MCHAWI WA KIJIJ CHA LUAGALA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 112

  • @KitangariGenerations
    @KitangariGenerations 2 หลายเดือนก่อน

    Mumetisha sana, hongereni kwa kazi mzur

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 6 หลายเดือนก่อน +7

    Kazi zuri san wizi ndyo muache jamn np kutoka omani masikt waif z bure za warabu lete vitu wizi ndyo kazi yenu mtaupoz acheni ujinga huwooo

    • @NzimalaBaziwe
      @NzimalaBaziwe 6 หลายเดือนก่อน +2

      Mmmmmmmm😂😂😂atar sana mmecheza vizr

  • @ChristinaKihaga-b2z
    @ChristinaKihaga-b2z หลายเดือนก่อน

    ❤❤nimependa iyooooo

  • @AliabdullahAbdullah-pu2ww
    @AliabdullahAbdullah-pu2ww 5 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah hi movie inamafunzo mazuri Sana mungu awaongoze katika jitihada zenu

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o หลายเดือนก่อน

    Kazi zuri san ❤❤❤❤❤

  • @UmmuhUnique
    @UmmuhUnique หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅 chikombe muongo sana anakuta yunji 🙌🙌🙌

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 6 หลายเดือนก่อน +9

    Nimewapenda Sana washiriki wote na muandaaji pia pongezi 🎉🎉🎉mnanifariji kutoka oman

  • @aishiajara2076
    @aishiajara2076 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asalaam alaikum mafunzo mazuri sana mashallah kwa hilo

  • @HalimaSuleiman-w2b
    @HalimaSuleiman-w2b 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi mzuriii❤

  • @AgnesMsigwa-n2q
    @AgnesMsigwa-n2q หลายเดือนก่อน

    Chikombe unalia na umeiba kweli weee😂😂😂 mwogope Mungu

  • @ezrabenson-op7rr
    @ezrabenson-op7rr 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmh ndy kizazi cha sasa mzazi waambiwa mwanao yuko mwzi we wasema si mwizi mwanangu m2 wa mungu ana dhambi allah atusame....

  • @ShabaniSaleeh
    @ShabaniSaleeh 5 หลายเดือนก่อน

    Mbinga hiyo da ❤❤❤ luhagala hapo kalibu na makoro mkako litembo lipumba nyoni maguu mikalanga mpapa daha longa nimepakumbuka sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kenwatata.9147
    @kenwatata.9147 5 หลายเดือนก่อน

    Iko liiit🔥🔥, nipo hapa kwa mteng'uri.

  • @MarionAnzazi
    @MarionAnzazi 5 หลายเดือนก่อน +3

    Wazazi msiwatetee watoto juu akiwa nyumbani nywajifanya mwadjilifu akitoka enje hujui anacho kifanya

  • @mootz1873
    @mootz1873 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu chikombe mh makubwa 😅😅😅 mnafikii

  • @ShebyTz-t1r
    @ShebyTz-t1r 3 หลายเดือนก่อน

    Nakubar San wan matuml pande zachaum

  • @YusuphuMusa-bj7xc
    @YusuphuMusa-bj7xc 5 หลายเดือนก่อน +2

    uwiii uyo anae juwa din kitakacho mkuta 😂😂

  • @ElogeMuhindo-zo2yw
    @ElogeMuhindo-zo2yw 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nzuri sana jama muongo

  • @YusuphHamisi-f2w
    @YusuphHamisi-f2w 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hii zuri sn❤❤❤

  • @IsmailiNampapa
    @IsmailiNampapa 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ogera Sana kwa kazi mzuri

  • @EliasAlex-zc4uo
    @EliasAlex-zc4uo 2 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza tusiwaamini sana wanetu

  • @AgnessIdd
    @AgnessIdd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nipeni likes zangu

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi mnzuri mashaailah mashaailah ongereni

  • @KuthumuOmari
    @KuthumuOmari หลายเดือนก่อน

    Wamakonde hao siyo wangoni lafuzi tofaut

  • @Luvunokkabi
    @Luvunokkabi 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuli sana❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉

  • @MaryamMamaZamda
    @MaryamMamaZamda 6 หลายเดือนก่อน +3

    Assalaamu.alaykum naitwa maryam nko Oman hingeleni kwakazi nzur inafundisha

  • @johnkayombo3598
    @johnkayombo3598 4 หลายเดือนก่อน

    Mhh Kaz nzur sana

  • @EnockKamguna
    @EnockKamguna 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuli hongelen mlio shiliki

  • @MizletEsendi-y3s
    @MizletEsendi-y3s 4 หลายเดือนก่อน

    Anawika km kuji😅😅😅😅😅😅

  • @nesbitmiriti4366
    @nesbitmiriti4366 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri, cha muhimu ni kusubscribe 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ❤

