Mwenye shibe atamjue mwenye njaa yeye hakuna mtu maarufu yeyete wakitanzania ambae ataongelea matatizo yawatu wakitanza zaidi yanei au roma hawa wote hawawezi kuongea owovu wahii ncho kwasababu nawao wanapata faida nahataki bughudha kwaiyo kusema madhaidu hayupo
Nice good answer
Yes, mvua ikinyesha ni hadithi nzuri ina mafunzi