'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 217

  • @RobertMshiko
    @RobertMshiko 3 หลายเดือนก่อน +62

    Nakupata zivuri rais wetu ujae wasiokuelewa.sijui

  • @godfreykahabi1964
    @godfreykahabi1964 3 หลายเดือนก่อน +69

    Rais halali wa mioyo ya watanzania mhe Tundu Antipas might Lissu🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 3 หลายเดือนก่อน

      Rais wa misukule

    • @priscusaugust7251
      @priscusaugust7251 2 หลายเดือนก่อน

      @@ndogoroedson199Kumalamamaako

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 2 หลายเดือนก่อน

      @@ndogoroedson199 kumbe wewe ni msikule. Ahsante kwa kutuelimisha ndugu msukule mkuu.

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 3 หลายเดือนก่อน +59

    HATA UKIMUANGALIA TU USONI ANAFAA KUWA RAIS ❤❤❤❤

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 3 หลายเดือนก่อน +21

    Tundu Lisu MUNGU AWE Pamoja Nawe

    • @bagumandongwe8566
      @bagumandongwe8566 3 หลายเดือนก่อน +1

      Eti Mungu awe nae, huyo atawaletea sheria zakuhalalisha Ushoga sijui kama mnamfuatilia amaunga mko sana ushoga, muwe makini msipende maneno tu kumbuka siasa ni maneno matumu “UNAYOTAKA KUSIKIA”

    • @NeemaJonathan-d2e
      @NeemaJonathan-d2e 3 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu ndyo anakuwa Raisi just amiini ili ufike hatma yako lazima upitie changamoto nyingi ili Bwana Mfalme WA majeshi amtukuze

    • @NeemaJonathan-d2e
      @NeemaJonathan-d2e 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@bagumandongwe8566labda yake hapa nchini hakuna mashoga?!!hayo muachie MUNGU mwenyewe kwasababu mashoga wapo dunia nzima na matendo ya kulawitiwa Kwa watoto yameshamili mno Tanzania na wabakaji wanaachiwa..huo ni mfumo upo Tu ni kumuomba mungu tu

  • @StephanoMdollo
    @StephanoMdollo 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa kushambuliwa kwako na kuwepo mpaka sasa ni swali kwa adui na mungu hadhihakiwi kila mtu atalipwa sawa na matendo.alianzia mpiga pushapu kulipwa wote tu wapitaji hata msio julikana mtapita

  • @FrankKashamakula-xb1pc
    @FrankKashamakula-xb1pc 3 หลายเดือนก่อน +10

    Kwasasa Lisu ndio mwanasiasa Ambae ana tosha kwa Nafasi Ya Uraisi Wengine wote ni machawa lakini yeye bado ana moyo wa kuipigania Nchi yake Mungu amlinde our next President Ambae ana Maono Yakuitoa hii nchi kwenye Mkwamo wa kimfumo

  • @CharlesKazeze
    @CharlesKazeze 3 หลายเดือนก่อน +43

    Huyu Tundu Lisu unaweza kumchukia shauri yako ila ana akili sana na ni mwalimu mzuri sana jaribu kumfuatilia na kumsikikiza kiila anapoongea

    • @simonnaivasha6393
      @simonnaivasha6393 3 หลายเดือนก่อน

      Amesoma sheria na inamsaidia kuwa utu nu uungwana" courageous "

  • @RajabuMussa-h5n
    @RajabuMussa-h5n 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu akulinde sana ila damu Yako na ya watanzania wingine zitawaumbua sana na zitawatesa sana wanaojifanya miungu watu

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน +22

    ALIUMIZWA VIBAYA KWA AJILI YAKUTETEA HAKI ZA WATANZANIA NA SASA ANATUTETEA🙏🙏🙏🙏🙏

    • @willykomba8376
      @willykomba8376 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu hakutaka afe

  • @dennissamora729
    @dennissamora729 3 หลายเดือนก่อน +17

    Yaani asiyemuelewa Lissu, arudi kwao Kongo! Maana anaelezea kwa lugha fasaha ya kiswahili A-Z na hoja yenye mashiko!

