Well done Doto Mungu akulindee Yaani uko very smart ungesoma zaidi ingekuwaje. Slaa do something. Yaani watu hawana utu kabisa siku hizii wizii tuu.well done Doto we pray for you
nyie benki wapumbavu nini kama kutapeliwa mumetapeliwa nyinyi musitafute kuwadhulumu maskini za mungu mimi niliokuwa si jaji basi najuwa sasa mtu kaweka dhamana kitu sio chake kwa njia ya udanganyifu enyie mutaingia motoni kwa ujinga
Ila ukisikiliza sana hii stori utaona mke Wa marehemu anaonekana alikuwa na mahusiano na mkopaji na ndiyo maana alipata sababu za kugushi hati ila pia wakopeshaji walihusika sana Ila mama mwenye Nyumba anaonekana ana mahusiano na muhusika
Ikiwa umemsikiliza kwa makini Huyu mjukuu usingefikiri kama hivi,ameeleza wazi walikuwa karibu sana tôkea enzi za babu Yake hajafariki,usisahau watanzania Wana desturi ya kumuamini MTU haraka Sana na kuonyesha nyaraka mhuhimu kwenye maisha Yao binafsi.
Usilie brother munataisimamia haki haki ya mtu haizami utafaulu tuu kikubwa pambana na ww ninmwanasheria mzuri sana uae weza elezea kitu mtu akaelewa pole ina uma na ww bado mdogo sana hili jambo nila wakubwa lkn mungu kakuchaguq ww usimamie in sha Allah utafaulu raisi samia suluhu na waziri wa aridhi mumuone huyu kijana tafadhali na ushauri pia kwa familia sithakabadhi za nyumba original zihifadhiwe vyema na zisitolewe kupewa mtu kiholela mungu akulinde popote uendapo kaka na munakutqngulie upate haki yenu kwa uwezo wawenyezi mungu amiin nawapenda wenzetu watanzania from Kenya
Investigative journalism inatakiwa yaani case mwanahabari unaifuatili mpaka mwisho wake ndio inakuwa na utamu. Huyu dogo akasomee uanasheria. Mwanahabari nawe uko vizuri.
Jaman Rais Samia naye anachoka Sasa uko wapi muhimu wa wasaidizi anaowachagua?? Yaan hao wote Barua zilikopita wafukuzwe kazi tu hawafai hata kidogo ni sababu huyu kijana hana Watu wakubwa nyuma yake hata simu
We @femidahaya4882 huwezi amini yule kijana aliyejiita wakili ndio ukoo mzima tunamtegemea kwa mambo yote ya kisheria tangu enzi za ukoloni amekuwa msaada sana🤔
MNGETUONYESHA NA NYUMBA “ POLENI SANA MH RAIS ATAKUSAIDIA USILIE MDOGO WETU NA UNAVYO ONEKANA UNA STRESS HADI UMEZEEKA KABLA YA UMRI WAKO BE BLESSED 🙏🏾
Tena ni mchaga Mmachame anataka kujua thamani ya Nyumba akili yote ni kwenye mali. We Nyumba haikuhusu ionyeshwe itakusaidia nini? Amezeeka kwa akili Mbovu unatamani atoe nomber za simu umtafute kwa mali za urithi. Mdangali mkubwa.
Usimwambie mtoto wa mwenzio amezeeka kwa stress Mungu ndie muumba wa yote kama umejaaliwa baby face mshukuru Mungu na sio kukufuru hujafa hujaumbika usimuonyeshee kidole binadam mwenzio na kumuhukumu hata akikuonyesha hiyo picha ya nyumba utamsaidia nini ? Kapuku wewe chunga kauli zako
Mtu anamtafuta mtuhumiwa aliegushi alafu unamwambia mlalamikaji atoe pesa milioni Moja na nusu za Nini na igp tupo na anasikia vijana wake,mi nasema kila jeshi la polisi Hamna kitu😊
Mshauri kwanza wakate rufaa ili benki wasiuze nyumba. Then waendelee kupambana kwa kutumia silaha zote. Kuna tatizo kwenye hiyo hukumu km kweli Bibi hakusaini mahali popote. Unless kile alichosaini siku ameitwa benki ndiyo ilikuwa kutoa ridhaa hati yake itumike
HAKIMU ALIE TOA HUKUMU HANA SIFA YAKUWA HAKIMU HAUWEZI TOA HUKUMU NAKUWAPA UMILIKI BANK NYUMBA ILI HALI KUNA UHAKIKA WA KUGHUSHI NYARAKA ,"PAUL MAKONDA UKO WAPI BABA WEWE NDIE MSAADA WA TAIFA HILI .
