CRISTINA SHUSHO apiga magoti kwa NABII MKUU atoa milioni 10, Tamasha lake na ROSE MHANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 มี.ค. 2023
  • Nabii Mkuu Mhe Dr GEOR DAVIE amempa milion kumi muimbaji wa muziki wa injili CHRISTINA SHUSHO kaajili ya kufanikisha tamasha lililoandaliwa na muimbaji huyo akishirikiana na mwuibaji mwenzake ROSE MHANDO
    ..................
    Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii
    Instagram, Twitter na Facebook

ความคิดเห็น • 476

  • @peninauae2309
    @peninauae2309 ปีที่แล้ว +39

    Mama Rose na Christine why why mnapotea kweli when I see this clip I started 2 cry 😢 😭 😫 mbona roho wa mungu hakunena ndani yenu hizi hela rudishine please

  • @elishajoseph8291
    @elishajoseph8291 ปีที่แล้ว +26

    kwa kipande hicho 2 ulichoimba nakupa milioni 10 mmmh hatari sana, mwenye masikio asikie , mwenye macho huwezi kuambiwa tazama!!

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 ปีที่แล้ว +41

    Nitakuwa nasikiliza tenzi za Rohoni basi tu

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 ปีที่แล้ว +26

    akili ni mali na dini ni imani mungu tusaidie kutuepushe na watumishi wale feki

  • @jamestocta3075
    @jamestocta3075 ปีที่แล้ว +23

    Shetan anaharakisha mambo kabla Yesu hajarud kulichukua kanisa, ee Mungu tusaidie tupate kuwajua ili tuwakwepe.

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 ปีที่แล้ว +8

    MUNGU alijitukuza BRAZIL muda mfupi baada ya shetani kujiinua. MUNGU karibu TANZANIA. Shugulika Na manabii wa uongo watu wameacha kumsifu MUNGU anasifia manabii. Makanisa yamekua kama madangulo. Eee MUNGU tusaidie.

  • @adriandanford208
    @adriandanford208 ปีที่แล้ว +13

    Tumpokee roho mtakatifu na akae ndan yetu atuongoze

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 ปีที่แล้ว +21

    😄😄😄Ee Mwana wa Daudi Uturehemu Sasa hivi Gospel ni biashara 📌❤️🙌

  • @omaraonasir4361
    @omaraonasir4361 ปีที่แล้ว +8

    Hii madhabahu ni feki,mungu atusaidie,Kuna mpaka madj;mbinja nazo

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 ปีที่แล้ว

    Wenye shagwe ya Vanessa Mdee aka V money Nitupieni like humu.

  • @ntirampebaloys8949
    @ntirampebaloys8949 ปีที่แล้ว +7

    Christina nakupenda sana nakuamini napenda nyimbo zako Mungu kakutoa mbali hakuna baba hapo hakuna nguvu hapo mwambie Mungu pelke akupe😢

  • @uwezoseleman5530
    @uwezoseleman5530 ปีที่แล้ว +7

    Da Tina Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu tafakari hizi comments za watakatifu wa Mungu kisha chukua hatua. Hua nawaza uimbaji unamgusa Sana Mungu ndiyomana una vita Kali, wengi wanaanza na Mungu na kumaliza vibaya, ona hata shetani naye alikua muimbaji. Mungu tupe neema yako tumalize salama🙏

  • @neemachristopha4363
    @neemachristopha4363 ปีที่แล้ว +5

    Hapa ndipo mungu anawaonyesha watumishi wakweli nawauongo kweli mungu yupo kazi

  • @agnesmbula5261
    @agnesmbula5261 ปีที่แล้ว +4

    May God have mercy.tunaanza vizuri na tunamaluza vbaya may God redeem the remnants

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 ปีที่แล้ว +5

    Pole Christina, sijui unaelekea wapi, kama haujui tupo watu tunaofuatilia ulipotoka mpaka ulipo hatujui unaelekea wapi

  • @kelvinmandela-bt1dw
    @kelvinmandela-bt1dw ปีที่แล้ว +12

    Ni Unabii wa ukweli huu -Kusema Wapinga Kristo hata sasa wapo na katika siku za mwisho Watatolewa ili waonekane Hadharani/✍️✍️✍️ Nimemkumbuka pia yule ambaye alishuhudia kwamba hata waimbaji wapo kuleeee.....

  • @tukyaclassic-xm1qd
    @tukyaclassic-xm1qd ปีที่แล้ว +8

    Mhhhhhhh kweli shetani Yuko seriuz! Ivi mnajua kwa kwakufanya ivo mnawapoteza watu wengi Sana wanaingia gizani!

  • @gracehelbert5858
    @gracehelbert5858 ปีที่แล้ว +23

    Shushooo ushauza nafsi .

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 ปีที่แล้ว +12

    Hakunaga Cha BURE Twende Mbele tu.Sadaka inanena Kwaiyo alikozitolea hizo pesa Pana kuhusu100%.ila pole sanaa😢

  • @christinamsoka
    @christinamsoka ปีที่แล้ว +18

    Hapo kanisani Kuna watu wanalala njaa,na wanatoa kidogo walichonacho kwa kushawishiwa na nabii,mwishowe pesa wanapewa watu wengine na hao wanashangilia tuu km mazuzu..Ee Mungu tusaidie