MZUNGU WA YANGA AKUBALI YUPO KWENYE TIMU KUBWA BABA YAKE ALIPATWA NA WAKATI MGUMU KUMTAFUTIA TIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2023
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 70

  • @hk_ballers
    @hk_ballers 9 หลายเดือนก่อน +3

    You are the best interviewer wa kiingereza. Keep good work bro

  • @cuthbertjrmay6948
    @cuthbertjrmay6948 10 หลายเดือนก่อน +10

    Huyu mwamba Yuko vizuri kweny kingereza 🤝

  • @gabrielmwalo8498
    @gabrielmwalo8498 9 หลายเดือนก่อน +2

    Good job Pablo!! Nimeipenda sana hii. Wengi wanatakiwa wajifunze kwako. Hongera kijana

  • @user-kn8bm3kt1j
    @user-kn8bm3kt1j 10 หลายเดือนก่อน +9

    Broo unaupiga mwingiii👏👏👏👏

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 10 หลายเดือนก่อน +2

    Uko njema sana ndugu mhojiji nafurahi sana ukihoji kwa kifaransa waaaaaaoooo fantastic

  • @leonardmadelemo3043
    @leonardmadelemo3043 10 หลายเดือนก่อน +4

    Babro uko poah sana hii kazi imekuchagua wewe cyo wewe umechagua kazi very nice interview

  • @raynittu4599
    @raynittu4599 10 หลายเดือนก่อน +1

    Big up sana.mwandishi saaafi.good interview

  • @kennedymmari
    @kennedymmari 8 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji yupo vizuri sana. Hongera

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 10 หลายเดือนก่อน +5

    Interviewer so good

  • @sulleymanjimmy2214
    @sulleymanjimmy2214 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimemuelewa sana baba yake yaani ana vinasaba vyote vya kiafrika namna anavyotaka mwanae ajifunze maisha especially ya kiafrika namna yalivyo yaweze kumsaidia kwao ku - achieve chochote maana maisha ya kwao ni tofauti na kwetu especially kwenye kupitia changamoto

  • @alfredbomani8047
    @alfredbomani8047 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kudos to the interviewer iliyoenda qhule. Sijipata moaka dahari ya kuasikiliz wengi. Kuna kituo kikubwa na kina umunimu Sana KWA soka letu lkn interviews zake ni tatizo. Ni copy and paste. Ukiacjia tatizo la lugha am also silijali Sana lkn naamini ni skills na confidence. Vunashangaa fursa nxuri lkn kinachoulizwa mmmhhh. Wa. Naoajiri wanaangalia ushabiki na analetwa na Nani. Hilolipo mpaka wenye timu. Lkn wanasema usimuamshe aliyelala utaishia kulala ww Hongera Maara tv' Hongera saa interviewer. Nakuona mba'i Sana ukizingatia maadili na uwezo. Si'ulipaya Jina Sina uhakika in. Almasi? Kama 'imekowe SAMAHANI. Jalicontet yake. Ubari' iwe ww na Maara tvoline

  • @DianaDaniely-ux1uw
    @DianaDaniely-ux1uw 10 หลายเดือนก่อน +5

    Her smile🥳❤️🥰💞

  • @anordsimbagoye7604
    @anordsimbagoye7604 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika kweli mshikaji Yuko vizuri anaongea kiingereza vizuri

  • @pesaspy_tv
    @pesaspy_tv 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mr kiemba na Thomas Morris walikiwasha sana hawa

  • @samueltomboza3767
    @samueltomboza3767 10 หลายเดือนก่อน +2

    Very nice welcome to yanga

  • @SAMSONKOIKAI
    @SAMSONKOIKAI 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana braza ,super english

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 10 หลายเดือนก่อน +4

    Duh kingereza kilishanishindaga Mimi🤣

    • @BAHATIKIBA-ul6wx
      @BAHATIKIBA-ul6wx 10 หลายเดือนก่อน +2

      Nenda Shule Tena😢😢

  • @theddenis2730
    @theddenis2730 9 หลายเดือนก่อน

    Jamaaa uko vzur sanaaa bga up

  • @JumaMohamed-ps6zo
    @JumaMohamed-ps6zo 9 หลายเดือนก่อน

    Ukiona mzungu anakuja kucheza Tanzania ujuwe huyo ni masikini kiasi kwamba huko anakotoka hana thamani yoyote

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 10 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizur kamanda rugha unajitahidi ata namna unavvyouliza maswali safi sana

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 10 หลายเดือนก่อน +4

    MLTE MDHUNGUUU 😂😂😂😂 WATANIII

  • @jurati100
    @jurati100 10 หลายเดือนก่อน +1

    Interview nzuri

  • @brightontheogenes5093
    @brightontheogenes5093 10 หลายเดือนก่อน +4

    Interviewer uko vzur

  • @ArafatYassin-zm5oq
    @ArafatYassin-zm5oq 9 หลายเดือนก่อน

    tumamzungu jaman wanchitunaweza ❤kurachuma ikooooooooo

  • @nassakingazi1698
    @nassakingazi1698 10 หลายเดือนก่อน

    Noma noma sana salimia Thomas Moris

  • @user-jd9jg7em4e
    @user-jd9jg7em4e 9 หลายเดือนก่อน

    mmh unastahili bro mpeni mau yake💐💐

  • @dezasumailcostaricahamis5429
    @dezasumailcostaricahamis5429 9 หลายเดือนก่อน

    Tunao sikia kiingereza kama kelele za chura tujuane kwa like apa😅😅

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx 10 หลายเดือนก่อน +3

    Lazim Muhandishi Ujuwe Lugha Ya Kingereza

    • @eddyrich.3312
      @eddyrich.3312 10 หลายเดือนก่อน

      Kweli na ziada

  • @Japanese-lz1or
    @Japanese-lz1or 10 หลายเดือนก่อน

    Respect kaka kingereza chako kimenyoka

  • @georgelameckbudeba3373
    @georgelameckbudeba3373 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa Yuko vizuri hata kifaransa

  • @FredThomas-ib4kc
    @FredThomas-ib4kc 10 หลายเดือนก่อน

    Very nice

  • @ains1122
    @ains1122 10 หลายเดือนก่อน +3

    Nauliza nimeskia powa Jina LA Amei Kiemba is my uncle ???

