BABA YANGU KIPOFU Full episode/5/

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • BABAJOAN #love

ความคิดเห็น • 807

  • @BabaJoani
    @BabaJoani  3 หลายเดือนก่อน +392

    TUNAWAPENDA WOTE MNAOTUFATILIA ,TUSAMEHE KWA MAPUNGUFU YETU MADOGOMADOGO, SUBSCRIBE CHANNEL HII❤❤

    • @ngohewalwa1506
      @ngohewalwa1506 3 หลายเดือนก่อน +14

      Mm nimependa umenikumbusha Shuleni ugar na chumvi

    • @Mra_brandvevo
      @Mra_brandvevo 3 หลายเดือนก่อน +7

      AMAGAMBO YALAGENDA GATOGATO😂😂🎉

    • @ngohewalwa1506
      @ngohewalwa1506 3 หลายเดือนก่อน +5

      Kweli nimejifunza vitu vingi kwenye hii filamu

    • @MeshackVenasi
      @MeshackVenasi 3 หลายเดือนก่อน +4

      Kaka uko poa San iyo movie

    • @MeshackVenasi
      @MeshackVenasi 3 หลายเดือนก่อน +1

  • @NeemaKombe
    @NeemaKombe 3 หลายเดือนก่อน +14

    Baba karobo mwanao mtiifu mungu amlinde jamani nimeifatilia Tamthilia iko sawa hongera❤❤...watching from kenya 3:40

  • @chantalmariesony2996
    @chantalmariesony2996 3 หลายเดือนก่อน +28

    Mama kalobo jamani miyeeeee 😭😭🥺😭 pole sana baba kalobo number one Leo

  • @irankunda5364
    @irankunda5364 3 หลายเดือนก่อน +16

    Haki nimetokwa namachozi. Love from Burundi🇧🇮🇧🇮

    • @rosinelorline4701
      @rosinelorline4701 2 หลายเดือนก่อน

      Hata nimesikia ame omba kiburundi😂😂😂

  • @NdayishemezeBlaise-yv5nq
    @NdayishemezeBlaise-yv5nq 3 หลายเดือนก่อน +22

    Nimefurahia kukusikia ukiimba kirundi hapa Burundi. Tunakupenda sana baba karobo

  • @SandrineIngabire-j7c
    @SandrineIngabire-j7c 3 หลายเดือนก่อน +24

    Thx baba joan kwa kanyimbo .kakirundi😂wanteye inkumbu wanteye amarira❤😢😢😢😢😢

  • @Samsamson-g9h
    @Samsamson-g9h 3 หลายเดือนก่อน +28

    Ii move inaliza see mungu nilindie niweze kulea mwanangu jamani kwenye dunia yenye mapambano

    • @Lizy-jp1ic
      @Lizy-jp1ic 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisaaa yani wewe ndo mtu nimeona coment yako yamaana ehh Mwenyezi Mungu tupe maisha marefu kwaajili ya watoto wetu

  • @YamilCarloo-g3i
    @YamilCarloo-g3i 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wallah hiki kipande kimeniliz sana sema big up san umefany kit mashallah mungu akujaalie kipaji zaid

  • @roda254totolapwani-ur3ur
    @roda254totolapwani-ur3ur 3 หลายเดือนก่อน +13

    Karobo she's so brilliant ❤❤❤much love to you bby girl 💋💖

  • @macrinafuraha-zg3mi
    @macrinafuraha-zg3mi 3 หลายเดือนก่อน +55

    Mm ndio wa kwanza au kuna mwenye amewahi? Sijui nianze hii tabia ya kuomba like😂😂😂nikiwa kenya nyali

    • @REHEMANCHALIKA
      @REHEMANCHALIKA 2 หลายเดือนก่อน +1

      𝐔𝐬𝐡𝐚𝐨𝐦𝐛𝐚

  • @kondebouy1308
    @kondebouy1308 3 หลายเดือนก่อน +14

    Kumbe ushapandisha kazi baba Joan nakuaminia aisee

  • @JacksondekuloEmmanuel
    @JacksondekuloEmmanuel 3 หลายเดือนก่อน +27

    Mimi wa kwanza kufurahiya kazi naomba like zenyu❤

  • @MYachi-dj6ld
    @MYachi-dj6ld 3 หลายเดือนก่อน +9

    Jamani.nimelia.kama.mtoto.inaumiza.sana.kwakweli.kazi.nzuli.sana.baba.joani.natimu.yako.nzima.mungu.azidi.kuwa.baliki.kilasiku.❤❤❤❤❤ form zambia Lusaka

