Ijue Vizuri STARLINK ya ELON MUSK / Inakuja TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sn Kk Snash tz kwa Maelezo Mazuri sn hakika nimejifunza Mambo Mazuri sn kuhusu technolojia ya "Star link"..... endelea kutoa Maelezo Zaidi kuhusu Technolojia 👏👏👏👏🔥🔥🔥

  • @petermyombo6697
    @petermyombo6697 ปีที่แล้ว +7

    Pongezi kwa makala za teknolojia itakuwa poa ukielezea artificial intelligence kuhusu Chat GPT,hologram,Genomics.

    • @msafitv9646
      @msafitv9646 ปีที่แล้ว

      Napenda kujua pia kuhusu Chat GPT,mr snash

  • @shabanimatua4971
    @shabanimatua4971 ปีที่แล้ว +3

    Tumalzie video hajaisha na hatujakuelewa wala hatujielewa hyo starlink ni nn!!

  • @yohananyabu5556
    @yohananyabu5556 ปีที่แล้ว +1

    Ataleta na vocha zake au utaratibu wakulipia utakuwaje?

  • @gb-one6435
    @gb-one6435 ปีที่แล้ว +1

    Leo hujaelezea chochote kiundani umepitaa tuu Shwaaaa
    Jitahidi uwe kama kipindi unaanza

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 ปีที่แล้ว

    Hapa nimegundua kwann wanamchelewesha nahisi washapigwa kitu kidogo na makampuni ya simu maana hii ndo itakuja kupoteza hivi vinetwork vyao vinavyosumbua sumbua.

  • @funnyclipz1182
    @funnyclipz1182 ปีที่แล้ว +1

    Kaka snash please 🙏 naomba review ya samsung note 20 ultra 5g, utatisha kinoma

  • @trevomyahudi1368
    @trevomyahudi1368 ปีที่แล้ว

    Kweli kak ila skuiz ubezi san kweny movinswahili why au akun mov mpya?

  • @medardsotta5211
    @medardsotta5211 5 หลายเดือนก่อน

    Nape na genge lake wamekataa isije kulinda maslahi ya baadhi ya mabepari.

  • @salehegiza3305
    @salehegiza3305 ปีที่แล้ว +1

    Sasa ndo nn video imeisha ww bado ujatoa maelezo yaliyo kuwa mazuri.umesha kuwa star sasa unazingua kinoma noma

  • @vedastokeya3344
    @vedastokeya3344 ปีที่แล้ว +1

    Zamani ulikuwa unajituma sana saivi unazingua kaka

  • @lifestylechannel5077
    @lifestylechannel5077 ปีที่แล้ว +1

    Kaka fanya review ya garden of the galaxy vol 3

  • @athmanjuma3768
    @athmanjuma3768 ปีที่แล้ว +1

    Mbona imeishia kati tena

  • @theprogrammer3351
    @theprogrammer3351 ปีที่แล้ว

    Kwahy wanataka kutuunguza kabisa... Hii tu internet ya kusua sua lakin wanatukomoa kwa bei

  • @emmanuelntalima1717
    @emmanuelntalima1717 ปีที่แล้ว +1

    He is good

  • @shabiruponera4323
    @shabiruponera4323 ปีที่แล้ว

    Mbona Kama video haijajitosheleza..??

  • @ausog3696
    @ausog3696 ปีที่แล้ว +1

    Bora ajee

  • @africanasplumbing
    @africanasplumbing ปีที่แล้ว +1

    Ivi hizo satellite haziharibikagi

  • @edwinmichitah9595
    @edwinmichitah9595 ปีที่แล้ว

    Mtajuta kwani Hawa wazungu hawana Nia njema hapa Africa

  • @emmanuelgenge-de1xr
    @emmanuelgenge-de1xr ปีที่แล้ว

    Hatuoni file la Tesla now tunalipataje halionekani

  • @arlocavallari2140
    @arlocavallari2140 ปีที่แล้ว

    nafikili snash umetupa kidogo sana kuihusu starlink nataman kujua zaid namna inavyotumika maana c lazma uwe na receiver so unaconnet cable au inasafir katk frequency

    • @Lake_zone
      @Lake_zone ปีที่แล้ว

      Ni cable mkuu mara nyingi ni maofisini hii maana ni ghali saa

    • @arlocavallari2140
      @arlocavallari2140 ปีที่แล้ว

      @@Lake_zone 🤞🏾

    • @troubleMan234
      @troubleMan234 ปีที่แล้ว +1

      Ili utumie starlink lazma uwe na receiver
      Na iyo receiver wew ndo unachagua uiweke wapi kama ofcn au home ( ipo kama dish la dstv au azam )
      Na internet yake ni unlimited we unakua unanunua speed tu ya internet

  • @stefanschz7589
    @stefanschz7589 ปีที่แล้ว +1

    Can anyone translate this? I am wondering if Starlink is available in Zanzibar already? Anyone knows this? THANKS

    • @ndeeanka
      @ndeeanka ปีที่แล้ว

      its not yet available anywhere in Tanzania, but its coming soon

  • @ayubugeorge2168
    @ayubugeorge2168 ปีที่แล้ว

    unaongea Sana, huweki point

  • @nicksonkimaro7680
    @nicksonkimaro7680 ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza Kwahiyo kutakuwa hamna haja sana ya minara ya simu kupata network na internet?