Pole sana mjukuu. Maelezo yako kama ni ya kweli, Mungu Atatenda. Kwa Uongozi wa Nchi yetu tulionao kwa wakati huu haki yenu mtaipata. Hii Nchi yetu inasimamia Sheria na Haki kwa sasa Mungu Watangulie.
Kwani hao watu wananini hadi washindikane kwenye vyombo vya sheria au ndio yule aliyesemaga ameiweka serikali mfukoni mwalimu Nyerere akamtimua, shida watu wengi wanasoma si kwaajili ya kuisaidia jamii yao ni kwaajili ya masilahi yao binafsi ndio maana haki inapindishwa
Mungu awaguse viongozi wetu watende haki kwa hii familia kwasababu wao wapo kutuhudumia sisi wanyonge mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe Mungu awabariki viongozi wetu waihukumu kesi hii kwa haki Aaamina
😢😢😢yamenikuta mie hayo kakaangu kakopea mkopo nyumba yangu bila mie kujua nawauliza bank alikuja.anakigezo gani kukopea pesa wapo kimya inaumiza sana nyaraka nazo mimi.yani bank haitabiriki
Pia ITU ng we she ria ya kuwanyoosha mahakim wanaoonekana Sana viashiria cya rushwa Mao washitakiwe wakitoa hukumu kinyume na maadili Mara 2 Pia Nata wat u Wa ardhi kamishna na bwana ardhi na wenyeviti Wa mitaa wanaohusika na kusimamia na kuuza wore washitakiwe na adhabu I we Kali kuanzia fa in I mi 5 na kuendelea ah kifungo kuanzia miaka 3 hadi 10 kea Hi yo wabunge watunge sheria
Haki siku zote inasimama In Shaa Allah haki yk itapatikana ila kuna mchezo apo na mzee wake uyo alie foji nyaraka na yy anahusika na uyo anaefanya kazi Ikulu na yy anahusika kwa kuipija calender hii kesi
Dogo umeshinda hiyo kesi hao benk ni wangese sana WAZIRI SLAA NAKUPA KAZI KWA KODI YANGU NAYOLIPA ILI UPATE MSHAHARA MALIZA KESI YA DOGO HLF MUMTAFUTIE KAZI YA KUFANYA DOGO ANA DEGREE YA MITAANI
Kateni rufaa ili mlinde nyumba yenu wakati mengine yanaendelea Kateni rufaa please ndugu zangu nina amini haki yako itabakia kuwa ni yako japo itachelewa Mungu atasimama nanyi kwa kila kitu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Yaani ukweli huwa naumia mno mimi kwa mambo haya yanayoemdelea hapa nchini kwangu. Mtoto mdogo anahangaika namna hii miaka yote kweli!! Ningekuwa rais aisee kunabaadhi ya watu wangejuta.😢
Ndio yale Rais alisema wakuu wa mkoa wakali ata kesi za mahakamani wanaziingilia sasa kama kesi hii kweli wakuu wa mikoa walikalie Kimya mahakama ndio chanzo
Yaan hata mkuu wa mkoa anaweza hili swala hapa ndio naona umuhimu wa Makonda Paul wa Arusha anafanya kazi kubwa za wananchi na Mahakama acha tu Mungu AKUBARIKI Makonda UTALIPWA na Mungu usipozimia moyo angalia hili huku Dar huyu kijana hakutakiwa kufika Kwa RAIS yaan alitakiwa police na mahakama wamalize hili swala tu!!!