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 หลายเดือนก่อน +9

    Their days are numbered.✌️

  • @jaredayiera3279
    @jaredayiera3279 3 หลายเดือนก่อน +33

    Mithali 29:2 wenye haki wakiwa kw mamlaka Watu hufuraiii zaidi bali Mtu muovu atawalapo watu wanahumia
    16/09/2024

  • @DicksonJaphet-fq7ov
    @DicksonJaphet-fq7ov 3 หลายเดือนก่อน +8

    Tundu 🎉
    Ahsante Sana.

  • @JulianaPetro-b7r
    @JulianaPetro-b7r 3 หลายเดือนก่อน +26

    Sisi siyo watoto wadogo.tunajua sana watekaji na wauaji ni kina nani.tumechoka na hii serikali.

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli afu wanageuza kibao

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@jeunajuatv817 Na tulivyo waoga ndio maana hayaishi haya😢

  • @mshindimshindi9120
    @mshindimshindi9120 3 หลายเดือนก่อน +4

    All the way from Nairobi... I'm going to be there on 23rd

  • @AlexcpetroCpetro
    @AlexcpetroCpetro 3 หลายเดือนก่อน +21

    Vijana amkeni acheni ujinga CCM majambazi kabisa wauniiiiiii wakubwa

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 3 หลายเดือนก่อน +19

    ALAFU KUNA MACHAWA WA CCM WANASEMA ETI CHADEMA WANAJITEKA WENYEWE HII NI AJABU SANA. NA NI MASIKITIKO MAKUBWA.

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 3 หลายเดือนก่อน +1

      💯💯💯💯💯

  • @evaemil856
    @evaemil856 3 หลายเดือนก่อน +24

    Sasa km wenyewe CHADEMA ndiyo wanatekana na kuuwana si ndio vizuri kuleta walelezi wa kimataifa wafanye kazi Yao?

    • @ZawadiElieza
      @ZawadiElieza 3 หลายเดือนก่อน

      😢

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kbs😢

    • @mbwanahasan2971
      @mbwanahasan2971 3 หลายเดือนก่อน

      Yani tatizo husikilizi vizuri ila umejaa uchawa tu kama ungesikikiza vizuri kichwa Yako ingeelewa tatizo ushabiki wa mipira mnaingiza kwenye maisha yenu

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@mbwanahasan2971nadhani kuna kufanana kwa hoja na kupishana katika kuwasilisha. Kama wapo wanaosema hawa wanatendewa sivyo na kujiteka wangeletwa wachunguzi toka nje ya nchi .. serikali haitaki kuruhusu Scotland yard...

    • @reubenbushiri1753
      @reubenbushiri1753 2 หลายเดือนก่อน

      Daah mtihani kweli huu,bora usinge comment tu,shida tunaishi usimba na yanga na ubinafsi.(Kinachompata chadema ccm anafurahia na kinachompta ccm chadema anafurahia

  • @KhalfanJuma-ii4fk
    @KhalfanJuma-ii4fk 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu ni mwema ipo siku ataonyesha maajabu yake na utakuwa kiongozi wa Taifa letu. Amiiini🙏

  • @Euph59
    @Euph59 3 หลายเดือนก่อน +6

    Lisu Antipas, you are the best. Tafadhali unayehoji uongeze sauti next time. Usiwe mnyonge kwenye kuhoji kwani Lisu is a peaceful man.

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 3 หลายเดือนก่อน

      Anaogopa kupotezwa muandishi, so sad!😢

  • @emmanuelmayuma3466
    @emmanuelmayuma3466 3 หลายเดือนก่อน +22

    Hii ni dhahili watawala walihusika,hata samia alipomtembelea LISSU haikuwa mapenzi,kwani Nyalandu aliyeenda kwa mapenzi,alihitilafiana nao.

