Songa mbele ndugu Paschal mtumishi wa Mungu. Unanena kweli tupu. Njia ni pana iendayo upotevuni na njia ni nyembamba iendayo uzimani na waionao ni wachache. Njia ya kweli imesongwa na mafundisho ya uongo . Paza sauti tu wa kusikia atasikia yule wa kupotea hawezi kusikia lakini wewe umemaliza. Nakukubali na Mungu akubariki.
Napenda saana huduma yako Mungu akutie nguvu maana unachimbia saana maandiko hubir injili mataifa wote wauskie ukweli injili ipenye ulimwengun kote ili Yesu arud Yesu anachelewa kurud sababu injili yake bado haijafikia watu wote hata kama nikwachoz injili ya Yesu isongeeee mbele Mungu anahitaj watu mashujaa kama ww barikiwa
Fanya kaz ya MUNGU kaka tajiyako utaikuta Mbinguni usiache kuwataja maana hawawezijua kama wanaokosea kemea kabisa cassian umepata mahal pa kusemea sema watu wapone
Mungu pekee ndiye anajua! Binaadamu amejaaliwa vipawa vikubwa kwa mfano wa Mungu, hivi ndivyo mungu asiye na mwisho aliumba. Mwanaadamu ni muongo sana. Usipokuwa na education and skills unaweza dhania ni mungu anasema. Biblia unasema hakuna mwanaadamu ailiye wahi kumuona mungu hakuna.
Sina uhakika na utume wa miaka hii. Mitume wenyewe hawaaminiani na kila mmoja anamwona mwenzake hafai. Kwa hiyo wote hawaaminiki kwangu. Mitume na manabii walishakufa siku nyingi hawa wamejaa maigizo ya utume na unabii. Hata hivi ukweli wa Mungu wa kweli umebaki palepale na NDIYE tunaye mtegemea. Sisi Binadamu tulio wengi ni waharibifu na wanafiki wakubwa kwa Mungu na hii itatugharimu sana. Tunahangaika na watu na mali kuliko Mungu.
Inuliwa mpaka mbingu za mbingu inuliwa sana nabarikiwa sana na mahubili yako maana nakuona kama paulo alivyoifanya kazi ya MUNGU bila kuchoka barikiwa sana mteule piga injil isiyo kipolo MUNGU akulinde
Biblià inasema, usihukumu usije ukahukumiwa, ondoa kwanza boriti iliyo ndani ya jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako. We unashindwa nini kuhubiri ulichoitiwa? Habari za mwenzako zinakuhusu nini? Kama unaona ni manabii wa uongo si uwaombee?
Tumia akili ya kiroho ya Mungu ila usitumie akili yako yakidunia dadaa 🙏anaeongozwa na roho wa Mungu asemi kma hivi unavyosema .ukweli wa Mungu lazima usemwe si eti wajua ukweli na unanyamaza tuu ndio maaana Dunia yaaangamia kwaajili watumishi wanaogopa kusema ukweri 😢
@@MaryMichaelMaryMichael-i7o Wewe una shida na ndio wale wale, Anachosema huyo kijana Yuko sawa,Huyu ni ni Mtumishi wa MUNGU Anachosema ni kweli tupu.
WE HUBIRI TUU NA KUTANGAZA NEÑO LA BWANA. WANAOKUSEMA ACHANA NAO. MUNGU PEKE YAKE NDO ANAJUWA NANI MTUMISHI WA MUNGU WA UKWELI, NA YEYE NDO ATAKAYE TOWA HUKUMU.
From Kenya am here for pastor Cassian
Amen ubarikiwe mtumishi mimi naitwa PATRICK naomba uniombeye mtumishi mimi pia ni mtumishi lakini nimepoteza lengo na wito Wangu
Omba mwnyew piya tafuta MUNGU kwa bidii sana ataonekana kwako
Songa mbele ndugu Paschal mtumishi wa Mungu. Unanena kweli tupu. Njia ni pana iendayo upotevuni na njia ni nyembamba iendayo uzimani na waionao ni wachache. Njia ya kweli imesongwa na mafundisho ya uongo . Paza sauti tu wa kusikia atasikia yule wa kupotea hawezi kusikia lakini wewe umemaliza. Nakukubali na Mungu akubariki.
Mtumishi mi sina chakukupa lakini nitakuombea mungu akukukumbuke akuzingile kupe ulizi akupe nguvu yakuhubili mungu akubariki sana
Hongera saaana mtumishi wa MUNGU kuhubiri enjili ya kweli
Napenda saana huduma yako Mungu akutie nguvu maana unachimbia saana maandiko hubir injili mataifa wote wauskie ukweli injili ipenye ulimwengun kote ili Yesu arud Yesu anachelewa kurud sababu injili yake bado haijafikia watu wote hata kama nikwachoz injili ya Yesu isongeeee mbele Mungu anahitaj watu mashujaa kama ww barikiwa
Uinuliwe sana Mpendwa wa KRISTO YESU,
Amen mtumishi wa Mungu, piga kelele usiache
Amen injili yako imenijenga sana mungu akubariki san
Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu azidi kukulinda unaposema ukweri nakukemea maana shetan hafurah lkn simama usiogope mungu yupo isaya 58:1
Amin 🙏🙏🙏 mungu akubariki mtumishi WA mungu
Fanya kaz ya MUNGU kaka tajiyako utaikuta Mbinguni usiache kuwataja maana hawawezijua kama wanaokosea kemea kabisa cassian umepata mahal pa kusemea sema watu wapone
UBARIKIWE SANA
Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe
Ubarikiwe sana
Hongera mtumishi wa MUNGU ,,,hizo nguvu unazotumia kuongea sio mchezo,,, MUNGU akuoe pumzi yake zaidi
Barkiwa Mtumishi
Amen Mungu akubariki!
