BREAKING, HILI NDO KOMBORA LA IRAN AMBALO HEZBOLAAH WALITUMIA KUSHAMBULIA IRON DOME YA ISRAEL
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 มิ.ย. 2024
- If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.
Nakukubali kazzzz from PEMBA upembani nawakilisha🎉🎉🎉❤❤❤
Waosio mungu kusema kilakitu akiwezikanikwao kotoa
Waongo ni waisraeli awawez kusema tushawazoea waongo sana
HAWAWEZI SUBUTU KUSEMA AIBUHIYO .
Safii sana mollah wetuu halaliii milelee na milele
Acha wapigwe ,wanajionaga ,wao ndio mungu, waizilaeli weusi 😂
hawesim ukweli maana yke hawataki kuzaraulika ila mungu akiamua jambo hata wafanye nin
Safi sana hizbu llah biga hayo magaidi
Walkua kalib na iron dom ivo
Hizbullah piga mbwa hao
Safy san😂😂😂
Hamna kitu hapo porojo za uislam
Hawa wanaweza kuua watoto na wanawake tu sio vita na wanaume
Swaddakta bora ukraine wanajua kupigana vita huskii watoto kufa ovyo
Hakuna awezae kuiondoa Israeli ktk ramani ya Duniani. Iitoa imekua hivyo,mwisho umefika historia ya ulimwengu itaishia hapo.
Patam hapo lazima tuheshimiane
Msianze kulia lia , kilichowapata Iran mnakijua, rais, rais alijinadi. Hamas walijinadi. Afrika Kusini, chama tawala kimeanza kushuka amkuona uchaguzi, Malema na chama chake kimeshuka au kimeongezeka . Hiyo ni Taa nyekundu.
Acha mambo ya kutukuza Watu ambao kihstoria WEWE mkristo haukupaswa ushabikie Kwa kujidanganya kuwa hao niwaizrael
Kwaiyo mambo ya uchaguzi yanahusiano vp na israeli
Lakini baadaye tusi sike watoto na wanawake wanakufa
Tushazoeya ayo akuna jipya
Allah nimjuzi
Hao ni wazee wa propaganda
Alafu hiyo mifumo hakuna kitu😂😂😂 irone dom ya wasichana
😂😂😂😂 wee umenichekeshaa
Ilo ni boksi kuwa poteza
utasema na zile merkava zinazochapwa na hamas nazo ni mabox 😂😂😂
Kiufupi mmechapika
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mi naona hata iyo mifumo ilikuwa ni uongo tu ili kuwaaada watu tuamini wana nguvu kumbe ni vikaratasi tu
Kabisa
Ooh wangekuwa wanapga vile c wangejirudishia
Kiufupi ni kwamba HEZBOLLAH SIO HAMAS
😂😂😂😂