Hi mr online tech manager. Am aly kibalale ur biggest fan kindly please work on my request 🙏🙏... I need your help, big brother @Snashtz , in all matters of technology in terms of the games. When we reached In TZ we can play games and make money through the phone, laptop or playstation game (ps) whether online or offline like network marketing people do?. If it is possible, please let us know even through a video, because many gamers are here and we play the game as funny, that is, most of us do not know. #techinswahil #moviesinswahil
Kaka snashi umeiyona movie THE FAMILY PLAN yani imetuliaah sana ukitizama lazima unjoii na family yako fanya review utakuwa umetisha kinomanoma kaka 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Kuna vitu vya muhimu angeifanyia nchi kuliko kuhusu hayo mambo ya satellite, itakuwa ni kwa ajili ya watu was bandari aliyoiuza wala haina faida kwetu wananchi.
Brother Snash Satellite 1 haiwezi kufanya kazi zote izo kila Satellite on space inakazi maalum 1 Tu. Kama niya weather forecast haiwezi kufanya maswala ya navigator on Geo au communication... Study kazi ya hiyo satellite then njoo kutupa elimu kuihusu. # satellite zipo za aina 9 na zinatofautishwa kwa kazi maalum either ulizi wa nchi, mawasiliano, weather forecast, Navigation na zinginezo. #Snash Tz ya kwanza Tz on tech reviews in Swahili.
kwan satellite nini na inafanya kazi gani .ukishajua nini ndio utagundua kuwa inaweza fanya izo kazi zote sema itakuwa unaioverworked kwa ichi zilizoendelea kila satelite na kazi yake kwa kuwa wanauwez wa kununu izo satelite na wanatak kilajambo lifwanywe kwa weled wa hali ya juu fatilia icho kitu
Kila siku rocket zinapita anga la Mbeya kwanzia saa6 mchana, na saa6 usiku zinaludi. Nikajua watu ndo wanahama kwenda Sayari ya Mars au Kuna mchongo unapatikana huko😂
@@SamwelLuhasha Kuna ndege kubwa na rocket. mara nyingi tunazoziona ni ndege ila toka tukiwa wadogo tunaita roket. am sure sio roket ila ni zile ndege kubwa
Mc snash noma sanana 🎉🎉🎉
Hi mr online tech manager.
Am aly kibalale ur biggest fan kindly please work on my request 🙏🙏...
I need your help, big brother @Snashtz , in all matters of technology in terms of the games. When we reached In TZ we can play games and make money through the phone, laptop or playstation game (ps) whether online or offline like network marketing people do?.
If it is possible, please let us know even through a video, because many gamers are here and we play the game as funny, that is, most of us do not know.
#techinswahil #moviesinswahil
Tanzania na satellite mmmmhhhh, watu watagawana vifaa vyote
Big up Snash
Kaka snashi umeiyona movie THE FAMILY PLAN yani imetuliaah sana ukitizama lazima unjoii na family yako fanya review utakuwa umetisha kinomanoma kaka 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Tumechelewaaaaaa sanaaaaa ila siyo mbaya,😍😍
Inazunguka sio zunguruka snash 😂😂
Kuna vitu vya muhimu angeifanyia nchi kuliko kuhusu hayo mambo ya satellite, itakuwa ni kwa ajili ya watu was bandari aliyoiuza wala haina faida kwetu wananchi.
Nice
asante kwa elimu kaka
Tuliosoma cuba, tulishaelewa orbit ni nini
Sijaelewa hapo sas mama samia ameingiaj kweny sattelite🤔
Bongo nyoso
Hivi kwelii mnaamini kuna satellite yeyote nje ya Dunia 😂😂😂
nje ya dunia zipo ila nje ya ulimwengu huu hakunaaa
Hahaha me siamini kbs . Na nina hoja za kwanini siamini
@@godfreythomas9691 ndio tushee hizo sababu kaka godi
Brother Snash Satellite 1 haiwezi kufanya kazi zote izo kila Satellite on space inakazi maalum 1 Tu. Kama niya weather forecast haiwezi kufanya maswala ya navigator on Geo au communication... Study kazi ya hiyo satellite then njoo kutupa elimu kuihusu. # satellite zipo za aina 9 na zinatofautishwa kwa kazi maalum either ulizi wa nchi, mawasiliano, weather forecast, Navigation na zinginezo. #Snash Tz ya kwanza Tz on tech reviews in Swahili.
Nakubaliana na ww kabisa 💪
Sahihi kabisa kaka👍
kwan satellite nini
na inafanya kazi gani .ukishajua nini ndio utagundua kuwa
inaweza fanya izo kazi zote sema itakuwa unaioverworked
kwa ichi zilizoendelea kila satelite na kazi yake kwa kuwa wanauwez wa kununu izo satelite na wanatak kilajambo lifwanywe kwa weled wa hali ya juu
fatilia icho kitu
Kwenye navigation eruption conjunction pia inasaidia kaka
Iko wazi sema ni deep sana iyoo kujua type ya satellite
Kaka snash 🫂❤️
Ni kuzunguruka Au KUZUNGUKA
Amezoea kuzunguruka mkal wangu
Politics
Kila siku rocket zinapita anga la Mbeya kwanzia saa6 mchana, na saa6 usiku zinaludi. Nikajua watu ndo wanahama kwenda Sayari ya Mars au Kuna mchongo unapatikana huko😂
😅😅😅👈👈
mars mbali mno nasikia umbali wa safari ni miezi 7 ndio unaingia huko
@@MiddeMsisi-pj9wk Leo tena kuna rocket imepita asubui hii najiuliza zinaendaga wap, mana Kila siku lazima rocket ipite.
@@SamwelLuhasha Kuna ndege kubwa na rocket. mara nyingi tunazoziona ni ndege ila toka tukiwa wadogo tunaita roket. am sure sio roket ila ni zile ndege kubwa
Izoo rocket kala