Mimi ni mwanafunz wa degree mwaka wa kwanza nmebahatika kupata mkopo malengo yangu ni kutumia mkopo katika uwekezaji wa kuku lakini changamoto kubwa mpaka sasa ni eneo kubwa la ufugaji naombeni ushauri tafathali
Napenda sana: sasa kuku zikianza kula mayayi ni ipi dawa unatakiwa kuzipatia ili ziache na sababu ni ipi,ni ni kifanywe ili tabia hio isitokee tangu mwanzo???
Naipenda sana hii biashala mungu anifanyie wepes SKU moja nije niifanye inshallah
Pull up your socks
Inshaallah nakuombea kila kitu cha wezekana ukiwa na imani
Inshaallah nakuombea kila kitu cha wezekana ukiwa na imani
@@reubenmbogo9290 kikubwa uzima
Safi sana dada Antonia Kwa kazi nzuri ya ufugaji wa kuku,
Je unaweza ukaniuzia jogoo na tetea wakubwa. Alafu hao jogoo wa chotara unaweza kumpandisha na kuku wa kienyeji pure?
big plan👍👍👍
Ww ni mpambanaji bora , hongera san
Nmevutiwa sana sana nataman sku moja namim niwe mfugaj mkubwa
Me also I hope one day very soon I will be like this lady.
Keep working
P
Kama umegundua Dada anafulsika kwa kutangaza business ,gonga like fasta
Hongera sana Dada. Naomba naomba yako ya simu nahitajika ushauri wako.
Namba zake ziko kwenye video
Mbona Bamber ziko kwenye video waziwazi karibu na mwisho angalua video kwa makini bro
Asante sana dada
Muito linda esta criação!..
Meus parabéns... eu sou de Curitiba Brasil
naitwa jjk nko kijiin nimeifulaia san kz ii
Nimejifunza kitu je nawezaje kupata maelezo kuhusu ujengaji wabada la vichanja. Asante.
Awesome! They look so beautiful and healthy
Beautiful
Hongera sana nami napenda sana ufugaji huu
Tuko pamoja
Mkuu pole kwa majukumu na hongera kwa kazi,nahitaji majogoo wawili kroiler kwa asili ya mbegu,je naweza kupata?
wonderful which is best food for chicken?
I like hen
Ahsante shemeji yangu endelea kuchapa mwendo
Unatia hamasa sana.
BATA BUKINI WANAPATIKANA , BEI NI MAELEWANO. KARIBUNI
Nipe bei
0754364248 utatupata
Kazi nzuri sana
Nimependa hiyo fursa
Jirani yangu nakuona
Ninaweza kuanzia mtaji wa shingapi? Kwa kiwango cha chini?
Habari yako
Salama ndugu
Mbona unakatisha watu tamaa mana kufuga ni hobi kwanza ya mtu ushauri wako mzuri ila usiwe km mzungu yani usiwe na kujiona ww umesoma sana ufugaji
Ata. Mm nafunga kuku.
Samahan hivi unawez fuga kuku wa mayai na nyama kwa pamoja yaan kweny banda moja
Hongera sana dada
I believe I can make it, am in Kenya.
It is possible
Nakupataje dada
Hao kuku wawili ulioanza nao walikuwa tetea na jogoo au?
Maa Shaa Allah
safi sanaaaaaaaa
Asante sana ndugu
Naomba nijifunze kufuga kuku
Mimi ni mwanafunz wa degree mwaka wa kwanza nmebahatika kupata mkopo malengo yangu ni kutumia mkopo katika uwekezaji wa kuku lakini changamoto kubwa mpaka sasa ni eneo kubwa la ufugaji naombeni ushauri tafathali
Yapo maeneo ambayo wanakodosha mabanda ya kuku, unaweza kutumia fursa hiyo
@@changamkiafursa nashukuru sana kwa ushauri ngoja nijaribu kutafuta japo sijui kwa mkoa wa Dodoma napata sehem gan
Unapatikana wapi???
@@changamkiafursa wap huko wanapokodisha kwa hapa Dsm.mm nahitaji hayo.mabanda.
Napenda sana: sasa kuku zikianza kula mayayi ni ipi dawa unatakiwa kuzipatia ili ziache na sababu ni ipi,ni ni kifanywe ili tabia hio isitokee tangu mwanzo???
Asante dada nimejifunza kitu hapa asante
Habar yko mze wa changamkia fursa nilikua naulizia mnauza kuroila wenye umri wa kuanzia wiki 6 na km mnauza ni bei gan kwa mmoja?
Safi sana
Nipatie mawasiliano I'll nijifunze kwako zaid
0752209073 what's app
Unapatikana wapi
thanks
Nimetamani
Ufugaji bora..lakini sioni drinkers hapo?
da mi Kwa Sasa nna miaka 19 nikisema nianze kufuga si ntafika mbali sana
da sawa sawa nimekupata mkuu
Fuga tuu☺
Maryam Maram
mambo
@@hansiselemani8025 poa nambie kaka
Maryam Maram
ntafte HMO 0623964258 whasap
Machine ya kutotolesha mayai ni shingapi
Mayai ya kutotolesha yanachukua wiki 1 kutotolesha? /ni muda gani uchukua?
Mimi hufuga lakini wanakufa sana
Bibi Mzee , nitakuelekeza
Mazishi unafanyia tumboni nini!
Hongera sana
Well done
Mimi naitwa Ahamadi mbendela naomba unizie mayai 60 ya kuku ain't ya croaila napatikana Nachingwea mkoani lindi
🇧🇮🇧🇮🇧🇮asanteni
Naomba ushauri,inafaa kufuga bata na kuku kwenye banda moja?
