MH Lisu Mungu yupo pamoja nawe ktk kuielimisha, kuifundisha hiiiiiiii jamiiii iliyopo mbele yenu ielewe haki zao zilizofichwa na haramu CCM, uwezo wao umefika mwisho wa utawala haramu,
Hata Muwadanganye Vipi Wananchi Mnajisumbua Maana Hata Mkiishika Nchi Hamtafanya Kitu Zaidi Ya Kuichuna Nchi Na Watanzania Wenyewe, Maana Kwanza Mtajitajilisha Nyinyi Na Familya Zenu Na Kuwaacha Wananchi Kwenye Mataa, Kwakusema Tuu Mnajua Kulopoka Hiyo Yote Njaa Tuu,
Lissu umekosea,enzi za Herman Sarwat jimbo la Mbulu lilijumuisha majimbo ya (Mbulu Mji,Mbulu Vijijini, Babati mjini,Babati vijijini,Karatu na Hanangw).
Alichokosea. Lissu Nn? Iv Unajua Sababu Ya Kugawa Majimbo? CCM wamlianza Kugawa Majimbo Baada Kuona Chadrma Wameshika Alimashauli Zote Kama Ujui Mm Ndio Nakuchana Kaka Ccm Ndio Tatizo Kwenye NCHI Hii
Si anamsifia jamani hayati mh Moshi Darabe sijaona baya hapo.marehemu Thomas M Darabe tulikuwa naye udiwani chapakazi na mstaarabu aliyejawa na moyo wa upendo .Mungu ampe pumziko la milele🙏🙏
Mwenyezi Mungu hatampa Nusura ya kuchaguliwa Na Safari hata anaropoka mapinduzi Malaika wanamhesabu inshallah Hesabu za maovu yake wanayo Hii haisubiri kiyama atalipwa kwenye uchaguzi Siku ya malipo atahukumiwa matusi alomtukana Rais Samia
Lisu ni mkimbizi anamtukana Rais wetu ili akamatwe asingizie usalama Mwenyezi hatampa baraka ya kuchaguliwa Mbowe tafuta mgombea mzalendo huyo ni mkimbizi anachafua Jina na sifa za nchi yetu tuko macho naye Anacho kibeba nyuma ya pazia tunakijua. Tukana Mheshimiwa rais wetu ambaye kwenu si mheshimiwa mtakavyoweza matusi yatawagharimu
We ni Haini mchochezi Haiti hupati kura we mkimbizi usijinasibishe na utanzania baking na Hao baba zako wabeljiji unataka kuuza Tanzania kwa wabelji tube kama Congo laana zinakukuta Sema uongo utakugharimu
Wajinga Fulani Tu hawa ambao hawajitambui ukawapa nchi wajinga kama hawa ccm imefanya mambo mengi sana mabarabara mashule maospitari wao chadema wamefanya walimpa kura hizo kwa sababu ya ukabila
Ukiambiwa utaje kazi za Bunge (au wabunge ) huzijui . Ndio maana unasema hivyo ,kazi moja ya Bunge ni kutunga sheria na wewe taja zilizosalia kama unazijua ,naona huenda kazi za Bunge huzijui.
Lissu mungu akuongezee miaka mingi duniani
Lisu njoo kunduchi mji mpya Kuna madudu mengi
Mh Lissu kapiga Jeans ya kishikaji sana😂
Sawakabisa ndg mh lissu nimekwelewa kabisa, CCM nimajambazi tu hawanalolote zaidi yawizi
Cshikamooni wazazi wangu name
Safiiii sana
✌️✌️✌️✌️forever
Lisu karibu SANA huku KUSINI yaani nmt, Tunduru na. Namasasi karibu sana
Piga Spana Mheshimiwa Lissu Mpaka Vijana Tuamke Kulikomboa Taifa Letu Dhidi Ya Maharamia,, Mafisadi na Wanyonyaji CCM "
MH Lisu Mungu yupo pamoja nawe ktk kuielimisha, kuifundisha hiiiiiiii jamiiii iliyopo mbele yenu ielewe haki zao zilizofichwa na haramu CCM, uwezo wao umefika mwisho wa utawala haramu,
Lissu njoo jamani orkesumet please
Pesa iliyochangwa imefikia tsh ngapi? Wape mrejesho au
Hats kama ni wa humid inahusu chadema mipango mzima ccm hatuitaki inanuka imeoza imechakaa
Hata Muwadanganye Vipi Wananchi Mnajisumbua Maana Hata Mkiishika Nchi Hamtafanya Kitu Zaidi Ya Kuichuna Nchi Na Watanzania Wenyewe, Maana Kwanza Mtajitajilisha Nyinyi Na Familya Zenu Na Kuwaacha Wananchi Kwenye Mataa, Kwakusema Tuu Mnajua Kulopoka Hiyo Yote Njaa Tuu,
Nyimbo mpya 2:30
Uchaguzi ujao wa serikali za mitaa ni kuwaondoa ccm madarakani.
