Notisi of apili zinatutesa sana unaka myaka makalane jamani watafute kazi nyingine ndio wanachafua mahakama jamani wajaji wamesoma sana makonda jeli silaa Wana amuka siku moja majaji wanaoshindwa nini
MUNGU AKUBARIKI (AVVOCATO) MADEREKA BONGO HAPO HAKUNA SHERIA SASA HIVI BALI KUNA UONEVU TU NA HASWA HILO JESHI LA POLISI NDILO HALIFAI KABISA HUWABAMBIKIA WATU KESI ZA UONGO WATU KWA AJIRI WANATAKA RUSWA😊
Msomi Madeleka wewe ni AKILI KUBWA hata wasioelewa wanakuelewa vizuri sana. Japo wachache hawataki kukuelewa Kwa sababu za wivu tu Kwa uwezo Mkubwa ulionao.
Shetani anafanya mabaya zaidi hata kuliko shetani. Kesi hata direct tunahangaika nazo miaka na miaka mingi kila siku kwa sababu ya utawala wa CCM ambayo hauna hata uelewa wa kutawala bali wanacho jua ni kupigiwa makofi, kupokea uchawa na sifa za uongo mtupu.
Kwa kweli lakini watu wamewekwa chini ya CCM. Watanganyika wanafanyiwa vibaya sana lakini hata nadhani serikali, mahakama, na CCM ndiyo wamekuja kuharibu Time kwa sababu Rostam kwani aliposema kuwa kuwa mahakama ya kungonjea ku maagizo kutoka juu. Kwa nini mahakimu walijifanya kulalamika kwani siyo kweli? Mahakimu waliolalamika waliokuwa wanalalamika walikuwa uchawa au kweli? Jamani sisi tulikwisha kaa inje ya Tanganyika huwa tunaona kama serikali ya kujifanya ya kitoto. Yaani watoto wanapo jifanya kupika kupika unaweza kuona wazi kuwa ni watoto. Serikali ya CCM inafanya kuwa kila kitu kana kwamba wanajifanya. Ni kwa sababu ni CCM hata watu professional wanakuwa wachawa tu. Sasa hii ni serikali gani?
Hiyo ya kuwavua watu nguo na kuwaingiza vidole sehemu za siri hata mimi siikubali. Kuna haja ya maandamano kupinga hilo ili serikali inunue vifaa vya uchunguzi kuliko kuwatia watu vidole sehemu za siri
Nimekuelewa vizuri sana..
Ubarikiwe sana mheshimiwa.
0:02
Mungu akulinde Wakili umenifanya nisiwe mwoga Kwa kweri. Viongozi machawa ndio wanaorudisha nyuma maendeleo ya nchi hii
Asante kwa kuwaelimisha Watanganyika. Mungu akubariki, akulinde na kukupa maisha marefu.
Nakuelewa sana Peter your the best one,taifa la Tanzanian linahitaji watu kama hawa.
Hakika ww mungu akubariki sana
Good message for our country
Duuuu kazi kweli kweli.asante
Wewe mtumishi wa mungu kazi unayo ifanya ni ya kitume Bwana yesu akulinde akuingezee siku zakuishi ubarikiwe sana.
Wakili madeleka nakukubali sana katika utendaji wako Mungu akuongezee hekima na busara,usimamie haki
Madeleka madeleka madeleka ,kiboko ni mwamba hasaaa na Mungu akulinde kwa dhati ya moyo wangu ,nakuombea
Tumpe maua yake. Mungu akulinde
Mungu aendelee kukulinda
Kuna watu wazuri sana kama Madereka Mungu akulinde wakili Madereka
Nakukubali sanasana afande mwanasheria wakili masomi
Mungu akubariki wewe nimtetezi wa wanyonge
Peter Madeleka huwa unanikosha sana , mwanangu mmojawapo nitahakikisha anasoma sheria.
Kaka kunywasoda safi nalipa mimi nakukubali sana
❤❤❤❤ mm nikwelewa sana ila nakuomba ungane na lisu
Mendez madereka ,nakutaman kaka.moja kati ya watanzania walio soma wakaelewa ❤
Hongera sana kaka Madeleka.Watanzania wanahitajisana vipindi kama hivi angalau kila wiki,
Wakili dunia zote zinazo sitahiki zikufikie amina rabilaalah mina
Notisi of apili zinatutesa sana unaka myaka makalane jamani watafute kazi nyingine ndio wanachafua mahakama jamani wajaji wamesoma sana makonda jeli silaa Wana amuka siku moja majaji wanaoshindwa nini
Madeleka ni azina ya nchi tuwaombee sana kwa Mungu mtu kama UYU mtu wa kutaka haki ni wa kumwombea sana
Tafadhali sana wakili MADELEKA usikubali kununuliwa na wale wasiotaka mabadiliko ya nchi yetu ,,kwasababu ccm hawataki kuyasikia hayo unayoyasema
Amen mungu akubaliki sana
Nimekukubali wewe ni mpigania haki. Mungu akuinue zaidi
Biblia inasema tunapata wapi watu kama awa wenye kusimamia kweli, MUNGU akubariki sana na akuongeze ujasili.
