ความคิดเห็น •

  • @hemedynyuki4389
    @hemedynyuki4389 23 วันที่ผ่านมา +19

    Chid Benz aliongea tayar kuusu alikiba so ndo hvyo😂😂

  • @abasilihundu200
    @abasilihundu200 23 วันที่ผ่านมา +19

    Kwa waliozichoka Ngoma za Amapiano Mimi ni wa kwanza aisee

    • @omardaudi2928
      @omardaudi2928 22 วันที่ผ่านมา

      Tupo wingi sana

  • @GeorgeMarcky-og6os
    @GeorgeMarcky-og6os 23 วันที่ผ่านมา +10

    Huo ndio ukubwa kuwa mkweli nyeusi nyeusi nyeupe nyeupe kiba kaua mond kachemka

  • @user-vb8ki3jo9t
    @user-vb8ki3jo9t 23 วันที่ผ่านมา +9

    Uko vizuli kaka

  • @LeylaaYusuph-pk5qp
    @LeylaaYusuph-pk5qp 23 วันที่ผ่านมา +6

    Oya meno karibu zanji

  • @LeylaaYusuph-pk5qp
    @LeylaaYusuph-pk5qp 23 วันที่ผ่านมา +5

    Mino karibu zanji

  • @utamutv_
    @utamutv_ 23 วันที่ผ่านมา +2

    Show ya alikiba ilikua inaanza asubui mwisho sahaa 3 ucku bro na ck nzima alikua anapanda msanii Moja TU.

  • @LeylaaYusuph-pk5qp
    @LeylaaYusuph-pk5qp 23 วันที่ผ่านมา +5

    Wakwanzaa

  • @angelakudenya2353
    @angelakudenya2353 23 วันที่ผ่านมา +5

    Kiba aliperform wa mwisho na ilikuwa ni saa 2 hadi 3 ucku, huku summer time jua linachelewa kuzama,wakati mwingine saa 4 ucku Kuna mwanga, kwenye ratiba yy ndiye aliyefunga AfroFest 2024, hakukuwa na mwendelezo wa ratiba nyingine hadi 2025. Waandishi ili kushibisha wasikilizaji wenu tafuteni usahihi wa habari na iwe kwa kina, usirukie tu jambo na kulirusha mkiwa hamna details, angalau iwe hta nusu basi

    • @Hancy_barrow
      @Hancy_barrow 23 วันที่ผ่านมา +2

      What's your point mama 😂

    • @Baira240
      @Baira240 23 วันที่ผ่านมา

      Point yake huyo ni mondi 😂😂😂 na kachemka​@@Hancy_barrow

    • @WahuBoth
      @WahuBoth 23 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@Hancy_barrowamakweli wewe ziro Sasa Kama umeshindwa kuelewa apo uelewi tena 🤕 sikia king 👑💪ame ua

    • @Hancy_barrow
      @Hancy_barrow 23 วันที่ผ่านมา +2

      @@WahuBoth 🤣🤣🤣🤣Tena ziro brain kwakweli team King 👑 tujuane Kwa like

    • @imranissa5095
      @imranissa5095 23 วันที่ผ่านมา +1

      Nakaa ukijua kumaliza show sio poa inahitaji vibe sana maana watu wanakuwa wamechoka so King 👑 iz KingKiba

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 23 วันที่ผ่านมา +2

    Kutoka Gikombaa Nairobi Dudu Baya Ukitaka Tusifuatie Mahojiano Yako Usimsifie Mwambino

  • @aulidriver3102
    @aulidriver3102 22 วันที่ผ่านมา +1

    Bila ya kupiga hodi mtoni unafufua na kuoga ovyo ovyo lazima umchokeze mamba tuu.😅😅😅😅😅😅

  • @user-ny5ug4qo6c
    @user-ny5ug4qo6c 22 วันที่ผ่านมา +1

    Natoka kenya.ila huyu jamaa anaongea poa alikiba kafanya vizuri .ushabiki kando

  • @JojyLuhasa
    @JojyLuhasa 23 วันที่ผ่านมา +3

    👊

  • @nikkitokke8162
    @nikkitokke8162 22 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂👍👑

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 23 วันที่ผ่านมา +1

    Ndo nini sasa

  • @bizmaterial594
    @bizmaterial594 19 วันที่ผ่านมา

    KinG

  • @daynesakulu3169
    @daynesakulu3169 23 วันที่ผ่านมา +1

    Nkonki ana ongea eleza na kufafanua vizuri sana msani mdogo ndo ana funguwa show ili watu wa ingie❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @shikuhata
    @shikuhata 23 วันที่ผ่านมา +1

    Duduu ndiyo amekuwa mchambuzi wawasanii saivii