Mapenzi ni mawasiliano chanya…wanaofurahia mahusiano kwa uchanya wake, ni wale wanaowasiliana katika uchanya wake. Pesa ina sehemu yake. Lakini haiwezi kukufanya ufurahie mahusiano au mapenzi. Mume akiwa na gubu, hata angekuwa na pesa kiasi gani, kamwe mke hatamfurahia. Dhana ya kwamba mapenzi ni pesa, ni dhana potofu sana. Kipaumbele katika mahusiano kinatakiwa kuwa mawasiliano chanya na sio pesa. Sijasema pesa haina umhimu! Usije ukanitafsiri vibaya. Pesa ina umhimu lakini haiko kwenye mojawapo ya nguzo zinazojenga ndoa. Nipinge kwa hoja.
Napenda sana documentary kutoka bongo fasta
Umeelezea vizuri sana
Tuna Subiri Kuhusu Google Pixel Na Samsungs ,BMW , Ferrari 😊
Nipo Zanzibar tunakupata vizuri.
Gasamma machibya,nihitaji historia yaLG
Thank you Mungu akusaidie ufke mbl
Cool
salamu zimefika
Congo 🇨🇩
Naomb utuletee historia ya ile ndege ya kifaransa iliyopoteaga boeing nmesahau ngap😊
Up vizr katika matangazo
Dennis kutoka mombasa Kenya 🇰🇪
Twende kazi...ndugu zangu
Nice
Brand kubwa
Tatizo Wengi Mnafeli Ivi2 Matangazo Ni Iyali Ya Mtu Weka Mwisho Wa Habari Usika
Atari sana
Story kuhusu jengo la CIA
Tunaomba utupe story ya steve jobs
SASA TWENDE KAZIIIIII
❤❤❤
Tunaomba utupe story ya wa falme wa Roma
✌️👍👊.
Movie ya LIMBALI
Sasa twende kazi
tunahiji kijua simu zongine kamaLG. historia yake
Tunakuomba utufanyie video ya jengo la university picture Marekani
Naomba video ya kasri la mfalme wa uingereza tafadhali
Ivi mapenzi pesa au pesa ndo mapenzi?
Mapenzi ni mawasiliano chanya…wanaofurahia mahusiano kwa uchanya wake, ni wale wanaowasiliana katika uchanya wake. Pesa ina sehemu yake. Lakini haiwezi kukufanya ufurahie mahusiano au mapenzi. Mume akiwa na gubu, hata angekuwa na pesa kiasi gani, kamwe mke hatamfurahia. Dhana ya kwamba mapenzi ni pesa, ni dhana potofu sana. Kipaumbele katika mahusiano kinatakiwa kuwa mawasiliano chanya na sio pesa. Sijasema pesa haina umhimu! Usije ukanitafsiri vibaya. Pesa ina umhimu lakini haiko kwenye mojawapo ya nguzo zinazojenga ndoa. Nipinge kwa hoja.
Tuko pamoja today mwanza
Ninakupa nikiwa kenya Garissa
Tunaomba utupe story kuhus hackers hatari sana dunian
iPhone haters mpooo 😂😂
Jengu lamdwala