#EXCLUSIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
- #EXCLUSIVE: KIJANA MBUNIFU ALIYEKATISHA HOTUBA ya WAZIRI - AFUNGUKA MSOTO HADI AKAGUNDUA KIPAJI...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Kgm yavipaji
@@abubakarimussa9131 Nataka numba unaniletea Matangazo ya Nini
Upo vizuri dogo
Mdogo wangu hongera sana kwa Ubunifu mzuri. Ila nakuomba ukishamaliza kutengeneza hizo lens usisahau kuweka signature yako plus made in Tanzania. Wakenya wapo sharp sana , usipo fanya hivyo wakenya watakusaidia na watasema wanatengeneza wao. Small signature & made in Tanzania + your contact kwenye hivyo vioo itakubrand sana.
Hongera kwa kujitafuta. Mafanikio makubwa yanakuja.
Weka namba babuu
Weka sasa maden Tanzania kisha weka nembo yako wewe acha maneno maneno tunza brand yako wewe
Serikali yake haiwez kumsapot coz imemezwa na rohoo mbaya ya kujilimbikizia mali😢😢😢😢😢😢😢😢
Unajitahidi