    • @williammbuzimai5744
      @williammbuzimai5744 3 หลายเดือนก่อน

      Samia siku zile alikuwa bado hajabadirika,

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@williammbuzimai5744Ameshakuwa mwamba sasa!!😮

  • @mselledamas9078
    @mselledamas9078 3 หลายเดือนก่อน +7

    CCM imechoka haifai kuongoza NCHI lisu ni rais ajae

  • @StephanoMbwambo
    @StephanoMbwambo 3 หลายเดือนก่อน +5

    kwakweli mhe tundu lissu mungu azidi kukutia nguvu. maana wananchi wakitanzania mpaka sasa hatuna imani na serikali ya sasa ya kitanzani.

  • @MeliYaMaweBm
    @MeliYaMaweBm 3 หลายเดือนก่อน +8

    Chadema Oyeeeee😂❤

  • @josephmlazier1391
    @josephmlazier1391 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mama ABDUL mwenyewe ajui sisi wananchi tukiamua ubaya ata tunaweza kusema kwa pamoja kwamba yeye sio Rais tuliomchagua hivyo atuachie tu nchi yetu kabla hajaizamisha kusikojulikana

  • @onlythestrong8659
    @onlythestrong8659 3 หลายเดือนก่อน +14

    Tundu Lissu they shot you because they feared your intelligence. Mungu amekuepusha katika majanga kadhaa. Naamini moyoni wewe umetumwa na mwenyezi mungu kuwa mkombozi na sauti ya kukemea maovu wanao fanyiwa watanzania. I am here to support this movement. Mh Tundu Lissu utakapo kuwa Rais naomba kuwe na somo la katiba ya nchi tangu primary school. Hilo litawasaidia watanzania wote pamoja na kizazi kijacho, ili kuelewa ni nini kinatendeka katika nchi yao. Nimegundua kitu kuwa watu wengi haelewi siasa kwa sababu ya mifumo yetu ya elimu.

    • @NeemaJonathan-d2e
      @NeemaJonathan-d2e 3 หลายเดือนก่อน +3

      💯🙌🙌🙌🥰❤️ MUNGU ananjia zake huyu mwamba nibchaguo la MUNGU

    • @GodwinIssack
      @GodwinIssack 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yeah that's Truthful Sir.

    • @GodwinIssack
      @GodwinIssack 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@NeemaJonathan-d2eAmen ❤️

    • @husseynzooh1979
      @husseynzooh1979 3 หลายเดือนก่อน

      True

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 3 หลายเดือนก่อน +20

    SAFI SANA BIG BOSS LISU POINTFULL NO CAP. UMEONGEYA MWANASHERYA WNG🎉.
    CCM WASHENZITU NA POLISI WAO WAHALIFU NALIPO WAZI.

  • @NgajaNgaja-s4v
    @NgajaNgaja-s4v 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hali inatisha sana 😂😂😂

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 หลายเดือนก่อน +23

    Ni CCM ndo watekaji na kuuwa

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 3 หลายเดือนก่อน +3

      Yaani Chadema kila mtu anahusikaje tuu, Wangine Wanasema Jeshi la Polisi na Wengine wanasema ni CCM. Huku kutapataoa bila Ushahidi kutaja watu hovyo ni Dalili za Chama kufa

    • @TNgwale-eu3xl
      @TNgwale-eu3xl 3 หลายเดือนก่อน +4

      @tanzanite9944 Chadema hakifi labda utatangulia wewe!! Kumbuka ulikuwa mkakati wa Mwendazake na Waandamizi wake kama kina Dr Bashiru kuua vyama vya upinzani hasa CHADEMA. Leo hii Mwendazake hayupo; baadhi ya watu wake wa karibu ktk ofisi yake hawapo; CHADEMA na watu kama, Mh Lisu wanaendelea na harakati za kuleta mageuzi. Hivyo wewe sio Mungu na CCM sio Mungu wa kuamua hatima ya mtu au Chama chochote kile.

