EPUKA LAANA HII ISIPIGE FAMILIA YAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 313

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 ปีที่แล้ว +12

    Mungu akusaidie sana Na akulinde nami nasimama Na wewe baba watazamaji kama uyu baba kasema ukweli nipe like kisha tuombe 💯💯❤️❤️♥️♥️👏👏🇹🇿🇹🇿

  • @omegawilliam7686
    @omegawilliam7686 ปีที่แล้ว +1

    Nawaza tu kwasauti: Hivi Yehova amekuumba wewe kama mwanaume, na ameahidi ipo siku tutamuina, wewe umebadilisha jinsia kuwa mwanamke, ghafla bin vuu, Yehova anatangaza ule mwisho, na unaonana naye ukiwa mwanamke, sijui utajificha wapi.
    Asante Pastor MMbaga, kwa ujumbe Mzuri- Naposema amen, naungana na maneno yako katika sala. Amen

  • @perisbosibori8524
    @perisbosibori8524 ปีที่แล้ว +10

    LORD please intervene because whatever is going on in the whole world shows that you're soon coming. GOD bless you abundantly Pastor Mmbaga.

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi. Mimi huwa ninakupenda sana na kufuatilia mafundisho yako. Mimi nimekuwa karibu sana na wasabato ila walio wengi wanatanguliza kujiona wao ni bora kuliko wengine bali sio kufundisha . Walio wengi huonyesha kuwadharau na kuwabagua wengine. Hali ya kuwa Yesu ambae ndio kiongozi wetu alikuwa akijari na kumhushimu kila mtu hata kama ana mapungufu gani. Ili tuweze kuwahubiri watu lazima tujishushe ,tuwapende na kuwajari na kuwahubiri kwa upendo mkubwa.

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 ปีที่แล้ว +14

    Mungu wetu tusaidie na utuhurumie,tulindie watoto wetu dunia haiko salama Baba.

  • @ywydhhd7941
    @ywydhhd7941 ปีที่แล้ว +3

    Big Amen and Amen ubarkiwe sana mtumishi wa Mungu, na Mungu akupe umri mrefu uzidi kuhubiri neno la Mungu, mm namshkuru Mungu nilitekwa na hizo nguvu za kipepo, nikafanya kila dhambi hapa dunia, ila namshkuru Mungu sasa niko huru❤

  • @hansmarymwasulama1974
    @hansmarymwasulama1974 ปีที่แล้ว +3

    Eeeh Mungu tunaomba rehema zako juu ya nchi ya Tanzania tunaachilia damu ya Yesu ktk archi hii ya Tanz Mungu utuponye roho ya ushonga ,usagaji na matendo yote maovu iondoke ktk nchi yetu pia wasaidie wale wote waathirika wa matendo haya waweze kutoka huko,asante pastor mbaga Mungu akubarik kwa ujumbe huu tusichoke kuiombea nchi yetuTz

  • @cristinekenya1050
    @cristinekenya1050 ปีที่แล้ว +5

    Barikiwa sana pastor Kwa kutuelimisha na Neno la Mungu, ukweli tumefika nyakati z mwisho kwanza hapa Kwa mitandao tunaonyeshwa wazi mambo kama haya ya njinsia Moja lakini katika Jina la Yesu tutashinda , amen

  • @dimanchebalole4106
    @dimanchebalole4106 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe saana, mchungaji. Mambo ambayo unazungumuza ni kweli kabisa, sisi ambawo tunaishi katika inchi za kigeni tuna omba maombi kwa ajili ya watoto wetu ao generation ijayo kama vile mchungaji unazungumuza🙏

  • @BirushaAdam.magoma-oi6hw
    @BirushaAdam.magoma-oi6hw ปีที่แล้ว

    Amina BWANA akubariki Pastor, kwakweli dunia inaenda kuchomwa moto hivi karibuni

  • @rogathpaul7682
    @rogathpaul7682 ปีที่แล้ว +6

    Ahsante yesu kristo kwa kumwezesha mtumishi wako kutoa somo hili ili watu waamke katika usingizi .amen

