaba Subili Mungu akubambe mwenyewe maana mpambo yake ni salama Mtumishi hujawahi jiuliza Ukipita barabarani ukamkuta kahaba kakipodoa na mlokole kjipodoa Bila kuwajua utajua mlokole ni yupi na kahaba ni yupi Lazima kuwe na tofauti kati ya Delila na naomi Cassias yupo sahihi Angalia wokovu wa miaka ya nyuma na miaka ya leo ni tofauti Unafikili kwa nini mzee magembe anapiga kelele anaona kanisa limepoea Roho ta yezebelel iko madhabahuni Leo Tutapataje kupona Je Mungu yupo kanisani leo Tuvue mapambo Wokovu ni ndani na nje pia Leo waibaji wanapanda kwenye madhabahuni kuimba mawigi viatu virefu malipstik vimini Nisauti tu nzuri zina toka lakini uwepo hamna Mungu atusaidie sana
Asante sana Mtumishi wa Mungu kwa hili kweli kabisa Mtumishi wa Mungu Umungunyi maneno. Wewe kweli kabisa umeitwa na Mungu kweli kweli. Si wengi wanasema wameitwa na Mungu na wanakuwa hawasemi ukweli ni wanafiki sanaa. Wanaficha ukweli na wanawaonea haibu wasiwaseme wakubwa kwa makosa yao. Mbele ya Mungu wataulizwa mbona umetumwa na hukusema? Yale ya King Sauli alitumwa ahue kila kitu lakini akaua nakuacha vitu vizuri na vinono. Mungu akamnyanganya ufalme. Asanteni sanaa.
BWANA YESU ALIE HAI ASIFIWE Mimi nimeokoka unachohubiri ni sahihi Muinjilisti Pascal cassian,mimi nimezunguka makanisa mengi ya kiroho, ila Tag limejaa wanawake wanajichubua,wanawake wavaa vimini,surely mpaka bikini,na kuna mpaka wachungaji wanawake wanajichubua na dhambi nyingine nyingi ukiwemo uzinzi MUNGU Atusaidie
Mungu hatakubari kifo kikupate kabura ya watu wake kutambuwa ukweli na kumurudiriya Mungu usiwogope wewe endeleya na injili ya kweli wala usichoke tunakupenda ❤❤❤❤❤❤
Ubarikiwe na Yesu mtumishi wa Mungu, ukweli unauma ,njomaana, wana guswa sana, Muchristu wa kweli kila nywele bandie zina kuwa zina tuukumu, , songa mbele Yesu akutangulie, umepasua jipu, mwenye sikio na asikie, iivita unaenda anza naulimwengi Yesu asimame nafasiyako. Ulimwengu hauta kuelewa
Ubarikiwe sana mutumishi wa Mungu. Kanisa za sasa ni umbwa mwitu. Awa jali wa kristo . Wachungaki wa Leo ni ajiri ya tumbo zao. 2 wathesalonike 2:15. İyi Maandiko apo tu simame imara Mutumishi. Mungu aku bariki . Tupo nyakati za Mwisho . Yasu Ana rudi
❤😂 mama Mshukuru Mungu amekujilia kwa hili.,,kazi umefanya kubwa mama tu wigi natuereni kusikuondoe kwenye njia.Casians semaaa tu.sema tuuu tuponeeer ya kale yamepita tazama sasaa yamekuwa. Mapyaaaa.😂❤
Wala usiionee haya injili, tueleze ukweli ili tupone na hukumu yenye kutisha maana siku zimeisha!! Mwenye sikio asikie, anaebisha abishe, neno la Mungu limehakikishwa mara saba wala halitanguki! Mungu akubariki saana kaka!!
