Ndio sema mchanga wake ni mweupeeeeee na ndio maana linaangaza Hadi huku mwanga wa jua ukigonga pale kutokana na ule weupe hufanya na Sisi tupate mwanga usiku
th-cam.com/video/X7ONvSSKZLs/w-d-xo.html 👆👆👆👆👆👆 Kama ni muoga usifungue hii video😨 Tazama jinsi Kafara inavyotolewa hadharani watu wanachinjwa mbele ya camera 😭
Waangalie wasije wakauzima huo mwezi tukakaa giza sisi😂😂😂
Wewe acha wajitekenye tu hawana wala hawatopata uwezo wa kuuzima mwezi
😂😂
😄😄
😂😂😂😂😂😂
Hiyo ni animation sasa mbn, maana chenyewe kilichukuliwa na camera gam
China acheni utani na mwezi wetu mukiuzima tuta andamana mjue 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
wasije wakatuletea mambo mengine Baada ya Corona
Safiiiiii
Video ya mars story ya mwezini, asee😂
Video haiendani na unachosema, sio vidio husika
Hapa tumepigwa jamani😂😂😂😂
Video ya sayari ya mars, story ya mwezini, asee😂
Mimi nauliza huko mwezini kwenyewe hakuna bahari au mito
Hiv wanasayansi wetu tz wanafanya nn?? Mm nauliza tu
😀😀👍
Picha hizi munatuvunga
China China ni china
Hivi huko nako kuna Aridhi??
Ndio sema mchanga wake ni mweupeeeeee na ndio maana linaangaza Hadi huku mwanga wa jua ukigonga pale kutokana na ule weupe hufanya na Sisi tupate mwanga usiku
Hivi Clouds mnatuonaje sisi Watanzania kwamba hapo ni Mwezini au Mars?
🤣🤣🤣🤣
sayari ya mwezi? hivi mwezi nao ni sayari?
Tumepgwa hakuna cha mwezi hiyo video ni mars hili jmaa limemaliza mb zang tu
Hiyo ni video ya curiosity Rover na kilikuwa kinatua mars na sio kwenye mwezi fanyeni research
na vyote hivi ni CGI na VFX sio halisi.
Enyewe
Kwa hyo hapo ndo mwezini,? Au unatuona sisi mapimbi
🤣🤣🤣🤣🤣 ila clouds bwana
th-cam.com/video/X7ONvSSKZLs/w-d-xo.html
👆👆👆👆👆👆
Kama ni muoga usifungue hii video😨 Tazama jinsi Kafara inavyotolewa hadharani watu wanachinjwa mbele ya camera 😭
Hapo ni mwezini au ni sayar ya mars mbona kama nachanganyikiwa halafu mbona kama video ni ya muda kidogo
Hio ni mars
Lakini wao wanasema mwezi
Umenimalizia mb zangu
hiyo Ni sayari ya mars nasio mwezi nawaliotuma huo mtambo Ni wanasayansi wa NASA acheni huongo sisi sio vilaza mamae
China acheni utani na mwezi wetu mukiuzima tuta andamana mjue 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