    • @simbascdailysimbasctanzani2835
      @simbascdailysimbasctanzani2835 ปีที่แล้ว

      Yes Europe hawana minara wana wifi kote ww ni kulipa tu kwa makampuni ambayo wana kupa huduma ya wifi

  • @abdalahsambala6667
    @abdalahsambala6667 ปีที่แล้ว +1

    Hivi hizo sat haziwez kugingana huko juu na kuangukia duniani

    • @yusuphally5396
      @yusuphally5396 ปีที่แล้ว

      Kila moja inazunguka kwenye mhimili wake ni ngumu kugongana

  • @godmlamka2194
    @godmlamka2194 ปีที่แล้ว +1

    Tuletee uliokuwa imekamilika hii fupi

  • @dnx_Gr
    @dnx_Gr ปีที่แล้ว

    Tatizo uzalishaji wake mdogo sana vile vile sahivi kawekeza sana Ukraine ilioathiriwa na Mrusi ko kuingia bongo sahivi sidhan itachukua muda kidogo

  • @shabiruponera4323
    @shabiruponera4323 ปีที่แล้ว +2

    Mbona hunipi shout-out zangu mm niliye omba video hii Kaka kwa insta😁😁

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 ปีที่แล้ว

    Kwani hizo akili hao Akina elon walizitoa wapi🤣

  • @Papaa_Hillary_Mrema
    @Papaa_Hillary_Mrema ปีที่แล้ว

    Endelea kutupa muhimu ndungu Mwandishi.

  • @rammario8865
    @rammario8865 ปีที่แล้ว +2

    Mtu wa kwanza leo naombeni like zenu🙏🙏🙏🙏

  • @abdulnjumanji3106
    @abdulnjumanji3106 ปีที่แล้ว +1

    🎯🎯🎯

  • @kevinsoldier4211
    @kevinsoldier4211 ปีที่แล้ว

    mbona video imeishia kati bro

  • @directorimmah_vfx3043
    @directorimmah_vfx3043 ปีที่แล้ว +1

    Vdeo haijaisha

  • @godfreythomas9691
    @godfreythomas9691 ปีที่แล้ว +6

    Video hua unapost usiku ,,, unatumia network ya wizi au kuna kitonga maali?🥵

  • @davidmdiason4621
    @davidmdiason4621 ปีที่แล้ว

    Naona stori hàijaisha clip imekata

  • @benjaminmushi2780
    @benjaminmushi2780 ปีที่แล้ว

    Mhhh snash skuiz umeisha unafelimno inamaana hukagui video zako kabla hujapost?

  • @BerryFilmmaker
    @BerryFilmmaker ปีที่แล้ว

    Elon ni mwizi ,Data is a new currency 💴 😊

    • @muhammedsuleyman6501
      @muhammedsuleyman6501 ปีที่แล้ว +1

      Yes sure, tutapigwa kitu kizito bado hawajshtuka watu

    • @Vampx
      @Vampx ปีที่แล้ว

      Targeted ads zitakuw za kutosha, sababu they know you, they know what you like, they know your life style... 😂😂

  • @riksonforever1169
    @riksonforever1169 ปีที่แล้ว

    #Techinswahili

  • @emanuelmbaga
    @emanuelmbaga ปีที่แล้ว +2

    Mzigo umekatikia njiaaani

  • @hemedibrahim2162
    @hemedibrahim2162 ปีที่แล้ว

    hii poa

  • @heisren_vii201
    @heisren_vii201 ปีที่แล้ว

    They are preparing the mark of the beast system

    • @Vampx
      @Vampx ปีที่แล้ว

      Kuna siku mtajielewaa... Hiv vidini vinawapotezea sana muda na pesa zenu... Nyie mnawaza worse things about life, there's no markyof the beast... If you die, you die.. you are not going anywhere, this is your heaven kiddo enjoy your life.... 🤔🤔

  • @unyeseupdatestv
    @unyeseupdatestv ปีที่แล้ว

    Pia siku hizi kiwango chako cha kueleza kimeshuka sio movie sio technology unaongea hata hueleweki na unaeleza kimkato mfamo huo mfumo wa starlink hata hatukuelew hujaeleza unafanyaje kazi gharama zake huwa zipoje nawezaje kuununulia internet ili nitumie Faida zake zipi hasara zipi husemi ila unabwabwaja basi ndy maana siku hizi tukiona video zako tunapuuzia

    • @alphaxad7755
      @alphaxad7755 ปีที่แล้ว +1

      eb fanya ww unadhan n kaz rahisi ee fanya ww xx

    • @salehegiza3305
      @salehegiza3305 ปีที่แล้ว

      Kweli