Hata Yesu Kristo alimshinda shetani kwa Neno hata Cassian naye anawaonya kwa Neno hilo hilo Mmekuwa wavivu wa kusoma maandiko mpo tu kama maroboti hamna neno ndani yenu Pascal Cassian mtumishi wa Mungu ikemee dhambi ili tuokoke Mwenye maskio na asikie na mwenye macho na aone Zipo nyakati zinakuja hamtalisikia hili Neno na zipo nyakati zinakuja hamtawaona hawa watumishi🚶🚶🚶
Amina mtumishi Wala unabaya maana wewe kazi yako ni kusema ukweli tu mbona unaongea vizuri sema Kila mtu labda na fikla zao na maoni yao sio wewe maana unaongozwa na MUNGU kemea mtumishi Kama kwel unaongea hovyo ungekuwa umepigwa na MUNGU siku nyingi sana endelea mtumishi kuonya na kusema ukweli tu Amina
@@MakaliusNgua-y9g yy ndo anaongoza na Mungu ,iv huyo si tulimukota alkuwa mfu na ufreemason wake Leo tumempokea haohao anawakashifu walimpokea Leo wabaya kwel huyu elimu shida na wivu pia umaskin kashindwa kumnunulia mke wake had kamaterekeza Sasa wivu Kwa wake za wenzake na ole wako utongoze na kuzin na kondooo maana ww hatar
Mhh Kama kaokotwa juzjuzi tu Basi amenyenyekea kwa MUNGU ndio maana MUNGU kamkweza kamuweka juu kuliko wale walioanza zaman alafu MUNGU hangalii umekaa mda gani anaangalia anae nyenyekea na kutii sauti yake alisema fanya haya uyafanye Kama angekuwa bado Yuko huko MUNGU Baba angemuumbua alafu lmani pia inapimwa jua hao maaskofu na wachungaji wameipima Imani yake tusitusi tusijepata laana kwa MUNGU😢😢😢
Mtakatifu ni Mungu tu pekee wakuogopa. Umetumwa na Mungu kufanya kazi yake. Na Mungu ndiye atakayekupigania kwa kazi hii unayofanya. Kwa bidii hii kweli Umetumwa na Mungu ili Wakristo wabadilike kwa mwenendo wao. Mungu akusimamie na utashinda. Usisikilize mafanatiki Mungu anawaona na watalipwa mshahara wao. Ni siku za Mwisho unyakuo unakaribia sana.
Ndo Maana unapauka sio😅😅 kwa sababu ya kutambua dhambi😮😂😂 Yani mmerogwa na huyo Mchungaji wenu na kurogwa nikudanganywa na wewe ukaamini sio kuacha mapambo inabidi ufutike duniani😅 maana utaki mapambo na wafanya biashara Wa mapambo wakiwasikia mnalo😂
Mungu akutumie vyema sana Pascal casini ukwl usemwe maliza kazi aliyo kupa Mungu huo ndio ujumbe ambao Mungu anataka ufikishwe kwa watu tumika kwa kazi ya Mungu na Mungu mwenyewe atakuwekea ulinzi wake ila pia yupo pamoja nawe unaposoma kitabu cha mathayo 28:19:20 anasema yeye atakuwa amoja nawe usikate tamaa kuuambia ulimwengu ukweli Mungu akusaidie sana tuna barikiwa sana na huu ukweli wako
Hivi lengo la kuvaa mawigi, kupaka wanja, lipstick, kusuka rasta, kupaka shedo ni nini? Tukijua kwanini watu wanafanya hivyo utajua kwanini haifai. Ni kukosoa Uumbaji wa Mungu. Wanaofanya hivyo mara nyingi huisi kama hawavutii bila kufanya hivyo tafakari. Napita tu
Hapo Acha vyuma viumane .maana kasiana anadai mungu kamtuma na askofu mtoka mbali nae katumwa na mungu hapo tunamuachia mungu aamue kat yako na askofu.mungu ajulikane
MUNGU akubariki Kwa injili ya kweli upo sahihi ni kweli kanisan la Leo limetawaliwa na Roho ya yezebeli shida wanapotoa maandiko yaani sisi wanawake kuiona mbingu tutasubili sana mapambo ni ushetani mbona maandiko Yako wazi jamani, Mimi binafsi nafarijika kusikia injili kama hii.
kwanza nimefurahi sana kukutana nawewe na kusikia mahubiri yako yaliyo ya kweli, mimi kwanza lile tamasha nililikosea mambo mengi kwanza askofu anasifia heti Raisi ana uongozi uliotukuka duuh siku hizi maaskofu wanaowaongoza wachini leo wanawafundisha kuabudu watu ambao tayali wamekuwa miungu kwa kuwaita wana uongozi uliotukuka wapi mwanadamu akawa na utukufu, nilikereka sana huyu askofu mtokambali wamchunguze inawezekana kuna viongozi kama hawa wametumwa na kuzimu kuua makanisa angalieni .
Mwacheni mtumishi wa MUNGU kufanya Kazi ya MUNGU Kwa amani. Nabii Eli alikufa kifo cha kuvunjika shingo Kwa kushindwa na kukemea wanawe wawili (Ofni na Fineasi) walipo chezea madhabahu ya MUNGU kwa matendo yao mabaya.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu ni kweli kabisa katiba ya kanisa ni Biblia imeandikwa 1 Petro 3:3-5 utakatifu ni nje na ndani watu wanajifariji Mungu anaangalia ndani tu si kweli kilicho ndani huonekana nje Mungu anataka tubaki tukiwa be kama tulivyo zaliwa ,Biblia inasema mtu akiliharibu hekalu la Mungu Mungu atamharibu mtu huyo , Mungu atusaidie ile njia ni nyembamba sana
Kweliiii kabsa nywele za bandia ni kumkosoa mungu wanja eleni.wig suruary hvyo vitu vya kuzimu na wanawake weng ndo wanatumia hvyo na wachungaji awasemi kweliii
Ualimu ni huduma moja very sensitive sana. Unapofundisha hakikisha unachofundisha ni sahihi sana. Yakobo alionya sana kuhusu waalimu, akasema tutapata hukumu kubwa ( Yak.3 :1-2). Tukiisha wavua watu mawigi, hereni, mavazi mazuri ya thamani, na hata vitu vingine mbalimbali, mi nadhani hata pafyumu, mafuta, losheni, na vitu vyote vizuri. Usibakize chochote mtumishi. Tufundishe sasa namna ya kuvaa mapambo ya rohoni tufanyeje mwalimu? Tusaidie hapa maana unatufundisha. Mimi nina hamu sana ya kukusikiliza zile process za kuvaa vitu au mapambo ya rohoni. Nini kifanyike ili tuvae vitu vya rohoni? Hebu tusaidie mwalimu wetu. Mimi nakufuatilia sana mwalimu.