  • @macrinafuraha-zg3mi
    @macrinafuraha-zg3mi 3 หลายเดือนก่อน +14

    Wooooow kumbe patronize yuko aki nimefurahi❤❤❤❤❤❤

  • @terimberejaliajalia8284
    @terimberejaliajalia8284 3 หลายเดือนก่อน +14

    Wanteye inkumbu,wanteye amarira😭.wenye wanaskia huyu mwimbo mbipe ❤

  • @agnesshaurimoyo9532
    @agnesshaurimoyo9532 3 หลายเดือนก่อน +18

    Karobo mwanangu umeniliza sana nimekumbuka mbali sana jamani.

  • @SmilingEquestrianHelmet-mc7lk
    @SmilingEquestrianHelmet-mc7lk 3 หลายเดือนก่อน +110

    Wakwanza Leo from kenya wapi likes zangu nimekuwa sipati❤❤❤

  • @JaneDaimon
    @JaneDaimon 3 หลายเดือนก่อน +20

    Baba Joan umenikumbusha maisha yangu japo Mimi sio kipogu kama igizo ulimelitendea haki maua Yako kakaangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @KenedyMasha
    @KenedyMasha 3 หลายเดือนก่อน +24

    Inkumbu wanteye amarira lugha ya Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @ZEPHANIAH.1588
    @ZEPHANIAH.1588 3 หลายเดือนก่อน +52

    ,🇰🇪🇰🇪🇰🇪nawakilisha wakenya uku piga like tukisonga

    • @CicieBlantina
      @CicieBlantina 3 หลายเดือนก่อน +3

      Twi hahwe ta ndina😂😂😂😂😂yaani navyopenda baba Joan 😊ningekuwa hapo basi hiyo risasi ingeniendea mimi😅😅nife aishi mpo😊❤❤❤❤❤❤

    • @bridgetakuku6955
      @bridgetakuku6955 3 หลายเดือนก่อน +2

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️

    • @johnmasesa3340
      @johnmasesa3340 3 หลายเดือนก่อน

      Yoboy,master😮

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 2 หลายเดือนก่อน +2

    😢kipofu na karobo mengu iko pamoya nanyiye 🇧🇮

  • @ibrahimumwezingo1674
    @ibrahimumwezingo1674 3 หลายเดือนก่อน +11

    Picha kali sana Kaka nakubali

  • @Milcah-hb5uw
    @Milcah-hb5uw 3 หลายเดือนก่อน +21

    Ugali na chuvi ndo ilikuwa maisha yangu nikiwa mundongo😢😢😢😢😢😢😢

  • @FutureBoy-n3t
    @FutureBoy-n3t 3 หลายเดือนก่อน +5

    Bro big up sana wanteyinkumbu wanteye amarira from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @ClaudCarlos
    @ClaudCarlos 3 หลายเดือนก่อน +6

    Sema BABA KAROBO kumbe ni YANGAA

  • @husnatjh5969
    @husnatjh5969 3 หลายเดือนก่อน +17

    @BabaJoani ni nn kuniliza jaman🥺🥺🥺kila nikiangalia kipande chako chaupofu najikuta nalia😥 hongera sana kwa kazi mzuri🥰🥰🥰

    • @SalmaFarhiyya
      @SalmaFarhiyya 3 หลายเดือนก่อน

      🤗🤗🤗🤗

    • @ShaphiiAlly
      @ShaphiiAlly 24 วันที่ผ่านมา

      niombee na mm namba ya uyo dada mbna kampa yule tu

  • @YvonneWangeci-oe8uf
    @YvonneWangeci-oe8uf 3 หลายเดือนก่อน +27

    tamu sana nimefurahia kumwona patronize❤

    • @mamakemariam3910
      @mamakemariam3910 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kabsa nimefurai pia kumuona patronize

  • @riziki8406
    @riziki8406 3 หลายเดือนก่อน +6

    Masikini baba kalobo na kalobo wake wanapitia kweli ila mungu yupo😢😢😢😢

  • @ZuhuraSalim-x3v
    @ZuhuraSalim-x3v 3 หลายเดือนก่อน +7

    Baba joan hongera sana kwa kazi kubwa unayoifanya hii movie yafunza sana ❤❤❤

    • @RizikiMgeni
      @RizikiMgeni 3 หลายเดือนก่อน

      TEN ya funza na kusikitisha haswa

    • @mwalisuleih1164
      @mwalisuleih1164 3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤Yan ni zaid ya xn hii movie mmmmmh mie macho yaloa mda wote kila nkianglia hii movie ❤❤❤❤❤❤