Oh my God!!!
Ila we mchungaji unahubili nye natamani nisali hata sku moja kanisani kwako ufanikiwe kama loho yako itakavyo nakupenda sana pasta paskali kasiani
UBARIKIWE MTUMISHI wa MUNGU husinyamaze kuhubiri injiri ya kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa na wamepumbazwa na miujiza ya bandia
Amen Amen Amen 🙏🙏 asande
That's good to be a one man army in CHRIST, no retreat no surrender amen amen ameeeeeeeeeeen
Mungu pekee ndiye anajua! Binaadamu amejaaliwa vipawa vikubwa kwa mfano wa Mungu, hivi ndivyo mungu asiye na mwisho aliumba. Mwanaadamu ni muongo sana. Usipokuwa na education and skills unaweza dhania ni mungu anasema. Biblia unasema hakuna mwanaadamu ailiye wahi kumuona mungu hakuna.
Mungu akubariki❤
Amina, Mtumishi wa Mungu
Naitwa Mariam niombee nisimame nimutumikie mungu kwaloho nakweli
Amina mutumishi wa mungu
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu , Amina ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sina uhakika na utume wa miaka hii. Mitume wenyewe hawaaminiani na kila mmoja anamwona mwenzake hafai. Kwa hiyo wote hawaaminiki kwangu. Mitume na manabii walishakufa siku nyingi hawa wamejaa maigizo ya utume na unabii. Hata hivi ukweli wa Mungu wa kweli umebaki palepale na NDIYE tunaye mtegemea. Sisi Binadamu tulio wengi ni waharibifu na wanafiki wakubwa kwa Mungu na hii itatugharimu sana. Tunahangaika na watu na mali kuliko Mungu.
Inuliwa mpaka mbingu za mbingu inuliwa sana nabarikiwa sana na mahubili yako maana nakuona kama paulo alivyoifanya kazi ya MUNGU bila kuchoka barikiwa sana mteule piga injil isiyo kipolo MUNGU akulinde
Nampenda sana huyu mtumish .
Biblià inasema, usihukumu usije ukahukumiwa, ondoa kwanza boriti iliyo ndani ya jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako. We unashindwa nini kuhubiri ulichoitiwa? Habari za mwenzako zinakuhusu nini? Kama unaona ni manabii wa uongo si uwaombee?
Tumia akili ya kiroho ya Mungu ila usitumie akili yako yakidunia dadaa 🙏anaeongozwa na roho wa Mungu asemi kma hivi unavyosema .ukweli wa Mungu lazima usemwe si eti wajua ukweli na unanyamaza tuu ndio maaana Dunia yaaangamia kwaajili watumishi wanaogopa kusema ukweri 😢
Wacha kufuta akili yako ...maana hata neno linasema heri uongozwe na roho kuliko akili
NA HAMNA MKAMILIFU DUNIANI.
MUNGU akubariki kwakweli yako
Na kanisa la grace mwinjilist???g.e.c
🤲ubalkiwe sana
Ameni be blessed
Asante kwa mafundisho haya.ubalikiwe
Kulingana na Neno mwanamke sio mchungaji.
Amen.🙏🙏🙏
Mtumishi WAMUNGU MUNGU azidi kuku Linda
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
Ubalikiwe tu
Uuwi ameen kaka pascal
Kuishi ni kristo kukufa nifaida mchungaji
Ameeen
Amen
Amina
Kemea kabisa
Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia hii bali Roho atokae kwa Mungu----1Corinth-2vs12
Huduma yako iko wapi mtumishi! Nahitaji kuja kuabudu hapo 🙏
wewe ndio matumishi wa mungu ninae muamini uko katika njia ya kweli
Kwan unafikir naye uwa akosei ama😢binadam piya anaitaji maomb yako piyaa wew mtafute binafs MUNGU anaonekana dhahiri kabsaaa anasema na watu
@@MaryMichaelMaryMichael-i7o Wewe una shida na ndio wale wale, Anachosema huyo kijana Yuko sawa,Huyu ni ni Mtumishi wa MUNGU Anachosema ni kweli tupu.
kwanini, sehemu kubwa ya walokole ni Mazombi? Huyu naye vipi, si mpiga Dili.?au zombi?
Acha ujinga uwe unaelewa mtumishi anasema nini unajibu Tu hujielewi au
Huwezi kumuita mtumishi WA Mungu zombi pascal ni Kati ya majasusi ya mbinguni
Imeandikwa na tuzichunguze hizo roho kwamba zatokana na Mungu?hivyo mtumishi wa Mungu fanya kazi yako ili watu wasipotee...NENO LA MUNGU ndio msingi.
MUNGU atusaidiye
WE HUBIRI TUU NA KUTANGAZA NEÑO LA BWANA. WANAOKUSEMA ACHANA NAO. MUNGU PEKE YAKE NDO ANAJUWA NANI MTUMISHI WA MUNGU WA UKWELI, NA YEYE NDO ATAKAYE TOWA HUKUMU.
👏🤝
Ameeeeeeeen
AMEIN
Ameeeeeeeeen