AMIR FARID AMWELEZA RAIS MWINYI IPI ARAFA SAHIHI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024
- Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline
#AlfatahCharitableAssociation
#ZANZIBAR
Miaka tisa iliyo pita tumekosa mambo manzuri daah masheikh wetu hawa wana vitu MashaaAllah
Mashaa Allah. Sheikh Allah akuhifadhi na akatukutanishe pamoja katika pepo ya firdaus pamoja na bwana mtume Muhammad S.A.W.
Masha allah Sheikh Allah azidi kutia nuru maisha yako na akulipe kheri dunia na aakherah. Tumekuelewa vizuri sana sheikh shukran sana
Umeelewa nini hapo
Mashallah Mashallah Allah Akuhifadhi na Akupe Afya njema daima uzidi kutuelimisha maneno mazito saddacta
mashallah,sheikh Farid. Allah akulipe kila la khery
Laiti ingekuwa hii dini haendi na wakati basi maisha yangekuwa magumu sana.
Lkn Allah katurahisishia kutuachia wazi suala hilo.
Lkn watu huchagua wanayitaka wao tu.
Laiti tungekuwa wamoja waisilamu basi dunia nzima waisilamu tungefuata mwezi mmoja tu.
Mungu ampe maisha marefu shekh wetu
Alihamdullilah shekh mungu akupe maisha marefu uzidi kutupa darasa na mafunzo ,,INSHA ALLAH🤲
Mashaallh nikombali .ilaumeeleweka.san.sana.umezungumza.kwa inswaafi kabisa kabisa.pepo yawemakaziyako
Alhamdulillah umesema kweli Allah akupe umri mrefu wenye afya njema Ameen
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Maa Shaa Allah, Allah akuhifadhi sana shekhe
Allah akubariki sheikh
Mashallah very good explanation
Maashallah umetoa ushahid wa kutosha.
Mashaallah shekh wetu tumekufaham
11:00 inamaana sheikh unataka kutuaminisha kuwa mahujaji wanasimama kisimamo cha arafa wanavyoamua wao wenyewe?
Kuwa hawasimami siku ya 9 baada ya mwezi kuandama..!?
Kwahiyo sisi tufate mwezi tisa kufunga na wao watasimama watakavyojua wao..!?
Kwamba wanaweza kusimama hata mwezi 8 au mwezi 10?
Subhanallah 😢😢
Mwenyezi atusamehe kwakweli 🙏🙏😭😭😭
Kwamba wenzetu kule wanaweza kusimama siku yoyote tuu na wakawa sahihi dah sheikh umeingiwa na nini?
Hivi umesema wewe hajasema yeye. Alichosema yeye ni siku ya 9 kulingana na mwandamo wao
Sikiliza tena mara tatu utafahamu INSHAALLAAH
Sheikh wenu Ibnu-uthaymii majibu yake yamesoma hapo live alipoulizwa, kufunga ni siku ya 9 kwa wasiokuwa hijja, na waliohija siku ya 9 yao kwa mujibu muandamo wao wa Saudia watasimama Arafa, sisi huku hatuna mafungamano nao maana mwezi hutokezea kupishana kwenye muandamo kutokana na maumbile ya mzunguko wa dunia
Kanunuliwa uyu
Allah akulipe kwa kila jema shkh,shukran jaziila
Dah! Sw hongera shekh
Mabrook sheikh huo ndio ukweli
Hata iweje lakini bado kila mtu yuko huru kusikiliza na kupima kila kinachoelezwa na masheikh wetu wapendwa wa kila upande,tukumbuke jahazi letu ni moja AL-ISLAM.Hizi ni ikhtilafu tu .kuheshimiana na kupendana kubaki hata kama kila mtu atakuwa na mtazamo wake.waisamu sisi sote ni ndugu.
Wabillahi ttawfiq.