  • @YvetteMugeni254
    @YvetteMugeni254 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nmeipenda Video Hii Sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @LilianJuma-q6y
    @LilianJuma-q6y 2 หลายเดือนก่อน

    Hua inasikitisha sana kwa mtu kufuga mifugo zako, halafu mtu anakuja kukuibia, wazazi jifunzeni kupitia hii movie

  • @ArabiMwambe
    @ArabiMwambe 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pamoja Kaz mzur

  • @ImanisaidiNgololo
    @ImanisaidiNgololo 5 หลายเดือนก่อน

    Hahahahahahahaaaaaaaaaaa,uwiiiiiiiiiiii,ety kwa mbinde😂

  • @AgnesMsese
    @AgnesMsese 5 หลายเดือนก่อน

    Nzur sanaaaa

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 5 หลายเดือนก่อน

    MZEE AZANA HINAHAZINIWA AIPIKWI ASTAFULULAI 😂😂😂

  • @ManenoPapalu-ku3vl
    @ManenoPapalu-ku3vl 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa ni wamakonde wa Tandahimba

  • @MwanisawaRubeni
    @MwanisawaRubeni หลายเดือนก่อน

    Tusiwaamini watoto wetu kwa kila jambo

  • @Rausonsteven
    @Rausonsteven 6 หลายเดือนก่อน +2

    mwiz nimubaya🎉🎉

  • @JohnBenard-q2w
    @JohnBenard-q2w 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kaz kwer

  • @NancySimiyu-ql8ci
    @NancySimiyu-ql8ci 6 หลายเดือนก่อน +2

    Iyo ni talent endelea

  • @Daglas-c8k
    @Daglas-c8k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo ni mwizi wa mabandani

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzur sana,hatar

  • @HawaHilwa-q4g
    @HawaHilwa-q4g 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi ipo

  • @SulainahMasika
    @SulainahMasika 6 หลายเดือนก่อน +3

    Asalamualeikum warahamatulahiwa barakatuh mimi ni husina kutoka Saudi asate kazi zuri ❤❤❤

  • @JuliusAnthony-ye7vz
    @JuliusAnthony-ye7vz 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hongeleni sana jaman

  • @CHESKOJUNIOR
    @CHESKOJUNIOR 5 หลายเดือนก่อน

    Jamaa muongo sanaa na ametish umu aisee

  • @SalumChikonga
    @SalumChikonga 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tabia kama ngozi ata ungekuwa kiongozi tabia itabadilika kidogo lin chembechembe zitabaki

  • @Oman-nu2kc
    @Oman-nu2kc 6 หลายเดือนก่อน

    Kazi safi sana❤❤❤❤🎉🎉

  • @Mussa-sg3uw
    @Mussa-sg3uw 6 หลายเดือนก่อน

    Hatar sana ❤❤

  • @LeahEmanuel-g9i
    @LeahEmanuel-g9i 3 หลายเดือนก่อน

    Nihatar😂

  • @johnkayombo3598
    @johnkayombo3598 4 หลายเดือนก่อน

    Mhh hiyo hatar duuuh!

  • @mariambiso-kx9uw
    @mariambiso-kx9uw 3 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 6 หลายเดือนก่อน +1

    Katibu wa msikiti😅😅😅😅

  • @DeBoy-oy2jg
    @DeBoy-oy2jg 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chikombe cha chai kimefikwa na mbinde kwa mbinde 😂😂😂

  • @OmaryKidile-fu8fm
    @OmaryKidile-fu8fm หลายเดือนก่อน

    Huyu mama anauchungu wamalizake baba anamtetea mwanawe kazi anayo

  • @BakaliMwanamazi
    @BakaliMwanamazi 6 หลายเดือนก่อน +3

    tuachekutetea watoto jamni

  • @JeromeSamwel
    @JeromeSamwel 2 หลายเดือนก่อน

    Chikombe unakosa confidence yakumjibu mzee wako kutokana na uwezi wako unatetewa umesoma Quran

  • @JonasRugemalila
    @JonasRugemalila 6 หลายเดือนก่อน +17

    Wazazi tujifunze tabia zawatoto wetu,hili nidarasa huru

  • @YusuphuMusa-bj7xc
    @YusuphuMusa-bj7xc 5 หลายเดือนก่อน

    ata jibeba😅

  • @ChristopherDotto-h2m
    @ChristopherDotto-h2m 2 หลายเดือนก่อน

    Msidanganyane na wazee wenu

  • @AdwiniMligo
    @AdwiniMligo 3 หลายเดือนก่อน

    Jambo uxilolijua ni xawa na uxiku WA Giza jifunzen wazazi uximwamini mtoto

  • @Emmanuel-b4g1n
    @Emmanuel-b4g1n 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂,

