Ongera sana bi Mwenda, ulikuwa ukinifurahisha pale unapo igiza kama mchawi, mpaka baadhi ya watu walidhani wewe ni mchawi, wakati wewe siyo mchawi, bali ni fani tu. Ujaliwe maisha marefu
Hujafa hujaumbika umenikumbusha mbali bi mwenda Mashaka kumbe kafa😢 Jaman na kisa alkua mzuri eiwaa lkn Mlemavu😢sana ilitrend itv long time ulvosema nikawakumbuka
Mtu anakwambia amefiwa unaitikia tu atii ok ok are you normal au hujakomaa kuhoji mtu😮😮😮unawaza kula tuu hataa huskii mtu akikwambia juu ya kifo,ambia mtu pole pwanaeee
Mbona humpi hata pole mzee,..mwenzio anakushirikisha watu wake walioenda mbele za haki...unaitikia tu kama unapewa taarifa ya kawaida kaka daaah. Ulipaswa utamke neno.
Kuigiza ni m1 ya Ibada pia mana unafundisha jamii na kuelewa kuwa kwenye Dunia Kuna mambo mbali mbali mazuri na mabaya ,mazuri uyafuate na mabaya uyawache Sasa usimuhukumu mtu mana kama kusali pengine uanasali na wala maigizo yake haigizi maigizo ya kihuni bali ya kufunza jamii usimuhukumu mtu Anza kuihukumu kwanza nafsi yako .
Nyumba nzuri.mashallah...hongera bi mwenda, Allah atazidi kukubarik Inshallah.
𝘕𝘻𝘶𝘳 𝘴𝘢𝘯𝘢
Sasa huu ndiyo uhalisia wa maisha ya wasanii wa bongo movie....japo bongo movie wengi wanafake sana....big up bi mwenda
Mashallah Zuu collection inaonekana anampenda sana Bi Mwenda❤
Bi mwenda yupo vizuri ❤❤❤❤salehe kafika😂😂😂😂😂
Watt wangap na wajukuu wangap,,,umekuja kwenye sensa😂😂😂
Ongera sana bi Mwenda, ulikuwa ukinifurahisha pale unapo igiza kama mchawi, mpaka baadhi ya watu walidhani wewe ni mchawi, wakati wewe siyo mchawi, bali ni fani tu. Ujaliwe maisha marefu
Mweeee bi mwenda kanikumbusha bibi yangu alikua mcheshi Kama wewe pumzika amani bibi yangu 😭😭😭😭
Mkiwatembelea wasanii kama Bi Mwenda na wengine mpeleke fedha taslim kama mnavyopeleka kwa wazazi wenu.
OLD IS GOLD.TUNU HAWA MFANO WA KUIGA.
I like this mummy may Allah protect her more ❤❤❤❤
Ameen Yarabbi Amin
Inapendeza big up dada kumletea zawadi bi mwenda, ila sarehe kaja mikono mitupu
Bibi mwenda kajitahidi sana nyumba nzuri sana hongera bibi mwenda
Nimefurahi sana .maana naumiaga wanavyoaga dunia hawana kitu wakati wamefanya makubwa .wanazurumiwa sana
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪 bi si kitu..🫂 🫂
Ma shaa Allaah nilikuwa napenda kumfatilia wakati wa Kaole
❤❤❤😂😂 Nampenda bibi anajua kuigiza sanaaaaa
Saheleh siku moja wende na kwa Hamisa mobeto
Mtangazaji jifunze kuwapa pole unaowahoji wanapo kwambia wamefiwa na familia zao
Kweli anawaza kula tu😅
😂😂😂@@mrlongrichlongrichagent1929
Nakupenda sana bi mwenda@@mrlongrichlongrichagent1929
Kweli aiiiseeee
Arooo ni kweli kbs yuko tu ok ok sio busara
Mashaaalah b mwenda amvalishe mke sketi ya shule,
Hongera sana Bi Mwenda.
mnasinya na kizungu moja sana muongee Kiswahili
Kweli mafanikio hayana umri usikate tamaa katika kupambania ndoto zako
Mchawi afya njema ya akili na mwili na kumtanguliza Mungu kwa kila jambo
Kuwa na kwako Raha jamaniii
Nimependa anaonekan c mchoyoo na zuu ni rafiki yak mwaya ongera saan tunamic kua na bibi na cc😢
Namkubali sana bb mwendaa ❤❤
Mungu ni mwema atimae bibi mwenda ametoka kwenye kibanda cha mabati na matope pale airport njiapanda 😢 Mungu akutunze.
