Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 423

  • @user-yl2ej4ex6l
    @user-yl2ej4ex6l 7 หลายเดือนก่อน +11

    Nimeamini baby daddy ananipenda sana may God 🙏 protect him always thank you lord 🙏 for bringing this man to my life

  • @user-wc9ow5yc4s
    @user-wc9ow5yc4s 8 หลายเดือนก่อน +16

    Dah nzuri sana najivunia kumpata mwanaume mwenye vigezo hivyo love so much Wilson wangu❤❤❤❤❤

  • @marynjiiri4329
    @marynjiiri4329 9 หลายเดือนก่อน +39

    Mimi hupatana tu na magaidi mpaka nka give up😢😢 nimeamua single by choice😢

  • @onderinyaboke
    @onderinyaboke ปีที่แล้ว +9

    Asante sana ni ukweri kabisa hiyo kitu inakushumbua kabisa maisha ukiolewa na yule zio wako.

  • @christinangombe
    @christinangombe ปีที่แล้ว +20

    asante doctor kwa mafundisho mazuri,Mungu aendelee kukutia nguvu na kukupigania🙏🙏🙏

  • @user-uf2md1po7q
    @user-uf2md1po7q ปีที่แล้ว +15

    Asante sana jamani mpenzi wangu akuivo iyo yote umesema walai Jamani 😅😊😊😊

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo kaka umesema ukweli nao n wengi hao wenye hizo sifza wanaume wenye hizo mashallah Mungu akuzidishie Kwa maono

  • @JackMartin-002
    @JackMartin-002 7 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana katika hizo sifa zote bado amna ata moja Kwa mtu wangu

  • @aishakassim75
    @aishakassim75 10 หลายเดือนก่อน +20

    Kumbe sipendwi😂😂

  • @suzypaschal-xo9ts
    @suzypaschal-xo9ts 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jmni kumbe mzazi mwenzangu alikua ananipenda mmi ndio nilikua na midomo midomo sana mpka nikaona tuachane kumbe yule mwanaume ndio alinipenda jmni😭😭 vigezo vyote anazo duuuuh

  • @user-bs2kt7pb7c
    @user-bs2kt7pb7c 11 หลายเดือนก่อน +8

    Asante docter kwa kutuimaeisha wanawake ❤❤❤❤

  • @zawadihozza3500
    @zawadihozza3500 ปีที่แล้ว +2

    Khee kumbe leo ndo nimegundua nammependa Mume wangu jmn yote anayafanya aweee nilikuwa naona hanipend kumbe ndo penyew Asante doctor

  • @JayJay-px6lq
    @JayJay-px6lq 8 หลายเดือนก่อน +10

    Yani kuna wanaume alafu kuna mwanaume wng mimi jmn duniya nzima ijuwe mume Wang ananipend sana 😭😭😭

  • @ZipporahZippy-ng9rr
    @ZipporahZippy-ng9rr ปีที่แล้ว +5

    Weee aki umenichanua bro nilikua na Nia ya kumwacha wa kwangu juu ya kuniogopea wee kumbe upendo❤️❤️❤️❤️

    • @saidbaraka8996
      @saidbaraka8996 11 หลายเดือนก่อน

      Mmmmh dokta asante

  • @ImeldaJonnas
    @ImeldaJonnas 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman Asante mungu kwakunipa mwanaume mwenye vigezo vyote

  • @VeronicaMumbi-yd9sx
    @VeronicaMumbi-yd9sx ปีที่แล้ว +4

    Asante sana doctor nmepata fuzo kutoka kwako nakusikiza nkiwa mjini Nairobi kenya

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hii Elimu imechelewa kuja tunamshukuru Mungu kwa ajili yako 🎉🎉🎉🎉

  • @WitnesWit
    @WitnesWit 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman kumbenimepata nakupend aly wang❤❤❤

  • @salehemohamedi6560
    @salehemohamedi6560 10 หลายเดือนก่อน +5

    Ukosahihi Sana Kaka mungu akubariki

  • @user-eu5ly2sk8w
    @user-eu5ly2sk8w ปีที่แล้ว +16

    Mungu akubariki sana mfumdisho yako ni ya kweli kabisa

  • @JacquelineMuhayimana
    @JacquelineMuhayimana ปีที่แล้ว +9

    Asante sana mwanaume wangu yuko na sifa zote ulizosema

  • @lettingchepkemboi854
    @lettingchepkemboi854 7 หลายเดือนก่อน +3

    Plz daktari I'm watching u frm gulf naomba tafadhali kwa jina la Yesu kristo nieleze dawa ya heartburn nmetezeka kwa miaka mingi na naamini mungu atakutenda mema

  • @AdolpheZakaria
    @AdolpheZakaria 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana mpenzi wangu ila na huzunika kwa nini haukuja mapema kwenye maisha yangu

