Wakristo wa kenya wanadai wanamjua yesu kuliko jinsi yesu anavyojijua mwenyewe. Yesu anajiita mwanadamu lakini wao wanakataa yesu sio mwanadamu ni mwana wa mungu na ukiwazidi sana wanasema yesu ni Mungu mwenyewe
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatu Ndugu zangu katika uislam inshaAllah Allah awabariki na awazidishie hekima kwani nimependa jinsi munavyo waelimisha wakiristo hadi wanaamuwa kusilimu Allah awasimamie kwa kila zenu hatuwa
Msihukumu tuachie mungu agukumu.ju wakristo na waislamu wote tulitoka kwa mungu.na mungu ni mmoja yesu ni mwana wa mungu na zote ni wana wa mungu.na mbele ya mungu wote tuko sawa hakuna muisamu wala Mkristo tuko sawasawa.
@ Jenipher Sarah Hakika sote ni waja wa Mungu lakini utofauti huingia pale munaposema Yesu ni Mungu au ni mtoto wa Mungu.. itikadi hii ni potofu. Yesu ni Mtume (prophet) wa Mwenyezi Mungu na jukumu lake yeye ni kubashiria mema na kukataza Maovu. Mwenyezi Mungu hakuzalisha wala kuzaliwa. Soma dini ndugu tuko na neema ya kuwa juu ya ardhi hii muda huu usijutie baadae kisa na maana ni ignorance. Ujuwe kuhusu uislam hata kwa uchache tu ..zingatia
24:39 Huyo mchungaji haelewi, basi inamaanisha hata Isaq MTOTO wa Abraham ni MTOTO wa Mungu? Nasema hivo kwa sababu Mungu alituma Gabriel kuambiya Abraham na Sara kuhusu mimba atakayo pata Sara.... SASA kwa vile Maryamu pia kupokeya risala vilevle basi vipi Isaq pia asiwe mwana wa Mungu? Jameni hao wachungaji waache kutupoteza.....
@@nowtv2107 kila mtu na imani Yake cha maana ni matendo mazuri mbele ya Mungu mimi ni mtoto wa MUNGU na siezi jiita Mimì ni mtoto wa shetani hiyo ni imani yangu na ninabaki na imani yangu
@@amaa6353 kama ni hivo basi dini haiezi kuwa moja kutokana na logic yako isiyoeleweka. Uislamu hatukubali itakidi yenu potofu kuwa Yesu ni mwana wa Mungu au Yesu ni Mungu... (Lakum deenekum waliya deen - For you is you religion and for me is my religion)
Dini sio uisalaam au ukiristo (Uislaam ni lukha ya kiarabu) na ukiristo ni lukha ya kabira moja wapo ya kiyahudi. Dini ni unyenye kevu mbele ya mungu na kufanya mambo mazuri anayo taka binadamu ayafanye ndani ya maisha yao ya kila siku!!!
TEAM ISLAM and TEAM CHRISTIAN will never agree why? "And from those who say, "We are Christians" We took their covenant; but they forgot a portion of that of which they were reminded. So We caused among them animosity and hatred until the Day of Resurrection. And Allah is going to inform them about what they used to do." (QS. Al-Maaida 5: Verse 14)
Majibu nduguzanguni yaop. Pale ambapo mizaha ya kimjadala itakapoachwa na kuingilia mtoa jibu, basi Nuru itaonekana katika maswali. Huyu muuliza swali alikuwa much GA kulusikai jibu. Ameleta ushindani na si kutaka kujua. Yesu ni mwana wa Mungu. Aya nitawapa ... Tena Mungu mwenyewe anamtamka hivyo! Mnataka Aya rafiki zangu Waislamu humu???
@ Jemedali James Waongea na Facts au ni fiction una lay out? Ndugu lazima uwe factual hakuna personal interpretation kwa dini. Twafuta maandiko.. usiwe mwingi wa kubishana .. Uislamu ndio dini sahihi. Jibidiishe angalau kuutaka kujuwa kidogo kuhusiana na uislamu kabla hujatoa kauli yako.
Shekhe mbabaishaji, yohana17:1 utaona habari za mwana shuka mstari 3 anatajwa kwa kwa jina yesu Kristo,njooni mbatizwe acheni kusumbua watu kwa kuwa hawajui maandiko
@@shabbymakapaneshabby5000 Somakwanza 17:1 unaona maneno hayo aliyasema yesu akiinua macho yake akielekea mbinguni,akasema baba, saa imekwisha kufikia mtukuze mwanao
its not fair to argue with someone who doesn't want you to bring another understanding from another verse,,,,,, instead he`s forcing you to accept what he understands,,,,,, and also reading the whole page not a verse will output the intended meaning........
