SATELLITE Ya Kwanza Ya Tanzania Orbit Yake INASHIDA?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2024
- 'SAFARI YA TANZANIA KWENYE SETELAITI YAIVA.
Tumefanikiwa kupata nafasi katika orbit kwajili ya matumizi ya setelaiti. Orbit mpya ya setelaiti kwa Tanzania ni nyuzi (16 W). mafanikio ni moja ya matokeo ya mkutano wa Umoja wa Mawasiliano Duniani-2023(WRC23)! Ahsante Rais Samia kwa uongozi uliotukuka' Nape
Subscribe channel yetu ni BUREEE! :bit.ly/maxtechTV
Social media
TikTok bit.ly/Maxtechtz
➰Twitter bit.ly/maxtechtvtwitter
📸Instargram bit.ly/maxtech_tz
#satellite #tanzania #orbit #maxtechtv #setelaiti #angazambali - วิทยาศาสตร์และเทคโนโลยี
Good job 👍
Uko vzuri kaka.
Hujaitoa kazi mbovu
Daaah uko deep, mze umeiva af huchoshi an💪🏿.
Pamoja
Upo vizur kaka
Tuko pamoja anko Max japo ni wavivu kucomment ila tunapenda sn unavyochambua kitu ni noma
Tuko pamoja
Uko vizuli sana
Orbit zipo 3 tu, hiyo mpya ya tanzania itakuwa upande gani?
Nakupa big up mwamba kwa ufafanuzi wako wa kina kwenye mambo ya technology
Max tech why Russian missiles are so deadly brother in Ukraine , answer me in Swahili
Chuo kikuu cha dar sijui ni kweli
Max Tech 1.Kombora linalosafirisha Setilaiti kwenda umbali huo linatumia nishati gani hiyo?
2.Je setilaiti huko anga za mbali zikichoka hua zinaanguka duniani tena?
3.Je inawezekanaa kwa kombora kutoka nje ya Graviti ya duniaa na kwenda sayari nyingine?
1.Huwa lina tumia mafuta ya rocket.
2.Setilaiti huwa hazichoki sema huko anga za mbali sio kwamba hakuna hewa kabisa hewa ipo kwa kiwango kidogo kwaiyo huwa inazipa hizi satellite upinzani mdogo unaopunguza speed yake hivyo kufanya satellite ianzekushuka chini tena sababu speed yake imepungua lakini kwa satellite kubwa huwa zina engine ambayo huwa inawashwa kuzipandisha juu tena lakini kwa hizi satellite ndogo huwa ziachwa zidondoke chini na kwakuwa sehemu kibwa ya dunia ni bahari kuna chance kubwa kama ikipona kupenya kwenye anga la duniani basi mabaki yake yatadondoka baharini na sehemu ambapo satellite nyiki hudondoka panaitea POINT NEMO
3. Sio kombora Rocket ndo tunayoiongelea hapa japokuwa na makombora pia hutumia mafuta ya rocket lakini hapa rocket tunazoziongelea ni zile kubwa sana yeah huwa zinapeleka vitu hata kwenye sayari ya Mars, venus hata mwezini pia lazima hii rocket iwezekuishinda gravity ya dunia ilikufika huku
Unyama mwamba japi nakichwa ngumu ila nimeelewa ulikuwaga ticha😁?
unajitaidi Sana
Internet staring ya Elon musk ielezeee brother
Satellite Au mnazungumzia ungo wabibi ? 😂😂 wakirusha tu na kwambia sisi watu wasumbawanga tutaitunguwa 😂 afu kwa bahati mbaya Bibi yangu kasha nunu iPhone 😂🤣
Satellite inatumia nishati Gani uko kwenye space?
Inatumia solar sababu iko juu ya dunia anga halizibi mionzi ya jua kama ukiwa chini huku hali ya hewa inaweza kupunguza mwanga wa jua space hichi kitu hakipo
Nishati ya jua
Ww jamaa office yako ipo pande zip nije nikutembelee 🙏
Sina office bado niko chuoni
Chuo Gani
Mbeya University of science and technology (MUST)
Unasoma coz gan bro max
@@JamesMbokane electrical and electronic engineering
Muongo
Haya madini inatakiwa wakina nape wayasikie, ili wasije wakaingia mkenge
😂😂 wanawashauri wao wa wizara
Max uko mwaka wangap ,,?? Coz Kuna mdog Wang Apo first year ,cozi Kam yako
Sin uhakika kama nikwel
Nikweli kabisaa
Tusubiri tuone
Upo vizul bro
Niko pamoja na wewe napenda taarifa zako
Uko vizuli sana