Juz hapa umemtoa kafara ndugu yako mbona watumishi hawakusem ila ww unaona ya wenzako tu toa kwanza borit yako kwanza ndo maana mke wako umemterekeza dhambi hiyo ni Jehanamu tu usjifariji ww haupo mtakatifu jikague kwanza ,na tunakuonya usirudie Tena kuweka picha za watumishi wa Mungu
Shida ya watumishi wa Mungu baadhi yao huwa wakisimama kuhubiri wanajificha kwenye KUITWA wakidhani wao wanajua neno kuliko watu wengine ambao siyo wachungaji au wainjilisti. Mtu yeyote aliyeokoka ana nafasi ya kuwa na roho mtakatifu na karama za roho kuwa nazo ikiwemo, Imani, neno la hekima, kutafsiri lugha, kuponya, matendo ya miujiza n. k. Paschal anadhani yeye anamjua Mungu kuliko hao anaowadhalilisha na kuonyesha picha zao kwamba anataka wapone kwa hiyo stahili huwezi kumrejesha mtu maana Upendo haupo ambao haukosi kuwa na adabu.
Mtumishe hongela sana mungu akubariki kwakazinzur nikwer makanisa ya sasa mengi yana tutia haibusana hasr mia 75 wanavaa nguo zakubana sasa makanisan kwer unaweza kujizuia
Ww huna lolote ufreemason haujakutoka na watakuua hao mafreemos ,nan akujibu ndo maana mke wako umemterekeza mbona watumishi wezako hawakusem nenda chuo cha bible mm nitakulipia ada
Ww hapo umejipamba muone toa borit ya jicho lako ,kanisa la TAG limekukosea nn mbona ukienda chuo chochote cha TAG utapokelewa mke kakukimbia so kisokolojia umekuwa maathirika nenda kanisa lolote la TAG au lolote la kipentecost utaombewa na mapepo ya ufreemason yatakutoka
katika maonyo na wewe unskosea pia maana kuna maandiko ya kuelekeza namna ya kuonya kulingana na rika .soma ktk timotheo uajua namna ya kuonya .ukiwa kijana huwezi mkemea mzee kama mtoto .huko ni kukosa hekima ya Mungu .soma biblia vzr.
Upo sawa mtumishi wa Mungu,, nami naomba nikuambie kitu ACHA KUCHONGA NDEVU chagua moja kuacha ndevu au kunyoa ndevu Maana siyo Neno la Mungu kuchonga ndevu
😂😂😂😂😂😂😂😂
kabisa
Barikiwa mtumishiwa Mungu Asante sana Rohomtakatifu azidi kukupaka mafuta yake Kila Leo,mbinguni hakuna mawigi wa ulembo,sana paskari,lnjili isiyogoshiwa,ha t,a,g ndio waongoza,marembo ya mwili wape neno hao ,
Kuchonga ndevu ni aina ya mapambo?
