BAADHI YA SABABU KWANINI WACHAWI WAKUSHAMBULIE!!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2020

ความคิดเห็น • 354

  • @ReachelNjuguna-zv1zk
    @ReachelNjuguna-zv1zk ปีที่แล้ว +5

    Hey pastor,I have been following your teachings from Kenya ....a few hours ago Kuna mtu ameanua nguo zangu za ndani mahali mamangu alihamia juzi.....naamini mungu na najua ya kwamba nguvu zote za Giza ambazo zinaenda kuniharibu kuitumia nguo zangu za ndani zimeshindwa katika jina la yesu kristo🙏

  • @adeladaudi8780
    @adeladaudi8780 4 ปีที่แล้ว +24

    Walinichanja sana kabla sjampokea Bwana Yesu, alafu ndio wa kwanza kukutukana ooh mshirikina wewe, kila kukicha chale mbichi, Mungu anawaona! Barikiwa sana mchungaji, sasa hivi Niko ndani ya Yesu wameshakipata cha moto!

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 2 ปีที่แล้ว +3

    Hili somo limeokoa Familia yangu sana, tangu mwaka Jana nmekua nikiomba juu wazazi wangu wapokee Yesu naona Mungu akitenda maana nmekuwa nikisikia eti mzee wa kuzaa baba Kuna kitu alifanya akarogwa ndio maana mambo hayaendi. Lakini mwaka huu nimeona mkono wa Bwana baba amekubali kwenda kanisani naamini Mungu atamsaidia asirudi nyuma. Pia naamini kaka zangu Yesu atawagusa wajitolee kwa Yesu, shetani hana nafasi ya kujitukuza ktk familia yangu. Asante Sana.

  • @pendomtemi9439
    @pendomtemi9439 3 ปีที่แล้ว +7

    Atukuzwe Mungu ufumbuzi wa changamoto yangu umepatikana kupitia somo hili.Barikiwa Mchungaji.

  • @solomonmakori7798
    @solomonmakori7798 3 ปีที่แล้ว +5

    Pr mbaga I love ur teaching from Nairobi Kenya really blessed as u continue praying for us

  • @annegoldsmith8195
    @annegoldsmith8195 2 ปีที่แล้ว +10

    Sijasikia muhubiri ambaye anafundisha kama huyu mchungaji David Mmbaga hizi siku za mwisho. I wish we have a few like you . Unafundisha ukweli wa bibilia. Mungu akubariki na akuongeze neema yake kuendeleza ijili.

    • @upendoramadhan9222
      @upendoramadhan9222 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu amuongeze nguvu amuweke

    • @marcelineshanga9811
      @marcelineshanga9811 8 หลายเดือนก่อน

      Mushungaji tupenaba zako litukuwe nakupatakirahisi mungu akubariki saaaaaaaana

    • @marcelineshanga9811
      @marcelineshanga9811 8 หลายเดือนก่อน

      Tumekulanakunyanakula varohani.namwilini

    • @magrethsayi
      @magrethsayi 7 หลายเดือนก่อน

      Nahitaji no za pastor nisaidien

    • @mahindiumakinisa4732
      @mahindiumakinisa4732 6 หลายเดือนก่อน

      Ninabarikiwa sana na nelo la mungu unalotufundisha

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 3 ปีที่แล้ว +3

    Tukubali kumpa Yesu maisha yetu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yetu hakuna mchawi wala pepo litakalo tusogelea kabisa. Lakini tukiwa vuguvugu kwa Yesu kidogo duniani kidogo shetani atatuchezea kama uwanja wa mpira. Tukubali kubadilika.
    Pastor Mbaga barikiwa kwa somo zuri lenye maarifa

  • @givengaby6067
    @givengaby6067 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu anajua walio wake, Mungu in mwema, jina la Yesu Na damu ya Yesu nizaidi ya mamlaka zote hapa duniani, madhabahu ndiyo Shida Kubwa watu hatuna elimu Kubwa kuhusu maagano ya mabibi Na mababu zetu, YESU TUSAIDIE AMEN