    • @oswaldtemba2770
      @oswaldtemba2770 3 หลายเดือนก่อน

      Acha kuongea utumbo.watu wanauwawa.hilo hilioni umazungumza upumbavu.tutusa kweli wewe.​@@tanzanite9944

  • @The1979bornagain
    @The1979bornagain 3 หลายเดือนก่อน +10

    Mtazangazi Leonard Mubali, sauti yako wewe haisikiki. Washa mic yako usikike vizuri

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 3 หลายเดือนก่อน +14

    Kujua Sheria ni jambo jema sana sikia uchambuzi huo

  • @BenedictKadege
    @BenedictKadege 3 หลายเดือนก่อน +6

    My presdent 2025

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 3 หลายเดือนก่อน +5

    Brother intelligent very

  • @BarakaSimon-xy9mp
    @BarakaSimon-xy9mp 3 หลายเดือนก่อน +3

    Top 2 genius in world

  • @AlexcpetroCpetro
    @AlexcpetroCpetro 3 หลายเดือนก่อน +6

    Waambie Rais wetu tuna kuku bali sana

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 หลายเดือนก่อน +28

    Hivi Samia watoto wake wangeshambuliwa angenyamaza? Nanyi fanyeni defence yaani mjilinde? Muanze na watoto wa Samia

  • @B23-i8p
    @B23-i8p 3 หลายเดือนก่อน +3

    Good point, Hakuna Sheria inayo sema Chadema wauwane,na wakiuana wasifanyiwe uchunguzi,hii ni kuwapakazia na kuwa hadaa wananchi tu

  • @walterbhoke7935
    @walterbhoke7935 3 หลายเดือนก่อน +3

    waziri wa ccm hawezi kutunga kanuni Bora za uchaguzi Kwa vyama vya siasa

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho😢

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu 3 หลายเดือนก่อน +6

    Dr Tundu Antipas Mugwayi Lisu

  • @DanieliLaizer-r2k
    @DanieliLaizer-r2k 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ni hatari sana kwa nchi yetu tunakoelekea lakini kwa Hali hii Kuna siku maalumu kisiyo na jina itaisha tu kwa lipi kwa kisasi hiki na tunakoelekea one days

  • @BarakaSimon-xy9mp
    @BarakaSimon-xy9mp 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa ccm hawamuwez hata kidg upeo wake wa akili ni mkubwa sana namweka kone top 2 y a very intelligently man in the world...

  • @sylivestersalatiely8985
    @sylivestersalatiely8985 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu imara zaidi daima Tanzania,Tundu Antipas Lissu.

  • @Yussuf-b3b
    @Yussuf-b3b 3 หลายเดือนก่อน +7

    Huwa najiuliza kwanini MH TUNDU ASIWE RAIS WA TANZANIA KWASABABU ANA UJUZI NA ELIMU KUBWA ,HONGERA MH TUNDU KWA ELIMU YAKO WEWE NI MZALENDO NA MKOMBOZI WA TAIFA LETU

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 3 หลายเดือนก่อน

      SABABU NI KIBARAKA LABDA DIWANI 😢

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 2 หลายเดือนก่อน

      @@OmmyJames-xn7ji wanaouza bandari na rasilimali zetu kwa waarab ndio vibaraka akiwemo Samia

  • @gabrielsanya3278
    @gabrielsanya3278 3 หลายเดือนก่อน +6

    Rais Samia anataka urais kwa DAMU za WATANGANYIKA? Mbona hatujasikia Wazanzibari wanatekana na kuuana? Kama uhai wa WATANGANYIKA hauna thamani basi NI Bora ajiuzulu madaraka yake ya urais na ikibidi arudi kwao Zanzibar akasaidiane kuwateka Wazanzibari wenzake.

