Amen, mchungaji Nina swali ya kwamba....nikiomba Mungu anibariki na asubuhi niamke nipate pesa kitandani mwangu hapa kando....nisichukue??? Mungu aezi jibu maombi direct?hili ni gumu Sana🙆...nifundishe😢
Mungu hajibu maombi kinyumbe na neno lake! Kumbukumbu la Torati 28:12 Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.
Mi si mtakatifu ni mwenye dhambi ila yesu alishanishindia na nitashinda hakika
Yeshua messiah asifiwe milele na milele amina
Nakushukuru sana pasta kwa mafunuo makuu sana Bwana akutumie zaidi.
Mungu akubariki sana,nimebarikiwa sana na mafundisho yako,🇰🇪🇰🇪
Barikiwa sana
Ameen and ameeen mchungaji wa Mungu aliye hai
Amen nimebarikiwa na haya mafundisho ubarikiwe pastor
Amen mungu atusaidie tuje kukaa katika mkono wake wa kuume,❤❤ubariki saana pst, unapo omba uniombee mtumishi.
Amen mtumishi wa Mungu tunabarikiwa sana Bwana Akubari sana akizidi kukutumia ila ulituhidi link ya somo LA yesu feki ujaweke bado
Barikiwa sana pastor umenibariki mno
Amen nimepokea! Jina la Yesu lihimidiwe
Naitwa Gabriel William naumwa naombeni mniombee barikiweni watu wa Mungu
Amen, kumbe kikuyu tu hapa jamani.
Kwanini yesu alimkataza marriam kumshika ila akamruhusu Thomas pastor naomba nieleweshe
Nabarikiwa saan na mahubiri aya
Hili hubiri limenifungua mambo fulani;
Barikiwa mchungaji.
Barikiwa sana mchungaji
Mungu akubariki sana Pr
Amen, mchungaji Nina swali ya kwamba....nikiomba Mungu anibariki na asubuhi niamke nipate pesa kitandani mwangu hapa kando....nisichukue??? Mungu aezi jibu maombi direct?hili ni gumu Sana🙆...nifundishe😢
Mungu hajibu maombi kinyumbe na neno lake! Kumbukumbu la Torati 28:12 Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.
Ubarikiwe pastor, MUNGU akutunze.
a timely teaching thank you pastor
Welcome pastor kisii kenya
Aminaaa❤
Nikiwa dar es salaam nawapata vizuri nabarikiwa
😅😅hahaha huyu mwanaume mwenye nywele ndefu ntamkemea ktk jina la yesu
Amina 🇨🇩
Mbona yesu yupo kenya huko tongareni naskia karudi siku nyingi
Mwambie aje akupeleke mbinguni😂😂
Amen 🙏🙏
Amen 🙏
Kwanini thomas alimshika na yesu alikataa mariamu kumshika
Sema ukweli km yesu alikuwa muarabu na kabila la myahudu
Naomba namba ya kutuma sadaka yangu
Mch Mbaga huyo Yesu fake ndo Mpinga Kristo,
Tuwekee sasa hiyo links
Jesus is father
Tunabarkiwa
Amina
Barikiwa sana mtumishi
Pole sana, hapo roho mlisha watu matango pori kaanza story za kufikirika, eti yesu feki katokea Kenya, Japan nk. Poleni wateule.
Amen💕🫶🏽😊
AMINA
Bleesed
Pastor ubarikiwe kwa ujumbe lakini naomba unisaidie hili ubatizo sahihi ni upi Kwa Jina la Yesu au Baba Mwana na Roho? Mungu akuongoze katika hili
lkn pr kama nko nachanga mto ya pesa nanimeomba Mungu anpe ada ya shule Kisha nkimaliza kuomba nikitembea Ni okote Hela nichukue ama nizashetani pia
Amen
Mchungaji mbaga kwanini unaweka picha ya huyu yesu mwigizaji????????
Anawapotesha waumini wake
Acha kudanganya wenzio ww
Amina
Amen
Amina
Amen
Amina
Amen
Amina
Amen
Amen
Amen
Amen