  • @selinasulle2606
    @selinasulle2606 3 ปีที่แล้ว +2

    Pastor naomba ubarikiwe sana na Mungu kwani nimepata nguvu ya kuendelea mbele kwa mafundisho yako Mungu akutunze kumhubiri siku zote za maisha yako amen

  • @elishangomele9937
    @elishangomele9937 3 ปีที่แล้ว +3

    😍😍 pastor mungu azidi kukufungulia njia mda ote

  • @beatricemageka7972
    @beatricemageka7972 3 ปีที่แล้ว +7

    Tuondoe woga tumpe Mungu nafasi nafsini mwetu milele ,Amina

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 ปีที่แล้ว +7

    POWERFUL MAN OF GOD YOU HAVE INSPIRED ME ALOT IN YOUR SERMONS.

  • @nansyas264
    @nansyas264 3 ปีที่แล้ว +3

    Waaa pst God bless you soo much umeguzia mambo mengi ambayo Leo hii tu naishi katika Hali hiyo tu kubali mungu ndio muweza kila kitu

  • @tabithayohana8573
    @tabithayohana8573 3 ปีที่แล้ว +4

    Amina dah nimejifunza kitu hapa,nadhani wengi wamejifunza

  • @heldaoigo7659
    @heldaoigo7659 10 หลายเดือนก่อน +1

    Powerful sermons
    May the Almighty God continue blessing you for us

  • @user-kf9pu3cl9g
    @user-kf9pu3cl9g 9 วันที่ผ่านมา

    Bwana akubariki kwa mahubiri yanayotugysa karne hii. Mungu atusaidie saana.

  • @etoabwe3451
    @etoabwe3451 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mchungaji kwa mafundisho imenijenga sana na kuniongezea Imani

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 4 ปีที่แล้ว +7

    Ameen ushindi ni hakika tukiwa ndani ya yesu

  • @helenmagoti5031
    @helenmagoti5031 4 ปีที่แล้ว +11

    Ukiwa ndani ya Yesu Ni raha;

  • @equilinendikubwayo5645
    @equilinendikubwayo5645 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen barikiwe mtumishi wa mungu na barikiwe Sana pasteur David

  • @devothamichael9396
    @devothamichael9396 2 ปีที่แล้ว +1

    Neema ya Mungu iwe pamoja nasi, Mungu akupe maisha marefu, mafundisho yako yazidi kuwa baraka kwetu maana kila nisikiapo mafundisho na najifunza mambo mengi na nazidi kuona upendo wa Mungu maishani mwangu

  • @user-nt7jc1ns3k
    @user-nt7jc1ns3k 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen nimebarikiwa na neno la mungu

  • @everlynenyonga2130
    @everlynenyonga2130 3 ปีที่แล้ว +4

    Everytime I listen to your sermons I get l uplifted,be blessed Pastor.

  • @ramadhanurasa6198
    @ramadhanurasa6198 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki pastor kwa sms nzuri, naamini watu wengi haswa vijana watona umuhimu wa k7zikabidhi nafsi zao kwa Bwana Yesu Kriato. Be blessed pastor

  • @juliusmantago4511
    @juliusmantago4511 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa Bwana Mungu akujalie maisha marefu

  • @mossesjoseph2202
    @mossesjoseph2202 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwa YESU kuna raha, hakuna masharti ya ajabu ajabu,Siku zote utaishi ukiwa huru, mwenye amani na furaha, jina la BWANA libarikiwe.

  • @anordamtv8984
    @anordamtv8984 3 ปีที่แล้ว +3

    God bless you pastor for your great job

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa sana Usemacho maana nimekutana nayo; ni raha kuwa wa YESU!

  • @selinasulle2606
    @selinasulle2606 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu tuongezee imani na utpe amani yako na ikae ndani yetu amen

  • @SimisiKambale
    @SimisiKambale 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mchungaji,nitapita vitabu namna gani mimi niko hapa congo kwenye mpaka ya uganda na congo.