  • @jdm1459
    @jdm1459 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Sana mchungaji kutukumbusha maneo na maagizo ya Mungu kwa kizazi hiki Mungu wa mbinguni atusamehe na awaokoe watu hao kutoka katika vifungo hivyo vya ibilisi

  • @مليحهالرشيدي-ز3ث
    @مليحهالرشيدي-ز3ث ปีที่แล้ว +20

    God bless u pastor you uplift my spirit and am blessed whenever isee ua teachings may you live long to save many😭😭 in Jesus name 🙏🙏

  • @vincentchotta-pd1zw
    @vincentchotta-pd1zw ปีที่แล้ว +1

    Amina Mchungaji kweli Mungu atupiganie sisi na watoto wetu, Taifa kwa ujumla na kila atakaye kupona katika hili Mungu awaponye.

  • @namboy_69
    @namboy_69 ปีที่แล้ว +5

    Be blessed 🙌 Pastor Mbaga may GOD keep using your brain to save our nowdays generation 🙏 🥲

  • @yohanamalimi6143
    @yohanamalimi6143 ปีที่แล้ว +3

    Amina nabarikiwa sana na somo hili kwel tuvaeni silaha za mungu ili tupate kumpinga mwovu

  • @julietnelima3253
    @julietnelima3253 ปีที่แล้ว +1

    Thank you pastor for powerful teaching God bless you 🙏

  • @graceesiabia5379
    @graceesiabia5379 ปีที่แล้ว +4

    I so agree so much about every detail in this episode. God bless you mchungaji. Let's make noise about this and save our generations

  • @gervasjerry1694
    @gervasjerry1694 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana 🙏mchungaji Mungu atutie nguvu wasikizaji kwa mabadiliko ya moyoni

  • @hassanhussein6161
    @hassanhussein6161 ปีที่แล้ว +6

    amen mchungaji napenda sana mafundisho yako nabarikiwa sana mungu akupe siku nyingi ili uweze kufundisha watu kuacha giza na kuelekea nuru

  • @gracejapheth3476
    @gracejapheth3476 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa mafundisho mazuri mchungaji ubarikiwe.

  • @amirigogolo6004
    @amirigogolo6004 ปีที่แล้ว +2

    Yesu pekeee abaki kuwa chaguo letu na yeye pekee atusaidie amen 🙏.... Get blessed our pastor and let's be protected by God himself

  • @omobeaggy5786
    @omobeaggy5786 ปีที่แล้ว +1

    Asante Kwa hii sono pastor David.. Kenya has agreed with this evil act . Let us pray for Kenya

  • @matesomalanda9113
    @matesomalanda9113 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Mchungaji wetu,neno hili ni funzo nzuri hasa kwetu walio katika zinazo sapoti matendo hayo na udhidi kutuombea.

  • @milkerjuma6525
    @milkerjuma6525 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mchungaj na MUNGU azid kukutia nguvu kuzidi kuelimisha juu ya atar ya siku za mwisho

  • @lidiaawino4740
    @lidiaawino4740 ปีที่แล้ว +1

    Bwana akubariki Pastor, hata mimi nitapiga kelele bila yoga, Bwana afungue taifa zetu Amen 🙏🙏

  • @samwelyusufu4567
    @samwelyusufu4567 ปีที่แล้ว

    I THANK LORD JESUS KWA SOMO ZURI umelifundisha ktk utulivu kiroho saaaana NA LIMETUFUNGUA UFAHAMU WENGI.Mungu akutie Nguvu Zaidi

  • @upendotv2776
    @upendotv2776 ปีที่แล้ว +1

    Amina PR Mungu kubariki na azidi kukupa nguvu na mafunuo ulimwngu ujue ukwli uko wapi kwa kwli nimebrkiwa na mimepta mafunzo

