Na ahimidiwe Mungu aliye tupenda upeo kwa Malaika wake watakatifu wanaoruka katikati ya anga kwa hubiri la injiri ya milele, Mungu akubariki sana pastor Mbaga tunabarikiwa sana kwa neno laye analotumia kinywa chako
Nimebarikiwa sana na mahubiri yako Pastor, nina changamoto kubwa maishani mwangu ila ninapo yasikiliza haya mahubiri napata faraja kubwa, Munhubaendelee kukubariki.
Katika iletaa yangu iliyopungua mafuta maneno yako yatokayo kwa Mungu yameijaza🙏barkiwa mtumishi Bwana akutumie apendavyo watu wake tuokolewe matunda yako mbinguni
Na shukuru Mungu amaye kupa nguvu yaku nifanya niamuke kiroho kila ihitwayo leo ila uyu uyu Mungu naitaji azihiriche karama yangu niwe kama wewe na nitambuke pale ulipo niwe faida kwa jamihi
Nimebarikiwa sana na mahubiri yako Pastor, nina changamoto kubwa maishani mwangu ila ninapo yasikiliza haya mahubiri napata faraja kubwa, Munhubaendelee kukubariki.
Siku moja ntasimulia watu kuhusu ukuu wa MUNGU eeh MUNGU NIBARIKI NA MIMI ILI NIBARIKI WENGINE …Amen🙏🏾
Mungu atukuzwe Nami 12:06 12:07 nabarikiwa natamka rehema na Baraka za Bwana maishani mwamgu Hallelujah.
Mungu akubariki sana mchungaji ili uzidi kuguza roho nyingi tuweze kufikia ufalme wa Mungu ❤.
Na ahimidiwe Mungu aliye tupenda upeo kwa Malaika wake watakatifu wanaoruka katikati ya anga kwa hubiri la injiri ya milele,
Mungu akubariki sana pastor Mbaga tunabarikiwa sana kwa neno laye analotumia kinywa chako
Mungu akubariki Pastor kwa mafudisho mazuri utukufu kwa Mungu wetu.
Aaaaamen 🙏🙌 napokea hilo neno LA yesu kristo🙏🇰🇪
Amen mchunga naombo maombi ya vifungo nifunguliwe haleluya
Sahukrani sana mchungaji kwa somo hili. Nimepata funzo litakali ni sayidiya kwa maisha ya kiriho piya kimwili. Ubarikiwe sana,n'a Mungu akupe nguvu.
Baba Mungu akulinde ninapo kusikiliza unanipa ujasiri na kupenda sna mbinguni tunaenda🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen and Amen mungu akubariki mtumishi wa mungu 🙏🙏
Amen namka baraka katika nyumbu yetu na afya njema na aman
Mwenyezi mungu azidi kukutumia ili uzidi kututia moyo, nimepitia katika changamoto kubwa sana ambayo siwezi kuisahau katika maisha yangu yote
Nimebarikiwa sana na mahubiri yako Pastor, nina changamoto kubwa maishani mwangu ila ninapo yasikiliza haya mahubiri napata faraja kubwa, Munhubaendelee kukubariki.
Asante sana kwa somo zuri...wenye hila wote na mimi watetemeke wanionapo machoni mwao. 🙏🏼Amen
Kupitia maubili haya Bwana amenena pamoja jami balikiwa sana Pr Mbaga
Amen napokea Baraka hizi kwa jina la yesu kristu
Asanteni mahubiri tv na pastor mmbaga
Amen Asante MUNGU,sifa utukufu na heshima na Enzi nizako
Amina barikiwa sana mtumishi Mungu kwa neno la jemaa
Katika iletaa yangu iliyopungua mafuta maneno yako yatokayo kwa Mungu yameijaza🙏barkiwa mtumishi Bwana akutumie apendavyo watu wake tuokolewe matunda yako mbinguni
@Rehemalbrahim-cz7zm kweli pia tunaomba Mungu atubariki katika siku hii njema ya Sabato
Naomba Umuombee binti yangu Sara anasumbuliwa na madeni hadi amekataa tamaa.Mungu apiganie anateseka sana.
Exodus 14-14
Sifa na utukufu zirudi kwa Mungu kwa kutufunulia ujumbe huu.
Amen Glory to God May God bless you abundantly pastor
Mtumishi wa mungu uwa unahubiri vizuri sana nabarikiwa sana kupitia mahubiri yako
Amina mchungaji IPO SIKU YANGU TU🙏
Endelea kumwomba 🙏bwana
Amena mtumixhi MUNGU akuangazie
Asante mtumishi wa mungu kwa mafundisho yako. God bless you
Na shukuru Mungu amaye kupa nguvu yaku nifanya niamuke kiroho kila ihitwayo leo ila uyu uyu Mungu naitaji azihiriche karama yangu niwe kama wewe na nitambuke pale ulipo niwe faida kwa jamihi
Kweli waoga wanaogopa na hofu huwauwa mapema ktk maisha.tena hasa wasiomcha Mungu.pasta barikiwa sana kwa somo lako.