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante mngu akubariki

  • @SADALeonard-vd6dn
    @SADALeonard-vd6dn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks God kumbe nipo maali sahii ❤❤🙏

  • @user-fr5sh6sh5y
    @user-fr5sh6sh5y ปีที่แล้ว +8

    Asante kwa mafundisho yako dock❤

  • @invocavitmbise5296
    @invocavitmbise5296 11 หลายเดือนก่อน +5

    May Almighty God bless you

  • @NaomiLazaro-m3w
    @NaomiLazaro-m3w 17 วันที่ผ่านมา

    Asante sanakwa somo lako🙏🙏🙏

  • @juliandolo8686
    @juliandolo8686 ปีที่แล้ว +17

    😢kuna wengine hata ujuy ni upande gani yupo jaman katika sifa hizo anazo lakin mwambie sasa fanya kumwomba kitu tuu 🤔 atakuambia nadaiwa ,hoo,sina pesa sa iv unashindwa kujua sasa anakupenda na siku moja awezi sema chukuwa ,,,, mapenzi yana mambo magumu sana ✍️

    • @maryamsaid1307
      @maryamsaid1307 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @memorataedson7895
      @memorataedson7895 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @neykidoti102
      @neykidoti102 9 หลายเดือนก่อน +1

      Daah huyo wangu kabisa kama unamjua 😂😂😂😂😂

    • @jawaheer1030
      @jawaheer1030 9 หลายเดือนก่อน

      Mapenzi hayatabiriki kabisa

    • @user-qg9hw1xi1d
      @user-qg9hw1xi1d 9 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fayjeff3651
    @fayjeff3651 ปีที่แล้ว +3

    Umenisaidia sana thanks so much
    from 🇰🇪

  • @AcnathyMboya
    @AcnathyMboya 10 หลายเดือนก่อน +5

    Uwiii❤ hata Mimi niko huko jaman kumbe napendwae 😇

  • @secymndeme-wb4mu
    @secymndeme-wb4mu ปีที่แล้ว +85

    Nimepitia comment karibia zote😇 asee hongereni mnapendwa sana,, alafu kuna Mimi sasa😂😂😂😂

    • @alindasimeo5063
      @alindasimeo5063 ปีที่แล้ว

      😅😅😅

    • @rosemilingi7860
      @rosemilingi7860 ปีที่แล้ว +1

      Co Kuna wewe Kuna akina sisi

    • @secymndeme-wb4mu
      @secymndeme-wb4mu ปีที่แล้ว

      @@rosemilingi7860 kabisa yan naona kabisa hatuwezi kaa kwa group moja😂

    • @twahiadaudi4051
      @twahiadaudi4051 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅

    • @user-hb1kt5vs3s
      @user-hb1kt5vs3s 11 หลายเดือนก่อน +2

      Kuna kina siiisi simu mara Moja kwa wiki 😢😢😢😢😢😢

  • @user-rq2ev4qr6b
    @user-rq2ev4qr6b ปีที่แล้ว +4

    Shukran sana kwa mafudhisho yako doctor

  • @RegulaPeter-jm7iq
    @RegulaPeter-jm7iq ปีที่แล้ว +2

    Asante mungu 🙏 kubarki utufundishe zaidi

  • @user-mj3nr2vv7t
    @user-mj3nr2vv7t 8 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru Mungu me nmempata mwanaume mwenye hzo vgzo mungu amubark xana mme wang kipenz🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @maryamnasir5911
    @maryamnasir5911 11 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa mafundisho haya nimejua niko pahali sahihi

  • @RukiyaButoyi-sk5nm
    @RukiyaButoyi-sk5nm 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli Kaka unafundisha vizuri kabisa Mungu akubariki

  • @agrippinammola4423
    @agrippinammola4423 9 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kwa kutuelimisha lakini wangu hapatikani popote yupo tu.😢

  • @Isccobah
    @Isccobah 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kaka Kwa mafunzo mungu azidi kukupa nguvu ya kutufundisha zaidi

  • @user-ud9jb2po6p
    @user-ud9jb2po6p 7 หลายเดือนก่อน

    May God protect you my love P
    Sifa zote unazo. True love nk...❤❤

  • @bibip9181
    @bibip9181 10 หลายเดือนก่อน +3

    Doctor true but,nimependa elimu nzuri ❤❤

  • @SofiaTito-f9s
    @SofiaTito-f9s 12 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillah asante mungu acha nitulizane tu❤❤❤❤❤❤