    • @brightontheogenes5093
      @brightontheogenes5093 10 หลายเดือนก่อน

      😂ata mm nimesikia...mzungu anaflow kingereza huyoo

    • @salummussa1139
      @salummussa1139 10 หลายเดือนก่อน

      Mnao fatilia comment ajitokezo mmoja atutafsirie jamani

  • @salummkwawa6306
    @salummkwawa6306 10 หลายเดือนก่อน +1

    We mwamba lugha ngapi unachapa mzee?

  • @TarkiaziziSenzia-ly6nq
    @TarkiaziziSenzia-ly6nq 9 หลายเดือนก่อน

    Nomaaa 👍👍👍

  • @user-eb3tl1qo8s
    @user-eb3tl1qo8s 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli kingereza kimekolea Alf anatumia misamiati ambayo inaeleweka

  • @musamusa6213
    @musamusa6213 9 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi upo vinzuri kwa tz ww no 1 kwa tz maana unapiga lugha nyingi sana kifaransa upo bgp sana 😂😂

  • @alfredkatuma426
    @alfredkatuma426 9 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama manara anaweza kuajiri presenter anajielewa hivi why majizo kajaza mbuzi nyingi pale efm kwenye kipindi cha michezo?

  • @shijastephano1484
    @shijastephano1484 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kiemba yule mchambuz au kuna mwingne

    • @abedimoraes8537
      @abedimoraes8537 10 หลายเดือนก่อน

      Ndo huyo huyo ,amri kiyemba SI alicheza yanga Tena ni mwanachama kbsa wa yanga yule

    • @gabrielmwalo8498
      @gabrielmwalo8498 9 หลายเดือนก่อน

      Kielbasa mchambuzi ndiye huyo aliyecheza mpira. No other

  • @SacleSan-jo1dr
    @SacleSan-jo1dr 10 หลายเดือนก่อน

    Mwenda zake angekuwepo usingeleta miguu huku tz.

  • @habibumdetele6530
    @habibumdetele6530 9 หลายเดือนก่อน

    Kuna muunganiko sahihi wa mawasiliano,yaani wanaelewana.

  • @mdl6463
    @mdl6463 9 หลายเดือนก่อน

    Ungemuuliza hivi yuko kwenye mahusiano ????

  • @isayashayo4777
    @isayashayo4777 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bado hajasema😅😅

  • @nuhu-sanda
    @nuhu-sanda 9 หลายเดือนก่อน

    Sio mbaya mzungu atatufaa

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 10 หลายเดือนก่อน +1

    🖤💚💛✔️✔️

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 10 หลายเดือนก่อน

    Watanzania bhana mtu akiongea kingereza anaonekana wa maana
    Je anaye nena kwa lugha ??

  • @PedadMiyombo-pc8gc
    @PedadMiyombo-pc8gc 9 หลายเดือนก่อน

    Nikijua account name tu kaisha

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mlete Mzungu Yanga🎉🎉🎉🎉

    • @paulngoti5171
      @paulngoti5171 9 หลายเดือนก่อน

      kuna watu wanamumunya maneno hata wakiwa kwenye shughuli za kitaifa.atafutwe huyu dogo awasaidie siyo! kusema ya ya

  • @josephkiwovele7806
    @josephkiwovele7806 9 หลายเดือนก่อน

    Kaka ukovizuri

  • @mropeeliakim2528
    @mropeeliakim2528 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kazuriiii

  • @paulngoti5171
    @paulngoti5171 9 หลายเดือนก่อน

    simba zamu yenu sasa muende shule ili mupate mzungu

  • @user-cr7vi4qp9c
    @user-cr7vi4qp9c 9 หลายเดือนก่อน

    Miaka 17 vigezo vipi vimetumika au kaja likizo

  • @salemarahbi9171
    @salemarahbi9171 10 หลายเดือนก่อน

    Mm nimempenda hayo mengine baadae akijua kiswahili 😅😅

    • @baaliiyakuti1050
      @baaliiyakuti1050 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @nurudaudimaporoko
    @nurudaudimaporoko 10 หลายเดือนก่อน

    Mwamba usisahau kunichukulia namba 😂😂😂

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 9 หลายเดือนก่อน

      17, bado..subiri au unataka kulozea kwa ndimu😂

  • @user-uk8pk5vn9b
    @user-uk8pk5vn9b 10 หลายเดือนก่อน

    Bro uko Smart sana kaika hukoji mtu

  • @user-ph5qr9xm1l
    @user-ph5qr9xm1l 9 หลายเดือนก่อน

    Interview iliyokwenda shule!

  • @faju4real800
    @faju4real800 10 หลายเดือนก่อน

    Good english haina mbambamba

  • @patrickmanyanza
    @patrickmanyanza 9 หลายเดือนก่อน

    Haka kadada kazuri jaman

  • @BarackaSaim-ev3gk
    @BarackaSaim-ev3gk 9 หลายเดือนก่อน

    Kademu kachagamfu

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 10 หลายเดือนก่อน

    😂jua Kali

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 10 หลายเดือนก่อน

    Interviewer she is very terrible 💚💪