Jamaa ameifanya sayansi ionekane ni kitu rahisi especially kwa sayansi kama hizo ambazo huonekana kuwa ni ngumu sana kama sayansi ya satellite na rocket. Asante sana kaka kwa kutufungulia njia maana umetupa picha kuwa ata bongo kuna mabrain mijitu yenye akili kubwa ila hawapati Njia au where to start. Serikali kupitia research center au science department sijui but we need to invest Big kwenye izi talent. Kumbe Mungu Tanzania hakutupa tu utajiri wa rasilimali pia Vipaji vipo. Again.. kaka tunakushukuru sana, u just made it look so easy ata mimi nimetamani kusomea yani tofauti kabisa na walimu wetu wanavyotufundisha science SnS asante pia this Content is the Real DeaL
Amna kitu bora kama kuwa mzalendo ,umesoma lkn ukarudi Tanzania kuonyesha ulichokipata kazi nzuri zana tukipata vijana kama wewe kumi ambao wamesoma njee na kufika kiwango ambacho umefika na kurudi nyumbani kuendeleza ujuzi Tanzanian tutapiga hatua kubwa sana big up sana
Vijana wapo wengi sana wenye uwezo mkubwa sana wakifanya vitu kama hivi ukweli nikwamba serekali yetu haiko tayari kusaidia vijana wenye vipaji kuwaendeleza
Huyu Dogo ni Genius sana !!! Una feel kabisa kuwa ana knowdge zaidi!! Nasikia kutoa machozi hawa ni Almasi kwa Africa..anaitaji back up kali sana. Nimeshuudia uvumbuzi kibao lakini system zina let down sana,...TUKIACHA ROHO MBAYA, WIVU, CHUKI, NA UKANDAMIZAJI, KULOGANA....Hawa ma genius wanaweza kabisa.
Mimi mkenya lakini nimependa Sana anachokifanya huyu kijana daah,hawa ndio watu tunahitaji kwenye jambi zetu hapa AFRICA hongera Sana brother may God grant good health and long life we need you to inspire the current and coming generations aasante Sana I love this....hata sijui la kusema....
Well done home Boy .. Kazania apo apo .. Nenda Kenya tu apo utapata nafasi na pesa nyingi kwa kazi yako hiyo ..!! Kibongo bongo bado tuko busy tunasifu na kuabudu kwanza ...!! Hawawezi kukuzingatia zaidi zaidi watakukwamisha na kukuvuruga tu ..
Hongera sana huyu ndio msomi wa vitendo hajaenda kukariri kama walio wengi wafanyavyo, wenye kujaaliwa wamsaporti aweze kulikomboa Taifa ktk masuala haya ya kisayansi ya juu
Watanzania hawawezi elewa coz hii field hawaijui wachache sana watakuelewa but hongera sana broo umeni inspire sana umetumia alot of money, time keep it up
Wewe mwenyewe pia hujamuelewa😂😂. Wabongo wengi washafanya hio kitu. Tofauti ni sijawahi sikia mtu akiita Satellite😂😂. Actually hiyo ni WEATHER MONITORING STATION, SAT ni issue nyingine😅
@@meckzeckwabongo wapi hao wengi unaowazungumzia wewe, shida yetu sisi hatupendi kuona mtu akifanya jambo likafanikiwa tunaanza kwa kukatisha tamaa kwa kuonyesha kuwa yeye sio wa kwanza,
Msomi, genius, Kiswahili kimenyooka anatumia lugha kwa ufasaha wala halazimishi kingereza. Njoo kwa Std 7 failures, anataka kila neno aweke kingereza huku hajui na matamshi hawezi
Hasa ma slayqueens wetu hawa ni shida sana You Know, You Know zinakua nyingi sana kwenye maongezi kiingereza cha kuunga unga sana wanatishia watu... Ila wasomi wenye akili hawana hizi mbanga, kuna jamaa mmoja yule anafanya kazi Boeing ni m Tanzania nae ukicheck interview yake anaongea kiswahili fasaha tu na amekaa sana USA miaka mingi..