  • @DausonShensherwa
    @DausonShensherwa 2 หลายเดือนก่อน

    Mh tundu mungu akutunze maisha unatufaa sana

  • @AnaniaIsaya-z9g
    @AnaniaIsaya-z9g 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka mkuu LISSU
    MUNGU AKULINDE

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 3 หลายเดือนก่อน +12

    Mahakama hazisaidii maana zimejaa majaji na mahakimu machawa. Hawafanyi kazi kwa weledi bali kwa kuchumia matumbo yao

    • @louisnyoni4139
      @louisnyoni4139 3 หลายเดือนก่อน +2

      Na ni makada wa CCM na sio kwamba hawajui Sheria ila wanaelekezwa wafanye nini na hawana namna maana hawana pakushikiria zaidi ya CCM, uliona wapi kada wa CCM ndio msimamizi mkuu wa uchaguzi na wakati yeye ni mnufaika?

  • @StevenWimbe
    @StevenWimbe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu yupo nasi

  • @Abs-tz8dl
    @Abs-tz8dl 3 หลายเดือนก่อน +5

    Free Tanzania

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 3 หลายเดือนก่อน +8

    Siku moja itafika watawajibishwa tu hata kama watakuwa wamestaafu na kuwa wazee vibogoyo. Itabidi walipe kama wahalifu wengine wanavyolipa kwa uhalifu wao. Hakuna mwanzo usio na mwisho wala marefu yasiyo na ncha

  • @LuganoMwakalinga-p3k
    @LuganoMwakalinga-p3k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmm aisee ana vitu vikubwa sana huyu mtu,Mh Lisu neema ya BWANA wetu YESU kristo ipitayo akili za watu wote ikufunike wewe pamoja na familia yako na Mungu atufanyie mpenyo watanzania kupata kiongozi kama huyu.

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 3 หลายเดือนก่อน

    Tundu lisu🔥🔥🔥🔥

  • @jaredayiera3279
    @jaredayiera3279 3 หลายเดือนก่อน +6

    Luka 3:14,
    Askari Nayo wakamhukiza sisi nasi tufanye Ninii Akawambia Msithulumu Mtu awe yeyotee wala kumshataki kw uwongoo na mutozelewe na msahara wenuuuuu
    16/09/2024

  • @LazaroJohn-n2l
    @LazaroJohn-n2l 3 หลายเดือนก่อน +3

    Dar mpaka mwandishi mwenyewe amemkubali lisu ni mwamba

  • @JoelRichard-hj3bi
    @JoelRichard-hj3bi 3 หลายเดือนก่อน +5

    HII HAINA KUPEPESA MACHO,CCM NA POLICE NDIO WAHUSIKA WENYEWE WA KUUA,HII DHAMBI NI YA RAIS MWENYEWE.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน +5

    KWA JINSI HIYO KAMA NI CHADEMA WANAUA AU POLISI BASI SCOTLAND YARD NDIO MUARUBAINI

  • @driss4957
    @driss4957 3 หลายเดือนก่อน +8

    Lisu Kabali yao,nyeusi anasema nyeusi.

  • @JemisKileto-z4v
    @JemisKileto-z4v 3 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu shujaa anafaa kuwa rais na anautu wakibinadamu

  • @JulianaPetro-b7r
    @JulianaPetro-b7r 3 หลายเดือนก่อน +5

    Du ! Nakutegemea mwanamke kuwa na roho ya uuaji kama vile.mwanamke anayezaa kwa uchungu.

    • @daviddsouza735
      @daviddsouza735 3 หลายเดือนก่อน

      Na anayetoa mimba?

  • @yasserahmed9420
    @yasserahmed9420 3 หลายเดือนก่อน +2

    Umeelewekaaaaaaaa

  • @mshumbusideogratias9567
    @mshumbusideogratias9567 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mubar mtu makini sana mm nimekozoea kwenye simulizi za rk

  • @JosephRugafunga
    @JosephRugafunga 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ilikuwaje makosa kuweka wagombea pamoja na mawakala wenu na nchi ni ya vyama vingi

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli wa msemo kuwa kila analoweza mwanaume mwanamke anafanya vizuri mara mbil ndicho kinatokea Tanzania ,hongera mheshimiwa John Magufuli!!