@@HadijaHsalehe-z4k soma mambo ya walawi 19:27
Bwana wa majeshi atakuwa pamoja na wewe mtumishi usiwe na hofu kabisa,
Nakupenda sana Paschal Cassian nakuombea sana pia ubarikiwe Ame.🇨🇩🙏
Amina sana mtumishi wa Mungu, I agree with you 💯 % mimi nakufatiliya sana from Johannesburg sandton
Kiukweli hii injili ya huyu mtumishi naipenda sana.!! Huyu ni MUNGU anazungumza kabisa na kanisa.!! Mimi ni TAG lakini naungana na wewe kabisa kukemea hili la kujipamba
nimefurahi sana kukutana na mtu anayekemea uovu, hakika UTUKUFU WA MUNGU idumu hata milele na milele hakika wakiwepo elfu kama wewe hakika ukweli wa haki utasema na kuwaokoa wengi hakika makanisa mengi yameshapotea hawasemi ukweli wala hawakemei dhambi wanabembeleza ili kumpeleka mtu kuzimu badala ya kukemea hawajifunzi YESU Mwenyewe alivyokuja duniani alikemea sasa hawa wachungaji wasikuhizi wananishangaza hawasemi ukweli duuh! namwomba ROHO MTAKATIFU awaokoe watu wake waijue kweli na si kufuata madhehebu bali wafuate ile kweli ya Mungu aliye Mkuu wavyote
Endelea kukemea tu usiache maana each wengi wanawapoteza kondoo kwa kuwaeleleza kwamba hizo Ni Sheria za dhehebu Fulani na kuwaficha washirika wao
Aliye na masikio asikie ,mlango unafungwa SIKU karibu sana,
Sikilizeni wimbo wa Mbarikiwa mwakipelesi unaoitwa Fungua mlango tuingie❤🙏🙏🙏 YAANI watu wanaonywa LAKINI wanadharau TUBUNI TUBUNI ,UNYAKUO Huko Karibu sana Amina ,mtumishi wa MUNGU DAMU ya YESU ikufunike milele 🙏🙏🙏🙏❤
Ubarikiwe mtumishi wa BWANA. Tumewakimbia kwa uovu huo .wanaleta watu kanisani hawawaleti watu kwa kiristo. Wamesikia ole wao wasipobadilika.
Enyi kizazi chenye kutaka ya dunia, sikilizeni sauti ya mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, akukinge na hila zao zote. Shetani amewapofusha macho. wale ni wafuasi wa shetani. Tunakupongeza kwa ujumbe huu. Bwana awasambaze maadui kwa njia saba, mutumbukie wenyewe katika mashimo yenu. Hii ni enjili kamilifu, bibi arusi tujiandae bwana yu aja.
Hongera sana Kwa mafundisho mazuri mungu akitie nguvu pia awaondolee upofu watu wanao kiuka maandiko ya biblia
Eee Mungu tunaomba mim nawew unayesoma hii coment , Mungu ututie nguvu tumalize mwendo salama tuanze na roho tumalize na roho Amen 🙏
Hajui kitu huyu mhuburi
Usimdikiliize Soma Ezekiel 16:10-14
Pamoja sana
@@peterjusine8509samahani mtumishi nakuomba urudie tena kusoma vinzuri
Nimungu atakupamba au wewe ndo unajipamba
Kama mungu anataka sisi tujipambe
Mbona Mungu aliwambia waisilaeli wavue mapambo alipo mwambia musa ninyi ni watu wenye shingo ngumu
Kama Mungu anataka tujipambe
Mbona yakobo aliwambia wakezake waondoe miungu migeni
Nawakatoa bangili pete masikioni
Nakingine naomba uniambie ni mwanamke gani kwenye biblia aliye wahi jipamba zaidi ya yezebeli mama wa makahaba
Subili Mungu akubambe mwenyewe maana mpambo yake ni salama
Mtumishi hujawahi jiuliza
Ukipita barabarani ukamkuta kahaba kakipodoa na mlokole kjipodoa Bila kuwajua utajua mlokole ni yupi na kahaba ni yupi
Lazima kuwe na tofauti kati ya
Delila na naomi
Cassias yupo sahihi
Angalia wokovu wa miaka ya nyuma na miaka ya leo ni tofauti
Unafikili kwa nini mzee magembe anapiga kelele anaona kanisa limepoea
Roho ta yezebelel iko madhabahuni Leo
Tutapataje kupona
Je Mungu yupo kanisani leo
Tuvue mapambo
Wokovu ni ndani na nje pia
Leo waibaji wanapanda kwenye madhabahuni kuimba mawigi viatu virefu malipstik vimini
Nisauti tu nzuri zina toka lakini uwepo hamna
Mungu atusaidie sana
@@MeshackChimeselayezebeli ni mama wa makahaba
Hiyo roho ya yezebeli itoke kanisani
Lazima kuwe na tofauti kati delila na naomi
Mungu akupe kufahamu
Asante sana Mtumishi wa Mungu kwa hili kweli kabisa Mtumishi wa Mungu Umungunyi maneno. Wewe kweli kabisa umeitwa na Mungu kweli kweli. Si wengi wanasema wameitwa na Mungu na wanakuwa hawasemi ukweli ni wanafiki sanaa. Wanaficha ukweli na wanawaonea haibu wasiwaseme wakubwa kwa makosa yao. Mbele ya Mungu wataulizwa mbona umetumwa na hukusema? Yale ya King Sauli alitumwa ahue kila kitu lakini akaua nakuacha vitu vizuri na vinono. Mungu akamnyanganya ufalme. Asanteni sanaa.
Ubarikiwe sana mtumichi wangu ata Léo watakala kuitika ukweli lakini ukweli utabakiya ukweli
Mawigi c sawa ,acheni kufarijiana humu,ubarikiwe mwinjilist.