Siyo dini itaenda mbinguni ni matendo Yako mungu ataona kama ulikuwa unafwata hapa duniani so mko capagn ya Mohamed na yesu ATI nani Ako na wafuasi wengi
Msibishane na wasiomjua mwana yaani wampinga kristo,hao wote ni waislamu ni game wanacheza wachananeni na wao,kwanza wamwamini YESU,YESU ndiye njia na uzima wa milele
Sheikh mm ungemjibu ya kuwa. Sheria zikebadilika ilipokuja quruani sheria za manabi wa nyuma zimepotea twafuata quruani kwa quruani ndo kitabu CHA mwisho ndo inayo fuatwa ..🇹🇷🇰🇪🇹🇷
Please sheikh compare notes with other sheiks too like Prophesser Othman Mazinge how to tackle like mwana wa kipekee in the bible is found in many other verses to neutralize John 3:16
Wakristo wa kenya wanadai wanamjua yesu kuliko jinsi yesu anavyojijua mwenyewe. Yesu anajiita mwanadamu lakini wao wanakataa yesu sio mwanadamu ni mwana wa mungu na ukiwazidi sana wanasema yesu ni Mungu mwenyewe
Dinii ya haki mbele ya mwenyezi mungu ni uislam
Ma asha allah❤💜🤲🤲
MaashaAllah am happy seeing my people, Allah awabarikie katika kazi zenu.
th-cam.com/video/Q03u3OvmHxg/w-d-xo.html
Waislamu hamuwezi elewa bibilia
@@ephrathjanderson7999 wacha mzaha kaka🤣
@@ephrathjanderson7999 ila wakristo muna manabii wengi sana mpaka mitaani
Masha Allah bibilia kitabu cha Paulo kina mapungufu mengi MwenyeziMungu azid kuwajaalia mashekh zetu kw kuwapa dawa wapotevu
MashaAllah...am proud to a Muslim...Allah tujalie mwisho mwema....
Shekh Allah akupe khair zako
Mungu awatimie nguv masheikhe wenu
Our6e85
MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH....kazi safi adhwiim sana
Wallah raha sana kua muislam
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatu
Ndugu zangu katika uislam inshaAllah Allah awabariki na awazidishie hekima kwani nimependa jinsi munavyo waelimisha wakiristo hadi wanaamuwa kusilimu Allah awasimamie kwa kila zenu hatuwa
Dawaah hii hapa, maana mwenye kuihitaji yumkini asiulize ... Jaya Salimu Dawaah hii ndugu zanguni ...
Masha Allah Tabaraka Allah,Allah awazidishie na walipe malipo yatakayo zidisha uzani katika mizani ya khairatu zenu in sha Allah.
Mashallah Tabarakkallah ❤👌🏻👌🏻👌🏻
Aaahhhhaa waislamu mmebobea kwenye ubishi... Ila kumkataa yesu mwisho wenu ni mbaya sana
Masha Allah daawa mbele mpaka kiama
Masha Allah may God bless you guys keep doing it....
Aameen ameen ameen all of us
th-cam.com/video/Q03u3OvmHxg/w-d-xo.html
P
Ppl
Lpll
Pp0
Msihukumu tuachie mungu agukumu.ju wakristo na waislamu wote tulitoka kwa mungu.na mungu ni mmoja yesu ni mwana wa mungu na zote ni wana wa mungu.na mbele ya mungu wote tuko sawa hakuna muisamu wala Mkristo tuko sawasawa.
@ Jenipher Sarah
Hakika sote ni waja wa Mungu lakini utofauti huingia pale munaposema Yesu ni Mungu au ni mtoto wa Mungu.. itikadi hii ni potofu. Yesu ni Mtume (prophet) wa Mwenyezi Mungu na jukumu lake yeye ni kubashiria mema na kukataza Maovu. Mwenyezi Mungu hakuzalisha wala kuzaliwa. Soma dini ndugu tuko na neema ya kuwa juu ya ardhi hii muda huu usijutie baadae kisa na maana ni ignorance. Ujuwe kuhusu uislam hata kwa uchache tu ..zingatia
Mungu ndie hakimu, sote tunalikubali hilo..