Dr Slaa ,Dr Slaa tafadhali muone huyu mtoto 🙏
Sio Dr. Slaa, ni Mheshimiwa Jerry Slaa, Dr slaa ni yule wa chadema
Dogo uko vzr Mwenyeezi Mungu akufanyie wepesi
Well done Doto Mungu akulindee Yaani uko very smart ungesoma zaidi ingekuwaje. Slaa do something. Yaani watu hawana utu kabisa siku hizii wizii tuu.well done Doto we pray for you
Allah atajalia KHERI mdogo WNG HAKI yenu itapatikana kikubwa DUA NA IBADA Kwa mwenyezi mungu kila JAMBO linawezekana na HAKI ya Mtu cku zote haipotei
Sema dogo uko sawa kabisa japo una elimu ya kawaida pambana dogo mungu atakusaidia
Mungu/MUNGU sio mungu
waziri slaa huwa ni mzito kupokea simu
Ni MUNGU
Daah jaman IGP, Waziri husika wasaidieni hii familia kabisa
@@Zaburi-😂😊😊😊
Dogo anajielezea vizuri sana
Mtangazaji ingekuwa vyema ungetembea nayo hii ishu Ili tujue mwisho wake @millard ayo
Kijana yuko vizuri, huyu angesoma angefika mbali...mwanasheria
Ila bado ana nafasi ya kusoma miaka kumi na tisa (19) bado ni mdogo
Huyu dogo ni class seven lakin akili yake ni zaid ya D mbili. MUNGU awatangulie tu maana hii dunia ina mazegere sana kwa kweli.
nyie benki wapumbavu nini kama kutapeliwa mumetapeliwa nyinyi musitafute kuwadhulumu maskini za mungu mimi niliokuwa si jaji basi najuwa sasa mtu kaweka dhamana kitu sio chake kwa njia ya udanganyifu enyie mutaingia motoni kwa ujinga
Du inasikitisha Sana !.
Mungu amsaidie huyu kijana
Mh Jerry Slaa nakuomba msaidie huyu mtoto doto anapambana kwa ajili ya familia yake Allah akusimamieni kwa hilo
Kijana anaonekana yupo makini sana,mbona hakuendelezwa kimamoso jamani😢😢😢😢namuombea baada ya haya yote aweze kurudi shule tena,he has a bright future,
Kumfikia waziri Dr jerry silaa ndio mtihani Millard angemsaidia kumuonbea kwa waziri wampokee doto akifika haki atapata sila Hana unafiki
Wakat wanamkopesha hawakumtaarifu washampa pesa ndio wanampigia mweny nyumba si nikichekesho hicho.
Ila ukisikiliza sana hii stori utaona mke Wa marehemu anaonekana alikuwa na mahusiano na mkopaji na ndiyo maana alipata sababu za kugushi hati ila pia wakopeshaji walihusika sana
Ila mama mwenye Nyumba anaonekana ana mahusiano na muhusika
Ikiwa umemsikiliza kwa makini Huyu mjukuu usingefikiri kama hivi,ameeleza wazi walikuwa karibu sana tôkea enzi za babu Yake hajafariki,usisahau watanzania Wana desturi ya kumuamini MTU haraka Sana na kuonyesha nyaraka mhuhimu kwenye maisha Yao binafsi.
I like this kind of interview, the journalist just guide the other guy to explain his case and not try to outshine the guy.
Usilie brother munataisimamia haki haki ya mtu haizami utafaulu tuu kikubwa pambana na ww ninmwanasheria mzuri sana uae weza elezea kitu mtu akaelewa pole ina uma na ww bado mdogo sana hili jambo nila wakubwa lkn mungu kakuchaguq ww usimamie in sha Allah utafaulu raisi samia suluhu na waziri wa aridhi mumuone huyu kijana tafadhali na ushauri pia kwa familia sithakabadhi za nyumba original zihifadhiwe vyema na zisitolewe kupewa mtu kiholela mungu akulinde popote uendapo kaka na munakutqngulie upate haki yenu kwa uwezo wawenyezi mungu amiin nawapenda wenzetu watanzania from Kenya
Mh. Jerry Slaa, Tunaomba huyu mtt apatiwe msaada jamani! Mungu amlinde, he is very brave.