  • @user-ei6th2rh6y
    @user-ei6th2rh6y ปีที่แล้ว +9

    Mungu akutie nguvu🙏🙏🙏

  • @user-sk5gu5oh7o
    @user-sk5gu5oh7o 28 วันที่ผ่านมา +1

    Nimelielewa sana SoMo lako ubalikiwe sana

  • @user-wp4qk2zq6y
    @user-wp4qk2zq6y 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana jaman nimegundua napendwa sana❤😊

  • @neemakatana-ek8ff
    @neemakatana-ek8ff ปีที่แล้ว +7

    ❤❤❤❤ mafundisho mazuri sana mungu azidi kukupa kibali cha mafunzo zaidi

  • @user-kh5ok7zp3f
    @user-kh5ok7zp3f 9 หลายเดือนก่อน +1

    Aq so true..mume wangu ananpenda sana jaman❤❤❤

  • @user-ns7lx1rc9z
    @user-ns7lx1rc9z ปีที่แล้ว +2

    Thanks 🙏 that true

  • @fatumazakalia-yx4kg
    @fatumazakalia-yx4kg 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asantu sana Doctor nimekuelewa na Asante mungu kwa kuniletea

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 9 หลายเดือนก่อน +3

    1,uoga kuelekea
    2,Huonyesha kwa matendo
    3,huonyesha uhalikia wake
    4,hujali kesho yako
    Waoooo😊
    Fear in expressing
    Shows in action
    Shows his reality
    Caring😮
    n action

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 8 หลายเดือนก่อน

      Thanks God bless you ❤️ ❤❤❤❤❤❤

  • @CelestinKubaho-wo8ft
    @CelestinKubaho-wo8ft ปีที่แล้ว +1

    Thenk you so much my brother

  • @RUKIAGASPER
    @RUKIAGASPER 2 หลายเดือนก่อน +1

    I love my man he is here jamn

  • @user-ru3pv4jp3f
    @user-ru3pv4jp3f 6 หลายเดือนก่อน +3

    Asate sn kwaushauri wako kaka 🎉🎉🎉

  • @fatinamdoe1894
    @fatinamdoe1894 ปีที่แล้ว +1

    Asante doctor kwa mafundisho mazur

  • @user-mv4zf3uk2k
    @user-mv4zf3uk2k 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman nilimpoteza ambae no sahihi kwangu nikaangukia pengine

  • @user-yx3fv6rf6c
    @user-yx3fv6rf6c 8 หลายเดือนก่อน

    Aseee xhukran saanaa doctor hyo nko nmeipendaa aseee ❤❤❤

  • @Belyse-gs4wd
    @Belyse-gs4wd ปีที่แล้ว +1

    Shukran mafundish mazur San🙏 🥰🥰🥰🔥🔥🔥👌

  • @user-vc3fy9fb8p
    @user-vc3fy9fb8p 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana

  • @JaliaIrambona
    @JaliaIrambona 2 หลายเดือนก่อน +2

    Habari yako

  • @letisiakunambi5542
    @letisiakunambi5542 10 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Sana Mungu akubariki nimerielewa Somo🙏

  • @cyrilchamungwana6718
    @cyrilchamungwana6718 8 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana kaka angu kumbe napenda mie nashukuru mungu

  • @ErikaBonifance
    @ErikaBonifance 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ Asantee! Sana doctor uishi milele.%100

  • @hanifasururu2509
    @hanifasururu2509 ปีที่แล้ว +1

    Uwa unaelezea vzuri adi nafarijika..That's nice✌

  • @EdwardJosephJohn-or5bv
    @EdwardJosephJohn-or5bv 10 หลายเดือนก่อน

    Your very very said love you

  • @user-qv6gi7uj8r
    @user-qv6gi7uj8r 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa mafundisho yako ni ya maana kbs. Mbarikiwe

  • @raheemhamisi5370
    @raheemhamisi5370 ปีที่แล้ว

    Weeee tangaza biashara yako Broooo mwanaume hatabiriki km unavosema wew hahahaaha.

  • @user-be6pw6lt1t
    @user-be6pw6lt1t 9 หลายเดือนก่อน

    Asante sanaaa kwa mafundisho mazur...

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 9 หลายเดือนก่อน

    Asante docter kwa ushuri mzuri

  • @melodymoraa7094
    @melodymoraa7094 10 หลายเดือนก่อน

    Kumbe napendwa 💕💕 thank you so much daktari kwa mafundisho mazuri

    • @user-ku7xj5hg2s
      @user-ku7xj5hg2s 7 หลายเดือนก่อน

      Kwel kabisa yan🙏🙏🙏🙏💯💯💯

  • @salomemakuluga9650
    @salomemakuluga9650 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki sana

  • @andrewdiganyeck
    @andrewdiganyeck 6 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa mafundisho yako Kuna kitu nime gain

  • @fatinamdoe1894
    @fatinamdoe1894 ปีที่แล้ว

    Upo sahihi Kaka mim sipendwi mungu nijaalie unipe yule anaenipenda kiukweli kutoka moyoni Asante doctor