  • @Kamoste
    @Kamoste 3 หลายเดือนก่อน +30

    Wa kilifi tujuane kikambala vipingo mtwapa mnarani kibaoni mferejini na popote pale bora kilifi ...Tunaipenda sana hii movie ❤❤

  • @benoitnizigiyimana4415
    @benoitnizigiyimana4415 3 หลายเดือนก่อน +6

    Wanteye inkumbu wanteye amarira🤣🤣
    Kumbe baba Kalobo unajua kirundi 🤣🤣🤣
    Pole kwa lisasu

  • @MahoroClaudette-gm1wc
    @MahoroClaudette-gm1wc 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi yeni inatufurahisha Mungu aendelee kuwangoza awafikishe mbali Pazuri zaidi
    Karibu Rwanda 🇷🇼

  • @SykaizzoJames
    @SykaizzoJames 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kalobo mdogo wangu nakukubali sana sema movie zako zote zinanitoa machoz God bless you.

  • @pilimakata
    @pilimakata 26 วันที่ผ่านมา +1

    Si jaangalia ila inaonekana nzuri sana pia ningependa kuangaria from tanzania ❤🎉

  • @sandejacob623
    @sandejacob623 3 หลายเดือนก่อน +3

    Daaah,
    Tunajua kuna wanadamu mna roho mbaya sana , muache hizo roho mbaya muje kwa Yesu mwenye mafundisho ya kukufanya uache roho mbaya.

  • @NdizeyeCharles-c3i
    @NdizeyeCharles-c3i 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ati nini waneye inkumbu waneye amarira big up sana kwahiyo nyimbo ya kirundi.

  • @KasNgankoy
    @KasNgankoy 3 หลายเดือนก่อน +1

    Il faut essayer de le faire aussi en Français malgré je ne comprends pas bien vraiment mais ça m'a touchée vraiment cette histoire 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @WdW-d9i
    @WdW-d9i 3 หลายเดือนก่อน +5

    Naskia kanyimbo kakirundi,wanteyinkumb wanteyamarira😂😂😂

    • @DedanOchieng-m9v
      @DedanOchieng-m9v 3 หลายเดือนก่อน

      Wanaitwa ladies,🔥ogopa sana hao viumbe japo kua twaishi nao humu ndani.

  • @jamesmbanga1831
    @jamesmbanga1831 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wanteye nkumbu, wanteye malila. Nimeipenda sana mwamba, wewe bilashaka ni wa kgm, umenikumbusha mbali❤❤😅😅.

  • @rahmamohammedi5713
    @rahmamohammedi5713 3 หลายเดือนก่อน +5

    Karobo kaniliza anavyolia 😢😢😢

  • @davidnguta-cz4ey
    @davidnguta-cz4ey 3 หลายเดือนก่อน +4

    mkenya kutoka mombasa likoni ferry naipenda movie ebu tujuane wana mombasa 🎉

    • @meckikilonzo
      @meckikilonzo 3 หลายเดือนก่อน

      Napente movie ii Sana NI Mombasa likoni

  • @LugomeRisasi
    @LugomeRisasi 3 หลายเดือนก่อน +14

    Wakwa nipeni like zangu

  • @monsurejr8533
    @monsurejr8533 3 หลายเดือนก่อน +6

    Na tukumbuke kushare jaman kuwa wa kwanza kutazama eps haitamsaidia baba kalobo kupata nguvu ya kuendeleza muendelezo unaofuata

  • @KarataMoyake-s8m
    @KarataMoyake-s8m 2 วันที่ผ่านมา

    Very educative movie. Just can't stop watching

  • @LucasiMoleli
    @LucasiMoleli 22 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri sana mungu asidi kukubariki ufike mbali said

  • @PatrickNdayongeje
    @PatrickNdayongeje 3 หลายเดือนก่อน +5

    Murakina neza kabisa naj ndabakunda kweri🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @EdwinNikolas
    @EdwinNikolas 3 หลายเดือนก่อน +9

    Jaman wa penzi wa baba Joan naombeni ata like ❤❤❤❤

  • @jeanclaudensengiyumva8185
    @jeanclaudensengiyumva8185 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wa kwanza Leo kwel kwel🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @amranijuma100
    @amranijuma100 3 หลายเดือนก่อน +3

    Habari bro episode unaweka mtandaoni kila baada ya siku ngapi kupita

  • @IshmaelOkongo
    @IshmaelOkongo 3 หลายเดือนก่อน +5

    we love your channel 😍😍😍 from Kenya 🇰🇪💪

  • @JuliusAloyce-o6l
    @JuliusAloyce-o6l 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi Julius Aloyce wa mwanza; Duuh Ni halisi ya maisha ya watu wengine ktk nchi yetu na hata mataifa ya wengine pia.