Dah,nimefarijika na kufurahi sana Asante sns Asante kaka yetu kwa Ubunifu huo sisi ambao tuko kwenye industry ya tech tunajua ugumu upi umeupitia mpaka leo hii wazo lako unalifanikisha.Big up brother usikate tamaa,tuko pamoja nawe
Tunasema tumshukuru Mungu na atuinulie bijana kama hawa,pia serikari inapaswa kuangalia vijana kama hawa na kuwapanguvu vijana wote wenye uwezo wa kutengeneza kitu chochote cha maendeleo ya kiuchumi watumiwe na serikari yao tuweze kujitegemea maana madini tunayo yanayo sapoti vitu vingi vinavyo husiana na sayansi tunaomba serikari itoe nguvu kwa wavumbuzi wote..Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 tuvbariki na vijana wa Afrika.
Tunaomba muendelezo wa ufafanuzi zaidi juu ya satalite. Pia nikupongeze Mtanzania mwenzetu kwa hatua hii. Niombe serikali yetu kutumia ubunifuu huu kwa Masirahi ya Taifa🇹🇿
Vijana kama hawa wanatakiwa kupewa sapoti na tuzo .. namfikiria anayafanya haya yote kwa pesa zake mwenyewe , .. yaani natamani zile pesa wanazopewa wachezaji wa mpira kila wakifunga goli wangefanya vivyo hivyo kwa vijana kama hawa safi sana shayo
Asante kwa video nzuri. ila aliye edit tafadhali punguza wakati mwingine sauti ya vionjo (sound track). ina volume kubwa sana kuliko sauti ya muongeaji kwahiyo ni ngumu kusikiliza anacho wasilisha hata kama ukiongeza sauti ya kifaa chako. asante
Hongera bro hatujawai kufikiria kama Kuna mtu kama wewe genius we ni faida Kwa taifa letu ,selikali inabidi ikutazame Kwa jicho la tatu Kwa faida ya taifa letu
Nasikia Raja sana moyoni Kwa mazao ya kisayansi kutoka nchini mwetu hongera Sana wasomi wetu pia serikali ya Tanzania itoe ushirikiano wa Hali na mali idhamini Kwa 100 aslimia Ili MSOMI wetu huyu awe chanzo cha maendeleo ya kisayansi nchini mwetu vinginevyo atachukuliwa na wanaojua jamani yake
Hongera, ila sijui utafanyaje ku-raise fund ukizingatia tanzania hakuna space rocket na serikali tz mara nyingi haiwekezi kwa wabunufi wa ndani tofauti na USA au china, usa taasisi kama darpa na NSF zinawekeza kwa startup zinazotengeneza vitu vinavyo-push teknolojia
1st of All tusisahau huyu MWAMBA NDIO MCHAGA WA KWANZA kuwa na ndoto ya ela ndefu Tanzania na hajisifu kama ndugu zangu wa HAYA japo na mimi ni Muhaya hongera kwa wachaga tunakuombea mchogo ukae sawa.
Daaaah! Haya ndo mambo napendaga kuona na kusikia... safi sana kaka
Nimefarijika sana, ingawa sijui watamtumiaje ili kuinufaisha Tanzania yetu na Africa kwa ujumla, Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania.
Jamaa ameifanya sayansi ionekane ni kitu rahisi especially kwa sayansi kama hizo ambazo huonekana kuwa ni ngumu sana kama sayansi ya satellite na rocket. Asante sana kaka kwa kutufungulia njia maana umetupa picha kuwa ata bongo kuna mabrain mijitu yenye akili kubwa ila hawapati Njia au where to start. Serikali kupitia research center au science department sijui but we need to invest Big kwenye izi talent. Kumbe Mungu Tanzania hakutupa tu utajiri wa rasilimali pia Vipaji vipo.