Naam muislamu ndugu yake ni muislamu 🎉❤🎉كونوا إخوانا
Shekhe wenu mkubwa mnayemtegemea ni Ibnu-uthaymii na leo hapo maneno yake yameekwa uwanjani ni vile munabaki na misimamo tu lakini hoja hamuna tena
@@zuwenamussa-si6mdMasheikh wote ni wetu.Waislamu.tusigawane
Mashallah Mwenyezi Mungu akuhifadhi
Sisi twafuata mtume na maswahaba wake hatufuati nyinyi sheikhe faridi yuko sawa
ARAFA yenu ya MWANAKWEREKWE Munatumia NGUVU NYINGI Kuitetea lakini UKWELI Umeshawabainikia Watu
Alah akuhifadhi shekh
Kweli kawa shehe mpunga
Jee sheikh tofauti ya saudiarabia na Tanzania 🇹🇿 ni masaa mangapi
Wewe uliuona mwezi sangapi?
😂😂😂 Eti anatoa MFANO WA TANZANIA na LOS ANGELES
Baada ya Kusema Sisi tunapishana na MAKKAH MASAA MANGAPI
Sisi hatupishani hata sekunde
Eleweni acheni kukaza vichwa...Maelezo yamenyooka ila vichwa vyenu mnalazimisha ugumu.
@@AtwifMabrouk
Hujaelewa haya mambo , ni muonekano wa mwezi sio kuendana masaa ,
MASHALLWAH MUNGU AKULIPE KHERI KWA UFAFANUZI WAKO.
mashaalah good wakumbush kwa akili ya Allah
Sheikh faridi elewa vizuri ( sumuu liruuyatihi tafsiri ni kuonekana sio kuona, sasa popote uwonekano
TUMUOMBE ALLAH ATUPE UNDANI WA ELIMU YA DINI YETU.
Ukionekanwa kwa kiarabu
إذا رؤي
IDHAA RUIYA
WATU WENGI MASHEKHE KWA KUTAKA KULAZIMISHA UKIONEKANA POPOTE WATU WAFUNGE HUKIMBILIA KUSEMA HAYO UNAYOTAKA WEWE
LAKINI TAFSIRI SAHIHI NI ILE ALIYOSEMA MTUME .S.A.W.W
إذا رأيتم الهلال فصوموا وإذا رأيتموه فأفطروا فإن حال بينكم وبينه سحاب فأكملوا العدة ثلاثين
Wallah sheikh farid umeeleweka alhamdulillah
Mashallah waambie ni haramu kufunga siku ya Idd
Good explanation Sheikh Farid
Sheikh Farid tupe hadithi aliesema Mtume (s.a.w) tufunge mwezi 9. Bali hadithi zipo nyingi zinazoonesha tufunge arafa kwa kitendo cha arafa.
Twayyib
Na hadithi gani ya Mtume inayosema tuwaunge mkono watu kwenye kisimamo?
safi kabisa, hakuna chenga wala kutafuna tafuna maneno, ibnuthaymii ndio shekhe lao lakini walishindwa kumfahamu kina bachu
Sk Farid,kwa maelezo hy Allah atakulipa,maelezo yk yameeleweka sn,kwa wenye akili na masikio,wanaosema umenunuliwa ni vikaragosi wasiokuwa na dira
Shekhe wa uamsho huyu akuna analojuwa nae Ni mtu wa bidaa 😅😅 mzushi Kama ww tuu
Kwa uelewa wangu mdogo ni hivi:-
Kwa vile mwezi ni mmoja duniani, na kufunga/kufungua huathiriwa na mwezi, na mwezi kuaandama kwake huathiriwa na wakati/time, basi maeneo(sio lazima iwe nchi) ambayo yanalingana masaa basi mwezi utaandama katika wakati sawa(unaweza kuuon au kuto kuuona).
Mwaka huu jua lilipatwa marekani kuna sala inaitwa kusuf huku autukfanya kwa sabbu alijatokea tukio hilo
Shukran shekh ALLAAMA MUHYI DDYN....