BWANA YESU ALIE HAI ASIFIWE
Mimi nimeokoka unachohubiri ni sahihi Muinjilisti Pascal cassian,mimi nimezunguka makanisa mengi ya kiroho, ila Tag limejaa wanawake wanajichubua,wanawake wavaa vimini,surely mpaka bikini,na kuna mpaka wachungaji wanawake wanajichubua na dhambi nyingine nyingi ukiwemo uzinzi MUNGU Atusaidie
Praise God Amen be blessed and God be with you and your family all the time be strong in the name of Jesus Christ 🙏🙏🙏
Nyie mnaomtukana Paschal Cassian endeleeni kutukana ila ananena yaliyo ya Mungu
Yes it's true
@@remigioushofa2817 hata wao wanajua sema ni kujichomoa tu.
Mengine ni mapepo ili wengine waone kuwa hayuko sawa
Kwanini haonyi kanisa lake
Biblia kwani ziko tofauti? Biblia nimoja. HILO SWALI NILA MTU AMBAYE HANA AKILI VIZUR , SAMAHANI KWAKUONGEA HIVYO
Mungu hatakubari kifo kikupate kabura ya watu wake kutambuwa ukweli na kumurudiriya Mungu usiwogope wewe endeleya na injili ya kweli wala usichoke tunakupenda ❤❤❤❤❤❤
Ubarikiwe na Yesu mtumishi wa Mungu, ukweli unauma ,njomaana, wana guswa sana, Muchristu wa kweli kila nywele bandie zina kuwa zina tuukumu, , songa mbele Yesu akutangulie, umepasua jipu, mwenye sikio na asikie, iivita unaenda anza naulimwengi Yesu asimame nafasiyako. Ulimwengu hauta kuelewa
Ubarikiwe sana mutumishi wa Mungu. Kanisa za sasa ni umbwa mwitu. Awa jali wa kristo . Wachungaki wa Leo ni ajiri ya tumbo zao. 2 wathesalonike 2:15. İyi Maandiko apo tu simame imara Mutumishi. Mungu aku bariki . Tupo nyakati za Mwisho . Yasu Ana rudi
Amen mtumish mungu yupo na wewe from Kenya unasema kweli kabisa
Cassian umenifanya niokoke nakubaliana na wewe kabisa naomba kuongea na wewe sana najua utanisaidia❤
❤😂 mama Mshukuru Mungu amekujilia kwa hili.,,kazi umefanya kubwa mama tu wigi natuereni kusikuondoe kwenye njia.Casians semaaa tu.sema tuuu tuponeeer ya kale yamepita tazama sasaa yamekuwa. Mapyaaaa.😂❤
Mungu akulinde sana hakuna mbingu ya dhambi
Ubalikiwe sana kweli itabaki kuwa kweli hatakama watu wapinge au wakubali🙏🙏🙏
OKOA MAELFU KWA JINA LA YESU KRISTO Halleluyah Halleluyah Halleluyah
Amen 🙏🙏 piga kelele mtumishi watu wasikie hallelujah walio na sikio wasikie 🔥🔥
Hongera mtumishi na Yesu akulinde Kwa kumtengenezea kanisa
Wala usiionee haya injili, tueleze ukweli ili tupone na hukumu yenye kutisha maana siku zimeisha!! Mwenye sikio asikie, anaebisha abishe, neno la Mungu limehakikishwa mara saba wala halitanguki! Mungu akubariki saana kaka!!