  • @HamisiSamweli
    @HamisiSamweli 3 หลายเดือนก่อน +9

    My president 2025

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 3 หลายเดือนก่อน

      Not only yours !! Its ours with effect from 2020.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acha drama zako Lissu😢Unatafuta kura tu😅

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona inaonekana kama nchi nzima chama tawala ni wachache sana tofauti na zamani randomly research inaonyesha ni ndugu jamaa tu lakini majority siyo wengine ??? Aisee Sina chama lakini na hofu kubwa sana ya uwezekano wa tawala mpya

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa hiyo sheria inawalinda watu wa CCM tu. Wanauwa watu kuvuruga usalama sasa wanaitwaje watu wa usalama wakati wanajifanya wa usalama wa taifa. Wauwaji wanajificha katika vichaka vya usalama wa taifa na polisi. Vyote hivyo vyombo ni wauwaji wakubwa sana

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ccm ni washenzi wasio staili kuishi Karne hiii

  • @MosMan444
    @MosMan444 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mwandishi, maikrofoni yako betri low imeisha charge eehhee!
    Siku nyingine mjiandae vema.
    Maikrofoni test 1...2..3 fuu, fuu, fyuuu! Pia mmeshindwa!
    Take care!

  • @shmohd11
    @shmohd11 3 หลายเดือนก่อน +6

    Na viongozi wa dini ya Kiislamu je? Msiwe na ubinafsi, jumuisheni na wale wa kidini

  • @khalfannahayimbekwa1440
    @khalfannahayimbekwa1440 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hivi watu wabaya hawawezi kutumia gari la polisi,? Kwakuwa tuna nchi jirani zetu katika uchunguzi,hivi ni kweli kuna kitabu alichoandika katibu mkuu wa chama cha chadema, wa zamani mwenendo wa chama na uongozi wake,tundu Lissu kitabu hicho umekisoma?kama umekisoma unasemaje kwa kuwa imeeleza km chadema wanayekana wao wenye kwa wenye,ili kuwashawishi wananchi wawe na kutokuwa na nidhamu kwa Serikali inakuwa Madarrakani,?

    • @Abs-tz8dl
      @Abs-tz8dl 3 หลายเดือนก่อน

      Yani watu wabaya wanatumia magari ya polisi na silaha kubaka wapinzani wa chama cha udikteta na ujamaa nchini tanzania? Kwelin unaamini hivyo?? Umaskini nchini tanzania hautotatuliwa kwa kukkalia mikono na kuzima akilli yako.

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 3 หลายเดือนก่อน

      Khalfan,haya maovu hayakuanza Leo au jana,toka uchaguzi wa awali wa vyama vingi,wengi mno wa wafuasi wa Upinzani wamepigwa,wameibiwa,wamenyanyaswa na hata KUUWAWA.Lisu yuko sahihi

    • @dennissamora729
      @dennissamora729 3 หลายเดือนก่อน

      Uns akili kweli we?

  • @NyumbayaWakfukkoo
    @NyumbayaWakfukkoo 3 หลายเดือนก่อน +1

    HALI KISIASA NZURI ILA NYINYI MNACHAFUA KWA VITENDO VYENU VYA UTEKAJI LISU ACHA FUJO WW NI MKONGO UNALETA FUJO NCHI ZA WATU KWA UROHO WA MADARAKA . URAIS UPATI NA HAUPATIKANI KWA NJIA HIO

  • @sangewangoya1182
    @sangewangoya1182 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sio kila kifo ni kifo tu!