Hadithi hii iko swahihi
«2580» حَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ يَحْيَى وَيَحْيَى بْنُ أَيُّوبَ وَقُتَيْبَةُ وَابْنُ حُجْرٍ قَالَ يَحْيَى بْنُ يَحْيَى أَخْبَرَنَا وَقَالَ الآخَرُونَ حَدَّثَنَا إِسْمَاعِيلُ- وَهُوَ ابْنُ جَعْفَرٍ- عَنْ مُحَمَّدٍ- وَهُوَ ابْنُ أَبِي حَرْمَلَةَ- عَنْ كُرَيْبٍ أَنَّ أُمَّ الْفَضْلِ بِنْتَ الْحَارِثِ بَعَثَتْهُ إِلَى مُعَاوِيَةَ بِالشَّامِ قَالَ فَقَدِمْتُ الشَّامَ فَقَضَيْتُ حَاجَتَهَا وَاسْتُهِلَّ عَلَيَّ رَمَضَانُ وَأَنَا بِالشَّامِ فَرَأَيْتُ الْهِلاَلَ لَيْلَةَ الْجُمُعَةِ ثُمَّ قَدِمْتُ الْمَدِينَةَ فِي آخِرِ الشَّهْرِ فَسَأَلَنِي عَبْدُ اللَّهِ بْنُ عَبَّاسٍ- رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا- ثُمَّ ذَكَرَ الْهِلاَلَ فَقَالَ مَتَى رَأَيْتُمُ الْهِلاَلَ فَقُلْتُ رَأَيْنَاهُ لَيْلَةَ الْجُمُعَةِ. فَقَالَ أَنْتَ رَأَيْتَهُ فَقُلْتُ نَعَمْ وَرَآهُ النَّاسُ وَصَامُوا وَصَامَ مُعَاوِيَةُ. فَقَالَ لَكِنَّا رَأَيْنَاهُ لَيْلَةَ السَّبْتِ فَلاَ نَزَالُ نَصُومُ حَتَّى نُكْمِلَ ثَلاَثِينَ أَوْ نَرَاهُ. فَقُلْتُ أَوَلاَ تَكْتَفِي بِرُؤْيَةِ مُعَاوِيَةَ وَصِيَامِهِ فَقَالَ لاَ هَكَذَا أَمَرَنَا رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ.
وَشَكَّ يَحْيَى بْنُ يَحْيَى فِي نَكْتَفِي أَوْ تَكْتَفِي. Shamu na madina ni masaa mangapi
Hadithi zpo waz hongeraa kwa kuzdi kutuelimisha
mashallah,jambo moja umelisahau shekh,kuelezea nchi ambazo zipo sawa kwa masaa na saudia kama sisi na saudia tufanyeje?
then umeilezea oman kua unaiamin zaid kutangaza mwez kuliko saudia,hivi ktk nchi 2 hizi ipi bora kuifuata?
Tatizo lao saudia wanatumia kalenda lkn masheikh wa saudia wameyatolea ufafanuzi haya masuala
Nenda kaishi saudia itakua umemaliza utata
shukran sheikh
Mashallah ila mm naona hebu sisi waislamu tuwacheni haya mambo ya kupingana sisi kwa sisi
Masha Allah ya skh
Kwanza masaa ya Tanzania na saudia ni tofauti?
saa tuko sawa illa kuchomoza JUWA na Mwezi tuko tafauti na MAZINGATIO YA SHERIA YAPO KATIKA MICHOMOZO NA SIO SAA
Nimekuelewa sheikh Faridi unga ni muhimu lakini ilikuwa hainaaja yakueleza bcoz unaamini kuna itilafu nyingi sana ..kwa hichi unachoongea wachache ndio tunakufahamu lakini chunga unachokifikisha kwa ummah huenda kikagarimu sehemu kubwa ya maisha ya mtu sababu elewa bina damu tuko tofauti na uelewa na ufahamu wetu upo tafauti 🤔
MashaAllah,
Ila kw hawa ambao wanapnga kwmba J'pili cyo mwez tna je huu mwez asa uku Tanzania umeonekan lni na watu wameanza lini kufunga ?
Sijaona hoja ya kutokufunga pamoja na mahujaji siku ya Arafa. Arafa ni moja tu ile ya makka.
Hadithi ya mtume ishajitosheleza kuwa kufunga siku ya Arafa ni moja tu.
Ispokuwa ufahamu wa hadithi wengine wanashindwa kuielewa.
Shekh kabadilika gafla anahitaji maombi
Yupo sahihi kabisa
Tunamkubali Raisi Lakini hatukubaliani ni Fatwa isiyo ya KHITILAFU. Hatujuwi lengo lako kwakweli ila Suala la ARAFA kasome tena upyaaa. Siku ya ARAFA. Unafahamu Nini maana ya siku. Hata maana ya siku hufahamu. Siku Ina Masaa mangapi Sh. Faridi. Kaa kitako Usome tena upyaaa.