Kwan alikuwa anakaa kwenye kibanda au
Alikuwq anauza mafuta ya taa
Salehe leo umepata kiboko yakooooooo❤😂😂😂😂
Salehe leo cha pilau hongera sana mama uko vizuri
😂😂😂bi mwenda unajitahidi kwa majibu❤❤you
My wifi penda Sana wewe kipenzi changu maisha marefu mpenzi bi kwenda Fatuma Makongoro
Bimwenda sio bi kwenda khaa😅
😂😂😂@@sirahchocolate8508
Kukosea n kawaida ya smart phone😁😁@@sirahchocolate8508
MashaaAllah bibi Allah azid kumuweka
Nakupenda bi mwenda mungu hakutunze❤❤❤😂🎉😅
Mwenyez Mungu akuweke bib mwenda
Nampenda sana uyu bibi jamani 😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Eti zinaingia na kutoka❤❤❤
Always old is gold.
Salehe umepatikana😂😂😂😂😂 bibi anamajibu😂😂😂😂
Bi mwenda nampenda sana 🎉🎉
Zuu nakupenda cc
Mashalah ❤❤❤❤ bi mwenda
Saleh em jifunze kusema pole na wewe khaaaaa!
Upo saii kabisa mtu kafiwa na mume n wtt anasema ok af anadakia swal lengne
Salehe, salehe,salehe siku watakupa chakula uharisheeeeeeee😅😅😅😅😅shauri yako
Mtangazaji wacha kusema Ehhh . Sema . Mashallah
UKipewa taarifa ya msiba Sema pole sio eeh
Kabisa,ye ndo anashangiliya eti
Sema innalillah wainalilllah rajiuon
Atajifunza kupitia comments kama nimsomaji,
Mcheshi adi raha 😅😅😅😅 ishi maisha marefu bibi
Hujafa hujaumbika umenikumbusha mbali bi mwenda
Mashaka kumbe kafa😢
Jaman na kisa alkua mzuri eiwaa lkn Mlemavu😢sana ilitrend itv long time ulvosema nikawakumbuka
Kiukweli sarehe uyo dada mwenye wigi mzuri kapendeza jmn
Zuu collection 😍😍
Nampenda sana bi mwenda❤🎉
Nimekuniss sana bi mwenda kwenye game
Pamoja na kuhesabu kwa vidole umekosa ni miaka nane
❤❤❤🎉🎉huyu zuu ndio Naira au amefanana tu
amn mumy zuu mwngn zayliss mwngine
@@SwaumuKarimu ok umefanana kidgo
Mashaallah bibi
Ongera kwa kijenga bi mwenda ,,,Mungu akujalie upone inshallah!
Hongera sana dada
Mashaallah ❤❤❤
amejitahid sana mama
Salehe dusa dusa😂😂
Bi mwenda mkwe wangu iyo mimba ya mbumba bado tu haija zaliwa tu??😂😂😂
Mtu anakwambia amefiwa unaitikia tu atii ok ok are you normal au hujakomaa kuhoji mtu😮😮😮unawaza kula tuu hataa huskii mtu akikwambia juu ya kifo,ambia mtu pole pwanaeee
Wote Tunawependa kaka sarehe na bibi mwenda na wote apo
Ila salehe huyu kwan anaendaga kuhoji au kula duh😮
Acha kuonyesha tabia yako hapa ni aibu ko asile ?
😂😂😂 unekuja kwenye sensa
Mbona humpi hata pole mzee,..mwenzio anakushirikisha watu wake walioenda mbele za haki...unaitikia tu kama unapewa taarifa ya kawaida kaka daaah. Ulipaswa utamke neno.
