Pole sana kaka mm pia nimepitia mambo mengi sana Korea ya kaskazini Hali ya hewa barid sana Sheria ngumu sana ata ibada ufanye kwakujificha nimerudi bongo kumenishinda#
huyu mtangazaji hawezi kumuelewa kikeke, kuna hatua kwenye maaisha unatafuta self actualization huyo jamaa yupo kwenye hizo level , huyo shida kashazivuka zamani sana
Self actualization ni level ya juu kabisa kwenye theory of needs mfano wa watu waliofikia ni bili gate etc... At this stage unakua huna dream yeyote coz anything unapata at anytime... Salim is still ambitious
Kila mtu anakua hivyo mpaka akifika Ulaya ndiyo atakuja kumuelewa. Nilivyoenda UK visa yangu iliniruhusu kwenda na familia. Lakini nikaamua niende kuangalia nikakutana na mnigeria akaniambia hakuna maisha utakujakuwaharibu wanao. Imagine Baba na Mama wanapishana mlangoni moja anafanya kazi mchana na mwingine usiku.
Nilikuaga naangalia dira ya dunia kwa ajili ya Kikeke 🔥🔥🔥 zile bashasha zake kwenye utangazaji! Kikeke atabaki kuwa mtangazaji bora kabisa kuwahi kutolea ktk tasnia ya utangazaji
Uhaibuni kunachosha nimeishi USA 10th years Canada 15th years sasa nilivyo choka hizi nchi natamani ardhi ipasuke niingie, najitayarisha kurudi home for good.
Yaan anachokiongea ni ukweli mtupu juu ya maisha ya nje km hujazaliw nayo huyawez hakuna maskan wala kijiwe huku, umekwend kazin unerudi nyumban huna jirani wa kutia stori kila siku unawaza jambo 1 tu kazi...sasa maisha yt ya afrika hayapo ivo
Yupo sahihi anaposema kuchoka hasa katika kazi za mashirika na Taasisi hasa za redio asikuambie Mtu .... Unafanya kazi unatamani ukatishe mkataba ukae bila kazi ... Media Zina vitu vingi sana watu hawajui ..... Binafsi nimemwelewaa sàna
Kikeke pamoja wabadilishe madogo wengi wenye midia wanapangiwa vyakuongea ert tu atakosa ulaji halafu na machawa wengi sana wamidia Kikeke naona utawabadilisha sana wajifunze kutoka kwako nakufatilia
Huwezi kuelewa kama haujapitia maisha ya loliness,huwezi kuelewa kama haujapitia maisha ya upweke. Ukishapitia maisha ya kikeke huko ughaibuni ndio utajua thamani ya kuwa hapa Tanzania. Bongo pamechangamka sana,pako very social hapana mbambamba,mchanganyiko wa watu na maishs kama hayo.
DIZZIM ni ya Sallam Sk Kipara, mmeuliza mmejibiwa kuwa Boss wa Crown ni Alikiba, ila bado hamjakunwa. Hamtaki kukubali kuwa Alikiba ndio mmiliki wa Crown. Basi Crown ni ya Diamond 😂😂
Ni sawa kikeke ugenini kunachosha nyumbani kutabaki kua nyumban Allah akubarik insha allah
Pole sana kaka mm pia nimepitia mambo mengi sana Korea ya kaskazini Hali ya hewa barid sana Sheria ngumu sana ata ibada ufanye kwakujificha nimerudi bongo kumenishinda#
Mtu wa maaana kabisa huyuuu salim mwana wa kikeke big up
Nakuelewa sana Salim, nilifika Hali ya kuchoka sana , upweke mwingi na kutamani kurudi TZ nikiwa masomoni Uingereza.
Ila Kikeke my brother..... Your voice is so unique, surely you are blessed!❤
Kaka Salim naamini kabisa nyumbani kwanza,ipo siku Mungu ataitanua tu hiyo Crow na kuwa kubwa zaidi ya zingine.Barikiwa sana.