Tunatakikana kuelekezana ili siku ya mwisho tusilaumiane. 🎉
Mashallah jazakallah kheir masheikh wetu Allah awajalie janatul firdaus kwa kazi mzuri ya da'waa
Masha Alla
Masha Allah munafanya kazi ya mitume daawa Mungu awajalie Firadaus al aclaa
MashaAllah good,,, mhubiri ajifunze from zakir Naik ataweza kujibu kwa hikma zaidi
th-cam.com/video/Q03u3OvmHxg/w-d-xo.html
True.. hekma inahitajika
Akona hikma za kutosba hakuna different yeye na sh zakir m.a
@@AbdiraufAbdirauf tofauti ni kubwa Sana Kaka
Mashaallah shehe wetu mimi ni mtanzania nimependa mawaidha yako ALLAH akuongoze na akulinde akuepushe na kila shari
Hakili hamuna ote unaosikiliza
Ubishi. Wa. Kubishania. Mungu. Nimakosa. Makubwa. Tena. Hutayarisha. Amani. Shetani. Hulete. Vita. Kwakupitia. Hapo. Kama. Niwavumilivu. Kwanini. Mmoja. Akitukana. Munguwake. Hapo. Uone. Jee. Kunaatakaye. Kuanakifua. Cha. Amamani. Shetani. Tayari. Ashakuja. Yukokati. Kwanini. Kila. Mmojaasihubifi. Kanisanikwake. Shehe. Msikitini kwake. Hebu. Atukane. Hapo. Kamahuamini. Kama. Polisihawajajaaa. Hapo. Kama. Shetani. HajawPiga. Bilakutambua. Kwanza. Mahubiri. Hayo. Hayaruhusiwi. Walishapivana. Miakailiopita. Msim himbue. Shetani. Akawapiga. Bilakujua binadamu. Nikama. Ualikaukalon
@@clementcharles9785 asante sana
@@gabrielmataro1525 kwa mwenye akili hutulia na kutafuta ukweli mjinga ndio atataka kuleta vurugu
jazakallah kazi nzuri masheikh
Mashaallah mungu awabariki sana
Amiin amiin amiin
Jazaakallahu kheiran sheikhana
Asante sana
MASHALLAH, may Allah (S.W) grant you jannah masheikh wetu.
Mashaallah mashaallah masheikh wetu mungu awajalie heri nyingi hapa duniani na ata akhera inshaallah
Aameen ameen ameen sote May Almighty Allah bless you and your family and everything you're doing May Allah put baraka on it
MashaAllah kazi nzuri
th-cam.com/video/rhly5nUZ2Rw/w-d-xo.html guza link
MASHA ALALLAH sheikh wetu
Mwalimu.aoshikhe.mwenyezimungu akujalieni.wataelewatu
Masha Allah hafidaka Allah
Mashaallah masheikh wet Allah awaongoze
MashaAllah kazi mzuri
Mashaallah pamja ndgu zetu katika imani
Na mungu awazidishie nguvu na uzima ili mzidi kupambana na kuimarisha uislam kwa ajili ya Allah
Maa Sha Allah Sheikh Anwar
Napendaga mawaidha MashaAllah
th-cam.com/video/rhly5nUZ2Rw/w-d-xo.html guza link
Mashallah Allah Awazidishie
بارك الله لكم🥰
Mashallah Sawasawa lzm waelewe Allah awazidishie ilmu zaidi mashekh wetu
Amiin amiin amiin
th-cam.com/video/rhly5nUZ2Rw/w-d-xo.html yanii daawa fully
Mash Alllah
Maa shaa Allah Shukran jazilla
Alhamdullilah ana Muslimin..
th-cam.com/video/rhly5nUZ2Rw/w-d-xo.html guzaa link
MashaaAllah tabarakallah
Mansha Allah Sheekh
Christians don’t understand Bible
May Allah guide them all
Aameen ameen ameen
24:39 Huyo mchungaji haelewi, basi inamaanisha hata Isaq MTOTO wa Abraham ni MTOTO wa Mungu? Nasema hivo kwa sababu Mungu alituma Gabriel kuambiya Abraham na Sara kuhusu mimba atakayo pata Sara.... SASA kwa vile Maryamu pia kupokeya risala vilevle basi vipi Isaq pia asiwe mwana wa Mungu? Jameni hao wachungaji waache kutupoteza.....