  • @stigmanonsare3672
    @stigmanonsare3672 3 ปีที่แล้ว +2

    I'm Stigman Onsare from Kenya be blessed pastor kwa Mahubiri.

  • @princembarato401
    @princembarato401 3 ปีที่แล้ว +5

    This video has 7 months lakini
    Ndio marayangu ya kwanza kuzifuata,nimebarikiwa sana tena nimekomalia kanisani ila sijawahia kuhubiriwa maneno kama haya nitayafuata yamenijenga sana from USA

    • @kangwambassa6690
      @kangwambassa6690 3 ปีที่แล้ว

      Mm pia KWA Yesu kuna raha

    • @uangazetv
      @uangazetv 2 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sana neema ya Bwana izidi kuwa nawe siku zote za maisha yako

  • @samogoti
    @samogoti 10 หลายเดือนก่อน

    Wonderful & encouraging sermons.. Pr Mmbaga God bless you

  • @PaulineWanjiku-re2hy
    @PaulineWanjiku-re2hy 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekua nikionyeshwa makubwa na mungu lakini sijapata nafasi ya kieshima ya kutoa huu ushuunda mkuu na vision mungu akubariki kwa kuhubiri ukweli ulioko

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 3 ปีที่แล้ว +4

    This is amazing grace from God for His people

  • @paschalmashili5195
    @paschalmashili5195 3 ปีที่แล้ว +2

    Niombee pr mm Paschal Paul Mashili nilikuwa mkristo mpenda mungu leo hii nimetokomea mch

  • @anthonysnsabi
    @anthonysnsabi ปีที่แล้ว

    Nakushukuru sana Pastor kwa mafundisho Mungu akubark zaid na zaid.
    Yote uliyoyafundisha hapa yamekua yakinikuta tangu nimeamua kuokoka, ushindi naupata kwa jina la Yesu. Nashukuru neema ya Mungu kunishukia mpaka kuokoka kwani leo naishi ktk amani ya Kristo iliyonipa nguvu mpya ya kiungu ktk maisha yangu

  • @johnrose5460
    @johnrose5460 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante pasta kwa mafundisho mazuri

  • @belindakennedy2343
    @belindakennedy2343 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Pastor umenipa ujasiri wa ajabu katika maisha yangu..Hakika Shetan ameshindwa kwa Jina la Yesu

  • @jailomhengilolo2898
    @jailomhengilolo2898 4 ปีที่แล้ว +2

    Amina barikiwa Mtumishi wa mfalme kwa ujumbe huu wa matumaini Ahsante.

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 3 ปีที่แล้ว +4

    Am always blessed listening to your sermon pastor Mbanga , from Qatar.

  • @juliusphinias3156
    @juliusphinias3156 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuongezee maarifa ya kuuchambua ukweli.

  • @aliceagoodsongnicevoices4855
    @aliceagoodsongnicevoices4855 3 ปีที่แล้ว +5

    Watched from Saudi Arabia God bless you for the wonderful gospel that is so touching may God help his children àll the time

  • @user-gi4cf2cl1p
    @user-gi4cf2cl1p 7 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji David mungu akumbariki sana kwa mafundisho ya bibilia Ni Petro kutoka kenya

  • @faithmoraa4542
    @faithmoraa4542 ปีที่แล้ว

    Thank you pr.
    Nimebarikiwa,Mimi n faith kutoka kenya

  • @jeremiahmayala2099
    @jeremiahmayala2099 3 ปีที่แล้ว +4

    Ninamdogo wangu anasumbuliwa na mapepo baada ya kuchaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari kidato cha kwanza BWIRU SEC. MWANZA baada ya kutoka KIGOMA shule ya Kata,ameripoti BWIRU sec. tu mapepo yakaanza kumshambulia kwa kumuonya kuwa katika elimu hatafanikiwa,pastor nimesikia ujumbe huu kuwa kila MTU anao moto wa yesu,yaani nguvu ya kukemea pepo,MUNGU AKUBARIKI katika maombi utusaidie maana kila kikanyaga tu getini wanaanza kumshambulia, nakirudi nyumbani mapepo wanamsifu kuwa amefanya vyema PASTOR TUSAIDIE KATIKA MAOMBI AFUNGULIWE.

