JE WATAKA KUMUONA BWANA - PR. DAVID MMBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @NathanaelMsavi
    @NathanaelMsavi ปีที่แล้ว +4

    Amina sanaa
    Mungu atusaidie sana tuweze kukutana naye ili tupate kubadilishwa

  • @JanvierkalumbaJupson
    @JanvierkalumbaJupson 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu unisamehe ,nime shindwa ila niwezeshe, nime guswa na neno lako ulie tuma kutoka kwenye pasta mbanga.

  • @eustina0
    @eustina0 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wa mbinguni azidi kukutia nguvu Aminaa

  • @gerryndyamukama9058
    @gerryndyamukama9058 ปีที่แล้ว +3

    Nabarikiwa sana na mahubiri ya Huyu Mchungaji.
    Nimesikiliza habari ya Lucifer kwamba alikuwa mmoja wa Makerubi kwa maana ya kwamba alikua karibu sana na Mungu.Swali ambalo waga najiukiza sana na sipati jibu ni kwamba hivi ilikuaje lucifer akapata akili ya kuleta mapinduzi Mbinguni?!! Je hakujua Mungu ana nguvu kiasi gani!! wakati tulitegemea kwamba yeye aliye karibu sana na Mungu ndio angemuogopa zaidi manake anamjua vizuri na angejua kwamba hana uwezo wa kumshinda.Yani kitendo cha kujaribu kuasi ina maana aliona kuna possibility ya kumshinda?!! 🤔
    Tukumbuke alipigana vita kabisa,je ina maana alitegemea kwamba angeshinda?!!! Yani alikua ana matumaini!?
    Hili swala bado ni fumbo sana kwangu.yani SIELEWI KABISA HII SCENARIO

    • @shemi3270
      @shemi3270 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi pia hua najiuliza sana, yani anashindanaje na aliemuumba? Hivi alikua anawaza nini?

  • @jailomhengilolo2898
    @jailomhengilolo2898 ปีที่แล้ว +8

    Amina barikiwa mtumishi wa mfalme kwa ujumbe huu, Bwana azidi kukutumia ahsante.

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @MwanaUfalme
      @MwanaUfalme 4 หลายเดือนก่อน +1

      Barikiwa sana hakika utukufu ni kwa Mungu

    • @SigwaLusaja
      @SigwaLusaja 3 หลายเดือนก่อน +1

      Barikiwa sana mtumishi, hakika namuona baba kupitia wewe

  • @MwanaUfalme
    @MwanaUfalme 4 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen barikiwa sana
    Na utukufu ni kwa Mungu alie Hai

  • @ChemyPhili
    @ChemyPhili หลายเดือนก่อน

    Asante YESU kutupa mtumishi huyu,sifa na utukufu zikuludie wewe ulie ziumba Mbingu na inchi, mch mbaga Asante kwa utumishi wako,nabarikiwa sana.

  • @rosenyamstheroses8845
    @rosenyamstheroses8845 ปีที่แล้ว +1

    ASANTE mtumishi natamani sana
    Nashukuru mungu na wewe pia mtumishi wa mungu.
    Kwa ombi moja niliomba kwako kwa ajili ya mtoto wa rafiki yangu aliyelazwa hospital ya Eldoret akiugua kutokana na cancer, sasa hivi twashukuru amepata matibabu na amekubaliwa kutoka hospital awe akihudhuria clinic once per month.

  • @joyceokuli2727
    @joyceokuli2727 ปีที่แล้ว +12

    Mimi nasali ludheran lakini nabarikiwa sana na maubiri yako mtumishi barikiwa sana baba

  • @johnstephano6486
    @johnstephano6486 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb ปีที่แล้ว +2

    Amen pastor mungu wa mbinguni akubariki na pia akuzidishee hakima

  • @JoyceRamadhan-cl2us
    @JoyceRamadhan-cl2us 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana nabarikiwa nikiwa Oman mungu Akubariki Sana siku moja nionane nawe mtumishi

  • @christinendayiragije5689
    @christinendayiragije5689 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen ❤❤❤.

  • @BeatriceMathew-qy5lw
    @BeatriceMathew-qy5lw หลายเดือนก่อน

    Amina sanaa mtumishi wa mungu

  • @evanskaranja9578
    @evanskaranja9578 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @slamafamily5720
    @slamafamily5720 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen barikiwa sana pastor

  • @uwezom7914
    @uwezom7914 ปีที่แล้ว +1

    Amen Asante San kwa neno la Leo

  • @josephkamau435
    @josephkamau435 ปีที่แล้ว +4

    Niombee natamani kuwa mnenaji wa neno la MUNGU

  • @sarahemukule
    @sarahemukule ปีที่แล้ว +3

    Amen,nazidi kubarikiwa na neno la bwana nikuwa Saudi Arabia, MUNGU akubariki pastor,ninajihisi miguuni pa YESU

  • @dottogatuntu
    @dottogatuntu ปีที่แล้ว

    ❤❤❤ ahsante sana pastor

  • @rachelsanga7472
    @rachelsanga7472 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana na mahubiri hayo Ninawaombea wapakwa mafuta wote mimi ni Rachel Mbeya

  • @margaretwanjiru9096
    @margaretwanjiru9096 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Abariki somo lake na Akubariki sana Pastor Mbaga na atubariki pia 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @AndjelaniIlombe
    @AndjelaniIlombe ปีที่แล้ว