Sheikh toka umetoka jela haupo sana kasome kwa Sheikh mselemu
Asome nini ??
Yuko sawa,nenda wewe kasome
Hili shekh ni jisufi
Mashekh kuweni waadiliifu.angalieni mtume s.a.w.alifanyaje ktk ibada.inaonekana nyinyi umjaelewa.hakuna tarehe mbili duniani
Fundi sana Sheikh Farid
Allah akulipe kila la kheri shekh
Jamani watu wasome na wawe na heshima wanaposoma sio kusema ovyo kusipokuwa na msingi wotwote mtu mwenye elimu anabishana Kwa hoja si tofauti
mashaAllah
MANENO YA KWELI NA YANATAKIWA KUANDIKWA KWA WINO WA DHAHABU
Umekua sasa alhamdulilah
Sheikh tunashukuru kwa mawaidha ila ktk nafasi kama hiyo ya kuongea mbele ya rais wetu, hukuwa na haja ya kuwasilisha jambo kama a'rafat ambalo wanazuoni wetu wame ikh'tilafiana ki maoni.. na umejaribu kuhubiri itikadi yako na ushabiki wako.
Rais anataka kuwasilishiwa mambo yatakayoleta ustawi kwa jamii.. kama utekelezaji na ufanisi wa ibada ya zakaat kwa waislamu, ajira, elimu, afya, na miradi ya kimkakati ya kuendeleza uislamu.. muonyesheni rais mikakati yenu ya kusaidia uislamu na jamii.. ili aweze kutoa msaada wake kama kiongozi wetu.. m'mepelea sana kielimu ndiyo maana mnarumbana kila siku.
Maoni yako mazuri sana ila silazima aelezwe Hadharani bali ni uzuri mambo hayo kupata faragha nae wewe andika kisha mtafute shekh FARID atayafikisha kwa muheshimiwa INSHAALLAH
HUO SI USHABIKI
HIYO NI DINI NA MAAMRISHO YA ALLAH NA MTUME WAKE
KWANI MTUME ALIWAAMBIA MASWAHABA ZAKE HAYO NA KUWAFUNDISHA HADHARANI
Amna sheikh hapo anababaika tu kwa sabb anamuona Raisi, Zanzibar na Saudia zimepishana siku nzima???
Sasa km tuko Sawa kwanini usisali nao iddi wao wakisimama kuswali muda uleule simama uswali usifuate wakati WA Tanzania na ukifungisha ndoa ya mwanao fuata tarehe za suudia Sawa baba
❤❤❤❤❤❤❤
Kweli jela mtihani ukitoka na akili timamu Allah kakuongoza kinyume chake ukitoka na mbele yako unamuona rais si kwa kujipendekeza huko
Muogope mungu ww
Mashallh ❤❤
Kwani siku Moja sheikh ina masaa mangapi?
Mtume kasema tufunge Siku ya arafa ambayo ni mwezi 9 hajasema tufunge siku ya kisimamo cha arafa mawahabi kuweni makini
Hiyo tarhe tisa ni ipi
Kwani hiyo arafa ni nini
Mh,Siku ya arafa ndo ilokusudiwa sio tarekh
Leo hapa Tanzania ni tarehe 16/06/2024 na saudia ni tarehe hiyo hiyo, na saa zetu zinafanana hadi dkk na sekunde, hapa shida ni saudia! Au siku?.
Sawa fungeni hiyo tisa yenu kama ndo maelekezo ya mtume.
Dahhhhhh anasema Allah
Watabeba madhambi yao na madhambi ya wale waliopotea
naukisema simu hazifai basi usitumie cm.mutume s.a.w.aliposema.سومو لرؤيته وافطرو لرؤيته)alikua anawaambia waislam wote duniani.