Mtangazaji uko vizuri "shikilia hapo hapo" utafika mbali✔️✅
Tena mtulivu kabisa
Jaman kweli ht mm niko oman nimechoka nataka rud lkn mtu hawez nielewa ntapofika bongo ntakuwa huru sn hasa msosi hali ya hewa familia
Karibu Sanaa nyumban
Dah naelewa sana maisha ya uko Kuna rafik angu anatamani arudi Tz lakini hawez yupo chiñi Yao wahuni
Ulaya au American tukatafute pesa tu ila maisha mazuri na ya kupata amani haswa ukiwa na hela ni nyumbani tu👊👊
Ni kweli kwa sababu pesa zetu madafu.
Kweli braza
Nikweli kabisa
Aswaaaaa
Salute kwako uko vzr napendaga Sana kuskilia vipindi vyako
Hongera sana kaka kwahatua kubwa sana MUNGU akubaliki
ALIKIBA ATAWATESA SANAAAA😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂 this make me laugh in ZigZaga way
Hongera sana. Kaka nakukuballi Sana sana , sasa nitakuwa nakuona. Tena ,karibu nyumbani
Namkubali sana Kikeke pia anajielewa❤
Big up Like✅
Sauti yake nzuri Mashallah. Mungu amtunze.
Salim Kikeke ni mtaalamu wa kazi za utangazaji na habari kwa pasent 100% Apewe heshima yake.
Salim mungu atakuongezea zaidi kwa jitihada zako,
Mungu with capital M
huyu mtangazaji hawezi kumuelewa kikeke, kuna hatua kwenye maaisha unatafuta self actualization huyo jamaa yupo kwenye hizo level , huyo shida kashazivuka zamani sana
Nakuelewa
Anaweza kuwa anaelewa, lakini kwa muktadha wa kipindi lazima amdadisi zaidi Ili kuchochea hoja kwa maslahi ya watazamaji!
Self actualization ni level ya juu kabisa kwenye theory of needs mfano wa watu waliofikia ni bili gate etc...
At this stage unakua huna dream yeyote coz anything unapata at anytime...
Salim is still ambitious
@@rodgersgregory7198😅😅😅✔️
kakaa sorry level ya self actualization ni top top level ya ubinadamu ....
Akili ndefu sanaaaaa kiKeke hongera, aseee
Kweli kikeke ndio boss namjua vizuri Sana💯👑👋
Tayali umemjua asee!!.😂
😂😂😂😂@@mbijimbiji1447
kaka kikeke kaongea point sana kwa asiyejuwa nnje kukoje anaweweza akashangaa lkn kuishi nyumbni ni raha sanaaa
100000% true
We are suffering in here
Triangle life style inachosha mwili mapaka akili 😢
@@BabaFarzan-ml4er kabisaaaa yani uhuru piya hauko vizuri daaaah aiseeee kaka kaongea kitu sana nyumbani bana ni nyumbani freedom yakutosha kabisa
Kila mtu anakua hivyo mpaka akifika Ulaya ndiyo atakuja kumuelewa. Nilivyoenda UK visa yangu iliniruhusu kwenda na familia. Lakini nikaamua niende kuangalia nikakutana na mnigeria akaniambia hakuna maisha utakujakuwaharibu wanao. Imagine Baba na Mama wanapishana mlangoni moja anafanya kazi mchana na mwingine usiku.
Kuishi nyumbani ni raha kama hujatekwa
Nyumbani ni raha kama una hela bhana
Ni kweli kabisa furaha ya moyo ni kila kitu,maisha ya nje ni Upweke sn
Nakubaliii bro salim
Kaziii ifanywe huyu ni mubobezii
Anajua Mambo Hakurupukii
Nyinyi wa Tanzânia Muna unafiki sana, uku kwetu Mozambique 🇲🇿 kuwa na mídia ni kitu chá kawaida sana, musizalau Alikiba ivyo.