Again.. kaka tunakushukuru sana, u just made it look so easy ata mimi nimetamani kusomea yani tofauti kabisa na walimu wetu wanavyotufundisha science
SnS asante pia this Content is the Real DeaL
Hongera sana brother Lenard , wewe ni hazina ya Taifa
Kaka Leonard shayo upo 1 tu Africa nzima🌟💪🏾
Amna kitu bora kama kuwa mzalendo ,umesoma lkn ukarudi Tanzania kuonyesha ulichokipata kazi nzuri zana tukipata vijana kama wewe kumi ambao wamesoma njee na kufika kiwango ambacho umefika na kurudi nyumbani kuendeleza ujuzi Tanzanian tutapiga hatua kubwa sana big up sana
FUTURE MAN ON SPACE FROM TANZANIA IS COMING
Kazi nzuri Afrika inawezekana kama Serekali zita kusanya vipaji na ujuzi mbali mbali kwa ubunifu.
Ndiooo ❤🎉
This man is very genious we need such engineers and not politicians
Huyu jamaa tuko vizuri, nafurahi sana!!! Kuona Mtanzania anavyofanikiwa, tupate vijana wengi kama hawa, Mungu ibariki Tanzania
Vijana wapo wengi sana wenye uwezo mkubwa sana wakifanya vitu kama hivi ukweli nikwamba serekali yetu haiko tayari kusaidia vijana wenye vipaji kuwaendeleza
Huyu ndie alitakiwa kuwa pale TCRA
Inafurahisha na Mungu abariki ndugu yetu huyu na watu wote ktk vipaji mbalimbali. Safi sana Mr Shayo
Huyu Dogo ni Genius sana !!! Una feel kabisa kuwa ana knowdge zaidi!! Nasikia kutoa machozi hawa ni Almasi kwa Africa..anaitaji back up kali sana. Nimeshuudia uvumbuzi kibao lakini system zina let down sana,...TUKIACHA ROHO MBAYA, WIVU, CHUKI, NA UKANDAMIZAJI, KULOGANA....Hawa ma genius wanaweza kabisa.
Mimi mkenya lakini nimependa Sana anachokifanya huyu kijana daah,hawa ndio watu tunahitaji kwenye jambi zetu hapa AFRICA hongera Sana brother may God grant good health and long life we need you to inspire the current and coming generations aasante Sana I love this....hata sijui la kusema....
Kinyange to the word. Keep moving mate. Home boy
Huyu si anastahili kutunikiwa Phd jamani... Au wadau mnaonaje🤔🤔🤔
Kabsaa kuna wengine wana Phd hakuna hata la msingi anajua za notes tu mpe practical sasa
PhD Tanzania ni mpaka avuke viwango vyote vya fitna
Anayo tayari
Hongera Sana Shayo ,Talent hii niliiona kwako ukiwa form two .Mungu akufunike Mzee we ni Taasisi.
Well done home Boy ..
Kazania apo apo ..
Nenda Kenya tu apo utapata nafasi na pesa nyingi kwa kazi yako hiyo ..!!
Kibongo bongo bado tuko busy tunasifu na kuabudu kwanza ...!!
Hawawezi kukuzingatia zaidi zaidi watakukwamisha na kukuvuruga tu ..
Huyu amesoma ameelimika, anaitendea kazi elimu, wasomi wengi iko kwenye makalatasi, Mungu akubariki sana, songa mbele tunakuombea.
Engineer msomi kwa vitendo..... congratulations ndg, unastahili kutunukuwa PhD na Uprofesor
Hongera sana huyu ndio msomi wa vitendo hajaenda kukariri kama walio wengi wafanyavyo, wenye kujaaliwa wamsaporti aweze kulikomboa Taifa ktk masuala haya ya kisayansi ya juu
Allah atupatie Watanzania 10 kama huyu. Na uongozi kama wa Magufuri. TANZANIAN tuko mbele sana.
Izi ndo habar sasa! Big up sns!