Tafadali soma na u wache mambo ya wachungaji usi potezwe kwa muislamu ujue yesu vizuri sana
Ume fahamu sana lkni usome vizuri
Islamic ndio dini ya kweli na haki
Tumswalie mtume...
Mutabishana lakini Mungu ni mmoja
Thanks
Ndio ni mmoja hatujakataa lkni kubali hana mtoto na mtoto ni wa Mariam
@@nowtv2107 kila mtu na imani Yake cha maana ni matendo mazuri mbele ya Mungu mimi ni mtoto wa MUNGU na siezi jiita Mimì ni mtoto wa shetani hiyo ni imani yangu na ninabaki na imani yangu
@@amaa6353 kama ni hivo basi dini haiezi kuwa moja kutokana na logic yako isiyoeleweka.
Uislamu hatukubali itakidi yenu potofu kuwa Yesu ni mwana wa Mungu au Yesu ni Mungu...
(Lakum deenekum waliya deen - For you is you religion and for me is my religion)
@@amaa6353 wewe sio mtoto wa Mungu ila Mja wa Mwenyezi Mungu
Mungu akiwaongoza Mashehe watakuwa watulivu halafu wasikilize jibu analotia Mungu Kwa Maswali haya ....
JESUS THE WAY TO LIFE
he is the alpha and omega
@@kimelirono5084 na amebebwa kama wewe miezi tisa
Takbir Allahu Akbar
Dini sio uisalaam au ukiristo (Uislaam ni lukha ya kiarabu) na ukiristo ni lukha ya kabira moja wapo ya kiyahudi. Dini ni unyenye kevu mbele ya mungu na kufanya mambo mazuri anayo taka binadamu ayafanye ndani ya maisha yao ya kila siku!!!
Hii story yako umetowa wapi?
@@shabaniabdu1312 ukitaja neno unyenyekevu kwa lugha ya kiarabu ndio ISLAM
Sio kweli ni maneno tu.
وَمَا يَنۢبَغِى لِلرَّحْمَٰنِ أَن يَتَّخِذَ وَلَدًا
It is not fitting for the Most Gracious to have a child.
Quran:Maryam(19:92)
Mashaaqlx
Masha allah
Mashallah allahuakbaru
TEAM ISLAM and TEAM CHRISTIAN will never agree why?
"And from those who say, "We are Christians" We took their covenant; but they forgot a portion of that of which they were reminded. So We caused among them animosity and hatred until the Day of Resurrection. And Allah is going to inform them about what they used to do."
(QS. Al-Maaida 5: Verse 14)
Mimi sijui ndomaana
Hujui nini?
Mashaallah
MashaAllah,,wislamu raha
Waislamu ni wale walimsaliti Yesu. Muhammad alikufa akaliwa na mbwaa. Muna abudu mufu
@@hudsonolianah5535 wewe ndo ulikufa ukaliwa na mbwa na sio mtume wetu Muhammad swalallahu aleyhi wasalam
Maaaashalllaaah
Eeh waislamu mpaka wamehifadhi bible overhead. Uuui hawa watu ni waajabu😮
Vimeumana aisee
Majibu nduguzanguni yaop. Pale ambapo mizaha ya kimjadala itakapoachwa na kuingilia mtoa jibu, basi Nuru itaonekana katika maswali. Huyu muuliza swali alikuwa much GA kulusikai jibu. Ameleta ushindani na si kutaka kujua. Yesu ni mwana wa Mungu. Aya nitawapa ... Tena Mungu mwenyewe anamtamka hivyo! Mnataka Aya rafiki zangu Waislamu humu???
Mazinge
MABRUK
Masha'allah
Haa!haa!kweli hii ni baraghi
Hamna kitu Yesu ni mwamba kashinda kifo na mauti mamlaka yote kapewa yeye anabadilisha anafanya upya mtasubiri sana
watasubiri sana hao waislamu au
@ Jemedali James
Waongea na Facts au ni fiction una lay out?
Ndugu lazima uwe factual hakuna personal interpretation kwa dini. Twafuta maandiko.. usiwe mwingi wa kubishana .. Uislamu ndio dini sahihi. Jibidiishe angalau kuutaka kujuwa kidogo kuhusiana na uislamu kabla hujatoa kauli yako.