  • @MwanaimaSwedi
    @MwanaimaSwedi 4 หลายเดือนก่อน

    Watoto wanakufunga tudiwaskilize jaman

  • @ShananiMaganja
    @ShananiMaganja 6 หลายเดือนก่อน +1

    kuibakuiba tu,

  • @BonifaceNondwe
    @BonifaceNondwe 3 หลายเดือนก่อน

    Ukiona mzazi anatetea mtoto wake halafu anamuatamia pasipojua kuwa nae pia mwanae ni binadamu ujue anamadhaifu maana anatakiwa atoe ushirikiano juu ya jambo linalo zasikika na sivinginevyo

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan jiji waizi wa kuku ni mapacha nn mefana hadi mavazi hadi uwizi wallah eti analiya

  • @jumanegazel5464
    @jumanegazel5464 6 หลายเดือนก่อน

    We ukowap kwan

  • @LeonardNangaluka
    @LeonardNangaluka 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤

  • @thabeetomary8145
    @thabeetomary8145 5 หลายเดือนก่อน

    Nimeipwnda katiza pande za njengwa hapa shida sio kukaza ila shida kupata nafasi

  • @OmaryhusseinOmaryhussein-vi5kq
    @OmaryhusseinOmaryhussein-vi5kq 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wazazi huwa wanakwama wp kutuchinguza tukiwa wadogo

  • @MizletEsendi-y3s
    @MizletEsendi-y3s 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @WilkisterKemy-df3mt
    @WilkisterKemy-df3mt 5 หลายเดือนก่อน

    Hyo Kali msomaji

  • @DeBoy-oy2jg
    @DeBoy-oy2jg 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna party flani hazina sauti,alafu jengine tela zimekuwa nyingi adi zinachosha

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 6 หลายเดือนก่อน

      sema part sio party

  • @faustinelias3284
    @faustinelias3284 6 หลายเดือนก่อน +1

    Siwote tuwaamini kwa dini jamen mbali kwa matendo wazazi tuwe macho tusiwatetee watoto mbal viboko viwepo

  • @SagudaRobert-eo5ov
    @SagudaRobert-eo5ov 6 หลายเดือนก่อน +1

    kuiba siyo diri

  • @OmariKiraha
    @OmariKiraha 5 หลายเดือนก่อน

    Mnajitahid

  • @RamadhanYusufu-lj3hu
    @RamadhanYusufu-lj3hu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tuwemakni nawwtoowet

  • @SabithAssilia
    @SabithAssilia 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ndio kazi ya wizi

  • @judithogaya9730
    @judithogaya9730 5 หลายเดือนก่อน

    Usitete mtoto juu hutembei naye Duh 🙄🙄

  • @ShabanimkobaMkoba-bg6jv
    @ShabanimkobaMkoba-bg6jv 6 หลายเดือนก่อน +3

    🔥🔥

  • @hajiabdi-ly8yv
    @hajiabdi-ly8yv 25 วันที่ผ่านมา

    😂😂

  • @SharifaSherry-er1xz
    @SharifaSherry-er1xz 6 หลายเดือนก่อน

    👌👌👌👌

  • @HamisiNalinga
    @HamisiNalinga 6 หลายเดือนก่อน

    Anemba munihulula

  • @Wekastooaskari
    @Wekastooaskari 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chikombe utayatimba tu kw bibi machemba mume mwizi w kuku hyoo

  • @SamwelPaschal-d6b
    @SamwelPaschal-d6b หลายเดือนก่อน

    Ingekuwa nimwanao wewe ungefanyaje

  • @MutungaMtinda
    @MutungaMtinda 2 หลายเดือนก่อน

    Hy

  • @UmmuhUnique
    @UmmuhUnique หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅

  • @saimonidaudy1283
    @saimonidaudy1283 5 หลายเดือนก่อน

    Kutafuta bora kuliko kukalia kuswali muda mwingi

  • @hallonMatei
    @hallonMatei หลายเดือนก่อน

    Dagulod

  • @abdulimuwanya6107
    @abdulimuwanya6107 6 หลายเดือนก่อน

    Muniweza mmanu

  • @Msanii1237
    @Msanii1237 6 หลายเดือนก่อน

    *333#🔥🔥🔥💪

  • @RamadhanYusufu-lj3hu
    @RamadhanYusufu-lj3hu 5 หลายเดือนก่อน

    Tujifuzekitu

  • @maimuna9132
    @maimuna9132 6 หลายเดือนก่อน +1

    Lindi kwetu

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 6 หลายเดือนก่อน

    💯

  • @MonikaSaimoni
    @MonikaSaimoni 6 หลายเดือนก่อน

    Mhhhg

  • @RakmaRakma-o9b
    @RakmaRakma-o9b 6 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @Aisha-f2g
    @Aisha-f2g 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