USINUNUE TENA DAWA ZA KUKU TUMIA MAGADI CHUMVI KUTIBU KUKU,,ufugaji wa kuku, poultry farm in Kenya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 74

  • @AshaShihenga
    @AshaShihenga 3 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana kwa some Zuri. Mimi kuku wangu huwa wanatowa povu kwenye macho dawa nini

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Huo ni upungufu wa vitamin au Wana mafua makali

  • @renatuskiwango753
    @renatuskiwango753 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteni sana waungwana nimejifunza

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Shukrani sana, ubarikiwe

  • @SaidMpole
    @SaidMpole 9 วันที่ผ่านมา +1

    He unawapa vp Kwa kuwanywesha ama?🤔

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  8 วันที่ผ่านมา

      Wanakunywa wenyewe

  • @BenedetaMumbua
    @BenedetaMumbua 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana Kwa mafundisho yenu na waelewa vizuri sana .magadi soda ni Gani ?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Yale ya dukani wanayotumia kwenye kuandaa maandazi

    • @christinainnocent3184
      @christinainnocent3184 4 หลายเดือนก่อน

      Hapana hiyo ya dukani ya kukandia maandazi inaitwa Bicarbonate soda. Magadi yako kama chumvi chafu hutumika sana kulainisha mboga za majani unapopika

  • @mercykimani9741
    @mercykimani9741 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Sana kuku wangu walikuwa na mafuta mingi mpaka hawatagi

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Tumia formula zetu

  • @JaneMwilongo-d7q
    @JaneMwilongo-d7q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Somo zuri sana,barikiwa

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Amina

  • @agripinahrosinah4797
    @agripinahrosinah4797 3 หลายเดือนก่อน +1

    Good lesson.

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Thanks much

  • @LENCERTENYE
    @LENCERTENYE 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante. Kuku zangu zinakoroma kama vile wamebanwa kifua. Dawa ni nini

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน +1

      Wape amoxicillin na Panadol

    • @LENCERTENYE
      @LENCERTENYE 3 หลายเดือนก่อน

      @@KingoFarm1 nawapa kiasi gani. Make kuna kifaranga alikuwa amebanwa sana nikampa amoxil kidonge akachukua dakika tu akafa. Naomba unisaidie

  • @AgustinoKasiani
    @AgustinoKasiani 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Ila nataka niwe kwennye gruop lako la ufugaji

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Tutafute WhatsApp 0712198239

  • @nasrimbaraka341
    @nasrimbaraka341 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza ugonjwa w mdondo huwa nini kichwa tumbo au husababishwa na nini pia hawa wa kienyej kuwafungia ndani siku tele ni sahihi?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Husababishwa na virusi kuku WA kienyeji sio sahihi kuwafungia ndani Kila siku

  • @DEODORATMINANI-fg8hn
    @DEODORATMINANI-fg8hn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa ukweli ninahitaji kitabo hicho( brochure de formation). Njia sahihi ni njia gani ?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Tutafute WhatsApp 0712188239 ukilipia tunakutumia softcopy Kwa njia ya WhatsApp

  • @AGALUSTV
    @AGALUSTV 4 หลายเดือนก่อน +1

    Good sana

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Shukrani sana

  • @christinainnocent3184
    @christinainnocent3184 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi niko America naweza kukutumia hela ukaenda Voda kumpa binti yangu?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna shida wewe tutafute 0712188239 WhatsApp

  • @NickJuma-x4d
    @NickJuma-x4d 3 หลายเดือนก่อน +2

    marketi ni mazuri lakini hujasema dozi au unatumiaje au vipimo vya hayo magadi ni vipi!🤷🏻‍♂️

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Vijiko viwili kwenye maji Lita kumi

  • @sandaymgunyi6268
    @sandaymgunyi6268 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nanaomba kujua tofauti ya magadi hizo chumvi na magadi soda?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Mengine ni ya dukani na mengine ni ya kienyeji

  • @NaomiRamadhani-r8b
    @NaomiRamadhani-r8b 4 หลายเดือนก่อน

    Asanteni sana kwa mafundisho mazuri nina swali je vifaranga vikiwa na vidonda kwenye miguu dawa yake nini?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Ndulele