  • @ElogeAnointed
    @ElogeAnointed 3 หลายเดือนก่อน +3

    Umeimba kirundi kikafulahi Bujumbura tunawapenda sana tunawafuatilia pia

  • @Florence-hj2io
    @Florence-hj2io 22 วันที่ผ่านมา

    Nimeumia San nimelia san munajua san kuigiz kung awatangulie katit kaz enu munayoifany jmn nawapenda san❤❤❤❤❤

  • @SammyOnesmus
    @SammyOnesmus 3 หลายเดือนก่อน

    Number one from kenya pole sana baba karobo

  • @Johanesseradius
    @Johanesseradius 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mmh huyu mama karobo anakaza kwelikweli anaenda kuwa mama kanusu 😅😅😅

    • @PiliMundu
      @PiliMundu 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅nmecheka kwa saut

  • @Saif-y7m1y
    @Saif-y7m1y 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nampenda San baba Joan Kwa sababu Kazi zake moto moto Mungu akubaliki San ❤❤

  • @moonGirl-t1i
    @moonGirl-t1i 3 หลายเดือนก่อน +2

    Niko na nyinyi watching live from Kenya kazi nzuri najifunza mengi kutoka kwa mama kalobo na mabayaa yake

  • @SkolaVayinga
    @SkolaVayinga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka umejua kuniliza aiseeee❤❤❤❤❤❤

  • @abilityson3311
    @abilityson3311 2 หลายเดือนก่อน

    Poleeee saanaaa babaaa Joan mwombe mungu atakusaidia jaman utaponaa usjali na mwanao atakuaaa

  • @AminaAli-w3s
    @AminaAli-w3s 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hii movie inaniliza saaaaan Daaah inauma saaaaan

  • @sultanrichardson5487
    @sultanrichardson5487 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kalobo, this girl is talented

  • @NibigiraFatuma
    @NibigiraFatuma 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh bba karoboo anaimba kirundi ca kwetuu😂😂

  • @Yuniz-bb6tn
    @Yuniz-bb6tn 3 หลายเดือนก่อน +3

    i think this episode is so emotional especially when they was eating ugali😢😢😭😭

  • @mahirmahir2407
    @mahirmahir2407 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman karobo unavyo jua kuekt kwahisia mama upewe tu mauwa yako ❤❤❤❤

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mama karobo😂😂😂 waaw patronis amefika. Mtaaa ❤❤❤❤

  • @AdamzSon
    @AdamzSon 3 หลายเดือนก่อน

    Pongezi Kwa kazi zako bro umsalimu patronize na baba Joan

  • @ashamohamed838
    @ashamohamed838 หลายเดือนก่อน

    Baba joan ..walai hi mov umeweza japo nalia sija imalza nimeanza leo...ila nmelia sana...😢😢..umeweza 🎉🎉🎉😊

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน

    Mtt zaujat mashallah idara zote uko vyema sura umbo rangi na tabiya

  • @DamianMboye
    @DamianMboye 2 หลายเดือนก่อน

    Dah! hii mv iko vzr hinafundisha mambo men mno

  • @kinyuki
    @kinyuki หลายเดือนก่อน

    Kazi ikopoa sana sana bro sarut kwako

  • @Hadijawashuma
    @Hadijawashuma 3 หลายเดือนก่อน +3

    Daah movie inasikitisha pole kalobo❤❤❤

  • @moulynnyaboke-sh9vj
    @moulynnyaboke-sh9vj 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wa mwisho jamani wenzangu naomba likes 🎉🎉❤❤❤

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mama karobo mimacho😏,chefuuu😮...tunajifunza team baba joan tuko pamoja 🎉🎉🎉

  • @josephmbua439
    @josephmbua439 3 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda movie 🎥 zenu zinamfundisho sana,ila sema hiyo pisi uliojichangulia wewe noma,maana naona inaelekea kabisa