  • @bahatielisafi4389
    @bahatielisafi4389 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana pia azidi kukutumia kwaajili ya kuwaleta wengi karibu na Kristo.somo la leo limenibariki sana Mungu akuinue

  • @JuliusOkeyo-gf8ok
    @JuliusOkeyo-gf8ok 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu na akubariki Dana pestor na akulinde katika wakati juu mgumu

  • @mariakingu1221
    @mariakingu1221 ปีที่แล้ว +2

    We mtumishi wew ni mbarikiwa Sana najifunza mengi Sana kupitia wew ubarikiwe Sana 😘🥰🙏🙏🙏

  • @scholasticasamwelmhando2237
    @scholasticasamwelmhando2237 ปีที่แล้ว +2

    May God have mercy on us, I just wonder where will I hide my kids from this weaked world. Stay blessed pastor

  • @adarashidi8178
    @adarashidi8178 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki sana Mr David m'mbaga somo hii ni nzuri sana Mungu azi🙏 di 🔥 kukutumia 🙌 mubibali 🙏 bya 🔥 juu 🙌 zaidi 🙏 ili 🔥 injili 🙌 isonge 🙏 mbele 🔥 barikiwa 🙌 sana 🙏🔥🙌

  • @jimmymarwamatjr491
    @jimmymarwamatjr491 ปีที่แล้ว +1

    Amen... Mungu atusaidie sana. Mungu saidia wenye changamoto hizi.. Mungu lipiganie kanisa na Taifa na dunia kwa ujumla.

  • @verityngoda268
    @verityngoda268 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu Anusuru Watoto Na Wajukuu Zetu

  • @stevenaleston
    @stevenaleston ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana mtumishi nikwel kabisa ushoga utasababisha laana ktk nchi yetu viongoz waserikal msisain mikataba hiyo nihatar Sana Mungu atatumaliza.

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es ปีที่แล้ว

    Amen tuyakatate maovu haya ya ushoga Tuombe roho hii ya shetani iteketee kabisa Kwa Jina la Yesu

  • @godlivermkono2231
    @godlivermkono2231 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe kwa kusema ukweli Mungu akubariki pastor

  • @raheljose9524
    @raheljose9524 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Pastor kwa somo zuri sana, Mungu aendelee kukubariki sana.

  • @gilbertkivawiraofficiel8749
    @gilbertkivawiraofficiel8749 ปีที่แล้ว +1

    Tunanyenyekea chini ya miguu ya Yesu na kutoa shukran kwa huduma ya mahubiri TV, na mbegu zinazo pandwa kupitia wewe...bwana atukutanishe Goma Drc mwezi wa saba anzia tarehe 06 hadi 21/2023.

  • @jennysabina8696
    @jennysabina8696 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidiye pia Mungu akutiye nguvu mtumishi kwa kazi unayo ifanya kwa kutusaidiya sisi vijana Mungu akubariki kabisa

  • @woltahaule2726
    @woltahaule2726 ปีที่แล้ว +2

    Namshukuru mungu kwa kufanya nikufahamu mchungaji mbaga mungu wa mbinguni akubariki na akupe maisha marefu

  • @estherabayo6797
    @estherabayo6797 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akufiche chini ya mbawa zake na kukulinda ili uendelee kufunua mengi yatakayoleta kupona kwa wengi. Endelea kupiga mbiu kama alivyofanya Nuhu maana hatari iko mbele yetu, mwenye masikio na asikie.

  • @julianacellestine801
    @julianacellestine801 ปีที่แล้ว

    Asante mchungaji Mungu akubariki sanaaa

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 ปีที่แล้ว +2

    Tuombee viongozi wetu wawe na msimamo hali sasa mbaya Sana vijana hawaelewi kwa kukosa madili viongozi wa Africa msimamo

  • @raelmasea2941
    @raelmasea2941 ปีที่แล้ว

    Thank you for your powerful teachings and telling truth juu hii Dunia ina mambo mingi na shetani ameiteka hii Dunia.