  • @aishaGuresh
    @aishaGuresh 3 หลายเดือนก่อน

    Wanapewa kia's Gani magadi?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Vijiko viwili kwenye maji Lita kumi

  • @DEODORATMINANI-fg8hn
    @DEODORATMINANI-fg8hn 4 หลายเดือนก่อน +4

    Ninafwata mafundisho yenu. Ni mazuri. Swali yangu ni hii : Ni faida gani kukata mbawa za bifaranga?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Hakuna faida yoyote unawatesa tu kuku

    • @neemaobed1640
      @neemaobed1640 4 หลายเดือนก่อน

      nahitaji mbegu mko wapi mm niko SHINYANGA

    • @EVALSTIGNONDOA
      @EVALSTIGNONDOA 4 หลายเดือนก่อน

      tatzo hampo siliazi na maelekezo yenu

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      @@EVALSTIGNONDOA Kuna changamoto yoyote uliyonayo

    • @BeatriceGodfrey-bd7id
      @BeatriceGodfrey-bd7id 4 หลายเดือนก่อน

      Klj to I'm home tonight😊 to try to Chichester vision

  • @dafrozamhoza4856
    @dafrozamhoza4856 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona simu yenu haipatikani?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      0712188239

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Piga 0712188239

  • @NeemaShilla-c1j
    @NeemaShilla-c1j หลายเดือนก่อน +2

    Samahan hayo magadi tunachanganya kwenye maji au chakula

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  หลายเดือนก่อน

      Kwenye maji

  • @LailatuMohammedi
    @LailatuMohammedi 4 หลายเดือนก่อน +2

    ofisi zenu ziko wapi?

  • @vedastobraitoni
    @vedastobraitoni 4 หลายเดือนก่อน

    Sawa ko kila unapoona kuku anaumwa hata kama sijui anaumwa nn me nimpe magadi chumvi atakaa sawa?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Lazima umchunguze Kwa dalili kadhaa

  • @mercycharlesmsiagi1756
    @mercycharlesmsiagi1756 3 หลายเดือนก่อน

    Nalipia wap niungww uko kwely group

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Tupigie 0712188239

  • @jumanjoro782
    @jumanjoro782 4 หลายเดือนก่อน +3

    Magadi chumvi ni yaleyale wanayotumia binadamu

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Ndio

  • @RuthKuley
    @RuthKuley 3 หลายเดือนก่อน

    Unawapa kiasi gani kwa kuku mia

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Vijiko viwili kwenye maji Lita kumi

  • @evelynakioo7724
    @evelynakioo7724 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nimependa mafunzo yenu nawezaje kuingia kwenye kundi la ufugaji

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Tutafute 0712188239

  • @ndenengokimaro4502
    @ndenengokimaro4502 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona husemi hayomagadi yako yanatumijaje

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza vizuri mpaka mwisho utasikia

  • @FatumaKachenje
    @FatumaKachenje 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kiasi gani kwa kuku Mia na unaweka kwenye maji au chakula

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwenye maji Vijiko viwili kwenye maji Lita kumi

    • @FatumaKachenje
      @FatumaKachenje 3 หลายเดือนก่อน

      @@KingoFarm1 sawa asanteeeeee

  • @MilindiNdela
    @MilindiNdela 3 หลายเดือนก่อน

    Nikwa Nidawa asili nimuimu kuliko za kisasa

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Zote ni muhimu

  • @AishaAisha-vf2ug
    @AishaAisha-vf2ug 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kuku kama wanatoa udende na kuharisha dawa yake ni nn

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Mharo wa rangi gan

  • @MapundaRobert
    @MapundaRobert 3 หลายเดือนก่อน

    Ndio

  • @ErasmiKimario
    @ErasmiKimario 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna kuku wangu uwa ametoa linyama huku nyumba ya njia ya haha kubwa sijajuwa kuwa nitumie sawa gan na uwa kinyesi chake kinanuka kupta maelezo

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Hilo ni suala la utagaji ungejiunga na kundi letu tukupe maelekezo

  • @vedastobraitoni
    @vedastobraitoni 4 หลายเดือนก่อน

    Ko