Hello Beautiful Kadala leo nimenunua hizi dawa na kesho in shaa Allah napokea vifaranga, Naahidi kukupa mrejesho juu ya dawa hizi kwa broilers .... Shukran Sana and blessed ❤
Dadaangu pole na majukumu Mimi kuna jambo lanitatiza kuhusu kuwapa kuku chanjo wengine wanachanja kuku kwa kumchoma sindano kifuani wengine matone jichoni wengine kwenye maji ya kunywa mbona sielewi!! Njia ipi ni sahihi?
Naomba utuelimishe kuhusu malanda gani yanayofaa kulelea vifaranga maana Mimi nikiwatoa tu kwenye gazeti nakuwaweka kwenye malanda ya mpunga vifaranga wanapata mafua na wengine kufa je tunayapepeta au njia nzuli ni ipi
Ubarikwe mwangu mafundisho mazuri sana
Pole na majukumu huku kwetu aipatkan amintoto ipo neoxychick je inafaa kuchanganya na primafarm
@@zaituniomary8006 nipigie
bonjour jai suis te video tres internce
@@christophekabilamusenge1024 Bonjour Mon frere can you use English please ❤❤❤🙏🙏🙏
Ahsante kwa somo tosha na Mungu akubariki.
Amina ubarikiwe nawe♥️♥️
Shukran
@@josiahkulwa34 💕💕💕🙏🙏🙏
Nashukuru kwa hii video kutoka Kenya.
🙏🙏🙏share video kwa Wakenya ili wajae hapa kwa Kadala♥️♥️
Ahsante mtaalam
@@JamesKasoni 🙏🙏❤❤
Ubarikiwe kwa somo zr
🙏🙏🙏
Barikiwa sana Kwa darasa
@@edwardmwankemwa3877 🙏🙏🙏🥰🥰🥰
Asante nakuelewa san
@@mafundisho81 🙏🙏🥰🥰
Naitaji kukiona moro nopateelim vizuri
@@JacklineKimbawala sikakuelewa unasema
Thanks my dada, nataka kuanza ufungaji wa broilers. Continue being blessed my dada. Love you
Worry not karibu🥰🥰
Esther Kadala was my student, Kenya 👉 your namesake 🫢
Oo that is good🥰🥰🥰
Asante
🙏🙏🙏♥️♥️♥️
Kipimo Cha dawa kwenye maji Lita ngapi kwa kuku 100?
Sikiliza video zilizotangulia
Nabaada ya kumwaga maji ya chanjo je unaweka maji plan au yenye vitamini?
God bless you
🙏🙏God bless you too
Sasa hapo kuhsu guruco unaweka na majibama walamba
@@JoyceJuma-p4d Sinaelewa lugha gani hiyo
Kroiler,saso inaweza kuwauza wakiwa na umri gani? Ili upate faida
Angalia video zilizotangulia dear♥️
Hello Beautiful Kadala leo nimenunua hizi dawa na kesho in shaa Allah napokea vifaranga, Naahidi kukupa mrejesho juu ya dawa hizi kwa broilers .... Shukran Sana and blessed ❤
🙏🙏🙏♥️♥️ hizo za vichupa ni chanjo usije ukachanganya mambo kuwa makini tafadhali♥️♥️♥️
Hiyo chanjo nafahamu kipenzi usihofu😃
@@aminakassim7741 🙏🙏🙏♥️♥️
Safiii
@@FrancisOsward-hy8kk 🙏🙏🙏
Dadaangu pole na majukumu Mimi kuna jambo lanitatiza kuhusu kuwapa kuku chanjo wengine wanachanja kuku kwa kumchoma sindano kifuani wengine matone jichoni wengine kwenye maji ya kunywa mbona sielewi!! Njia ipi ni sahihi?
Fuatilia video zangu sikiliza mwanzo mwisho kisha fanya uamuzi nani umuamini na kufuata maelekezo yake.🥰🥰
Naomba utuelimishe kuhusu malanda gani yanayofaa kulelea vifaranga maana Mimi nikiwatoa tu kwenye gazeti nakuwaweka kwenye malanda ya mpunga vifaranga wanapata mafua na wengine kufa je tunayapepeta au njia nzuli ni ipi
@@IsmailMngazija Nitakuja baada ya muda mfupi usijali
Mama Nakupeda sana❤🥰🥰
🙏🙏Nakupenda pia🥰🥰🥰
Kuku mwenye mafua Nampa dawa gan
Nenda dukani
Mmy mim kuku wangu wanaharisha niwape dawa gani
Nenda dukani
Mbona mi walifika tu siku ya pili wakawa na mafua hd znafka wiki tatu
Hayo mayai yalishaathirika kutoka kwa kuku waliotaga.🥰🥰
Vifalanga wadogo wakiwa wanadalili za taifod unaweka dawagani
Hizo hizo tu♥️♥️
Timafamu amitoto unachanganya pamoja au
@@JudithYasco sikiliza video
Shingap hizo dawa
Duh! My dear nikutajie hadi bei ? Wewe utafanya kazi gani?
God bless you
Asante
Nabaada ya kumwaga maji ya chanjo je unaweka maji plan au yenye vitamini?
Maji plain