Hyo ni Mozambique sio bongo . Elewa maana ya media . Naona ww unaongelea online Tv hyo hata baba levo anamiliki
Mi nakuelewa sana kikeke si tuliyo nje tunajuwa hayo ndio pesa tunapata lakini nyumbani ni nyumbani
@@ibbyikh1788 ksbisaaaaa
Nilikuaga naangalia dira ya dunia kwa ajili ya Kikeke 🔥🔥🔥 zile bashasha zake kwenye utangazaji! Kikeke atabaki kuwa mtangazaji bora kabisa kuwahi kutolea ktk tasnia ya utangazaji
Umesema ukweli ndugu 👍
Kabisaa na mm alivotoka kikeke naangalia kwa kuvizia, halafu nlikuwa napenda akiwa na yule dada jina nmemsahau
@@alexemmanuel3804 - Zuhura?
@@alexemmanuel3804 Zuhura yunusi
@@alexemmanuel3804wanamuita Zuhura yunus😊
Uhaibuni kunachosha nimeishi USA 10th years Canada 15th years sasa nilivyo choka hizi nchi natamani ardhi ipasuke niingie, najitayarisha kurudi home for good.
Unajua maana ya 'th' baada ya namba lakn?
@@rumdeesonsoa1811 he must be here here in mbagala
Kwa sentensi hizo za 10th na 15th wewe ni wa hapahapa tu. Acha kudanganya watu
@@haroldemmanuel6259 ni mbulula
😂😂😂
East or west home is best
Namkubali sana huyu brother
Kumwelewa kikeke hadi uwe umeaoma Cuba
Hio ni cloud tu 😂😂😂 hakuna nyingine 😅😅
Hivi tuongee tu ukweli Alikiba anamlipa mshahara salim kikeke 😂😂😂😂
Nyooo, Hana mbavu hizo
Uyu jamaa ana kauli nzuri sana namkubali
Ukisoma Quran na ukaijua mtu uwa na busara sana na kauli nzr
Salim🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Maisha ya huku ugaibuni ningumu kumuelezea mtu alie nyumbani Tanzania we’re tired of loneliness
Kweli ndugu upweke mkubwa
Yaan anachokiongea ni ukweli mtupu juu ya maisha ya nje km hujazaliw nayo huyawez hakuna maskan wala kijiwe huku, umekwend kazin unerudi nyumban huna jirani wa kutia stori kila siku unawaza jambo 1 tu kazi...sasa maisha yt ya afrika hayapo ivo
Namkubali sana Salum kikeke
Huyu hayuko huru kuongerea mipaka ya kazi lakin kule alikuwa anatangaza taarifa zinazompa maumivi kwenye bara lake la Africa
Kikeke ana nyookaga sana big up brother
Dizzim your beef with alikiba goes way back...considering your boss 😅😅😅😅 nice try!!!
Good jobs Mr
Salim mtuu mzuri sana anaga shida namtuu
Kikeke ndie mmiliki wa crown king kiba n brand tu
Uko sahihi
Unavyonyoosha maelezo kama ww ndo unasaini mikataba yao.
Kusaga mwenyewe kasemaje kuhusu wasafi
😂😂😂😂😂😂@@charlesmassatu823
@MrishoMamb😂😂😂😂😂😂o
Anachosema Salim ni sawa Kuna mda unachoka kufanya kazi sehemu moja
Hapana sio kuchoka kufanya sehemu, maisha ya nje ni ya upweke sana, hii huwezi kuelewa mpaka uwe unaishi nje, vitu vingi vinakupita
Maisha ya nje ni ya upweke sana, sisi tuliopo nje ndio tunamuelewa vizuri.
@@salimsalimali8285Mbona mim naisha Tanzania na bado naishi maisha ya upweke?