Pascal mimi nakuombea kunamuda nalia natamani unipe namba yoko tuongee mutumish wamungu akupe maisha malefi nakupend mch ngaj wangu pascal
Hata Yesu Kristo alimshinda shetani kwa Neno hata Cassian naye anawaonya kwa Neno hilo hilo
Mmekuwa wavivu wa kusoma maandiko mpo tu kama maroboti hamna neno ndani yenu
Pascal Cassian mtumishi wa Mungu ikemee dhambi ili tuokoke
Mwenye maskio na asikie na mwenye macho na aone
Zipo nyakati zinakuja hamtalisikia hili Neno na zipo nyakati zinakuja hamtawaona hawa watumishi🚶🚶🚶
Ni kweli 🏃🏃🏃🏃🏃 itakapofika wakati Kama huu kulitafuta Neno huku na kule
Amen mtumishi hii ndo injili tunaitaka sio wale wanahubir mafanikio mda wote
Amina mtumishi Wala unabaya maana wewe kazi yako ni kusema ukweli tu mbona unaongea vizuri sema Kila mtu labda na fikla zao na maoni yao sio wewe maana unaongozwa na MUNGU kemea mtumishi Kama kwel unaongea hovyo ungekuwa umepigwa na MUNGU siku nyingi sana endelea mtumishi kuonya na kusema ukweli tu Amina
@@MakaliusNgua-y9g yy ndo anaongoza na Mungu ,iv huyo si tulimukota alkuwa mfu na ufreemason wake Leo tumempokea haohao anawakashifu walimpokea Leo wabaya kwel huyu elimu shida na wivu pia umaskin kashindwa kumnunulia mke wake had kamaterekeza Sasa wivu Kwa wake za wenzake na ole wako utongoze na kuzin na kondooo maana ww hatar
Mhh Kama kaokotwa juzjuzi tu Basi amenyenyekea kwa MUNGU ndio maana MUNGU kamkweza kamuweka juu kuliko wale walioanza zaman alafu MUNGU hangalii umekaa mda gani anaangalia anae nyenyekea na kutii sauti yake alisema fanya haya uyafanye Kama angekuwa bado Yuko huko MUNGU Baba angemuumbua alafu lmani pia inapimwa jua hao maaskofu na wachungaji wameipima Imani yake tusitusi tusijepata laana kwa MUNGU😢😢😢
Ee MUNGU wa mbinguni tazama mtumishi wako amekubali kukutumikia mjaze nguvu halleluyah
Piga kelele shujaa wa bwana 🤝
Ubarikiwe saaaaaaana mtumishi,wanafikiri sisi wasiojipamba ni maskini na washamba.Thank you 🙏🙏🙏
Nilikua nawasubir watu kama Hawa uwe na maisha marefu
Roho wa Mungu kila sekunde anatafuta yule anaemwabudu MUNGU katika Roho na KWELI .Ahsante sana Ev.Cassian Mungu awe nawe katika kila njia yako
Mke wake Yuko wapi?
@@pstrafandelaizer2017kwani mke wa paulo yuko wapi?
Mtakatifu ni Mungu tu pekee wakuogopa. Umetumwa na Mungu kufanya kazi yake. Na Mungu ndiye atakayekupigania kwa kazi hii unayofanya. Kwa bidii hii kweli Umetumwa na Mungu ili Wakristo
wabadilike kwa mwenendo wao. Mungu akusimamie na utashinda. Usisikilize mafanatiki Mungu anawaona na watalipwa mshahara wao. Ni siku za Mwisho unyakuo unakaribia sana.
Sema tuponeeeeee maana hatusikii na Mungu akupe maisha marefu ukee huu uuezeberi
Mapambo ni dhambi
Mapambo ni dhambi
Mapambo ni dhambi
Mapambo ni dhambi
Kupaka piko dhambi nk wana TAG wenzangu tuamke mapambo ni dhambi
Ndo Maana unapauka sio😅😅
Ndo Maana unapauka sio😅😅 kwa sababu ya kutambua dhambi😮😂😂
Ndo Maana unapauka sio😅😅 kwa sababu ya kutambua dhambi😮😂😂 Yani mmerogwa na huyo Mchungaji wenu na kurogwa nikudanganywa na wewe ukaamini sio kuacha mapambo inabidi ufutike duniani😅 maana utaki mapambo na wafanya biashara Wa mapambo wakiwasikia mnalo😂
Wewe siyo t.a.g
wewe msabato umemaliza matatizo yko
Mungu akutumie vyema sana Pascal casini ukwl usemwe maliza kazi aliyo kupa Mungu huo ndio ujumbe ambao Mungu anataka ufikishwe kwa watu tumika kwa kazi ya Mungu na Mungu mwenyewe atakuwekea ulinzi wake ila pia yupo pamoja nawe unaposoma kitabu cha mathayo 28:19:20 anasema yeye atakuwa amoja nawe usikate tamaa kuuambia ulimwengu ukweli Mungu akusaidie sana tuna barikiwa sana na huu ukweli wako
Kweli kabisa Mungu akubariki sana tunaelewa
Asante sana mtumishi wa mungu kwakazi unayofanya mungu akubariki katika jina lá yesu ame.
Hivi lengo la kuvaa mawigi, kupaka wanja, lipstick, kusuka rasta, kupaka shedo ni nini? Tukijua kwanini watu wanafanya hivyo utajua kwanini haifai. Ni kukosoa Uumbaji wa Mungu. Wanaofanya hivyo mara nyingi huisi kama hawavutii bila kufanya hivyo tafakari. Napita tu
Mungu akubaliki mtumishi
Wewe namtume maliyabwana atawawazarahu chapeni kazi yabwana tu mtalipwa nabwana amina
Hapo Acha vyuma viumane .maana kasiana anadai mungu kamtuma na askofu mtoka mbali nae katumwa na mungu hapo tunamuachia mungu aamue kat yako na askofu.mungu ajulikane
Ubarikiwe sana mtumishi. Mungu atusimamie.