Yani utafikiri ameambiwa wamepata kipaimara
Pole sio nzuri unafany mtu anakuwa dhaifu
Kweli hapo TU kakosea
Ni huzun heshima mbov kijana
Hajielewiii
Bibi Yuko vzr
Saleh tunaomba joti😂😂
Mashallah mashallah
Bibi kuhusu uchawi bibi uuuuwih... nakuogopa
Eti gari imeenda barabarani 😂😂
Salehe napenda sana kz zako ww kijana
Bi Mwenda karibu Kilimanjaro
Bi mwenda kaweka Tango katika friji kwa kujisevia
Nilisikia hana nyumba kweli lakuambiwa ulilivalie kijora bali nguo nyingine
Kivule frem kumi napapenda sana
Huyu mama mstaatabu saba zaman kbsa alikuaga anatembeza sabun alikua akikukuta bar atakubembeleza mpka utanunua
Kwani ni lazima ule kila uwendapo masele
Salehe acha usenge mtu anakwmabia kapoteza mtoto na mume hata pole hakuna 😏😏😏
Yaani kanikela kazi kuchekacheka tuu kama baamed kaachiwa chenji...
Salehe hajui kukataa 😂😂😂uwe unakataaga bas wenzio bajeti salehe kwangu ukija huli nakwambia
Kaka Salehe naomba no ya Zuu jamany
Bibi 🎉
Muonekano wke kama ana chembe cha uchawi au mwanga
Mh wew
Sale kwa kula😅😅😅😅
ujui kufanya interview mzee
Bi SI kitu jamani
Bi Mwenda punguza uzito ndo maana miguu inauma
Umekuja kwenye sensa
😂😂😂😂😂❤❤❤bi Wenda
😂😂
Huyu salehe ni msenge
Tangu.. Kaolew 😢😢mama ake kanumba
Jmn huyo mtoto mbna kamwangalia Bibi yake hvyo sjui ndo anabinua mdomo au anamng'ong'a😢
😂😂😂😂😂
Ata mm Nmeona kamuangalia saleh alimshika kichwa
Anakiburi sana
Umeshaaambiwa mwanajeshi 😂😂😂
@@rosemaryrwabibi5908af askiii😂😂😂
Saleh mwambie bi mwenda aende kwa wachina wa ETERNAL,,watamsaidia hiyo miguu!!Nina ushuhuda!
Niwapi
Salehee unapenda kula 😅
Vidumu vya pembeni😂😂😂😂😅
Bibi tumaia black seeded its good
Hee ngoja nijiokotee matibabu ya Mama yangu hapa. Black seed anajipaka kwenye maimivu au anakunywa kidogo kidogo
Kwaiyo camera man ye Hali salehe unakula ww tu
Saleh kama vp kamcheki na young d
Waah
Wacha kuigixs tene bibi fanya ibadan wakati umeshakuacha mkono
Kuigiza ni m1 ya Ibada pia mana unafundisha jamii na kuelewa kuwa kwenye Dunia Kuna mambo mbali mbali mazuri na mabaya ,mazuri uyafuate na mabaya uyawache Sasa usimuhukumu mtu mana kama kusali pengine uanasali na wala maigizo yake haigizi maigizo ya kihuni bali ya kufunza jamii usimuhukumu mtu Anza kuihukumu kwanza nafsi yako .
Salehe wiki iliyopita kwann ulitufungia comment 😂😂😂😂😂
Sababu aliemihoji anaonekana mtoto😅
@@happygervas7489 aliogopa comment za waja🤣
@@fathiyahmuzney7367 mtu anaficha mpaka miaka yake kwa kifupi angechambika sana 🤣🤣🤣
Salehe kwakupenda kula kula nimemvulia kofia
Kauzuuuu bibi
❤
Magugufuli hakwepek kidogo amtajee.
Cameraman amekula kweli
Macho ya bi mwenda bhana...akikuangaliaa kwa mara ya kwanza lazima uogope
😂😂😂😂mjinga we