  • @sautiyatumainitv9828
    @sautiyatumainitv9828 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusaidie sababu najua shetani hapendi watu kusikia ujumbe huu,,lakini ni nakuombea saana mchungaji Mungu akufiche katika mbawa zake,,niombee pia natamani kutangaza Injili niwapo chuoni

  • @annastaziamasala9694
    @annastaziamasala9694 ปีที่แล้ว +1

    Amina pastor Mungu akubariki akulinde akupe afya

  • @emmanuelruben-jv2yv
    @emmanuelruben-jv2yv ปีที่แล้ว

    Nashukuru kwa uwepo wako ufahari wa mafundisho yako mungu akuwezeshe zaidi

  • @ChristineMtenga-cs9ul
    @ChristineMtenga-cs9ul ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Pr kwa ujumbe huu nzito.

  • @mirengekahamwiti1260
    @mirengekahamwiti1260 ปีที่แล้ว +1

    Aksante sana mchungaji MMBAGA, Mungu akubariki

  • @lucknesschiragwile954
    @lucknesschiragwile954 ปีที่แล้ว +31

    asante MUNGU kwa kumpa mtumishi wako macho na masikio ya kiroho kuliona na kulisikia hili na kuliwasilisha kwa wana na binti zako kwa muda na wakati sasa. barikiwa mtumishi wa baba ninakuombea kila siku

  • @WilliamJoseph-n2i
    @WilliamJoseph-n2i ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana pst,ni wakati wa kuchangamka kujiandaa kwa umilele.

  • @elizabethkimwemwe7847
    @elizabethkimwemwe7847 ปีที่แล้ว +3

    Pastor ubarikiwe kwa somo hili kwa kweli dunia imeenda mbali na Mungu heri wanaokemea na kulia na kuomboleza kwa ajili ya machukizo haya Mungu atupiganie mioyo ya watu ipone katika machukizo haya.

  • @joycemugaka3039
    @joycemugaka3039 ปีที่แล้ว +2

    Sante Sana pastor umekua msaada mkubwa kwangu nilanza kukufuatilia 2019 maisha yangu kiroho yamepatirika na Hadi Leo hii kila nikingia UTBlasima nipate somompya inanijena kiroho ,nakufuatilia kutoka Qatar mm ni mkenya barikiwa sana

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 ปีที่แล้ว +1

    Tusaidie baba tunaogopa watoto wetu watapataje kupona mungu akubariki sana somo nzuri

  • @onesmoelias2285
    @onesmoelias2285 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nimwema siku zote yesu yko njian anakja kwa matkio haya pasta ubalikiwe kutupa nondo tunakskilza hapa na wateja kwangu dukan to bwana akufunike kwa damu yayesu

  • @ngolorose
    @ngolorose ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana pastor kwa kazi yangu ya ku Zambeza neno la Mungu , ila ninge kuomba uwe una fanya mengine ma funzo kwa Luga ya kingereza kwa ajili ya sisi tuolio inje ya bara Africa ili tuwe tuna share na watoto Wetu , awa jue Kiswahili kwa kua Dunia ina tisha sana leo

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว

    Mungu Atakubariki kwa hilo mtumishi wa mungu Ameen 🤲🇹🇿🇬🇷

  • @BethWanja-oo4rt
    @BethWanja-oo4rt ปีที่แล้ว

    Pastor niombe nifunguliwe maisha yangu nimefungwa maisha hayaendi for about 10years please help with prayers am dorcas from maai-mahiu SDA church kenya

  • @daudinyaruhucha6200
    @daudinyaruhucha6200 ปีที่แล้ว

    Barikiwa kwa kujitosa na kusema ukweli na ukweli wote Mungu akitumia kuonyesha kile anachokisema katika biblia

  • @sebastianharun800
    @sebastianharun800 ปีที่แล้ว +1

    Pastor mm nakuunga mkono Bwana akubariki mm nakuombea

  • @rhodakisena6428
    @rhodakisena6428 ปีที่แล้ว +2

    Ahimidiwe Mungu wa mbinguni aliyekutenga kwa ajili ya saa hii. Mimi binafsi nakufatilia sana umenisaidia sana kiroho , nakili nimefanya maamuzi makubwa ya kubadili mwelekeo wangu kiimani . Mungu akutunze .