@@salimsalimali8285 ww upo nje sehem gan.. Mm nataman kuyajaribu japo kdogo. Nitafanyaje nikuje.. 😢
Yupo sahihi anaposema kuchoka hasa katika kazi za mashirika na Taasisi hasa za redio asikuambie Mtu .... Unafanya kazi unatamani ukatishe mkataba ukae bila kazi ... Media Zina vitu vingi sana watu hawajui .....
Binafsi nimemwelewaa sàna
Dizim c ya babu tale,, ni ya Salam sk
Safi Sana broo kikeke
Mmi nakuelew sana kikeke nyumbn ni nyumbn tu
Kweli kabisa maisha ya nje yanachosha nipo Holland 🇳🇱 hakuna changanyikeni ya nyumbani Tanzania
Kikeke pamoja wabadilishe madogo wengi wenye midia wanapangiwa vyakuongea ert tu atakosa ulaji halafu na machawa wengi sana wamidia Kikeke naona utawabadilisha sana wajifunze kutoka kwako nakufatilia
Hii dizim online ni ya Akina Salam sk so lazima walete uongo hapa😂 crown ni ya king kiba
Sikiliza alichojibu alipoulizwa kuwa anahisa pale,
Redio ni ya king kiba hizo propaganda za watu weusi tu wenye roo mbaya na wasiyo mpenda king kiba
Hapana siyo ya King Kina. Ni Siri kubwa huwezi kuelewa. Nitafute Inbox nikueleze.
Nyooo dhubutuuu mwenye crown yake ndo huyo
Mimi nakuelewa kabisa rafiki yangu...imenitokea pia
Salim Kikeke yupo really kanyooka kabisa
Tukumbuke alishakuja huku akatafuta hela zake saivi amerudi nyumbani5. Kwa hata sisi pia tutaenda tutafute then turudi zetu
Nakukubari sana mtangazaji kikeke
Huyu ndie boss wa crown yule alikiba kawekwa tu alama ili alinganishwe tu mond
Sasa sisi tunajua mumiliki wa wasafi tv na wasafi fm ni Joseph kusaga so hayo ya kulinganishwa kiba na mond sjui inakujaje apo
Kama vile wasafi media na Joseph kusaga
Wa bongo roho za korosho
Au cyo kwamba mnaweza kujua hali na vipato vya watu sio?
Nenda WASAFI
Nmekuelewa sana ila kwa anaetamn kwenda USA or Uro hawez elewa ila mwaka tu ! Atataman kitambaa Tabata😂😂
Apo mwanzo mashabiki wa kiba mlikuwa mkimbeza diamond kuusu wasafi media Leo hii nanjie mnaambiwa media Siya alikiba mnakasiliki na wengine kupaniki
Muwe munaheshimu Bland za watu! Awe boss auu asiwe hawahusu
Imeshavuja bado wasafi yupo msauzi mbaka selekali lmewekezwa akuna shhida
Huyu mtangazaji anajua kazi yake anaeweza mfanyia interview hata Rais
Kikeke namwelewa sana 😂😂
Nipo hpa uholanzi Lakin akili ipo bongo😂
Yani anamuhoji kikeke utasena ana anawahoji watoto wenzie yani hayo maswali ndo ya kumuuliza kikeke kweli jamanj si uchuro huu😢
49% Salim 51% Ali due to foreign investors
Na Mchengerwa
Nimeona pia ana mradi WA kuuza viwanja nk😂
Azam haoo😊😊😊
Your really talking boy
Nyumbani ni nyumbani kaka
Nimefutahia mazungumzo Yako really taking nice sound
Nyie mnaongea sana hila mmemsahau mstaafu Kikwete yeye ndio mdhamini na ndio kila kitu
Magaribi kusini kazkazini mashariki nyumbani ni nyumbani karibu nyumbani ndugu salimu nilikuwa shabiki wako mkubwa sanaa ukiwa BBC
SK si nilikuambia siku
Ile London kwenye kipindi vyakula ni baridi😂😂
Wewe mwandishi mbona hutou sauti embu msikie huyo unaemhoji anavooongea kwa energy
Ndio wajifunze utangazaji,, kikeke yani kashakuwa automatic. KIJANA anaogopa hata kumuhoji
Dizzim Online ni ya Babu Tale, sishangai akimdiss Alikiba...