Ninashukuru sana Mungu kutumia kuokoa maisha yangu na huduma yangu, Mungu akubariki sana.
Aki PST kusema kweli m nimuoga naomba uniinbee na mungu akubariki
This is the only blessed message in my life, may God grant you more wisdom and knowledge to teach the generations of the world 🌍
4
Ameeeeen.
Que Dieu vous bénisse mon Pasteur.
🙏
Amen Mungu atujalie kuwa naimani yakumwamini
Bwana yeshua asifiwe sana kwa ukuu wake
Mungu akubariki mtumishi uendelee kutufunza
Nimebarikiwa sana
Aminaaa pasto🙏🙏🙏
Nabarikiwa mno na masomo Yako mahitaji kiongea na wew Kama ukioma vema
Ameen asante sana nimebariwa sana na mafundisho haya Pastor ukabarikiwe zaidi
Naomba mchungaji uniombe biashala zangu zikasonge mbele kwa jina la Yesu,maana zimeludi nyuma
Amen mwenyenzi mungu apewe sifa
MUNGU BABA azidi kutukuzwa mtumishi kwa mafundisho
I am late but the ward of God never expied🙏🏿🙏🏿
Kunamda ukimuomba Mungu katika biashara na ukatoa zaka kwa hiyo biashara watu wanaanza kujiulizana kumbe ni Mungu tu
Pr Mbaaga Mungu akubariki
Napata kubarikiwa sanaa
Nabarikiwa kuliko kawaida ,Mungu azidi kukutunza mchungaji
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Daah Lord have mercy 🥺mtu unajikuta mzinzi...muoga...muasherati daaah 😢
Mungu ashukuriwe🎉❤🎉🎉
Ee mungu naomba unifanikishe kwa kila jqmbo
Amen poster mafundisho manzuri
Amen blessing pst❤❤
BWANA akubariki sana PASTOR
Nice sermon Amen Amen
Hubiri hili limeni baliki sana Mch.
Amina 🙏🙏🙏
Kwa kweli mchungaji mbaga kwa mafunzo yako hakuna mtu anaweza kukulipa ila mungu tu
Amina Mchungaji 🙏
Nabarikiwa sana na Neno la Mungu
Mungu akubariki sana
God bless you so much 🙏🙏🙏🙏🙏Amen
Mungu ni mkuu🎉
Barikiwa mtumishi
Mungu akubariki mtumishi
Mungu akubariki pasta
Asante Kwa somo zur mtumishi
❤MUNGU akubariki sana na familia yako
Mungu atukuzwe kwa mambo yote
AMINA
Naamini mungu atanitendeea na mm
Nashukuru sana kwa mafunzo mazuri sana
MUNGU akuongeze neema kwa mafundisho yako mazuri
Asante Sana
Barikiwa saaana
Amen
Mafundizo haya yananiongeza hekima,maarifa na yananipa tumaini
Tena unyenyekevu juu
Elijah nimembalikiwa sana plaster Nino Kenya niombeeni k❤
mtumshi niombeee
Pastor bwana ni mwema, naomba unisaidie maomb juu ya mamb yanayonisumbua
Jaman Naomben namba ya uyu Mchungaji nashida naye sana
barikiwa
Hakika muchungaji
🙏🙏
Huyo mzee wa miti ni Babu yangu anaitwa @ngoti
Kwenye swala la changamoto za familia imebaki kusemana na kusumbili kuona utafanya nn!? Mungu atuokoe
Mchungaji mm nipo DODOMA nimeipenda mafundisho yako nidini ya kislamu mm hapa ila nimevutiwa sana naomba namba
🥰😇🙏
Nimebalikwa kupitia mafundisho yako sasa na nyumba 2
Mchungaji nipo jela naombo maonbi nktoke
👊🙏.
Nimeugua jicho kwa muda wa mwaka naamini ukiniweka kwenye maombi nitapona
Naomba name yako
Mchungaji umenigusa naomba namba nikutafute nina mambo naomba unisaidie
Ulipata namba au nikutumie
Amna🙏🙏🙏 ubarikiwe mshungaji
@@samuelnzalla519Naomba Nitumie namba
Amina mchungaji Ila mi naitaji nipate namba yako
Uliipata dear
Naomba kama unayo
Nikutumie
Nitumie namba namm
Nipo mozambiqei.nakusikia viziri sana
Mungu unibariki
Nakumbuka tuliombea mimi na dada mwingine ndugu mmoja alikuwa anataka kuingia illuminati hadi Mungu akabadilisha mawazo yake akawacha
Illuminati😂 acha uongo Jameiii
Mafudicho yako yananitiya nguvu
Nimebarikiwa sana na mahubiri yako Pastor, nina changamoto kubwa maishani mwangu ila ninapo yasikiliza haya mahubiri napata faraja kubwa, Munhubaendelee kukubariki.