DIT is the best school for engineering Tanzania ,thanks bro all the best in you ideas
Hongera mkuu,serikali mtumieni huyu mtu
Watanzania hawawezi elewa coz hii field hawaijui wachache sana watakuelewa but hongera sana broo umeni inspire sana umetumia alot of money, time keep it up
Wewe mwenyewe pia hujamuelewa😂😂. Wabongo wengi washafanya hio kitu. Tofauti ni sijawahi sikia mtu akiita Satellite😂😂. Actually hiyo ni WEATHER MONITORING STATION, SAT ni issue nyingine😅
@@meckzeckwabongo wapi hao wengi unaowazungumzia wewe, shida yetu sisi hatupendi kuona mtu akifanya jambo likafanikiwa tunaanza kwa kukatisha tamaa kwa kuonyesha kuwa yeye sio wa kwanza,
Katika wavumbuzi wote Tanzania huyu nampa namba 1 kwasababu uvumbuzi wake umeambata na taalum haswa ie professional inventory
Msomi, genius, Kiswahili kimenyooka anatumia lugha kwa ufasaha wala halazimishi kingereza. Njoo kwa Std 7 failures, anataka kila neno aweke kingereza huku hajui na matamshi hawezi
HAHAAA MWQMBAAA UMETISHAAA UMEONGEA KWA UCHUNGU HAHAAA
Dah kweli kabisa yan kiswahili kimenyooka na ana eleweka
Hasa ma slayqueens wetu hawa ni shida sana You Know, You Know zinakua nyingi sana kwenye maongezi kiingereza cha kuunga unga sana wanatishia watu... Ila wasomi wenye akili hawana hizi mbanga, kuna jamaa mmoja yule anafanya kazi Boeing ni m Tanzania nae ukicheck interview yake anaongea kiswahili fasaha tu na amekaa sana USA miaka mingi..
@@ZeProDJay hao target yao ni wazungu
wewe jamaa umeandika nilichotaka kuandika 😂
Hongera sana haya ndio mambo ya kutuletea elimu hii ni nzuri.Asanteni
Dah,nimefarijika na kufurahi sana Asante sns Asante kaka yetu kwa Ubunifu huo sisi ambao tuko kwenye industry ya tech tunajua ugumu upi umeupitia mpaka leo hii wazo lako unalifanikisha.Big up brother usikate tamaa,tuko pamoja nawe
HONGERA SANA DOGO.SHIDA SISI WA TZ HATUWAPENDI WABUNIFU WETU WA NDAN
Hii inamaana jamaa anaweza kutegeneza vifaa vinavyo tumia umeme na mawasiliano, ikiwemo simu, computer, TV, Redio Nk.
kabisa... mwamba ana Ndoto kubwa ni balaa hivyo ni vitu vidogo kuliko Satellite jamaa anajua Mungu amemariki sana🙌🙌
Tanzania ni nchi yenye vipaji vya ajabu sana tunahitaji viongozi makini sana ilikufikia malengo ya Taifa.
Bwashee, Umetishaaa sana, kwanza mdogo alafu ana maarifa makubwa sana. Congratulations 🎊
Halafu hajamwita waziri mkuu au rais, very humble.
Uko sawa mkuu..... hongera ktoka Nairobi.,wetu hapa kingereza tele ila akili kama hii hamna
Nchi yetu bado inakumbatia mafisad ,vipaji ni vingi
Tunasema tumshukuru Mungu na atuinulie bijana kama hawa,pia serikari inapaswa kuangalia vijana kama hawa na kuwapanguvu vijana wote wenye uwezo wa kutengeneza kitu chochote cha maendeleo ya kiuchumi watumiwe na serikari yao tuweze kujitegemea maana madini tunayo yanayo sapoti vitu vingi vinavyo husiana na sayansi tunaomba serikari itoe nguvu kwa wavumbuzi wote..Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 tuvbariki na vijana wa Afrika.
Aise hongera sana!! Ahsante. Ww ni mtanzania kweli. Kiswahili kizuri. Hongera sana. Mungu akutangulie siku zote. Amen.
Hongera sana kaka kwa kazi mawazo nakizi ulizozifanya pia hongera kwa matumizi mkubwa ya lugha ya kiswahili katika mauala ya sayansi ya anga
Naposikia habari kama hizi za teknolojia nahisi Dunia ipo mkononi mwangu big up #SNS
Mm binafsi nakutakia heri una jambo kubwa ebu fanya jambo lako na Mungu akujalie uzione ndotozakozikiwa angani na sio mezani tena !