    • @ezechielniyonkuru6783
      @ezechielniyonkuru6783 3 ปีที่แล้ว

      Mungu anakuona tuombeane tu ,mwinjirist Ezechiel burjumbura Burundi tuko nanyi

  • @RovniHollota-jw6ir
    @RovniHollota-jw6ir 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki!!!!! Ni wakati wa kupiga panda ulimwengu utambue kuwa yesu ANAKUJA hivi punde

  • @paulwambua4956
    @paulwambua4956 3 ปีที่แล้ว +2

    Am blessed pr.
    Ningependa unisaidie kwa maombi ya kibisafsi.
    Paul from meru Kenya

    • @simonkuyyi3983
      @simonkuyyi3983 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki mtumishi wa Mungu,akazidi kukufunulia upate kuwaangazia mataifa.

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 3 ปีที่แล้ว +2

    AMEN🙏🙏MCHUNGAJI BARIKIWA SANA,UMETUELIMISHA,NA HASA WATOTO WETU TWAWAHIMIZA ILI WAFIATE NJIA ILIO SAWA ILI KUUFIKIA UFALME WA MUNGU.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍👍👍👍👍👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞💞💞

  • @hbdina
    @hbdina 2 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿Asante sana Baba Mungu Jehovah kwa jina la Yesu Kristu Amen 🔥🔥🔥🙏

  • @witnessmalangalila91
    @witnessmalangalila91 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu unanibariki Sana na Mafundisho yako🙏

  • @hamisilumona7163
    @hamisilumona7163 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana maubiri yako pastor. Mungu akubariki na anibariki na mimi pia kwa neema yake.

  • @faithmakena2381
    @faithmakena2381 3 ปีที่แล้ว +4

    I love your Word of God.Thank you Pastor. From Kenya.

    • @everkivuyo8596
      @everkivuyo8596 ปีที่แล้ว

      Baba mbaga jmn Mungu akubarikie n akupe maisha marefu sifa n utukufu n kwako Yesu mwana wa Mungu

  • @RachaelWaringa-cd3mg
    @RachaelWaringa-cd3mg ปีที่แล้ว +1

    You a great inspiration to us but I have a neighbor mwenye asubuliwa na hizo nguvu sana wameangaika wameenda hospital uogonjwa hapatikani tafadhali tusaidie from kenya

  • @conniemukami127
    @conniemukami127 4 ปีที่แล้ว +4

    Amen, Mungu akubariki pr na akupe maisha marefu uuendelee kueneza injili ya Kristo. Kweli Mungu ana nguvu kuliko vitu vyote,

    • @frankgabriely9294
      @frankgabriely9294 3 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @ushindidaycare234
      @ushindidaycare234 3 ปีที่แล้ว

      Past Dav nikama ulijuwa haliniliyonayo maana nimetishwa sana nakuomba unipe kampani ya maombi maana nikojilani kushindwa

  • @user-rx3rl9yb3o
    @user-rx3rl9yb3o 7 หลายเดือนก่อน

    ❤ pastor mbaga umnigusa sana na maubili yako MUNGU akuongese nguvu kwa kasi yako Josephine kenya kisii.

  • @jeremiahoumaonditi8285
    @jeremiahoumaonditi8285 4 ปีที่แล้ว +2

    Thanks for the somo barikiweni servants of God

  • @robertbenswell504
    @robertbenswell504 3 ปีที่แล้ว +1

    Iam blessed pastor 🙏 May almighty God 🙏 bless you abundantly, from Nairobi Kenya

  • @user-uu3ie5mu3w
    @user-uu3ie5mu3w 10 หลายเดือนก่อน

    Pasteur Mungu zaidi kukubariki

  • @mahindiumakinisa4732
    @mahindiumakinisa4732 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii amen

  • @josephojukwu2139
    @josephojukwu2139 4 หลายเดือนก่อน

    You are wonderful pastor

  • @rosemaryotieno3243
    @rosemaryotieno3243 3 ปีที่แล้ว +2

    Nashukuru sana mchungaji, umenipa ujasiri kweli kweli na mungu aendeleze kazi yako, Amina!!!