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kama Uhasama, sorry, usalama wa taifa wana mamlaka ya kukamata, kwa mujibu wa sheria mpya, lazima waue. Ni kama magaidi. Hawana mahabusu wala magereza. Hivyo, suluhu ni kuua. Mchezo huu unaanzia kwenye uislam ambapo kuna baadhi waliaruhusiwa kuua bila kuwa na dola kwa sababu, logically, hawakuwa na mahali pa kuwatunza watuhumiwa. Lissu umenikumbusha John Troon wa Scotland Yard alivyombaini Moi akaamua kumfukuza na kuua ripoti ya tume ya uchunguzi aliyoiita mwenyewe. Kwa kukumbushia, hata uchunguzi wa vifo vya Edward Sokoine, Horace Kolimba, na Daudi Balaa sorry Balali haujawahi kukamilika. This is Tanzania or TIT.

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 3 หลายเดือนก่อน

      Duuh hatari aisee, sema ile sheria mpya ya mwaka Jana ni kiama aisee Idara ya usalama wa taifa haiwajibiki mahala popote pale na Wala ukikamatwa huna mahala popote kwa kwenda kuishitaki....Nadhani ni Tanzania, Korea kaskazini, Russia, China,Cuba,Venezuela ndo Zina sheria mbovu Kama hii ya kwetu kuhusu usalama wa taifa(So sad aisee, yote ni sababu ya wanasiasa kujiimarisha kiutawala).

  • @daviddsouza735
    @daviddsouza735 3 หลายเดือนก่อน +2

    Viongothi wa thithiemu, na wengine wa chatema kuna mambo mengine midogo hayahitaji chama au siasa ili kupambana nayo Mifano- usafi wa mazingira. Ukasanyaji wa taka.

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi pamoja na matamko mbalimbali ya viongozi wa dini na wadau mbalimbali kutaka uwajibikaji ufanyike Bado tu wahusika wapo ofisini na hata aliyewajiri hasemi lolote nao sasa wanalalamika. Sasa tufanyaje? Haki tuidai Kwa Mungu Kwa kuwa ndo muweza wa yote "Amina".😅

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 3 หลายเดือนก่อน +4

    Polisi, Usalama Wa Taifa, Mahakama ni taasisi za serikali zilizo na watu wa ovyo mno. Soulless people. Devils and Monsters in human form

  • @SDM2024-z4s
    @SDM2024-z4s 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu lissu fala kwl,sasa kisa mtu anajitambulisha kuwa ni polisi ndo polisi au.. Acha ufala ww uraisi sahau mzee

  • @lgf7297
    @lgf7297 2 หลายเดือนก่อน

    Mwaka 2019 walienguliwa kikwelikweli matapeli na vibaka waliobaki CHADEMA waksjitoa wenyewe

  • @EmanuelMbandi
    @EmanuelMbandi 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wananchi inatakiwa tujilinde sisi mtu akitekwa tumtafute sisi tumalizane naye

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 3 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU AKUPE AFYA LISSU HAKIKA TUNAIMANI NA WEWE TUVUSHE

  • @LukasaNgawo
    @LukasaNgawo 3 หลายเดือนก่อน +2

    😂

  • @Abs-tz8dl
    @Abs-tz8dl 3 หลายเดือนก่อน +2

    Free Zanzibar

    • @kaguripenina63
      @kaguripenina63 3 หลายเดือนก่อน +2

      Free tanganyika

  • @louisnyoni4139
    @louisnyoni4139 3 หลายเดือนก่อน +1

    Katika jambo hili kama kweli tuna dhamira ya kweli na tunakerwa atufurahishwi tunataka kukomesha haya mambo tuonyeshe Kwa vitendo kama kweli sio mnajuana.