  • @evangelinemunene
    @evangelinemunene ปีที่แล้ว

    Asante daktari na hiyo ni kweli shukrani

  • @ShamsaAbasi
    @ShamsaAbasi 6 หลายเดือนก่อน

    Asante so tar

  • @user-gy2ry7jl2b
    @user-gy2ry7jl2b 8 หลายเดือนก่อน

    Wao my lovely J❤❤❤❤ u my champion

  • @jawaheer1030
    @jawaheer1030 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mume Wangu Mimi ananipenda kwa dhati na ananidekeza adi raha pia nnapo mkosea ananipnyesha kuwa Mke Wangu ulivyo fanya sjapenda Na pia hunielekeza njia sahihi Namuamini sana ananipenda, Tabia ya mtu inanguvu huwezi ujua moyo wa mtu kupitia matendo yake, Tumuombe tu Mungu atuepushie wale wanafki ktk mapenzi

    • @user-qg9hw1xi1d
      @user-qg9hw1xi1d 9 หลายเดือนก่อน

      Duuuuuh nimependa hiyo na nimetamani

  • @IvonneAlice
    @IvonneAlice ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka mungubakubariki popote pale uko Asante sana

  • @FatumaBaruti-qw6jm
    @FatumaBaruti-qw6jm หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu kumbe mume wangu ananipenda nitazidi kumpenda mie.

  • @HappynesJames
    @HappynesJames 7 หลายเดือนก่อน

    Duuh sipendwi mie mwenyez mungu nijalie nimpate anaenipenda kwa dhati

  • @MamaRasool-bs6im
    @MamaRasool-bs6im ปีที่แล้ว +1

    Shukran doctor Allah atufanyie wepes inshaallah

  • @LatifaMohamedy-mn2qf
    @LatifaMohamedy-mn2qf 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubarik azid kukup nguv na kibali utup mafunz zaid

  • @husnaibrahim2107
    @husnaibrahim2107 ปีที่แล้ว +2

    Shukran sanaaa 😊

  • @user-dj4oo2nc5g
    @user-dj4oo2nc5g 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana bro unayoyaongea nikweli kbs

  • @user-td6pl9ii2c
    @user-td6pl9ii2c ปีที่แล้ว +1

    hujaacha kitu kaka ahsante kwa kuelewa kweli napendwa

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +4

    Maashaallah

  • @chocolatevivian830
    @chocolatevivian830 ปีที่แล้ว +1

    Wooow thanks brother ❤❤

  • @NairatHassan-nm2dg
    @NairatHassan-nm2dg ปีที่แล้ว

    nikweli wanaume wengi asaiv niwaongo nimatapeli wa mapenzi hawapo serious na nakupenda niwaongo atr sio wakweli kbs upo saii kbs kakaangu💯✌🏻

  • @YehuKashindi-we4us
    @YehuKashindi-we4us 11 หลายเดือนก่อน

    Good teacher

  • @user-qv3uf1fz1t
    @user-qv3uf1fz1t 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi uyu mwanaume nilienae ananipenda au bado Nina tabu😂😂

  • @user-yx7sy1fu5q
    @user-yx7sy1fu5q ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafundisho

  • @tabaithd8629
    @tabaithd8629 10 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana ubarikiwe

  • @mukhwanaveronica3278
    @mukhwanaveronica3278 10 หลายเดือนก่อน +2

    That's true thanks so much watching from Uganda

    • @ImeldaNdonyalo
      @ImeldaNdonyalo 9 หลายเดือนก่อน

      Samahani kaka jenayule anae kua bize mdawote afuyeye anakwambia anakupenda

  • @user-cw4ne1qz4p
    @user-cw4ne1qz4p 7 หลายเดือนก่อน

    Really ✌️ kabcaa ❤❤❤ yaani brother ❤❤

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 8 หลายเดือนก่อน

    Asantee dctr somo zuri

  • @sadabulanga6413
    @sadabulanga6413 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nilikuwa najua sipenwi mana mmmhhh jamani sio kwausiliazi uwoo

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana' nimegundua kumbe Mume wangu ananipenda sana jamani'

  • @jacklinemwamsojo2955
    @jacklinemwamsojo2955 9 หลายเดือนก่อน

    Asantee Sana Kaka imenifungua macho❤

  • @user-sx2uj4xi2s
    @user-sx2uj4xi2s 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤asantii sana but nikama huyu mwanaume ananitumia tu

  • @asiaabbakari
    @asiaabbakari 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mungu akupe umr mref ❤❤❤❤

  • @sonniebanks6022
    @sonniebanks6022 9 หลายเดือนก่อน

    Asante doc