Ahsant sheikh
waislaam ndugu zangu
kama kuna mtu miongoni mwetu bado atahoji hili swala bas atakua mjinga
itoshe kuskia na kuzingatia ndio sawa
ukiishi miji isiyohukumiwa na qur an utaona vioja namatatizo Allah tuongoze
Uko sahihi mashekhe huwarizisha mabwana zao na siyo Allah tumhofu Allah tusiwahofu hawa makafiri Anayehukumu kinyume na hukmu ya Allah huyo ni kafiri Almaida Aya 44
MASHEKHE zako huwaridhisha mabwana ZAO wanaowalipa riali kutoka suudiya ili KULETA FUTNA NA kuwafarikisha waislamu wabaguwane kwa misingi ya uzushi na bidaa za kiwahabi SADAQTA
Duh kafuri kwako mweshimiwa shekh kweli hebu tupeni tafsiri ya surat Almaida aya ya 44
kafungue tafsiri ya shekh Abdallah alfaarisiy
Au tafsiri ya IBNU kathiyr
Kuna tofauti kati ya kufaradhishwa Hijja na kuanza Hija. Hadithi ya Mtume (s.a.w) sahihi inasema alihiji hija mbila kabla hajafanya hijra. So alihiji kwanza kabla hajafunga hiyo arafa. Kasoma kwanza shekhe
Kwa hakika wenye elimu wamekufahamu vzuri sana sheikh ,,
Mh!
Hakuna kitu kabisa
Huuu ni uzuka , huu ni uzuka , huu ni uzuka
Wallahi wabillahi watallahi huu ni uzuka.
Sheikh umeisahau hadithi ya mtume alipofunga yeye na maswahaba zake siku ya eid mchana wake akaletewa habari na mtu kua aliuona mwezi mtume akafungua na akawaambia maswahaba wafungue na akaamrisha mtume swala iswaliwe siku ya pili..
Swali kwanin mtume akafungua na wao pahala walipo hawajauona mwezi ? Mwezi waliletewa habari tu kama umeonekana huko nje ya mji.
Kwann mtume asiikamilishe ile funga akafungua ??
Tufateni mwendo Mtume saw na maswahaba zake ,hata nchi zipitane kwa masaa mangapi lkn hakuna nchi umezidi nchi nyengine kwa masaa24.Arafa ni siku Moja kwa Dunia mzima na inaambatana na Tendo Hilo la Arafa.
Kwanini kwenye Valentine day , women's day ...watu hawasherekei siku mbili mambo yao ya upotevu ,siku unakua Moja Dunia mzima.
Acheni kufata akili kwa mambo ya Dini
Sio kweli kuna sehemu zimepishana masaa zaidi ya 24. Kama unabisha ingia google.
@@mujilbtoq1827
Taja hizo sehemu.May be you know more about Geography
Shukran sana habeeb tumekuelewa vzur mfundishe na shekh msellem mas ala haya yamempiga chenga
HIO HADITHI HUJAIFAHAMU SHEIKH NA YAWEZEKANA NENO YAUMU ARAFA UMEITAFSIRI SIVO NA UKAIPELEKA KWENU HIO YAUMU ARAFA KWA MUJIBU WA MUANDAMO WAKO HIVO SIVO KAA CHINI ULIANGALIE TENA HILI NA UKIUJUA UKWELI USIJE ACHA KUUELEZA UMMA
Af'an Wewe Umeelewa.
Maelezo yako shekh ni sahihi ,nakini chunga hao watu kubadilika ni dakika nyingi
Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: “Hapana *SIKU* Anayoacha Allaah kwa wingi huru waja kutokana na moto kama siku ya ‘Arafah."
Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: *"SIKU* ya ‘Arafah, Anateremka Allaah Tabaaraka wa Ta’ala katika mbingu ya dunia kisha Anawafakhiri watu wa ardhini kwa watu wa mbinguni."
Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: "Swaumu ya *SIKU* ya Arafah Inafuta madhambi ya mwaka uliopita na unaofuata" [Muslim]
Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: “Dua bora kabisa ni dua katika *SIKU* ya Arafah”. [At-Tirmidhiy]
Hadithi zinasema tufunge *SIKU* ya Arafah.
Hapana hata hadithi moja inayosema tarehe tisa muandamo.
Siku ya Arafah inapatikana Saudia mahala ambapo mahujaji husimama Arafah.
Ndiyo maana siku ya pili Mahujaji wanachinja na sisi tunachinja.
Hayo ndiyo mafungamano yetu.
MUNGU ANASHUKA ....!!!???
Ni mekuelewa ndugu yangu
Kabla ya simu, tv kuwepo utajuaje siku ya arafa
@@mujilbtoq1827
Kwani huyo mufti wenu hatumii tv na redio kutangaza mwezi!?
