Habari nzuri zinakuja kwa uyaledi mkubwa crown mko vixuri
Pablo sikujui hunijui ila nakuona mbali sana ndugu yang chukua maua Yako 🌹❤️
Crown mpo juuu mnaitendea haki nafasi ya habari na masikio kupata kikichobora
Hii ilikua isiitwe crown et ilikuw itwe howo au scania asnte muandishi nimekuelew namaua yako ayoapo🌹⚘️🌺
MUANDISHI SUPER KABISA HUYU KUJUA LUGHA ZAIDI YA MOJA
MWAMBA SANA HUYU PABLO ALMAS. MASTERY YA KIBABE YA KIFARANSA
Safi Pablo Almas 🎉🎉🎉
Chuma apa Leo nimekua WA kwanza
Pablo wewe ni mona sana mimi supporter wako kaka
Big up pablo
Hii tra bi tra mbona kama ndo ilikua inatajwa Bungeni kipindi flan au ndo Budget iliongezekea huku🤣🤣 🙌🙌🙌🙌
Pabloo, Pablo, Pablo
hawa ndo waandishi jaman ❤❤❤
wafanye haraka tunahamu ya kumuona huyoo mtuuu
Yani hawa Singinda wamesajili vizuri kuliko hata SIMBA sijui MO anatuchukuliaje sisi Wanasimba
Safii sanaa❤❤❤❤
Ulitakiwa kutafsiri hata maswali
Pablo ni black Tigger sio star
Uyo dirisha dogo yanga
Good job pablo
Pablo kahama manara tv
Huyu mtafsiri hajatupiga kweli?
Good brather
Pablo mbadiiii
Nakukubari kakaa
Hapa King 👑 Alipatiya Xana Kukusajili💚👊🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥
Pablo pablo niko naww
Nc
Pablo❤❤❤ uko vyedi sana
Watu tumejipanga nyie makolo zuruleni😂😂😂😂😂
Mko vzur
Pqbloooo🎉
Anton tra bi tra ....
Bwana pablo tunataka utuwekee maneno tusome tunataka tumsikie yy mwenyewe tu na ww ila sio ukitafsiri
Pabro
pablooooo
Pablo, umesahau kumtaja Yao Kouassi
Mkali pablo🔥 na sisi mashabiki zako tunaongea kimoyomoyo nusuru ya kumeza ulimi