Nashukuru sana mwanangu kwa somo zuri nilikuwa sijui kuwa kunakubadilisha jogoo maana jogoo wangu wamezaliwa hapahapa na dada,mama zao wapo hapa ngoja ninunue jogoo wengine
Asanteh sana kwa ushauri mzuri,,,,, me MWANAFUNZI aisee alafu Niko mbali na home lkn nataka nifuge hao kuku,, si naweza kushare na mtu ambaye anampango wa kufuga kuku !!!!
nimeanza na kuku wanne na jogoo mmoja, ila wakitaga, kunakitu kinakula mayai, leo nimechungua nimeona shimo, sasa ni nyoka au panya...wananimalizia mayai nisaidie la kufanya. mabanda niliyo yayo ni kama hayo yenu.nipasafi.
Ndio kaka umeongea Mambo mengi Sana ya msingi watu wakizingatia lazima wafaidike
Kitu cha msingi ni kuweka kumbukumbu vitu vyote vya msingi ili uvifiweke kwenye matendo
Asante bro kwa ushaur na mungu akubaliki
Nashukuru sana mwanangu kwa somo zuri nilikuwa sijui kuwa kunakubadilisha jogoo maana jogoo wangu wamezaliwa hapahapa na dada,mama zao wapo hapa ngoja ninunue jogoo wengine
Nataka kufuga kuku wa kienyeji ninalo Banda zuri.
Kaka somo zur sn hamna watalam wa ufugaj mikowan
Ahsant sana broo kwa elim unayo 2patia
Kweli elimu haina mwisho kumbe kuna umuhimu wa kubadilisha majogoo nilikuwa napuuza sana mkuu hili jambo sasa nabadili mwelekeo ahsante sana
Nimuhimu sana, itakusaidia kupata vifaranga wasioshambuliwa kirahisi na magonjwa
Mimi kila nikifuga wanakufa na homa nakata tamaa
Asante sana brother
ahsante bro, ntazidi kufatilia
Natamani sana nijue kutunza vifaranga bila vifo
Napendapenda kufuga ila changamoto ya magonjwa na mtaji wa kununua chakula
Asante ndugu Kwa ushauri
Napenda kufuga kuku Asante
Asante sana
Asante
Nataman sana elimu hii maana naona ni Moja ya kitu Cha msingi sana😊
Somo zuri sana 🙏🙏🙏
Yeah interested am in
Asante nataman saana
Uko vizuri
Video hii imejibu maswali nilikuwa nawaza kukuuliza,hongera sana natumaini utakuwa mentor wangu siku zijazo.
Asante sana kwa Mrejesho wako
@@changamkiafursa baba hongera
mm nipo Znz
Napenda kujua kua chakila cha kuku wa kisasa wakienyej ninaweza kuwap
Nakukubali sana Kaká kwa elimu unayoitoa
Tuko pamoja
Asanteh sana kwa ushauri mzuri,,,,, me MWANAFUNZI aisee alafu Niko mbali na home lkn nataka nifuge hao kuku,, si naweza kushare na mtu ambaye anampango wa kufuga kuku !!!!
Hakikisha unaShauku na ufugaji wa kuku
Nimefurahua
Jamani nawapenda sana
Nimependa mafunzo yako kaka ubarikiwe mm ndio naanza na nimejifunza Sana
Kwa ushauri bora nawapataje. Naomba mawasiliano
What's app 0752209073
@@changamkiafursa utaratibu wa kujiunga upoje kwa sasa
Ahsante
Vizuri sana 🎉
❤aksante mwanangu
1:
Somo zuri,
Naipenda uduma hii
🇧🇮🇧🇮asanteni Kwa mafunzo yako
Mim nahitaji somo zaidi
Naomba msaada mimi nimeanza kufug kuku na sijui jins yakufuga kuku
Uko vzr kaka
Mim nataka kufuga kuku kienyeji
Nimefurah San kupat elimu kutok kwen kuhusu ufugaji napenda sana kufuga, swal lang ni je ni kwel ukiwapunguzia manyoa mkian hasa kuku jike wananenepaa
muna maelezo mazuri
kukuwangu wanatotoa mayai kidogo sana nikiweka 10 _wanatotoa 5 tu
Alhamdulillahi
Ni nzur
Naungana na Mushi, somo lijalo tufundishe kuhusu utengenezaji wa chakula cha kuku kwa njia za asili
Tuko pamoja
Naomba unisaidie je kuku wanaweza kulala banda moja na kuku
Mimi nnapenda sana ufigaji. Na nimepeleka D’salaam incubator , sasa naomba kupata mayai ambayo tujaribu kutotoa watoto
Niko Nairobi naeza pata. Wapi
Je kwa wale ambao tayari wamezaliwa hapo hapo kwamba wale jogoo niwauze au maana hawatakiwa wapandani na dada zao waliozaliwa pamoja
asante
naomba uniweke kwenye group la wafugaji
asante mno
Good
CHAKULA CHA KUTAGISHA NI KIPI
Ahsante kwa maarifa na je nitapataje logo na tetra kumcha?