    Amina ,maombiri imeniokowa kabisa Asante sana

  • @YohanaJames-e2j
    @YohanaJames-e2j ปีที่แล้ว

    Kiukweli mahubiri yako yamebadilisha siku hata siku Mungu pekee akulipe zaidi

  • @christinamafuru4784
    @christinamafuru4784 3 หลายเดือนก่อน

    Jina la bwqna litukunzwe hakika nimeuoma ukuu wa Mungu , Mme wangu alienda hospital alipimwa mara ya kwanza ikabidi kansa mara ya kwanza, arkaudiwe tena wakati akiwa hospital nilikuwa na hofu nikasikiliza mahubiri yako yalipoisha nikapiga magori na kumuomna Mungu amtangulie kwenye vipimo vyake, hakika nimeuoma mkono wa Bwana, .majibu yametoka vizuri , jina la Bwana lipewe sifa, hakika atabaki kiwa MunguMchunhaji Mungu akupe afya njema, na fanilia uako mafundisho na mahubiri nimekuwa nikiyasikiliza, mara zote yamenipa faraja sana, kwangu, jina la Bwana litukunzwenaitwa Christina

  • @andrepiusleo6393
    @andrepiusleo6393 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu, naishi Mozambique nafuatilia sana mahubiri yako na nabarikiwa sana

  • @zirhumanafiston116
    @zirhumanafiston116 ปีที่แล้ว

    Amina 🇨🇩
    Mungu akubariki sana

  • @JumaKasekwa
    @JumaKasekwa ปีที่แล้ว +1

    Mungu ashukuriwe kwa ujumbe mzuri na azidi kutufundisha vile inavyotakiwa kuwa

  • @AgostinoSampala-dr5ml
    @AgostinoSampala-dr5ml ปีที่แล้ว +2

    NABARIRIKIWA NIKIWA NCHI YA ISRAEL MUNGU AKUBARIKI SANA PASTOR
    nimependa sana kuhusu unyenyekevu na ujasiri

  • @carolinemwugusi8945
    @carolinemwugusi8945 ปีที่แล้ว +1

    Amen mahubiri mazuri barikiwa Pastor

  • @MaombiJofre-k8m
    @MaombiJofre-k8m ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana David Mmbaga

  • @jamesrugeji
    @jamesrugeji ปีที่แล้ว +1

    Amen , Bwana akubariki Sana pastor....

  • @RabanKatula
    @RabanKatula ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa nikiwa Lubumbashi

  • @rosejoseph7982
    @rosejoseph7982 ปีที่แล้ว

    Zidi kujazwa na roho pastor

  • @DanielSamson-h4v
    @DanielSamson-h4v หลายเดือนก่อน

    Jina la BWANA libarikiwe.

  • @TuliaIpopo
    @TuliaIpopo ปีที่แล้ว

    Ahsante sana baba nabarikiwa sana na mahubiri yako nafarijika najikuta mkubwa❤❤

  • @BarnabasJonas-nv4ig
    @BarnabasJonas-nv4ig ปีที่แล้ว +1

    AMINA

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 ปีที่แล้ว +1

    Past unasema ukweli kabisa kuazia leo nimejifuza kitu

  • @raheljose9524
    @raheljose9524 ปีที่แล้ว +1

    Asante Pastor Kwa somo zuri barikiwa sana🙏

  • @queensusany8078
    @queensusany8078 ปีที่แล้ว +1

    Naomba muongozo natoaje sadaka?

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 ปีที่แล้ว

    NMungu akubariki

  • @katotodrivingschool4603
    @katotodrivingschool4603 11 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 ปีที่แล้ว

    Ungu akulinde na familia Yako mbarikiwe sana

  • @biwagamoreen
    @biwagamoreen ปีที่แล้ว

    Praise God man of GOD thank you for the word of lord am moreen from Ugandan but now am in Saudi Arabia a have bad dreams and my legs pain pray for me and my family GOD bless you thank you 🙏🙏

  • @leilahl7024
    @leilahl7024 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @dubajohn2591
    @dubajohn2591 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki pastor

  • @josephkamau435
    @josephkamau435 ปีที่แล้ว +1

    Wapi namba ya kutuma sadaka

  • @biwagamoreen
    @biwagamoreen ปีที่แล้ว

    A like your voice and your video

  • @rehemaihonde7258
    @rehemaihonde7258 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @SuzanRobert-d7o
    @SuzanRobert-d7o ปีที่แล้ว

    bwana akubariki paster

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 ปีที่แล้ว

    Amen!❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @donomondi3409
    @donomondi3409 ปีที่แล้ว +1

    Is this live

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeen Ameeeen hapo umesema vijana tuwapishi kupita maelezo Mungu nihurumie mtuwa mimi

  • @255og
    @255og ปีที่แล้ว +2

    🙏❤🙏

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 ปีที่แล้ว +1

    Mafundiso matamu sana

  • @IrineoyaruOyaru
    @IrineoyaruOyaru 8 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @zirhumanafiston116
    @zirhumanafiston116 ปีที่แล้ว

    Amina 🇨🇩
    Mungu akubariki sana

  • @toshalulinda1493
    @toshalulinda1493 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @zirhumanafiston116
    @zirhumanafiston116 ปีที่แล้ว

    Amina 🇨🇩
    Mungu akubariki sana