MAASHAALLAH HAYA NDIYO MAMBO WAISLAM TUNAYOYAHITAJI YANAYOTUFUNDISHA KUUFAHAMU UISLAMU WETU SIO KILA SIKU RADDI RADDI, TUMECHOKA NA UPUUZI WA RADDI ZISIZOTUELIMISHA KWA LOLOTE ZAIDI YA KUWAPA UMAARUFU WA KIDUNIA WALE WANAORADDIANA.
@@hassanWanjikuNdio Rasulullah alikuwa akilingania hivyo.Kwamba alikuwa anaenda kwa Makufari pale Makkah kisha anawaambia "NYIE WATU MAKKA,ACHE UKAFIR WACHAWI WASHIRIKINA WAKUBWA.Ndio njia hii sahihi za kukosoana katika Dini enh?
Mashaallah tabarakallah haya ndo mambo watu wanafaa kufundishwa Allah subhanallahu wa taala abariki haya si wale wanaochukua muda wao kutangaza ushirikina
Sabuni ina muhimu wake na ndio maana ikikosekana sabuni inapendekezwa kutumiwa majani ya mkunazi. Lakini zaid ninayakusanya maswali yenu nitayatengezea MADA kukujibuni kwa undani zaid
Mashaallah mashaallah Allah abarik na atie kheri zake inshaallah.
Mash'Allah
MAASHAALLAH HAYA NDIYO MAMBO WAISLAM TUNAYOYAHITAJI YANAYOTUFUNDISHA KUUFAHAMU UISLAMU WETU SIO KILA SIKU RADDI RADDI, TUMECHOKA NA UPUUZI WA RADDI ZISIZOTUELIMISHA KWA LOLOTE ZAIDI YA KUWAPA UMAARUFU WA KIDUNIA WALE WANAORADDIANA.
Allah atuongoze.amin
Ila raddi kwa wazushi ni wajib sababu huu umma wa kuamrisha mema na kukataza maovu sababu hatutanyamaza wazushi wakipita mipaka
@@hassanWanjikuNdio Rasulullah alikuwa akilingania hivyo.Kwamba alikuwa anaenda kwa Makufari pale Makkah kisha anawaambia "NYIE WATU MAKKA,ACHE UKAFIR WACHAWI WASHIRIKINA WAKUBWA.Ndio njia hii sahihi za kukosoana katika Dini enh?
Mashallah ustadhi umetufundisha n cc ambao atujui allah ziada ishallah akupe umri mrefu ili uweze kufundisha n wengine
maashallah shukran sana shekhe kwa elimu adhim Allah akuongezee elimu na umri mrefu wenye manufaa inshaallah
Mashllh Allah akulinde ustadh uzid kutufahamisha
Mashaallah tabarakaallah ustadhi kwa elimu yenye na mafunzo mungu akujalie Kheri.inshallah
Amyn
Maashaallah mungu akupe umri mrefu AMINA.
Amiyn
Mashaallah tabarakallah haya ndo mambo watu wanafaa kufundishwa Allah subhanallahu wa taala abariki haya si wale wanaochukua muda wao kutangaza ushirikina
Mashaallah mwalim wetu nimefarijika Allah akulipe kheri
Amiyn
Mashaallah shukrani sana sheikh
Mashaallah shekh wetu Allah Akulipe kwa darsa Zurich sana some tumelielew
Amiyn
❤
MA SHAA ALLAH. Masfunzo mema sana.
Shukraan
Amin
Mashaaa الله
amiyn
MashaAllah
Amiyn
Huo ni uchache wa kuosha maiti ...kwa nn kama maji yapo tusifanye kwa ukamilifu sheikh wetu? 11:40
Sheikh katika huo wudhu vipi tunaanza upande wa kulia ama upande wowote?
Wowote hamna shida lakini Sunna NI kutanguliza upande WA kulia kabla ya kushoto
Kuoga lazima utumie sabuni...vinginevyo ...umejipaka maji tu😅
Gloves yasaidia ngozi ya mwenye kuosha isigusane n maiti
Tunatarajia Kuwaletea kipindi maalumu ya ili kujibu maswali yenu yote kwa usahihi
Nini matumizi ya sabuni katika kuosha. Maana hapo haukutumika, je kuna usahihi juu ya hilo?.
Sabuni ina muhimu wake na ndio maana ikikosekana sabuni inapendekezwa kutumiwa majani ya mkunazi.
Lakini zaid ninayakusanya maswali yenu nitayatengezea MADA kukujibuni kwa undani zaid
Mbona umeanza na mkono wa kushoto?au unaanza tu mkono wowote???shekh
Hakuna ubaya lakini katika Sunna NI kutanguliza upande WA kulia kabla ya kushoto
Mashaa allahh
❤❤
Maashaallah
Shukraan