Ni idea nzuri sana. Kwa uchunguzi mzuri zaidi haende mlima kilimanjaro pia itakuwa poa sana
Hongera sana kaka mm pia nimesoma electronics kama wewe napia ninamalengo kama yako karibu zanzibar
Tupo vizuri natunapambana sana watu wa Kilimanjaro .We never give up👏👏👏
Ukiweks tu u Kilimanjaro ni kosa kubwa.. Ni m Tanganyika good...
Ukabila wa nini sasa
Tunaomba muendelezo wa ufafanuzi zaidi juu ya satalite. Pia nikupongeze Mtanzania mwenzetu kwa hatua hii.
Niombe serikali yetu kutumia ubunifuu huu kwa Masirahi ya Taifa🇹🇿
Kaskazini is always headers,,,, big up brother
Hongera sana kijana,nakuomba nenda Kwa Raisi wa nchi yetu Tanzania,akusaidie mtaji Ili utengeneze satellite ya nchi yetu.
Well done bro...salute
Hongera sana, watu kama hawa wenye akili nyingi wasiachwe bure, serikali iwatumie kwa maendeleo ya Taifa letu.
Mh Nape Nnauye Fanya jambo. Hii ni zaidi ya Roboti Eunice
akili hiyo wanayo sasa
Maana ya neno Genius ni Mtu mwenye Uwezo wa kuunganisha Taarifa haraka kuliko mtu yoyote kwa miundo ambayo haijawahi kuonekana
Serekali wapeni support vijana hawa wenye ujuzi. Wako wengi Tanzania tuna vijana wenye ujuzi wengi
Kaka asante sana Sasa Tunaweza kufikia malengo ya nchi yetu
Safi sana mtalaam ❤, Serikari sasa ikupe hela ya hizo Project.
Safi sana Sns kwa kuvitukuza vya nyumbani
Kazi nzuri bro sema tu mungu akutangulie maana hill in kusudi zuri ktk nyanja ya kiteknolojia hasa ya agani.
haikuarahisi kaka kazi nzuri sana ndugu na hongera sana
Hatua nzuri sana
Hii ina maana tunaweza kuwa na huduma ya Internet ya kwetu wenyewe au sija elewa hapo
Inahitaji uwekezaji mkubwa tena huko umeenda kwingine kabisa bro sio rahisi kwa sera za nchi yetu hizi..
Kari nzuri sana
Hongera Sanaa hatuwezi hata kulipa garama mpak hap Mungu akusaidie zaidii
Hongera sana kaka hivi ndiyo wasomi tunatakiwa kuwa ndiyo tuendelee
Nice..ata wao walianza kama wewe usikate tama
Anaelezea vizuri nakueleweka sana.. Hongera kwake
Vijana kama hawa wanatakiwa kupewa sapoti na tuzo .. namfikiria anayafanya haya yote kwa pesa zake mwenyewe , .. yaani natamani zile pesa wanazopewa wachezaji wa mpira kila wakifunga goli wangefanya vivyo hivyo kwa vijana kama hawa
safi sana shayo
Mwanangu usiende mbele wala nini piga zako kazi bongo utufikishe mbali
Bongo nyoso mjomba, wata discourage sana, kama viongozi tu hawasuport
Atobolee apa apa mdogoangu acheni mawazo ya
koloni
Mbele haendi yeye mwenyewe, watamchukua hawataki mabeberu watu kama hawa wakae Afrika,utaona serikali zetu zinamuangalia tu,baadae anachukuliwa😊
Bongo wataua kipaji chake,hawana maana hawa.
Wakiona mtu mwerevu wanafanya kila njia kumpoteza kwenye ramani
Sasa ukienda kusaidia taifa ambalo lishakua Ina faida Gani saizi mbele ni apa bongo kuza chakwako kaka mbele napo palikua ivo kwasabu ya uzalendo
Ukovizuri tunakuombea Kwa Mungu one day yes katka nchi yetu.