    • @belindakennedy2343
      @belindakennedy2343 10 หลายเดือนก่อน

      Mm mwenyew ni muoga namba 1 ila kupitia hili somo sitoogopa Tena na Yesu amesimama kwangu na nina nguvu ya kukemea..Hili somo nimelipata kwa muda muafaka ambap nina hofu..sana

  • @eliudkingori2711
    @eliudkingori2711 3 ปีที่แล้ว +6

    I'm Really blessed, to the words of God you preach,build my soul every time, i pray to be as you pastor. I really believe in Jesus christ son of God.

    • @damah8431
      @damah8431 3 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @joshuaandrea2546
      @joshuaandrea2546 3 ปีที่แล้ว +3

      Pray to be like Jesus my friends don't be like mbaga

    • @havilamganga6172
      @havilamganga6172 3 ปีที่แล้ว +1

      @@damah8431 8iiiiiiiiii

    • @damah8431
      @damah8431 3 ปีที่แล้ว +1

      @@joshuaandrea2546 definitely

    • @damah8431
      @damah8431 3 ปีที่แล้ว +1

      @@havilamganga6172 what's mean?

  • @nansyas264
    @nansyas264 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa nikiwa Saudia Arabia waaah pst sichoki na maubiri yako Ubarikiwe sana

  • @rehemakulwijira9662
    @rehemakulwijira9662 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa SANA na hili somo sababu napitia changamoto hizi kwenye maisha yangu had leo

  • @gilbertmgabriel9158
    @gilbertmgabriel9158 3 ปีที่แล้ว +2

    Thank you Pastor, God Bless you

  • @joykapaya1970
    @joykapaya1970 3 ปีที่แล้ว +1

    Oh powerful.
    Remain blessed Pastor.

  • @bensonmusau6036
    @bensonmusau6036 2 ปีที่แล้ว

    Your sermons have been a blessing to many, I included. Asante sana

  • @priscakisyeli7250
    @priscakisyeli7250 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina sana pastor 🙏. Mungu akubariki

  • @mathsnewdiscoveries
    @mathsnewdiscoveries 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wako unaemwabudu wa kweli na anisaidie sikumoja nionane nawewe Mchungaji wa kweli wa Mungu aliye hai, Yesu naomba unikutanishe na Mtumishi wako maana kupitia huyo unanibariki Mungu wangu.

  • @preciousprecious7040
    @preciousprecious7040 ปีที่แล้ว

    Amina pr!
    Mungu akubariki sana!
    Akupe afya na nguvu uzidi kutusogeza karibu na kristo🙏

  • @mlishohadija6923
    @mlishohadija6923 5 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru mungu hili somo maana limenifunza kitu juu madamu wangu alinichukulia nguo yangu ya ndani sijui nini alienda kuifanyia but ninaamini mungu anaendelea kushuhulika naye maana namuamini mungu wangu nimkuu kuliko yule anaye muabudu yeye🙏

  • @user-kf9pu3cl9g
    @user-kf9pu3cl9g 9 วันที่ผ่านมา

    Bwana naomba Damu ya Yesu irudishe nafsi yangu niliyoiuza sababu ya hofu na hasira ya mateso niliyoletewa na wanadamu wenzangu. Nisamehe, nirehemu niokoe na unikomboe mwana wa Mungu.