Ni vyakula vipi vya kuwapa kuku wanotaga
ivi kuku wanawezaj kutaja mayai meng
Chakula bora hicho nikipi,
Chakula ngani tofaut na pumba
Layers Mash, chakula cha kuku wanaotaga
Kaka jambo nihalbie vyakula vyakuku ili ciselé mukiswaili
Mbona na stutter tena bro...
Mwalimu nataka nijiunge mu groupe WhatsApp, lakini mimi Niko Congo. Nielekeze Nini yakufanya.
Tunasubiria madini
Saa mbili kamili Asubuhi
@@changamkiafursa naulizia je kuku WA 3 au 4 wanauzwa bei gani Naomba jibu lako
Vifaranga wa kuku ya mayai kutoka siku moja inafaa kukaa kwa stima mda mgani
Mchanganyoko wa chakula ninchowapa kuku wangu ni pumba, dagaa, konokono ,chunvi na DCP vipo huo mchanganyiko upo je
Nichakula ngani hicho
Umejtaid xn
Oya fanya somo lijalo tufundishe utengenezaji wa chakula cha kuku kwanzia start mpaka kuku wanapoanza kutaga bro
Tuko pamoja
Mayai napata?
Chakula icho kinaitwaje kaka?
Jamani nataka kujiunga na WhatsApp yenu
Utajuaje sasa kama wanamafua
Wewe ulianza kufuga kuku wangapi
Mnapatikana wapi?
nimeanza na kuku wanne na jogoo mmoja, ila wakitaga, kunakitu kinakula mayai, leo nimechungua nimeona shimo, sasa ni nyoka au panya...wananimalizia mayai nisaidie la kufanya. mabanda niliyo yayo ni kama hayo yenu.nipasafi.
Piga lafu floor then weka malanda au majan makavu kuwa makin na mlango au matundu ambayo yanaweza pitisha wadududu
Nize na kuku ngapi
Mwalimu, nataka nijuwe kama kuku mtu anaweza kumpa mahindi yenyewe?
Napend kufuga
Jina litatokea nani
Habar mm natk group len whatsapp ili kupat elimu
Please, can't you give us a teaching in English. So that all Africans can understand this very important information. It is very important
He doesn't have to. It's not his language! Just ask for subtitles
Z xko hoopi j
JIPic
Nataka namba zako ili nikuuliza nakulipia fomla
Chakula hicho kinaitwaje
Ok
Nichakula gani chakuwapa kukuwanaotaga msaada
Kuku wangu ametaga yai Ila liko na Ufa hilo linaweza kutotoa kifaranga
Huuu uongo
Nauliza jogoo moja inafaa kuwa kuku wa wangap
Kuku Kimu dear
Asnte kwa somo, lakini mbona kwangu magonjwa hayakatiki? Inanikatisha tamaa
jamani mbona kuku wangu hawatotoi vzr
Ni mda gani inafaa kuwatenganisha vifaranga na mama Yao nikiwa Kenya
unawezaje kupata majogoo ?
Naweza kumnyanganya vifaranga kuku alietotoa vya siku moja?
Ndio, utawalea kwa njia ya kubuni
chakula cha kuku wanaotaga ni chakula gani
Dawa gani Nagalama Zane?
Chakula gani?
Habar mm natak group lenu ili nipat eliminate zaid
Unapatikana wap?
Naomba niulize mi ninakuku 30 nafugia kwenye Banda mambogani naitaji nizingatie?
Na jogoo akimpanda jike ambae ni mwanae wa kumzaa inaweza kusababisha udhaifu wa kifaranga?
Ndio
aksanti kwa siri za ufugaji wa kuku; sasa na hitaji saana video zenu ni fanye nini
sasa hawa KuKu unawa chakula gani? mpaka wanazaliana kwa haraka...!!
Nielekez tafadhal nikiyaacha pamoja siku y kulalia nawagawanyiajeee msaada tafadhal
Nina majike 18 nitafute majogoo mangapi
Tafuta wawili
Kuku wa kienyeji wanakula chick starter kwa muda wa wiki ngapi