  • @bonfaslazaro2289
    @bonfaslazaro2289 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sana pr. Endelea kunena kwa kipawa ulichopewa

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 ปีที่แล้ว +1

    Mtumish nakupata hongera naingia maombi mungu ataturehem

  • @ongechia
    @ongechia ปีที่แล้ว +1

    For sure paster umenitoa mbali kiroho may God bless you

  • @emmanuelruben-jv2yv
    @emmanuelruben-jv2yv ปีที่แล้ว

    Mungu Azidi kukuteua usiondoke haraka mpaka watu tuliopotea bila kujua tuzaliwe upya mungu akubariki sanaaaa

  • @lydiamapenzi2152
    @lydiamapenzi2152 ปีที่แล้ว +1

    Amen pr tunabrikiwa sana kwa somo zuri Mungu akupe Afya njema

  • @Barick2
    @Barick2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana pastor

  • @maotolalumbe2411
    @maotolalumbe2411 ปีที่แล้ว

    Asante mchungaji tumekuelewa vi,uri,asante kuelim8sha kanisa na jamii mwenye sikio amekuelewaaaaaa

  • @AnnethNgalla-tn3zp
    @AnnethNgalla-tn3zp ปีที่แล้ว

    Asante Sana mtumishi kwa somo hilli

  • @dottonsangalufu9530
    @dottonsangalufu9530 ปีที่แล้ว +1

    Asante mchungaji Mungu atusaidie sana😢

  • @purity134
    @purity134 ปีที่แล้ว

    Blessed pastor Mmbaga

  • @mariahaloyce5190
    @mariahaloyce5190 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Yesu tusaidie

  • @penwelinatimothy9057
    @penwelinatimothy9057 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mchungaji kwa neno.
    Tunaweza kukupataje? Upo UK mji gani?

  • @mizingayaudongo1097
    @mizingayaudongo1097 ปีที่แล้ว

    Excellent !!

  • @glaisfupa9760
    @glaisfupa9760 ปีที่แล้ว

    Umeongea kweli baba Mungu tusaidie Mungu turehemu baba Mungu akutie nguvu

  • @macklinakabyazi3036
    @macklinakabyazi3036 ปีที่แล้ว +1

    Hakika bila msaada wa Mungu ni ngumu, Mungu atusaidie na vizazi vyetu

  • @MichaelUrio-dr9nv
    @MichaelUrio-dr9nv ปีที่แล้ว +1

    Mimi nasali TAG Niko tunduma mungu akubariki kwa elim zuri. bwana aendelee kukumia kwajili ya hiki kizazi

  • @khaldn7409
    @khaldn7409 ปีที่แล้ว +1

    Asante mchungaji kwa somo . We have reached the day of dark ages let's keep praying at this situation our God will not leave us or forsake us.

  • @georgewinford2809
    @georgewinford2809 ปีที่แล้ว

    Kama kuna nyakati tunaungana kama taifa kumuomba Mungu basi katika hili tunamuhitaji sana Mungu alie hai. Hali ni mbaya

  • @MercellineKadenge-un5iv
    @MercellineKadenge-un5iv ปีที่แล้ว

    Mungu akupe nguvu na uwezo uzidii kutoa vizazi vijavyo ,kwa maana mungu anasababu ya wanadumu kuokolewa nakuomba mchangaji hali ulipo utukumbuke sisi tulio ichii za warabuni.