  • @songeza
    @songeza 3 หลายเดือนก่อน

    Ulikuwepo walivyovaa nguo za police we hujui kama wengine huiba nguo za jwtz au police acha hizo hasa unataka wakwambie wewe uchumguzi unafanyika siku moja

  • @MohsenAljahwary
    @MohsenAljahwary 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uchunguzi wako Tundu Lissu acha kudanganya watanzania Mleteni Driver wako aliyekuwa nawewe wkt unapigwa hizo Risasi Feki mmemficha wapi inasemekana yuko Nje ya nchi basi aje akamilishe ushahidi hamjamleta.Nna wasiwasi nae mmemuuwa pia ili asije akasema ukweli hayo mapmbo mnayoendelea kupanga.

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 3 หลายเดือนก่อน

    Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana hao polisi 2025. Polisi watapiga saliti kwako. Watakuja wakitafuta uchawa. Tundu Lissu usije ukajikuta unawakubalia wachawa. Raisi Tundu Lissu utawale kwa sheria na kanuni .

  • @ukweli255
    @ukweli255 3 หลายเดือนก่อน +1

    Vitu kama hivi kuna WANANCHI hawawezi kuvisikia kamwe...Je tunaopata nafasi ya kuyasikia na kutambua yanayosemwa tunachukua hatua GANI

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yan staona sababu za kugombea au kushliki uchaguz kama katba ita endelea kua hii hii

  • @VeroJulius-s4y
    @VeroJulius-s4y 3 หลายเดือนก่อน

    Ndomana walipotaka kukuua mungu alipigana nao na hatimae unaendeleza kututetea hakika mungu anajua kumwinua mwenye haki

  • @BakariJuma-s8v
    @BakariJuma-s8v 3 หลายเดือนก่อน

    Eshima kwako mh lissu

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yan nyinyi mna shindwa kumhoji samia maswali mnawaswali watu ambao hawaja ishika dola skupoteza mda huko hamtaki kuhoji juu ya bandar na watuwanao tekwa hovyo mna kaa kutafuta tafta vya kuahoji upinZan.

  • @songeza
    @songeza 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hana hata uwezo wa kuwa rais wa tanzania mgombanishi hafai hata

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 3 หลายเดือนก่อน

      Unajigombanisha mwenyewe bhn 😅😅😅😅

    • @GodwinIssack
      @GodwinIssack 3 หลายเดือนก่อน

      Sio tatizo lako bali kuelewa na kusema hivyo, bali tatizo nilawale walio kufanya kuwa imbecilization people nawe ukakubali hivyo.

    • @FidesKimati
      @FidesKimati 3 หลายเดือนก่อน

      Naunga mkono hoja yako,,maneno ya huyu siku zote ni ya kichonganishi. Yaani anahamasishaga vurugu,na hii tunaelewag wachache,

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 3 หลายเดือนก่อน

      @@FidesKimati hizo vurugu zimetokea lin

    • @GodwinIssack
      @GodwinIssack 3 หลายเดือนก่อน

      @@FidesKimati sasa kama sio uwendawazimu nini, wapi ametamka kwenda kufanya vurugu au ndio ushilika wenu wa ibilisi shetani mlaanika ccm unawachanganya enyi imbecilizations people!

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน +2

    TENA MSIBA MZITOO. MAANA NI KILA WAKATI

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 หลายเดือนก่อน

    Stop being brainwashed.Lissu siyo kiongozi wa kweli. Tutajuta😢😢

  • @FidesKimati
    @FidesKimati 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani mke wa huyu jamaa hanaga amani kabisa na maisha maana maisha ya huyu mumewe ni ya hatar tu,.. hapo hajapona vizur lakin bado anachokoza moto.

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa c mjichunguze wenyewe maana mlijishambulia wenyewe

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 3 หลายเดือนก่อน

      Kichwa kimejaa mavi

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 3 หลายเดือนก่อน

      Kopo

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 3 หลายเดือนก่อน

      Kichwa kimejaa ushuzi

  • @erickjosephat863
    @erickjosephat863 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo mpaka mahakama nayo amna kitu ni muhimili unaojitegemea lakini kwa ualisia akuna lolote