  • @EliaSimoni-ye6lv
    @EliaSimoni-ye6lv 9 หลายเดือนก่อน

    God is power barikiwa sana mchungaji

  • @user-hd5kc9lw6m
    @user-hd5kc9lw6m 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @silusjacob5414
    @silusjacob5414 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana kupitia channel yako. Mungu akubariki sana Mchungaji

  • @mashaeliazer7433
    @mashaeliazer7433 4 ปีที่แล้ว +5

    Hallelujah Mimi na yesu ni mtu na mdogo ake,Asante yesu

  • @pericykiko6198
    @pericykiko6198 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi

  • @elizabethtondo5178
    @elizabethtondo5178 4 ปีที่แล้ว +6

    Pastor nashindwa ni comment nini Ila Mwenyezi Mungu akulinde aendelee kukutumia kuokoa roho zinazopotea.Ili somo likatubadilishe tumtegemee Mungu katika maisha yetu

  • @IsackDaudi-tm3ub
    @IsackDaudi-tm3ub ปีที่แล้ว

    Mungu uliye mbinguni leo ni siku ya kuokolewa kwangu naomba unirehemu na unisamehe makosa yangu na unihurumie nimeumwa mda mrefu fizi za meno nihurumie mwana wa daudi

  • @uangazetv
    @uangazetv 2 ปีที่แล้ว

    Mungu aibariki familia yako pr pamoja na team yote ya mahubiri Tv na somo hili Bwana azidi kulipenyeza zaidi kwa wokovu wa wengi wapate kufunguliwa

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 27 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli mchungaji kwenye biashara yangu kuna watu walikuwa wananinenea mabaya lakini mie niliwajibu nafanya biashara na yesu wanashangaa wanaona naendelea na biashara

  • @user-dy5ik1sm2d
    @user-dy5ik1sm2d 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi

  • @rodahadhiambo3637
    @rodahadhiambo3637 ปีที่แล้ว

    Glory be to God for we learn everyday, God bless you Pastor.

  • @mercelinemapenzikazungu1784
    @mercelinemapenzikazungu1784 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen pastor

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen Mungu amekutuma ukweli barikiwa sana

  • @samledbunt2774
    @samledbunt2774 3 ปีที่แล้ว

    Amina sana PR davd nabarikiwaga sana kwa mafundsho yako Sir God akuzidishie

  • @user-gu1yq8gm2u
    @user-gu1yq8gm2u 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukuchunga ili uendelee kutufundisha nasii nabarikiwa sana na mahubili yako

  • @NellySakwa
    @NellySakwa 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri 🙏🙏

  • @bonfacenyakundi4352
    @bonfacenyakundi4352 2 ปีที่แล้ว +1

    Hello pastor am bonny from Kenya after listening to your sermon I wish to talk to u sijui how

  • @rachelmlingwa8880
    @rachelmlingwa8880 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi

  • @elizabethkihiyo9985
    @elizabethkihiyo9985 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu

  • @estherwambuies1782
    @estherwambuies1782 3 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah na ielewa kabisa hilo neno 🙏🙏

  • @rovinapastori7746
    @rovinapastori7746 3 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri,nimebarikiwa mno
    Mungu azidi kukutumia kwa kazi yake

  • @stanleykamau3235
    @stanleykamau3235 3 ปีที่แล้ว +1

    Praise God pastor am in Kenya and am blessed by your teachings

  • @feminakidiavai5849
    @feminakidiavai5849 8 หลายเดือนก่อน

    Amen mafundisho yako yamenifungua kwa mambo mengi

  • @timotheojumal894
    @timotheojumal894 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli unaweza kukaa huna pesa wala chochote lakn ninapokumbuka Maneno na upendo wa kristo Nahis kama ndiyo nimefika kwake Mbinguni wala siwazi shida na mapito ya ulimwengu huu, Amani ninayo yatosha kunifariji

  • @equilinendikubwayo5645
    @equilinendikubwayo5645 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu pasteur David

  • @eustina0
    @eustina0 ปีที่แล้ว

    Animaaa pr Mungu atukuzwe siku zote

  • @patricemushi8786
    @patricemushi8786 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina nabarikiwa sanaa