Uliitwa kwenye wakati huu, chapa kazi mtumishi
MUNGU akubariki Kwa injili ya kweli upo sahihi ni kweli kanisan la Leo limetawaliwa na Roho ya yezebeli shida wanapotoa maandiko yaani sisi wanawake kuiona mbingu tutasubili sana mapambo ni ushetani mbona maandiko Yako wazi jamani, Mimi binafsi nafarijika kusikia injili kama hii.
Yes walokole wa Leo ni kujichubua tu
HIVI VYUO VYA WACHUNGAJI, VIMECHANGIA KULIHARIBU KANISA.
Huo ndio ugonjwa unaoliua TAG.
kwanza nimefurahi sana kukutana nawewe na kusikia mahubiri yako yaliyo ya kweli, mimi kwanza lile tamasha nililikosea mambo mengi kwanza askofu anasifia heti Raisi ana uongozi uliotukuka duuh siku hizi maaskofu wanaowaongoza wachini leo wanawafundisha kuabudu watu ambao tayali wamekuwa miungu kwa kuwaita wana uongozi uliotukuka wapi mwanadamu akawa na utukufu, nilikereka sana huyu askofu mtokambali wamchunguze inawezekana kuna viongozi kama hawa wametumwa na kuzimu kuua makanisa angalieni .
Praise God 🙏 Amen thanks again for preach the word of God. Right way in name of Almighty. God 🙏🙏🙏 thank you
Mafundishoyako yameniinua kwakiasi kikubwa sana ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Mtumishi songa mbele usiogope
Mungu anatafuta mtu atakaye simama na kuliambia kweli kanisa na siyo picha ya mtu
Sema mtumishi wa Mungu tupone . Napenda unafundiasha kweli ya Mungu
Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana
Amina mtumishi wa Mungu siku hizi ukimwonya mtu anasema eti unamhukumu ameshindwa kujua tofauti ya hukumu na kuonya.Mungu atusaidie sana.
Paschal Mungu akuinue zaidi
Mungu atakulinda na wakupingao maana wanaopinga nimiongoni mwa wapinga kiristo baba.
Safiiii sanaa MUNGU akutie nguvu endeleaa mbele
Shujaa wa Imani endelea. Kumpa mungu. Utukufuu
Uko kwenye njia ya kweli Mungu akutie nguvu na fanya Mungu anavyokuongoza ni kweli tupu wamejisahau ßiku zimeisha
Ubalikiwe sana mtu mishi wa mungu mungu akutie nguvu
Mwacheni mtumishi wa MUNGU kufanya Kazi ya MUNGU Kwa amani. Nabii Eli alikufa kifo cha kuvunjika shingo Kwa kushindwa na kukemea wanawe wawili (Ofni na Fineasi) walipo chezea madhabahu ya MUNGU kwa matendo yao mabaya.
Ila kiukweli mungu tupe kusikia zaidi yakusikia na hofu yako iwe juu ya mioyo yetu
Sema mtumishi tuponeee
Cassian Mungu atahukumu nia zao nia za watumishi wengi wameingia kama kazi zingine ila.huko mbele hukumu ni kubwa sana
Ameni Mtumishi wa BWANA, piga kazi
Mungu atutete unatutengeneza mtumishi amina
Njia ni Moja tu . Yesu kristo siyo mwanadamu.
Endelea kutuonya mtoto wa Yesu....wanaotukana Yesu awakemee
Mungu akulinde mchungaji
Mimi nafikiri nikushauri uwatafute uwafundishe Kwa hoja Hulu mtandaoni ni kuwatoa watu katika imani
Sauti iliiayo nyikani .... God bless you
Aaaa na hapa ndipo kanisa limepoteza mwelekeo wake kuvaa mawigi kujichubua na mengine mengi
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu ni kweli kabisa katiba ya kanisa ni Biblia imeandikwa 1 Petro 3:3-5 utakatifu ni nje na ndani watu wanajifariji Mungu anaangalia ndani tu si kweli kilicho ndani huonekana nje Mungu anataka tubaki tukiwa be kama tulivyo zaliwa ,Biblia inasema mtu akiliharibu hekalu la Mungu Mungu atamharibu mtu huyo , Mungu atusaidie ile njia ni nyembamba sana
Kweliiii kabsa nywele za bandia ni kumkosoa mungu wanja eleni.wig suruary hvyo vitu vya kuzimu na wanawake weng ndo wanatumia hvyo na wachungaji awasemi kweliii
Ualimu ni huduma moja very sensitive sana. Unapofundisha hakikisha unachofundisha ni sahihi sana. Yakobo alionya sana kuhusu waalimu, akasema tutapata hukumu kubwa ( Yak.3 :1-2). Tukiisha wavua watu mawigi, hereni, mavazi mazuri ya thamani, na hata vitu vingine mbalimbali, mi nadhani hata pafyumu, mafuta, losheni, na vitu vyote vizuri. Usibakize chochote mtumishi. Tufundishe sasa namna ya kuvaa mapambo ya rohoni tufanyeje mwalimu? Tusaidie hapa maana unatufundisha. Mimi nina hamu sana ya kukusikiliza zile process za kuvaa vitu au mapambo ya rohoni. Nini kifanyike ili tuvae vitu vya rohoni? Hebu tusaidie mwalimu wetu. Mimi nakufuatilia sana mwalimu.