  • @KevineKasongo-n1s
    @KevineKasongo-n1s หลายเดือนก่อน

    Eh mwenyezi mungu nalia kibao, nimesahau kama hii ni filimu imetayarishwa

  • @rahmalove531
    @rahmalove531 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ancha roh mbaya we mama karobo😢😢😢😢😢

  • @rosemarenga832
    @rosemarenga832 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wao papronaz❤❤❤🎉🎉🎉karib kweny mchez

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi nzuri yenye mafunzo,,,kalobo soma kwa bidii usaidie babako anateseka sana 😢

  • @MahoroClaudette-gm1wc
    @MahoroClaudette-gm1wc 3 หลายเดือนก่อน +2

    Rwanda Gisenyi karibu na congo tunawapenda sana karibu kwetu

  • @PauloMapunda-t2w
    @PauloMapunda-t2w หลายเดือนก่อน

    Ww nipis Kali nipatie namba bas from Tanzania

  • @ShafiiMwenyula
    @ShafiiMwenyula 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera Kwa kuigiza movie mzuri

  • @HildahChelagatketter
    @HildahChelagatketter 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mgeni kutoka kenya likes filimu nzuri sana nawapenda jameni❤❤❤

  • @twincetwicetv6031
    @twincetwicetv6031 3 หลายเดือนก่อน +2

    tuletee usitupumzishe sana nakubali sana kazi yako imetulia hii

  • @dorinenahimana9958
    @dorinenahimana9958 3 หลายเดือนก่อน

    Tunaenda kwakirundi wanteyintunt wanteyamarira😂😂😂 hongera sana

  • @AsnatChimamy
    @AsnatChimamy หลายเดือนก่อน

    Kwer mliigiza vizr san mungu amuendesh huyo mtt awe nakipaj kikubwa❤

  • @AbeliMausenisimoni
    @AbeliMausenisimoni หลายเดือนก่อน

    Iko pw sana mungu awaongezee maalifa

  • @elvinakalu6991
    @elvinakalu6991 3 หลายเดือนก่อน +3

    Move nzuri ya mafuzho🎉🎉🎉🎉

  • @mwalisuleih1164
    @mwalisuleih1164 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤Hayaaaaa😂😂😂😂😂😂 wale patronizer mpooo kafika xx Masha'Allah uyu kijana ako vizur xn

  • @JamilaNduta
    @JamilaNduta 3 หลายเดือนก่อน

    Woii nime lia wamama muwe na roho mzuri jamani am waching from Saudia Arabia

  • @ZulphaMsangi-s9g
    @ZulphaMsangi-s9g 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dah kazi nzuri ila machozi bubuji duh inahuzunisha sana 😢😢😢😢

  • @LovenessIzukanji
    @LovenessIzukanji 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka Leo ndo nimeangalia mov zako du umenikumbuxha mbali sana wazazi walifaliki ote nikapitia maixha kama ayo yakula ugari na chumv pole sana

  • @GaidiBeuchi
    @GaidiBeuchi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Pongezi sana bro kwa kazi yko nzuri

  • @lionelemmanuel4436
    @lionelemmanuel4436 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nani anipe Judith, nimpe likes

  • @ElkaMwesh
    @ElkaMwesh หลายเดือนก่อน

    MashaAlla had kiburund🇧🇮chet kinatumik hum🤗tunawapend sna sis wa🇧🇮🌹🌹

  • @AnnaGervas-kd2fr
    @AnnaGervas-kd2fr 11 วันที่ผ่านมา

    Kila epsode inanitoa machozi Mungu naomba nichukue mwanangu akiwa amejua kujitambua na kujipambania

    • @AnnaGervas-kd2fr
      @AnnaGervas-kd2fr 11 วันที่ผ่านมา

      Wanawake tumuombe Mungu atupe roho ya upendo

  • @jumamshenga3309
    @jumamshenga3309 3 หลายเดือนก่อน +4

    Baba Joan nampa pongezi kwa kwel ..

  • @JejemingaMinga
    @JejemingaMinga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu dem Noma kama wa jamila

  • @abdikadirchief8706
    @abdikadirchief8706 2 หลายเดือนก่อน

    So sad, but good lesson. Mungu yuko, following from Kenya

  • @HadijaMwansasu-tr7pr
    @HadijaMwansasu-tr7pr 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉 Kaz nzuri baba johan

  • @Melvy-kb3lc
    @Melvy-kb3lc 3 หลายเดือนก่อน

    Maskini hii movie inatia huruma njikuta nalia 😭😭pole baba joan