Jamani huyu mtoto ana akili sanaa
Elimu haina mwisho maombi yangu huyu mtoto aendelezwe kielimu
Angekuwa Makonda angelitatua kwa uharaka maana mkuu wa mkoa wa hapa amelala
Yupo busy na madada poa kesi yake itafatiliwa
Mmmmh makubwa,Mwenyezi Mungu mtie nguvu
Investigative journalism inatakiwa yaani case mwanahabari unaifuatili mpaka mwisho wake ndio inakuwa na utamu. Huyu dogo akasomee uanasheria. Mwanahabari nawe uko vizuri.
Sasa km Rais ameiona barua kwanini Asingepiga cm Kwa wazuri wake jamani daaaaah wanyonge wanakosaga haki zao sana
Yani nimemuonea huruma pesa wamekula wengine nyumba yaoiuzwe
Wanyonge tutanyongwa sana. Waziri kwaninj asipigiwe cm. Inarudishwa barua
Jaman Rais Samia naye anachoka Sasa uko wapi muhimu wa wasaidizi anaowachagua?? Yaan hao wote Barua zilikopita wafukuzwe kazi tu hawafai hata kidogo ni sababu huyu kijana hana Watu wakubwa nyuma yake hata simu
Una hakika aliiona? Kuna panga pangua nyngi zimetokea miezi miwili katika jumba jeupe miezi hii miwili
Utaratibu nahisi
Dogo kichwani yupo very smart ❤
Eee Mwenyezi Mungu weka wepesi katika jambo hili ili haki ya hii familia ipatikane.
Dr slaa tunakuamini wananchi, huna upendeleo, nina imani ushamsikia huyu mtoto😊
Apewe ulinzi pia watampoteza soon
kweli kabisa
Na ukifatilia inaweza kugundulika muhalifu ni mfanyakazi au alikuwa mfanya kazi wa serikali!!! Hii ndiyo Tanzania yetu😢
Baba yake mstaafu wa ikulu na ndugu yake anafanya kazi ikulu mpakq sasa changamoto kwa dogo watu wana ikimbia hyo kesi
Nimekupenda sana kaka kijana wa class 7 education kweli yuko hivi lakini kuna kijana wa elim ya Chuo hamfikii huyu kijana perfect
Usiende Mbali.. Umemuna/umemsikia yule kijana aliejiita Wakili/ Mwanasheria aliesoma barua mbele ya RC Makonda. Yaan kijana aliyakanyaka...Aibu. Kusema kweli hyu Doto Amebarikiwa.
haswaaa...yaani huyu serikiali ingempelekea shule kitdogo tuu angekuwa msaada baada ya haya kumtokea
We @femidahaya4882 huwezi amini yule kijana aliyejiita wakili ndio ukoo mzima tunamtegemea kwa mambo yote ya kisheria tangu enzi za ukoloni amekuwa msaada sana🤔
Hata mie jmn naic nisingeweza kujieleza hivyo,mama ampe tu kitengo huyo
@@eliezasamwel4891Karne ya Ngapi Mulianza kumtumia😃
MNGETUONYESHA NA NYUMBA “ POLENI SANA MH RAIS ATAKUSAIDIA USILIE MDOGO WETU NA UNAVYO ONEKANA UNA STRESS HADI UMEZEEKA KABLA YA UMRI WAKO
BE BLESSED 🙏🏾
Nina uhakika ww ni mwanamke uloandika hii comment 😂❤
Tena ni mchaga Mmachame anataka kujua thamani ya Nyumba akili yote ni kwenye mali. We Nyumba haikuhusu ionyeshwe itakusaidia nini? Amezeeka kwa akili Mbovu unatamani atoe nomber za simu umtafute kwa mali za urithi. Mdangali mkubwa.
