Kwa kweli napenda sana kuku. Sasa nimepata some la kutosha kabisa. Nampongeza sana dada Anthonia yuko vizuri halafu si mchoyo. Mungu akubariki dada. Na mimi ntajitahidi nije kununua vifaranga
Mama Lymo, mimi bado nina shida kwa kupima chakula, nilinunua mzani lakini nashindwa kupima, nina kuku 145, nikipima kutokana na maelekezo naona chakula kinakuwa kidogo sana. Nina kuku kloier sasa ni mwezi wa 4, nimeitenga majogoo ya kuuza na majike ya kubaki nayo kwa ajili ya mayai, kipimo kwenye chakula shida, nisaidieni
usiwape dawa yoyote ww unaonekana unawapa chakula kingi maji kidogo tafuta liquid parafini italainisha mfumo wa utumbo usipende kutumia madawa makali kwa vifaranga wadogo kwani ini haliwezi kuchuja dawa kali
Habar, nimechelewa na sitak kulikosa hili darasa la mwez huu wa 11 na nimesev hiyo no haipo whatsap na siwez kutuma msg ya kawaida coz nipo nnje ya nchi so unanisaidiaje
Aboud acha nikusaidie mm kroiler ni chotara yaani kienyeji na highbreed ndio mtoto wao akawa ni kroiler lakin waeza ukamfuga kwa njia yyte kienyeji au kumfungia asante
Asanteee kwa Elimu nzur
Asante sana kwa maelezo,,,basi MUNGU AZIDI KUWABARIKI SANA
Kwa kweli napenda sana kuku. Sasa nimepata some la kutosha kabisa. Nampongeza sana dada Anthonia yuko vizuri halafu si mchoyo. Mungu akubariki dada. Na mimi ntajitahidi nije kununua vifaranga
Asante ubarikiwe sana sana nimepata somo nzri sana
Asante dada yangu nimepata somo toka kwako
Nitumie majina ya chanjo zote siku zizonafaa na kiwango chake nashukuru qwa funzo yako Mungu akubariki na kulinda
Asante Kwa maelekezo mazuri
Nashukuru kwa somo zuri
Mungu akuzidishie dadangu kwa hili
Dawa nzuri ya mafua makali ya kukoloma
Napenda kujua kiundani saana kujua magonjwa ya vifaranga na kutunza
Asante kwa somo dada
Asante saana
Masomo yako ni ya kweli na ye utaratibu.. nayapenda
Asante dada limo kunakitu najifunza Naonba namba ya simu
❤
Mama limo Asante kwa kutupa Elimu.ubarikiwe sana.mama naomba namba yako ya cimu
Dada nimependa. Somo lako. Laujasiria mali. Namimi. Nimejifunza. Kupitia kwako. By. Neema. Materu
Nawapata vizuri sana
Tuko pamoja
Mama Lymo, mimi bado nina shida kwa kupima chakula, nilinunua mzani lakini nashindwa kupima, nina kuku 145, nikipima kutokana na maelekezo naona chakula kinakuwa kidogo sana. Nina kuku kloier sasa ni mwezi wa 4, nimeitenga majogoo ya kuuza na majike ya kubaki nayo kwa ajili ya mayai, kipimo kwenye chakula shida, nisaidieni
Kaka nashida na vifalanga vya kufuga
👍👍 hongera sana
aksanti sana; tafazali munitumiye video zenu munisaidie
Kazi nzuri
Asante
Safi kabisa
Nimependa
Dada nmependa somo lako batsman kujuazaid maana hatamm nnandonto yakua mfgaj
Ahsante
Je kulea vifaranga huzingatia hali ya hewa ya eneo husika?
Napenda kujua vifanga wakiwa na miezi miwilkuku 100 wanakula kias gani
Mnitumie hii vedios
Ubarikiwe
Mumejaribu kupamba youtube lakini bei iko juu sana
Safi Sana
Nimepanda ufugaji wa kuku nifanye je nianze kufuga
Niungeni
Asate sana
Ilike it
Tafadhari nijibi mami.
Safi sana sister mm napendezwa sana na ww.
Tuko pamoja
Nikitaka vifaranga vya kuku napataje?
Ok nawafata vizuri Nina swali hizo chacho ni zakunywa ?
Ndio
Kinga kwanza 2:53 2:59
Jaman Naomba mawasiliano yenu nahitaj viranga
Good
Huyu sasa kajua kueleza vizuri 🎉nmeelewa
Stater wanapewa kwa mda Gani,na inayo fuatia ni chakula gani
Naomba unisaidie namba dada
Naomba namba nahitaji kuwa mfugaji wa kuku ila,sjui nianze vp naomba ushauri
Samahani nataka kuanza kufuga vifaranga je naanza na nini?
Naomba namba yako Mimi naitwa Elizabeth Kaaya nipo Yombo Dovya Barabara ya mwinyi
Mimi mwanne nipo mbez nilikuwa nauliza kuhusu kuwabasilishia chakula vifaranga stata nitawapa kwa wiki ngap ili niwabadilishie chakula kinachofuata
ni aina gani ya antibiotics naweza nkawapa vfaranga kwanzia siku ya 9
kwann siku 1 kabla ya chanjo huwapi vitamin unawapa maji tupu
Ni uamuzi wake lakini hata ukiwapa hakuna shida
Asate dada
👍👍👍👍
S' il vous plait. Pouvons- nous avoir la traduction de la vidéo en langue française ?