Lissu umekosea,enzi za Herman Sarwat jimbo la Mbulu
lilijumuisha majimbo ya (Mbulu Mji,Mbulu Vijijini, Babati mjini,Babati vijijini,Karatu na Hanangw).
Kakosea nini kama yote hayo majimbo uliyotaja lilikuwa jimbo moja , kwahiyo lilipogawanywa ndo unataka wasiwe wajukuu wa Sarwatt
Hajakose ndo maana anasema mbulu
Alichokosea. Lissu Nn? Iv Unajua Sababu Ya Kugawa Majimbo? CCM wamlianza Kugawa Majimbo Baada Kuona Chadrma Wameshika Alimashauli Zote Kama Ujui Mm Ndio Nakuchana Kaka Ccm Ndio Tatizo Kwenye NCHI Hii
NA KUSIMAMIA MAWAKALA PIA POLISI WASIWATOE VITUONI POLISI WANAISADIA CCM KUPOLA UCHAGUZI LISSU WAMBIE POLISI NAO WAKISHILIKI KUWASAIDIA CCM WAWAUE
Chama imara kabisa
Mkondiya Ww Fala Uchochezi Ukowapi Hapo Nenda Shule Ccm Siowatu Wazur
Sarut
Kuna.mgoli.ya.mkono
Yatakigww.kivipi.uangalifu
Utakiwa.tumieni
Mbinu.kama.mwalim
Nyerere
Usitukumbushe Diwan wetu pendwa
Si anamsifia jamani hayati mh Moshi Darabe sijaona baya hapo.marehemu Thomas M Darabe tulikuwa naye udiwani chapakazi na mstaarabu aliyejawa na moyo wa upendo .Mungu ampe pumziko la milele🙏🙏
Mwenyezi Mungu hatampa Nusura ya kuchaguliwa
Na Safari hata anaropoka mapinduzi
Malaika wanamhesabu inshallah
Hesabu za maovu yake wanayo
Hii haisubiri kiyama atalipwa kwenye uchaguzi
Siku ya malipo atahukumiwa matusi alomtukana Rais Samia
😅
Lema na Tundulisu niviongozi wahuni .tu .Hawana hoja zozote zaidi ya uchochezi na mstusi
Wamechochea nini?mtu mzima hauna akili hata kidogo
😮😮😮😮😮😮pole sana.wahuni wako wapiiii'kuelimisha jamiii.ni uhuni.
Watanzania sio wajinga tena mtasema tuu 25
Tunajuwa umekengeuka na ccm mtakomaaa 2025 😂✌️
Clemence pole Sana.
Watishie nyumbu wenzako
Roho Ina kuuma sana,jinyonge basi
Lisu ni mkimbizi anamtukana Rais wetu ili akamatwe asingizie usalama Mwenyezi hatampa baraka ya kuchaguliwa
Mbowe tafuta mgombea mzalendo huyo ni mkimbizi anachafua Jina na sifa za nchi yetu tuko macho naye
Anacho kibeba nyuma ya pazia tunakijua. Tukana Mheshimiwa rais wetu ambaye kwenu si mheshimiwa mtakavyoweza matusi yatawagharimu
Lissu hana sifa ya kuchaguliwa kuwa Rais
Hakuna Rais mlemavu Duniani hivyo hana Sifa ya kugombea
Hapo ananawaona wapumbavu waliomchangia pesa
Ulemavu wa mguu ni Bora kuliko ulemavu wa AKILI.
@@adamlubawa1281dishii limeyumbaa pole san 😂
Tunajuwa umekengeuka wew polee san😂 unajitowa akili 2025 ✌️
P GB
We ni Haini mchochezi Haiti hupati kura we mkimbizi usijinasibishe na utanzania baking na Hao baba zako wabeljiji unataka kuuza Tanzania kwa wabelji tube kama Congo laana zinakukuta Sema uongo utakugharimu
We nae peleka hasira zako za uchawa wako ccm
Wajinga Fulani Tu hawa ambao hawajitambui ukawapa nchi wajinga kama hawa ccm imefanya mambo mengi sana mabarabara mashule maospitari wao chadema wamefanya walimpa kura hizo kwa sababu ya ukabila
Acha porojo kodi zetu wana nchii watanzania naona umekengeuka ccm wezi tuu 2025 ✌️
Hao wabunge wasomi waliwasaidia nini wana karatu
Ukiambiwa utaje kazi za Bunge (au wabunge ) huzijui . Ndio maana unasema hivyo ,kazi moja ya Bunge ni kutunga sheria na wewe taja zilizosalia kama unazijua ,naona huenda kazi za Bunge huzijui.
Hamtapata kura kamwe
Wewe unajuaje ?Acha ujinga
@@dionismutayoba3542 Siasa siyo kutukanana nakuhakikishia hilo tusi itamkost Lisu hivi kozi ya matusi mlipatia wapi
Mimi nitawapa kura
Wanatutetea nchi yetu inapigwa bei kwa wakoloni katika karne hii ya 21 inaumiza 😮
Tutawapa kura ww na wajinga wezio baki huko pumbavu