@@MrishoMindu-zq7mzhapo kwa wamachame 😂😂😂
Usimwambie mtoto wa mwenzio amezeeka kwa stress Mungu ndie muumba wa yote kama umejaaliwa baby face mshukuru Mungu na sio kukufuru hujafa hujaumbika usimuonyeshee kidole binadam mwenzio na kumuhukumu hata akikuonyesha hiyo picha ya nyumba utamsaidia nini ? Kapuku wewe chunga kauli zako
Pole mama Samia. Una kazi ku bwa na hawa watendaji. Wameamua kushiba na kutojali chochote .Mungu akuzidishie hekima mama
Hapo dogo pambana mungu atasaidia
Mhe.Jerry Slaa tenda haki kwa hawa Watanzania
Pole MTT Mungu atakusaidia
Hongera kijana ( uko vizuri). Mungu ndiye mwamuzi. Utashinda.
Mtu anamtafuta mtuhumiwa aliegushi alafu unamwambia mlalamikaji atoe pesa milioni Moja na nusu za Nini na igp tupo na anasikia vijana wake,mi nasema kila jeshi la polisi Hamna kitu😊
Kijana la 7 ila anaakili mingi
Huyu kijana atashinda tuu,yaan Mungu ni mkuu, jipe moyo mkuu,ushindi upo
Aksante kaka mtangazaji Mungu akutunze
Mshauri kwanza wakate rufaa ili benki wasiuze nyumba. Then waendelee kupambana kwa kutumia silaha zote. Kuna tatizo kwenye hiyo hukumu km kweli Bibi hakusaini mahali popote. Unless kile alichosaini siku ameitwa benki ndiyo ilikuwa kutoa ridhaa hati yake itumike
Inaweza kuwa , na hata hivyo ni utapeli tu na utagundikika , maana huwezi chukua advantage kwa kutoelewa kwa mtu .
HAKIMU ALIE TOA HUKUMU HANA SIFA YAKUWA HAKIMU HAUWEZI TOA HUKUMU NAKUWAPA UMILIKI BANK NYUMBA ILI HALI KUNA UHAKIKA WA KUGHUSHI NYARAKA ,"PAUL MAKONDA UKO WAPI BABA WEWE NDIE MSAADA WA TAIFA HILI .
makonda ni mtu wa maauzi ya fasta harembi. Ila Sasa yey tayari ni mkuu wa mkoa Arusha. Angekua dar uenda angemsaidiaa
Very painful 😢, dogo usikate tamaa viongozi wamesikia. You are very smart l can't imagine. Waziri Mh. Slaa fanya jambo haraka kabla Nyumba haijauzwa.
😂😂mtuhumiwa ananuka akajisaidie
Huo ulikua mchongo wa Police😅😅😅
Pole sana mjukuu. Maelezo yako kama ni ya kweli, Mungu Atatenda. Kwa Uongozi wa Nchi yetu tulionao kwa wakati huu haki yenu mtaipata. Hii Nchi yetu inasimamia Sheria na Haki kwa sasa
Mungu Watangulie.
Polensn umejua kujieleza vzr mungu yupo
Kwani hao watu wananini hadi washindikane kwenye vyombo vya sheria au ndio yule aliyesemaga ameiweka serikali mfukoni mwalimu Nyerere akamtimua, shida watu wengi wanasoma si kwaajili ya kuisaidia jamii yao ni kwaajili ya masilahi yao binafsi ndio maana haki inapindishwa
Glory, Mungu Aturehemu..ndo maana watu wakiaga dunia kwa maumivu mnoo
Wanahela.
Wana hela
Mungu awaguse viongozi wetu watende haki kwa hii familia kwasababu wao wapo kutuhudumia sisi wanyonge mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe Mungu awabariki viongozi wetu waihukumu kesi hii kwa haki Aaamina
Aisee mtoto ana akili huyuuu dah❤❤❤
😢😢😢yamenikuta mie hayo kakaangu kakopea mkopo nyumba yangu bila mie kujua nawauliza bank alikuja.anakigezo gani kukopea pesa wapo kimya inaumiza sana nyaraka nazo mimi.yani bank haitabiriki
Sasa mbona hiyo sio kesi ukimtafuta wakili
Hamna kesi hapo
We tulia huo utajiri. Wakiuza nyumba yako tu Kama taarifa za hati zinakusoma wewe Basi benki wanalo. Watakulipa mihela na nyumba utabaki nayo. Tulia
Aimple iyo:: bank wabakua wamekula shoti..kakaako anaenderea kuagiza chipx adi atakapo kamatwa..
