KHOFU YA TATIZO HILI YAWAKIMBIZA WAISLAM MSIKITINI NCHINI TANZANIA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2021
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 43

  • @makkamadinnah9586
    @makkamadinnah9586 2 ปีที่แล้ว +3

    Subhannallah Subhannallah Subhannallah!!! Allah ataleta kheri tu hapa na Kwa sababu Alfataha imefika basi kheri ipo karibu

  • @MajidiTailani
    @MajidiTailani 11 วันที่ผ่านมา

    Amin🙏🙏🙏🙏

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว +3

    Yarab Yarab jalia kheri n wepesi wapate wanchokita waja wako Amin Amin

  • @zawadghafri5440
    @zawadghafri5440 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana AL fatah mwenyezi mungu amekuja alia kufika mpaka singida

  • @salimaslalaamalekumwardah1318
    @salimaslalaamalekumwardah1318 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allahuma aijaaliye iwe haraka isimame msikiti na madrasa pia yaa rabi takakabliye Dua yao iwe kabul inshaallsh

  • @user-uz1er8xp6h
    @user-uz1er8xp6h ปีที่แล้ว +2

    Allah atakulipa ujira mwema shekhe hapaduniani na kesho akhera amin.

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 2 ปีที่แล้ว +2

    Subhannalah Inshaalah utasimama msikiti Mkubwa zaid kwa nguvu zake Allah

  • @malikmzee1772
    @malikmzee1772 หลายเดือนก่อน

    Mung atafany wepes ktk hili Allah ishaallah

  • @wanusuleiman169
    @wanusuleiman169 ปีที่แล้ว +1

    Laailaaha illallaah Muhammadu rasuulullaah ! Ktk hili bas 'falyatanafasilmunataafisuun'

  • @belkoscongas242
    @belkoscongas242 2 หลายเดือนก่อน +2

    This is so touching my muslim brothers around the world, why are we quiet about this, subhanallah

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba หลายเดือนก่อน +1

    Hongera kwa kuujulisha umma wa kiisilaam kwa kuwajuza waisilaam popote pale walipo duniani ili waweze kuchangia ili ndg zetu hawa waweze kupata msikiti mzr kwaajili ya kufanya ibada zao ktk hali ya Utulivu Inshallah.

  • @safiaidriss4535
    @safiaidriss4535 2 ปีที่แล้ว +1

    Ya Allah Ya Rabbi help they ummah 😭😭😭

  • @zanzibarsafi2882
    @zanzibarsafi2882 2 ปีที่แล้ว +1

    inshallah umoja ni nguvu utasimama ujenzi wetu kwa uwezo wa mungu

    • @sadaissa3974
      @sadaissa3974 4 หลายเดือนก่อน

      inshallah

  • @user-nv7jg6xc8l
    @user-nv7jg6xc8l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwetu Dar misikiti mizuri lakini waswaliji hakuna dah inaumiza sana 😢

  • @NoraKedir
    @NoraKedir 2 หลายเดือนก่อน

    Yaaaa allah

  • @ZainaBu-zs6wc
    @ZainaBu-zs6wc 2 หลายเดือนก่อน

    Ishaallha

  • @dulividuli5237
    @dulividuli5237 หลายเดือนก่อน

    Allah atafanya wepesi inshaAllah

  • @user-gg5ow9bg6y
    @user-gg5ow9bg6y 2 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭 insha ahllaa

  • @hajiassumani9138
    @hajiassumani9138 2 ปีที่แล้ว

    Yaa Rabii sisi hatuna uwezo wakujenga mskiti huu lakini tuta changia chochote pia tuna paza sauti nakuwaomba wmatajiri tuwaone waislam wenzetu jazaa utaikuta kwa Allah
    Al fatah tv Allah awalipe kheri kwaku wafata waislam bila kujali umbali na changamoto za njiani

  • @AshaKilagula
    @AshaKilagula 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni

  • @zawadghafri5440
    @zawadghafri5440 2 ปีที่แล้ว

    Subuhna Allah mwenyezi mungu mkubwa hakuna kinacho shindikana mkono kwa mkono hadi peponi

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 2 ปีที่แล้ว

    Jambo zuri kuwa mnakwenda TZ bara pia. Ndugu zetu huko wanahitaji sana msaada. Nashauri mjenge msikiti kwanza. Utumiwe pia kama madrassa. Khususan sehemu ya wanawake inafaa sana kwa shughuli hii. Misikiti haitumiwi efficiently, baina ya salawat huwa inafungwa au haitumiwi.

  • @rashiddaudrashi2895
    @rashiddaudrashi2895 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭Yaa Rabii wape subra ndugu zetu
    Mkono kwa mkono tuwa saidie waislam wenzetu

  • @almasramadhan9387
    @almasramadhan9387 หลายเดือนก่อน

    Mmekalia kubishana mambo yasiyokua na faida ujinga mliopandikizwa na mabwana zenu nje ya nchi ndiyo yanayorudisha nyuma maendeleo ya nyanja zote katika uislam mmekua mamwinyi mashekh mnatukanana mnadhalilishana saa ngapi mtawakumbuka waislam wa vijijini mashekh wa Tanzania mnatia kinyaa kuritad Kwa waislam Hawa ni matokeo ya sera mbaya za viongozi wa kiislam Tanzania

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว

    Subuhanallah subuhanallah

  • @AbdallahKawambwa-qx8tl
    @AbdallahKawambwa-qx8tl 11 วันที่ผ่านมา

    Nimkoa gani

  • @rahmaabdallah5114
    @rahmaabdallah5114 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭Yaa Rabii

  • @hassanjoseph6658
    @hassanjoseph6658 2 ปีที่แล้ว

    Allah ni muweza, hakuna lisilowezekana kwa Allah,
    Hongera sana Sheikh kwa kufunga safari hadi Singida,
    Nakuomba ufike na ktk Wilaya ya Nzega.

  • @aisha-zu8vr
    @aisha-zu8vr 2 ปีที่แล้ว

    🤲🤲🤲

  • @NoraKedir
    @NoraKedir 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @suleimankira9195
    @suleimankira9195 ปีที่แล้ว

    Asalam aleykum twaomba utuletee ulipo fikilia msikit inshallah

  • @criticalthinker1179
    @criticalthinker1179 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭

  • @mohammedaziz3813
    @mohammedaziz3813 2 ปีที่แล้ว

    Matajiri rudidi kwa mungu kujenga miskiti waislam wezenu wanpata shida siyo kusapoti simba na yanga mungu atufanyie wepesi ame.

  • @suleimanmorisho6612
    @suleimanmorisho6612 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭wako wapi walio ruzukiwa na Allah?

  • @zahratinsaleh1004
    @zahratinsaleh1004 2 ปีที่แล้ว

    Ma mm a samia wapi

  • @StAr-yu3vz
    @StAr-yu3vz ปีที่แล้ว

    Assalam alaykum kwa Waislamu wote kuna wiraya ya kisarawe mkoa wapwnani kijiji cha chore tunaomba mtutembere mutuone misikiti na watu wariyo na hari duni

  • @rashiddaudrashi2895
    @rashiddaudrashi2895 2 ปีที่แล้ว

    Wako wapi matajiri wakiislam 😭😭

  • @zahratinsaleh1004
    @zahratinsaleh1004 2 ปีที่แล้ว

    Mama samia uwapi waislamu twazalilika ingekuwa kabisa mushalijenga

  • @okwechukuucheunajonfu6752
    @okwechukuucheunajonfu6752 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭this’s masjid?😭😭😭

  • @mohammedkimanga8960
    @mohammedkimanga8960 2 ปีที่แล้ว

    Inshaallah tuko pamja kwa uwezo wa Allaah