  • @V3Aministry40
    @V3Aministry40 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana shujaa ! Kwa kutoka mbele kama yohana kupaza sauti ya maonyo

  • @amankasangaa4616
    @amankasangaa4616 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Baba akulinde na kukuhifadhi Amina

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kwa neno hili zuri kwa wakati muafaka.

  • @lukresiajohn2177
    @lukresiajohn2177 ปีที่แล้ว +2

    Mungu aliyeziumba mbingu na nchi akubariki kwa mafundisho hayo manzuri ya kuteelimisha ktk nyakati hizi za mwisho

  • @kitulohenry2393
    @kitulohenry2393 ปีที่แล้ว +2

    Here waiting for it...

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 ปีที่แล้ว +1

    Yaani hapa duniani Kuna unafiq mwingi sana watu wanahubilia lakini hatakikusema ukweli kwamba zipo dini sitaki kutaja majina lakini kwenyumba za ibada wanafingisha doa zajinsia Moja lakini dini hizo hawataji bayana nakuzianika waziwazi na kunadini nyingine wafuasi wao wanafanya huo ufuska lakini hawafungishi ndoa wala kueatukuza bali Wanakemea huo ufuska mungu tuepushe Sisi pamoja navizazi vyetu😢😢😢😢😢😢waumini wa dini hizo wanajijua 😢😢😢munguatungoze msijaji vibaya sijaitaja dini ya mtu tafadhari nimaoniyangu TU!!!????

  • @verityngoda268
    @verityngoda268 ปีที่แล้ว

    Mii Nasema Mwenyezi Mungu Awe Ngao ya Watoto Wetu Na Wajukuu Zetu Wasipatikane Na Lana Hiyo Na Shetani Ashindwe

  • @EddaKiputa-cz7gf
    @EddaKiputa-cz7gf ปีที่แล้ว

    Amina, barikiwa mtumishi.

  • @adorymongish2972
    @adorymongish2972 ปีที่แล้ว +2

    Kweli mtumishi hivi jusi mmoja amejitokeza ni msogaji na ni mnenaji, alikua anahojiwa, kweli shetani yu upinzani kuwanaza watu wake, tuinuke tuombee nchi zetu zote

  • @richardcastromzena5136
    @richardcastromzena5136 ปีที่แล้ว +5

    God bless you pastor

  • @joycemugaka3039
    @joycemugaka3039 ปีที่แล้ว +3

    Ukweli kuna vitu nilikua napenda kuangalial lakini wakati nilisikilisha somo lako mara ya Kwanza niliana nayo nikaamua kujiunga na Maubiri chanel ukweli nimejifunza kumutegemea mungu tu hata nipitie nn sitoki kwa mungu maana ni mahali Salama pia nimejifunza kuvaa silaha za Vita ndaniya bibilia mungu ataendelea kua mungu hakua mwingine zaidi yake

  • @theresiariwa4691
    @theresiariwa4691 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukuinua na kukutumia kwa ukuu na utukufu wake ili roho za wengi zipone mtumishi wa Mungu.

  • @paradisomwagala-jh3ki
    @paradisomwagala-jh3ki ปีที่แล้ว +2

    Mungu ninusuru na mabaya🙏🙏🙏

  • @robertrobert563
    @robertrobert563 ปีที่แล้ว +1

    Wafalme wakubwa wa Dunia wametiwa Giza, hivyo hata wanadam wengi wamepotea kwa kufuata Yale wafalme wao wayafurahiyao.bwana yesu Yu karibu kurudi.

  • @davidjohn4239
    @davidjohn4239 ปีที่แล้ว +2

    Pastor tafadhali jaribu kuongeza sauti🙏🙏

  • @bitiajackson8322
    @bitiajackson8322 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana na MUNGU akupe maisha marefu AMEN

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 ปีที่แล้ว +2

    Ila sehemu kubwa wanaopenda kufira ni waarabu na Waitaliano.

  • @winnyleonardkapere661
    @winnyleonardkapere661 ปีที่แล้ว

    Thans a lot pastor Mbagga.
    God bless you.😭😭