Nice keep Going 🤝👏
mtu mmoja anafanya kazi za professional zaidi ya 2. afu kunao wawazao amapiano na kupiga vyombo tuu.
Umenimotivate sanaa
Hangera Sana kwa ubunifu
Hongera sana serikali impe kipaumbele huyo jamaa
Brother Leo...Hongera sana Kaka
Jamani uko jeshini hakunaga nafas za watu kama hawa!! Naona kama nmsaada kwa taifa yetu
Tanzania tunalo la kujivunia walau, hongera saana injinia wetu, hujaficha kipaji na talanta yako
SERIKAL MPENI PESA HUYUU...JAMAAA ANAUWEZO MKUBWA,,KUNUNUA VIFAA NIGHARA SANA...MPENI PESA ILI AENDELEZE ALIPO FIKIA.
Huyu ndio anafaa kuwa mwalimu na kupewa professa
Exactly
Wstu km hawa wslipaswa kupews mabilion ya pesa na kuwezeshwa ili wawe suruhisho la matstizo yetu
Mungu ametupatia vipaji hivi ni vyema serikali kupitia Jeshi letu ingevichukua na kuviwezesha kulingana na mahitaji yetu kama Nchi
Big up Mkuu and stay blessed
Bigup bro 💪
Good job Mr. Engineer👏👏👏
Asante kwa video nzuri. ila aliye edit tafadhali punguza wakati mwingine sauti ya vionjo (sound track). ina volume kubwa sana kuliko sauti ya muongeaji kwahiyo ni ngumu kusikiliza anacho wasilisha hata kama ukiongeza sauti ya kifaa chako. asante
Hongera sana kaka, umefanya kitu cha pekee sana, tunajivunia wewe
Hongera bro hatujawai kufikiria kama Kuna mtu kama wewe genius we ni faida Kwa taifa letu ,selikali inabidi ikutazame Kwa jicho la tatu Kwa faida ya taifa letu
Haya ndo mambo ya kusapoti na siyo Yale mambo ya sanamu ....serikali imuangalie huyu jamaa Kwa jicho la kwanza
Upewe bodyguards haraka 🙌🏾
Big up brother 🙏
SERIKALI HAIONI HAWA WATU WAWE WANAJADILIWA BINGENI
Nasikia Raja sana moyoni Kwa mazao ya kisayansi kutoka nchini mwetu hongera Sana wasomi wetu pia serikali ya Tanzania itoe ushirikiano wa Hali na mali idhamini Kwa 100 aslimia Ili MSOMI wetu huyu awe chanzo cha maendeleo ya kisayansi nchini mwetu vinginevyo atachukuliwa na wanaojua jamani yake
Kiswahili safi kabisa
Safi sana tumepiga hatuaa kubwaa sana ya technologies tz bas serekali iwawezeshe watuu kama hawaaaa
Hongera, ila sijui utafanyaje ku-raise fund ukizingatia tanzania hakuna space rocket na serikali tz mara nyingi haiwekezi kwa wabunufi wa ndani tofauti na USA au china, usa taasisi kama darpa na NSF zinawekeza kwa startup zinazotengeneza vitu vinavyo-push teknolojia
1st of All tusisahau huyu MWAMBA NDIO MCHAGA WA KWANZA kuwa na ndoto ya ela ndefu Tanzania na hajisifu kama ndugu zangu wa HAYA japo na mimi ni Muhaya hongera kwa wachaga tunakuombea mchogo ukae sawa.
Good job brother 🇹🇿❣️
Asante sana Mungu akuzidishie elimu. Japo kuna changamoto nyingi. Ila umoja ni nguvu tutafika
Waw the first space man in africa
Safi Sana,hongera Sana!
Wewe ni hazina kubwa ya Taifa unahitaji ulinzi mkubwa Sana.. Mungu akulinde Sana..
big up sana men your the future. big brain tunaitaji sana vichwa vya aina hii