ROMA ni
Rhymes
Of
Margic
Attraction.
Maambie mzee baba asitupangie jina
one of the best rapper ever in Tz 🇹🇿 #Goat #harakati ✊
Rhymes Of Magic Attraction ❤
kaka Roma ametisha sana albamu nzuri👍👍👍💪😇😇😇
Roma umetisha
KWA HIYO ALBAM HUYO HARUDI..NDO ISHATOKA IO
Jamaa ni story teller mzuri
Nomaaaa sana❤
Viongozi wa Tanzania hawapendi watu wenye akili wanataka wajinga wajinga waowasifia kwa ujinga na mapenzi respect sana mdogo wangu Roma mkato
Dah we mtangazaji mikono unaizungusha sana
mama anafaa kurudisha mpira kwa kipa kuanza upya sio dhambi
Pamoja sana Roma
Chinsali Zambia
Play hata ngoma moja mnabonga sana 😂😂😂😂
Dogo unauwezo mzuri WA kufikir salut pia Roma uko vzur kujb vipengele
Bonge la Album
🎉🎉
🎉
Yule alie vamia nawingu
❤🎉
😮mhh kama mwanaume kweli rudi
Makonda saivi ni msafi sio wa zamani
Roma kubwa lao
Mtangazaji unanawa sana mikono tuliza hiyo mikono unaboa
Na ww ukitaka nawa mikono mbwa ww,, kwan akinawa husikii kinachoongelewa???
Roma mkatoriki
Yule aliyefamia mawingu ni clouds ☁️🌨️ 😂😂😂
Suali lakizushi
Ivi hawa mapresenter ukiwafunqa mikono je hawataweza kuonqea.?
Ikiwa jibu ni hapana,kuna ulazima qani wa kuchezesha mikono!
Rudi nyumbani kamanda Roma
Album ya picha hamna ngoma hapo
Kaka roma ivi unamuonaje mwakinyo
Hii hapa hii nani kaskia
Mkato
Tatzo tunaiskiliza hip hop ni sisi wachovu unafikir mm nikipata mkwanja ntawaskiliza kina fid q tuanze kuumizana vichwa hapo simba la masimba na king
Mange kimambi wa kiume Roma
Upumbavu tu huo Hakuna kitu kbs mmezira ss twala
Interview ni kitu gani kama sio umbea tu. Hamtangazi tukio la roma moja kwa moja mnapitia miziki,maneno mengi, yanini sasa kama sio kula mb zetu mtandaoni?! Radio free africa tulikua tunampenda sana EMANUEL MKUWI kwa habari zake alitrend kwakweli sasa nape kawafungia kwa gharama na sheria haramu za habari...Hawa ccm ni mashetani ndani ya taifa hili, watawezwa na Mungu tu kupìtia manabii wake...
Me nakutabilia kuchukua nchi ❤❤❤
Jama anajua kufanya interview Big UP sana🇨🇩