Haifai kabisa
Bata ni carer wa magonjwa ambayo ni hatari sana kwa kuku kama mafua na typhoid
hongera sana naomba number yako
Namba kwenye video ametoa
Mashaallah
kuku kuku wanalipaa sanaaaa
naombanamba yako ya simu ili nikuulize mawili matatu kuhusu kuku mimi nina kuku 100 lakini nakutana na changamoto nyingi
Namba yake iko kwenye video
Pole kwa changamoto
Nataka vifaranga
Wasiliana nae, ametoa namba yake kwenye video
Kwa dad ngalam una weza kuazia kam kias ngan mabada mka ununuz wa kuk jam Naomba kujua
Ni chakula gani Bora cha kuku scholars tangu wadogo hadi ukubwani
Chini ya wiki 8 wanakula chick mash
Wiki 9-18 wanakula grower mash
Wiki 19 mpaka uzee wanakula layers mash
Amenitia moyo kwakweli
Pambana dada yangu
Ongera sanaaaa
Niko Kenya,, vp naeza kujiunga kwa group ili kupata elimu na ni course ni ngapi bei pesa ya Kenya?
Naomba maelezo kuhusu kugeuza mayai kuwa vifaranga ili niuze
Jamani mim nataka hii biashara
Nahitaji kujiunga na group naomba namba
Karibu, darasa litaanza tarehe 10 mwezi wa 7. Njoo what's app kwa maelezo zaidi 0752209073
Duh nime penda
Kuku ikiwa na viupele machon unashauliwa kutumia dawa ip
ikiwa kwa wiki anaingiza tsh 700,000 Basi kwa mwezi anaingiza 2800,000 hiyo ni faida kwa mwezi
Safi
Good,
MAA SHA ALLAH
Nipo Arusha, vipi nitapata vifaranga? Bei ya usafiri kiasi gani?
Kwa nn kuku anakulanga mayai
Kwani chakula cha kuku kinauzwa shingapi nisaidie
Samahani unasafishaje Banda humokwenye wavu
Naamini na mm tatimiza ndoto yangu
Tuko pamoja
Mimi pia nataka nianze
Napenda sana kufuga kuku
Uko poa
Niko burundi,na nilisha anza ufugaji wa kuku tena za namna hiyo hâta kama sinyingi kama hizo
Good👏
atimo ero kamano nyathiwa
Naomba namba yako
O752209073 what's app
Thanks
Kuku chotara naeza kuwapata vipi Mimi nipo kitale
dada naomba namaba nije unielimishe ufugaji
Namba zake ziko kwenye video
@@changamkiafursa sijaziona niomana n7kaomba
Anthonia Lymo 0620440863
@@changamkiafursa asante
Kuku wana soko kubwa sana, unaweza kuacha kazi ya kuajiriwa
Sahihi kabisa
Naomba namna ya kupata masoko ya kuku wa kienyeji na mayai plse
Florence Kimaro , nicheki 0654171555
hao kuku 500 aliongeza Vifaranga au alitotolesha mayai anayoyazalisha ndio wakaongezeka mpaka kufikia Kuku 500
Jmn nimeipenda sana hii,lkn mm nimeshajalibu kufuga kuku lakini hawakui.yani inakuwaje.vifaranga wanatotolewa wanakufa wote. Sijui nifanyeje!
Fuga kisasa
Hivi ni kiwa na kuku hamsisi chakula naitaji kiasi gani
Nahitaji vifaranga
Hi ni ya mwaka j ana leta ya mwaka huu
Anafuga bila kuuza mpaka kufika hao 500
Unapambana kukuza
naomba namba nije kuku nunuza
Niko tayari kufuga kuku iliyobaki sasa natafuta elimu ya ufugaji kuku ili nifuge kwa uhakika. Naomba niunge kwenye group la whatsap
Karibu ndugu, njoo what's app 0752209073 mafunzo yataanza tarehe 10 mwezi wa pili
@@changamkiafursa na mm. Nahitaji jmn hlo darasa
Garama ya mafunzo zinakuwaje kwa njia ya whatsap nimependa elimu hii ya ufugaji
Njoo what's app 0752209073
Jamani muwe mnweka namba za simu za mnae muhoji mana anauza vifaranga
Wewe ndio hauko makini, namba zake ziko kwenye video
0:22 na 9:20 kuna namba za siku
Hongera Sana dada naomba pia mawasiliano ya masomo nawe zangu nos ni+ 254797219176
Ongera sana Dada ww ni mfano Wa kuigwa.... Tafathali naomba mawasiliano yako... Yangu ni hii 0743539874
Ezekiel umempata Uyu dada Na mm naitaji mafuzo ya ufugaji
Kwanni tusianzishe group letu la wafugaji wa kuku hasa wanao anza ili tupeane elimu wenyewe
Natotoa vifaranga na kuuza vifaranga nipo Arusha. 0746609032
Sh ngapi? Aina gani ya kuku?
Sh ngapi? Aina gani ya kuku?
Naitwa Wismani Mwansamale napatikana Mwanza nahitaji vifaranga wa chotara kama vipo nijulishe no yangu in 0764803449
Vipo na karibu sana
%
Nipo Arusha, vipi nitapata vifaranga? Bei ya usafiri kiasi gani?
Safi
Mayai ya kutotolesha yanachukua wiki 1 kutotolesha? /ni muda gani uchukua?
Safi