Pia ITU ng we she ria ya kuwanyoosha mahakim wanaoonekana Sana viashiria cya rushwa Mao washitakiwe wakitoa hukumu kinyume na maadili Mara 2 Pia Nata wat u Wa ardhi kamishna na bwana ardhi na wenyeviti Wa mitaa wanaohusika na kusimamia na kuuza wore washitakiwe na adhabu I we Kali kuanzia fa in I mi 5 na kuendelea ah kifungo kuanzia miaka 3 hadi 10 kea Hi yo wabunge watunge sheria
Duuu kijana yuko vzr sana ana content
Tunaomba Sana Sheria mmusaidie huyu kijana jamani
Dogo uko vizr mungu atakusaidia haki yenu itapatikana
Dah inauma sanaa kuna haki zinapotea
Haki siku zote inasimama In Shaa Allah haki yk itapatikana ila kuna mchezo apo na mzee wake uyo alie foji nyaraka na yy anahusika na uyo anaefanya kazi Ikulu na yy anahusika kwa kuipija calender hii kesi
Polisi vipi waombe pesa yote hiyo, kwenda kumkamata muhalifu?
Polisi haina pesa?
Wanatoa wap?
Dah!!! Inauma sana mnatoa pesa na mhalifu amekumbia dah Hii nchi kuna namna ya kumpa makonda
Hahaaaaa kwani wewe ni mgeni Jerusalem hii !
Pole sana usiliye mtoto mungu yopo aþàkusaiďiya
Dogo usiogope Mungu ameshakuona muda sii mrefu waziri silaa mpenda haki namtetezi Wawa nyonge atakufikia soon
Hongera mtoto unaongea vzr jamani una akili jamani asaidiwe
Jamani jamani ni kweli movie kweli watu unyama gani ni ujambazi mavho macho Rais wasaidia kweli Waziri Ardhi wasaidia hii hatari sana sana
MTT Mzr anaakili nimeipenda sana Mungu amfungulie njia pasipo nanjia
Emen
Naomba kuuliza Huyo mtu Alieghushi kaipatia wapi hiyo Hati??
Dogo umeshinda hiyo kesi hao benk ni wangese sana WAZIRI SLAA NAKUPA KAZI KWA KODI YANGU NAYOLIPA ILI UPATE MSHAHARA MALIZA KESI YA DOGO HLF MUMTAFUTIE KAZI YA KUFANYA DOGO ANA DEGREE YA MITAANI
Kwa kweli very Smart anajuwa kujieleza angesoma angefika mbali sana
Kwa kweli
Mungu tusaidie
daa jamani hapa haki ya wanyonge iko wapi mungu
Watu ni wanyang'anyi wa Mali za watu tena bila hata kumwogopa mungu duuh hii dunia mungu atutetee
Yaan nduguyangu huyu mtu utakua anasali anaenda kanisani au msikitini.