Nmkupata
Huyu ufreemason haujamtoka Sasa ss tutamfuata tukemee Pepo Hilo ndo maana ameshaanza kutoa wenzake kafara
Juz hapa umemtoa kafara ndugu yako mbona watumishi hawakusem ila ww unaona ya wenzako tu toa kwanza borit yako kwanza ndo maana mke wako umemterekeza dhambi hiyo ni Jehanamu tu usjifariji ww haupo mtakatifu jikague kwanza ,na tunakuonya usirudie Tena kuweka picha za watumishi wa Mungu
Weka picha ya wazaz wako wakiroho kama unao kama huna weka picha ya wazaz wako wa kimwil na usiwataje watumishi utafungwa Bure na mbingu iokose
Pascal Cassian wewe ni mtu mhimu yote unayoyasema ni kweli sana.
Amina powerful message
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
Piga kazi baba
Shida ya watumishi wa Mungu baadhi yao huwa wakisimama kuhubiri wanajificha kwenye KUITWA wakidhani wao wanajua neno kuliko watu wengine ambao siyo wachungaji au wainjilisti. Mtu yeyote aliyeokoka ana nafasi ya kuwa na roho mtakatifu na karama za roho kuwa nazo ikiwemo, Imani, neno la hekima, kutafsiri lugha, kuponya, matendo ya miujiza n. k. Paschal anadhani yeye anamjua Mungu kuliko hao anaowadhalilisha na kuonyesha picha zao kwamba anataka wapone kwa hiyo stahili huwezi kumrejesha mtu maana Upendo haupo ambao haukosi kuwa na adabu.
point
Mungu anaangalia moyo baba achana na WA Tag wahubirie neno atakae Ona hataki wifi ataacha mana kilJambo na wakati wake tutaacha taratibu bana
Mungu,akusimamie
Mungu akutie nguvu akujaze hekima na maarifa mengi sawasawa na isaya 11;1-3
Naww ndevu nakupenda Sana kwa aya
Mtumishe hongela sana mungu akubariki kwakazinzur nikwer makanisa ya sasa mengi yana tutia haibusana hasr mia 75 wanavaa nguo zakubana sasa makanisan kwer unaweza kujizuia
Ww huna lolote ufreemason haujakutoka na watakuua hao mafreemos ,nan akujibu ndo maana mke wako umemterekeza mbona watumishi wezako hawakusem nenda chuo cha bible mm nitakulipia ada
Ww hapo umejipamba muone toa borit ya jicho lako ,kanisa la TAG limekukosea nn mbona ukienda chuo chochote cha TAG utapokelewa mke kakukimbia so kisokolojia umekuwa maathirika nenda kanisa lolote la TAG au lolote la kipentecost utaombewa na mapepo ya ufreemason yatakutoka
Ameeeeeeeeen mtumishi wa bwana yesu kristo
katika maonyo na wewe unskosea pia maana kuna maandiko ya kuelekeza namna ya kuonya kulingana na rika .soma ktk timotheo uajua namna ya kuonya .ukiwa kijana huwezi mkemea mzee kama mtoto .huko ni kukosa hekima ya Mungu .soma biblia vzr.
Bwana mdogo amezidi sasa na amevuka mipaka yake sasa muda si mrefu Mungu atampa majibu yake tu.
Bwana YESU KRISTO turehemu
Tunashukuru kwa ushauri .tunaomba utuambie naadhara yaliyo ndani yake ili waamini tujirudi
Cassian hebu soma Ezekieli 16:1-14, Mungu Baba ni Mume na Yerusalem ni Mke...
Haleluya injiri ya kweli hiyo
Ukweli unauma lkn mahali Dunia imefika kuhubiri ujumbe kuhusu mapambo,lzm uchukiwe,na hasa wanawake.
Baba Mungu akukumbuke
Pole huko ni kudhalilisha na nenda moja kwa moja basi kwa askofu kwa nini usiende kwenye mitandao nami naona unajupalilia tu poole
Hila jamani hao waimba kwaya kama mashetani, na nguo nyeusi na nyekundu
Sawa bwana wewe malaika uliyeshushwa kutoka mbinguni.
Barikiwa sana mtumishi Yesu anarudi fanya kazi watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
fanya.kazi.baba