Elimu yako ni nzuri naomba namba yako nami nianza kufuga
Karibu
@@changamkiafursa nahitaj viranga jamani Naomba mawasiliano yenu
Samahani kuanzia mwezi WA tank nawalisha chakula gani
Layers kama ni wa mayai
Taja namba bas kpz
Natamani nijuwe vofaranga nani bizuri kati ya vifaranga vya asili na vya kizungu
Kama uko na vifaranga 50 unahitajika kuwalisha kilo ngapi kwa hiyo wiki ya tano?
Tuma namba basi
Duu Holi darasa tamu jaman mm natak namba za kwa maelekezo zaid
kaka sikupati whatsapp..how can i reach you?
Chanjo ya ndui ndo pox ama typhoid?
Fowl Pox
Naomba kuunganishwa kama kuna group la WhatsApp ili kujifunza pia nahitaji viranga 20 unanisaidiaje
nahitaj vifaranga kutoka kwako dada napataje?
Kaka no yako haipatikani
Dada hongesa sana mm nataka kufuga kuku nipo Arusha kifaranca. Kimona ni shl ngapi wa mwezi 1
Upo wapi dada
JAMANI MWENYE NAMBA ZAKE PLEASE
Naomba kujua kwenye kulisha vifaranga wa mwezi 1 natakiwa niwapimieje? Mfano Kuku 100 Maybe Kwa siku kg ngapi? Kuku ni kroiler
Itakuwa rahisi kama utaweka huo umri kwenye wiki
@@changamkiafursa Wana wiki 6
Wanakula Kg 4.6 kwa siku
Wiki ya 7 wanakula Kg 4.9 kwa siku
Wiki ya 8 wanakula Kg 5.2kwa siku
.....
Kila wiki kiasi kinaongezeka
@@changamkiafursa Yani just wastani
hilo ni pengoo
Shukra n
Elimu ya kuku
Safi sana kazi nzuri hongera
Nimependa jamani nataka kuanza
Vifaranga wangu wa kroiler nime wanunua Jana lkn cha ajabu wanakunya kinyesi kina Gandia nyuma nifanyeje ndg zng??
Pole, Tumia mchanganyiko wa Trisulmycine, otc 20 na vitamin. Kama hautaona mabadiliko ongeza Amprollium
usiwape dawa yoyote ww unaonekana unawapa chakula kingi maji kidogo tafuta liquid parafini italainisha mfumo wa utumbo usipende kutumia madawa makali kwa vifaranga wadogo kwani ini haliwezi kuchuja dawa kali
pia uliwapa chakula mapema tu kabla ya kuwapa maji kwanza yenye glucose kwa masaa angalau masaa 4 mpaka 6 ndio uje uweke chakula tena kidogo sana
Vizuri
@@selemanimsofe7321 nataka kujua anapo Sema uwape antibiotic ipi sio antibiotic kali na ni ipi nzuri kwa vifaranga kutibu kitovu kipone
Nahitaji kitabu ili nisome Mimi Kama Mimi Kama kipo
Uko buza ipi ccter
Mkuuu kuku wangu kesho wanatimiz wewk 3 je nikianza kuapimia chkula niwap kilo ngap kwa siku kwa kuk 23
Wape 1kg
Wape 1kg
Asant mkuu
NIMEPENDA DARASA LAKO BLOILA MOJA MTOTO WA NYAMA NAPATA KWA PESA NGAPI
Samaani kwa usumbufu kwa mfano Nina mtaji Ila Sina sehemu ya kufugia VP tunaweza ingia mkataba nikafugia kwako Asante jibu nipo kimara dsm
Habar, nimechelewa na sitak kulikosa hili darasa la mwez huu wa 11 na nimesev hiyo no haipo whatsap na siwez kutuma msg ya kawaida coz nipo nnje ya nchi so unanisaidiaje
Na hela tiyar nimetuma
Nicheki what's app 0752209073
@@changamkiafursa oky Shukran
Naomba kuuliza. .. hivi kuku wa kroiler ndo kuku wa kienyeji amaa?
Aboud acha nikusaidie mm kroiler ni chotara yaani kienyeji na highbreed ndio mtoto wao akawa ni kroiler lakin waeza ukamfuga kwa njia yyte kienyeji au kumfungia asante
Kama nitawapa new castor ya matone kuna haja ya kuwanyima mapumba
Asante xana dada nimejfunza kitu
Nini husababisha kuku kutaga yai lenye Ute wenye damu?
Najiuliza tu hizo list za chanjo, vitamins and antibiotics hizo kuku zitafaa kwa afya ya mlaji kweli??
Mbona wamekaliana hivi sana au ndio vzr ?
Vizur
Naomba no ya kujiunga na darasa LA whaatsaap no ya mpesa kama IPO kwa sababu sins tigo
Unaweza kutuma kwenda mitandao yote inakubali
Naomba kujua chanjo ya wiki ya tano au siku ya 35. Sijaipata vizuri
Hiyo ni chanjo ya ndui
Asnte mama ila naomba nipate namba yako ili kufanya bishara na ww
Sasa hizi antibiotics na chanjo kibao kwa sisi walaji si tutachanjwa na kulishwa antibiotics pia mungu atusaidie.
Haziwez kukufanya kitu Mana anakunywa akiwa mtoto adi afikie hatua ya wewe kumla ni miez mitatu au minne mbele
Na naitaji vifaranga kutoka kwako
Dada nashukuru sana kwaelimu uliyonipa kuku wangu wamemaliza chanjo kinachofata naomba unieleweshe.
Napenda kujua vifanga wakiwa na miezi miwilkuku 100 wanakula kias gani
Namimi naomba kujua jinsi ya kipimo cha kuwalisha kuku mmoja kwa siku.asante