PABLO ALMAS afunguka kisa chakuondoka MANARA TV nakwenda CROWN MEDIA, MANARA wameni BLOCK

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 มิ.ย. 2024
  • Jiunge nasi kupitiaa mitandao yakijamii Facebook, Instagram na Twitter gusa link za zetu apo chini pia waweza kuchat nasi kupitia whatsapp ama kutupigia kawaida kupitia namba zetu ni +255755449629 karibu sana kwa habari mbalimbali
    .
    FACEBOOK / minotv
    INSTAGRAM / minotv_tz
    TIKTOK / minotv_tz .

ความคิดเห็น • 17

  • @lodricklazaro1013
    @lodricklazaro1013 หลายเดือนก่อน +5

    please naomba kujua Pablo anauwezo wakuongea lugha ngapi na nizipi hizo pia ajaribu kujieleza japo kidogo kwakila lugha please

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 หลายเดือนก่อน +2

      Si kiingera kifaransa na kiswahili si Amekua akihoji watu kwa lugha hizo na tumeona

  • @Mgema001
    @Mgema001 หลายเดือนก่อน +4

    Kama mond anavomkubali jamal April ndivo kiba anavomkubali pablo, hawa washikaji wote ni watu poa

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing หลายเดือนก่อน +2

    Pablo Namkubali Xana Anajuw 🎉❤🎉

  • @user-su5eg9cs6b
    @user-su5eg9cs6b หลายเดือนก่อน +3

    Big up pablo

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 หลายเดือนก่อน +1

    Pablo ni mzima sana

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri dogo

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 หลายเดือนก่อน +2

    Pablo yupo visuri

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 หลายเดือนก่อน +1

    sound mbovuuuuuuu

  • @Manumwarome001
    @Manumwarome001 หลายเดือนก่อน +5

    Twaskia Alikiba sai ako na gari mpya kwa mjibu wa mwijaku so please fatilia tujue ni gari aina gani

    • @abasilihundu200
      @abasilihundu200 หลายเดือนก่อน +2

      Duuh 😅😅

    • @Official_bizedd
      @Official_bizedd หลายเดือนก่อน +1

      Itakua n carina hiyo gar

    • @Official83640
      @Official83640 หลายเดือนก่อน +1

      Hivi Kiba anaonyeshaga gari zake kweli km wengine?

    • @Manumwarome001
      @Manumwarome001 หลายเดือนก่อน +2

      Haonyeshi bt utaliona wakati akiwasili eneo la tukio

    • @Official_bizedd
      @Official_bizedd หลายเดือนก่อน +1

      @@Official83640 hana tu ndo maana