@@dawud6065 thanx mabroo kwa kuongea neno
Asante sana
Allahu Akbr jamanini Mashiekh wetu Ustadh Yahya yupo wapi skuizi
Yupo tu area
@@salimdaawah123 mpeni Salaam sana Allah awapee nguvu nyote muweze kutuelimisha🤲
Shekhe mbabaishaji, yohana17:1 utaona habari za mwana shuka mstari 3 anatajwa kwa kwa jina yesu Kristo,njooni mbatizwe acheni kusumbua watu kwa kuwa hawajui maandiko
Ndugu yangu katika Adam, Kama unaona Kuna ubabaishaji watafute kwa namba ya wat'sup 0727431691
@@hassansumera7818YOJANA 17; 3 YESU Anasema tutamjua MUNGU Wa kweli na YESU KRISTO Uliyemtuma
@@shabbymakapaneshabby5000 Somakwanza 17:1 unaona maneno hayo aliyasema yesu akiinua macho yake akielekea mbinguni,akasema baba, saa imekwisha kufikia mtukuze mwanao
@@essaumpuma2981 sijakuelewa
Allah awabariki sana
Mashallah is this in eastlight?
M.a sheikh
Mkitaka waelewe muapeleke polepoe mssifanye Kama ushabiki hio ni dini
Isha Allah
Mbona imeisha mapema
its not fair to argue with someone who doesn't want you to bring another understanding from another verse,,,,,, instead he`s forcing you to accept what he understands,,,,,,
and also reading the whole page not a verse will output the intended meaning........
Ok aoieursljd
I'd like to join you
You're welcome
MashaaaAllah
Mnaamini eti siku ya mwisho wanaume watapewa mabikira kwanza Mbinguni hakuna kuoana bali ni kumsifu Mungu milele na milele
Wewe umevulugwa
Hujielewii wewe, Allah akuongoze
don't provoke just anyhowly coz u ignore wat you knw en if u don't knw just sit down en listen utaambiwa... Islam is the true and pure religion
@@jirmomohamed7595 Christianity is a very true religion am proud of being a follower of Jesus christ
@@wilberchannel5346 u will come by yourself
Wamkanao Yesu kristo pia yeye atawakana bele ya malaika na bele ya mwezi MUNGU
Nenda uko
Uislam haumkani Yesu, hauwi muislamu kama haumuamini Yesu kama ni mtume miongoni mwa mitume wenye status ya juu kabisa na sio Mungu wala mtoto wake..
@@iFly-t9b mpe elim uyo
M. A
Siyo dini itaenda mbinguni ni matendo Yako mungu ataona kama ulikuwa unafwata hapa duniani so mko capagn ya Mohamed na yesu ATI nani Ako na wafuasi wengi
Shaikh Anwar..PLZ GO SLOW...ww ni Shaikh mzuri but be calm
Waeslam mnaabudu majiini nani ajuiiiii alafu mnaloho ngumu
Hivo ndo mnavofundishwa church, Nani hajui?
Msibishane na wasiomjua mwana yaani wampinga kristo,hao wote ni waislamu ni game wanacheza wachananeni na wao,kwanza wamwamini YESU,YESU ndiye njia na uzima wa milele
Kanye uko
0pen Your eys, Wakristo Msipotoshwe,Yesu yuaja
Yesu mgani because Yesu ni wengi
@@salimdaawah123 acha kunyamazisha watu.
Jesus is lord and HE IS the only way.
ManshaAllah
Mwache asome maana ya SINAGOGI nyuma ya bibilia, Sheikh Anwar hao hawana lolote,unapoteza Mda sheikh
Yeye anajiita nabii na hajui biblia.
If heaven will be for Islam and wakristo only heaven must be very small.
Be spiritual , connect with God
Asha Religions yote. Connect with God.
Didi iko kwa gogle
Sheikh mm ungemjibu ya kuwa. Sheria zikebadilika ilipokuja quruani sheria za manabi wa nyuma zimepotea twafuata quruani kwa quruani ndo kitabu CHA mwisho ndo inayo fuatwa ..🇹🇷🇰🇪🇹🇷
Masha Allah ukweli tumekupata vinzuri shukuran brother
Mashallah
IJili iedelee. Jesus for life. It is true Jesus dead for sinners
MY God open this people eyes to see the trueth
Just do good , final
Hahaaaaa
Please sheikh compare notes with other sheiks too like Prophesser Othman Mazinge how to tackle like mwana wa kipekee in the bible is found in many other verses to neutralize John 3:16
Kamwe msitumie vpawa vyenu kumkufuru mungu,
Yeah kama huyo mkristo anasema yeye ni nabii
Kabisa
Nataka phone number ya sheikh anwar please
0710482488