Ni ya sallam
Kweli ila ameamua kuweka jina la kiba makusud ila ni yake
Mbona kama huuyu mtanfazaji haja jipanga hivii huwezi kumuhoji mtangazi mkubwaa kama huyuu
Tukomawewe kikeke
ZINGATIA SENTENSI”ME NAPATA SIMU NYINGI SANA SALIM ME NATAKA KUJA KUFANYA KAZI NA WEWE” 😎tumia akili mtu wangu kuelewa dunia na watu wake
Huyu ndo c.i.o wakampun
Uyu bado kuna kitu anakificha kilichomfanya arud tz sio kuchoka chakula
Huezi kuelewa ila nje kunachosha. Mambo kama haya walioshi nje tu ndo wanaelewa tena walioishi muda mrefu
@@eyeonnature4022Mbona mim naishi nchi niliyozaliwa lakn nimechoka?
Alipo muhoji muheshkmiwa ndo kapotea
Huwezi kuelewa kama haujapitia maisha ya loliness,huwezi kuelewa kama haujapitia maisha ya upweke.
Ukishapitia maisha ya kikeke huko ughaibuni ndio utajua thamani ya kuwa hapa Tanzania.
Bongo pamechangamka sana,pako very social hapana mbambamba,mchanganyiko wa watu na maishs kama hayo.
DIZZIM ni ya Sallam Sk Kipara, mmeuliza mmejibiwa kuwa Boss wa Crown ni Alikiba, ila bado hamjakunwa. Hamtaki kukubali kuwa Alikiba ndio mmiliki wa Crown. Basi Crown ni ya Diamond 😂😂
Wasafi no 1 Tanzania
Maohijiano mazuri mwelevu unaelewa vizuri kabisa
Tumeshaajir watu wa kutosha, napata simu nying waje kufanya kz pamoja na mimi 😂😂😂 tumia akili mtu wangu huyu ndio mwenye crown fm
Lawama zangu zote ni uongozi wa yanga kumtoa gamond injiinia ajitathimini tunaumia mashabiki
crown media watafunika wote akina naniii aiseeee
Haithusu shida ni habar za uhakika kutoka crown media
Alikosea sana mshirikisha kiba, kiba mshamba sana awazi ku match na speed ya wasafi tv, ndiyo maana hata kimzki mond kamtupa mbali.
Duuuh we jamaa
Jali biashara yako..tuache kufuatilia ya wengine
Kweli kabisha
yaani reporter yupo kimya kma anasimuliwa hadithi kumbe na yye ni mtangazaji..😂😂 nilijuwa yye ni cameraman😂
Mnahangaikia sana mafanikio ya watu.
Nyie mtulize kibwenye asee mzigo wa kiba asee
Hata mimi nina hisi hivo . Maana sio rahis ali et amuajiri huyu jamaa bana
Good
Mmmmmm yuko na Waziri........ nae na Alikiba kama Vile Kusaga na Diamond zote hizo ni siri nyuma ya pazia
Hayo ni majibu ya kisomi, namkubali
Muwe na akili wakuda amesema Kuna midia alitaka kwnd vp crown iwe yake pumbavu achen wivu
Hata wasafi ni ya fela siyo ya mondi
Huyo mtangazaji mike kamshikia muhojiwa yeye hasikiki
Zingatia neno tutaajiri wengine kwenye TV
Kaka mbona umenenepa sana
Kazi yakujiajili umekufaa sana
Kwaio ulitaka iwe sio ya kikeke. Mbea kwl kwl c upambanie media yko ilokufa 😂
Uyo ndo mmiliki mbona iko wazi kiba kasimama kama mtu maarufu kwa ajili ya kutengeneza fun base