Ni masheikh wanao waita watu katika milango ya motoni😢, mbona siku ya wanawake duniani ni siku moja tu, siku ya wazee ni siku moja tu, siku ya watoto ni siku moja ?? Kwanini dini ya Allah muitie khtilaaf mulete mambo mingi ktk dini ya Allah? Izo aya na hadithi za shubha unapotosha watu hali ya kua wew unazidahamu lakin wasiofahamu munawatia ktk giza
Tunaheshimu mawazo yake sheikh wetu ila watabakia wachache sanna kwa zanzibar jmosi wengi wamefunga arafa ila kila mmoja abakie na msimamo wake allah atatulipa huko mbele ya hakki
Umedanganya vibaleghe tu ndo watu wa kukurupuka watu wazima wote wanajielewa hawakurupuki
Huu utata unashangaza sana.
Kwani mwaka 2020 kulikua hakuna hajji sababu ya corona laki arafa tulifunga na iddi tukala
Hidja imekuwepo... Ungesema tu imekua idadi ya watu,kutoa watu wakigeni
Hija ilikuwepo acha kupotosha
Mpuuzi kweli wewe sasa Tanzania na makka nimasaa mangapi Allah atawasulubu
saa tuko sawa illa kuchomoza JUWA na Mwezi tuko tafauti na MAZINGATIO YA SHERIA YAPO KATIKA MICHOMOZO NA SIO SAA
Kwaio allaa kajalia arafa kila nchi au sehemu hushuka uko au Kwa kusudio hilo mbona mwatuchanganya kwaio hushuka kila siku nchi ilokua mwenz tisa
Gharafa haina tatizo.Tatizo ni sisi tunapoikwepa hadith ya Mtume na kutetea madhheb zetu.Nampongeza Sheikh Mziwanda aliposubutu kutafsiri hadithi nnje ya madhheb zetu.
Hela babaa😂😂😂
naukisema simu hazifai basi usitumie cm.mutume s.a.w.aliposema.سومو لرؤيته وافطرو لرؤيته)alikua anawaambia waislam wore duniani.
اطال الله مع العافية بقائك شيخنا الفاضل فريد الهادي
Mawahabi mujassima Hawa uelewa hawataki kuelewa Shekh
Huna unalolijua
sis tushasal eid ww funga leo
ALLAHU AKBAR
Hana tofauti na Kishki, wachumia matumbo hakuna lolote...
Kabisaa yaaani Hana lolote
Muogope mungu ww zana mbaya
amir faridi tushaanza kuwa na wasi wasi na wewe ao watu mtihani amir adhabu za mwenyezi mungu kali sana hazina mfano shauri yako duuu
Hakika tangu ametoka jela kawa tofauti sana kaufyata kawa tofauti na sheikh msellem ally
@@allymusira2153nyiny ukaidi umewavaa
Mmmh umeahidiwa kupewa ukuu wa mkoa tunajua
labda kaahidiwa baako au bibi yako au...!!!???
Farid anadngany mtume aliposema nikijaliwa nikiwa hai mwakani nitafunga 9.10...hii ilikuwa sio masiku ya arafa alikuwa akizungumzia funga ya ashura ili kutofautina na mayahud na walikuwa wakifunga ashuraa...
Wewe inaonesha hukufahamu sababu ya kutiwa pointi hio
Shehe wngu unapotosha watu sema kweli japo chungu uc fanye dini kwa kumridhisha au kumfuraisha mtu hakuna iyooo
weye ndio mpotoshaji bora ungenyamaza amesema MTUME s.a.w.w.
"Anae muamini Allah na siku ya Mwisho aseme kheri au anyamaze kimya"
Kama huna hoja ya kupinga nyamaza kimya
Kama hujafahamu sikiliza tena na tena
weye ndio mpotoshaji bora ungenyamaza amesema MTUME s.a.w.w.
"Anae muamini Allah na siku ya Mwisho aseme kheri au anyamaze kimya"
Kama huna hoja ya kupinga nyamaza kimya
Kama hujafahamu sikiliza tena na tena
Tumekujuwa wewe ni nani ktk mfumo fulani powa na huyu alikuw amiri farid sasa ni Farid
😅😅😅😅😅
nyinyi na Maka mmetafutiana Nini?