Daa inaumiza sana mm ninaiman kubwa sana na wazir nimtu mnyenyekevu sana kwahil sinahofu na atalimaliza na wote mtashangaa🙏🙏🙏
Mmmh hii kiboko
Jamani Doto upo vizuri, Haki itendeke jamani
Mungu ni mwema haki yenu itapatikana tu
Kateni rufaa ili mlinde nyumba yenu wakati mengine yanaendelea
Kateni rufaa please ndugu zangu nina amini haki yako itabakia kuwa ni yako japo itachelewa
Mungu atasimama nanyi kwa kila kitu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Muheshimiwa😢😢slaa
Mungu akusimamie mwanangu
Dogo ana akiri kuliko chawa mweusi
Waziri wa ardhi akiona hii matapeli wamekwisha
Yaani ukweli huwa naumia mno mimi kwa mambo haya yanayoemdelea hapa nchini kwangu. Mtoto mdogo anahangaika namna hii miaka yote kweli!! Ningekuwa rais aisee kunabaadhi ya watu wangejuta.😢
Mungu asimame UPANDE wenu Doto mdogo wangu na mpate msaada 🙏🙏🙏🙏
dogo anamiaka 19 lakini elimu ya chuo kikuu na experience yakutosha😊
Kwa maelezo tu wanashindwa kutenda haki kwa kuwa ndugu wako Ikulu
Dogo yuko smart sanasana mnooooooo
Kijana anajua kujieleza kweli yaani. n mtangazaji anauliza vizuri ili asituache. ila atujajua umri wa Mkwabi mtuhumiwa
Hongela sana dogo unaongea umenyooka vizuri sana.....
Imagine kuna wengi wana stuation kama hiyo lakini hawana mtu wa kuwasemea au kuwapambania kama huyu dogo
Ndio yale Rais alisema wakuu wa mkoa wakali ata kesi za mahakamani wanaziingilia sasa kama kesi hii kweli wakuu wa mikoa walikalie Kimya mahakama ndio chanzo
Rais nae ni moja wao
Mungu anatusaidia ,tusihofu kuhusu system za duniani
mtangazaji very sharp!!!!
Uko wapi makonda jamani angeshapata haki chap😭😭😭😭😭
mungu akutete haki yako haitapotea
t
Hii nchi apewe tu makonda angelikua ameshalitatua hili
Mhhh makonda anatatua anacho kipanga yy sio unachosema ww
Inauma sana 😢
Mungu akusimamie doto ukovizuri smat boy haki na Jasho lamtu halipotei bure Hata mbele ya haki itakutwa Allah akusimamie mdogo wangu
Huyu mtoto aende shule hata akisoma Qt atatoboa ili baadae awe kiongozi
yes ni QT hata mie nimesema hivo kabisa...wampeleke shule akija kuwa kiongozi atafanya wema maana kapitishwa kwny kitu kizito mnoo
Kaka nchi hii bila connection huwezi pata uongozi,,,
Kwwni shule Kuna nn huko?
Mungu ni mwema haki itapatikana? Mh Silaha yupo vizuri sana niliona Tanga kwa rajiri wa mabas lmeishaa hiyoooo ?
Dah inauma xana mama samia sikiriza kilio iki
Kijana nenda mpaka TBC1 na ITV,Kwa vile umesema umesema wana ndugu yake IKULU wanashilikiana
Ayo inatosha sana kwa Watanzania
Millard ayo, nami Nina changamoto nisaidieni kunipazia saut! Nimekosa tu namba zenu kuwapigia!
Mh. Dr Jerry Silaa nakuamini sana, chonde chonde msaidie kijana na bibi yake wapate haki, Mungu atakubariki zaidi
Mhhh huyu dogo kiboko 😊
Ila marafiki nazidi kuogopa Mimi ni hatari mno😢😢
Elimu ya la saba inatosha kabsaaa... Hongera mnooo dogo
Kina mbunge msukuma hawa
Huyu dogo yupo vzr sana na Elimu yake na standard Seven
Elimu si makaratasi ni kile kulicho kichwani
Mlindeni huyo mtoto wasiojulikana wasijekumtekatu maana hi Tz sikuhizi.wauwajiwengi. ....Allah akulinde kijanawetu. Yarabi mpewepesi huyokijana. Amyn
Yaan hata mkuu wa mkoa anaweza hili swala hapa ndio naona umuhimu wa Makonda Paul wa Arusha anafanya kazi kubwa za wananchi na Mahakama acha tu Mungu AKUBARIKI Makonda UTALIPWA na Mungu usipozimia moyo angalia hili huku Dar huyu kijana hakutakiwa kufika Kwa RAIS yaan alitakiwa police na mahakama wamalize hili swala tu!!!
Mungu wa mbiguni,hakimu wa haki peleka mtu mbele yake mwenye nguvu amtee huyu mtoto 😢😢