Mungu Wa Mbinguni akujaalie na TLS nzima mtendee wananchi haki
Namba Yako tunazipataje kaka
Hata sisi tulikuwa wadogo. Hapa hakuna amani hata kidogo sasa hivi kuna uchawa tu wala hakunaAmani.
Uje utukomboe madereka jaman naomba hata uwe kaka yangu wa mfano nakupenda Bure baba
Safi sanaa kaka
Wee Madeleka ni kiboko. Pokea 🎉🎉 yako.
Mungu akulonde madeleka🎉
Mmmh!!!!! Akili kubwa Sana Kakangu
Jamani Madereka,akupe ulinzi mungu baba.ni huruma na upendo.utu.mungu atakulipa.
Awesome
Kwahiyo kazi baba mama waliyofanya nizawadi za watoto wao
Madeleka ubarikiwe saana nduguuu
🎉libarikiwe tumbo lililokuzaa, ziwa ulilonyonya na kiuno ulimotoka
This guy he so genius
MADELEKE is big advocaten her from AMSTERDAM NEDERLAND she want to kuongea na WEWE
Yani saizi ukiwa na kesi usiombe polic awe na ukaribu na hakimu au wakili wamahakama ya karibu na kituo yani uwe nahaki usiwe na haki ndani utaenda
Hongera sana Madereka
Hawa hawana mungu hawa ni sehemu ya wauaji maana huwa wanawatetea mpaka wauaji hawana lolote
😂siku utapata akili ndio uje hapa kukomet....
Hakuna cha amani na usalama
wakati tunaishi kama wanyama pori
Peter MUNGU AKUJALIE AFYA NJEMA TU!
Nakkubali kaka
Huyu jamaa anasitahili awe mubunge wa chadema
Peter Madeleka naPeter Kibatala ni miongoni mwa mawakili bora na watetezi wa haki za binadamu.
Da sina hamu kabisa na ujumbe huo wakili madeleka
Uko vizur mwamba
👍👊✌️.
Bro kweli unajielewa
Hekooooo
UAGOPENINI KAKA TUTAKUFAWOTE WAZALENDO
Polisi bado wale wale hajui kama kuna maungo maungo ya KATIBA. CCM ndiyo kabisa hawana habari wanaona Hatamu yao bado kabisa.
Tanzania hamuna mawakili ni waganga njaa wapo ishalla lugemeleza mwabukusi madeleka lisu antipasi lisu
Bado Kuna vichwa kama kibatara, Bob wangwe, nk!
Umemtaja Biswalo bado Anna Makaka.
MUNGU AKUBARIKI (AVVOCATO) MADEREKA BONGO HAPO HAKUNA SHERIA SASA HIVI BALI KUNA UONEVU TU NA HASWA HILO JESHI LA POLISI NDILO HALIFAI KABISA HUWABAMBIKIA WATU KESI ZA UONGO WATU KWA AJIRI WANATAKA RUSWA😊
Baba unasitahili mauwa yako
Unajua mpaka basi
Madeleka,libarikiwe ziwa ulilonyonya,darasa lako limenibariki!
Tuache uoga tufanye maandamano tuwaondowe vibaya kwenye wamefanikiwa
👇🏿
#katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿
Kumbe una uelewa mdogo wa kisheria? Mbona hatari sana sasa. Kumbe unatupotosha!
Baba yako ametuibia sana ndiyo maana unahofu ugali wako utachukuliwa,
Wewe ndiye wakili Bora Sana kwa sasa
Madeleka, we ni kiboko.
Msomi Madeleka wewe ni AKILI KUBWA hata wasioelewa wanakuelewa vizuri sana. Japo wachache hawataki kukuelewa Kwa sababu za wivu tu Kwa uwezo Mkubwa ulionao.
Wengi wanakataa vyeo.
Shetani anafanya mabaya zaidi hata kuliko shetani. Kesi hata direct tunahangaika nazo miaka na miaka mingi kila siku kwa sababu ya utawala wa CCM ambayo hauna hata uelewa wa kutawala bali wanacho jua ni kupigiwa makofi, kupokea uchawa na sifa za uongo mtupu.
Dah, hii nchi, kuvuanguo!!?
CCM imesha penyeza watu wao humo ndani ya T L S
Kwa kweli lakini watu wamewekwa chini ya CCM. Watanganyika wanafanyiwa vibaya sana lakini hata nadhani serikali, mahakama, na CCM ndiyo wamekuja kuharibu Time kwa sababu Rostam kwani aliposema kuwa kuwa mahakama ya kungonjea ku maagizo kutoka juu. Kwa nini mahakimu walijifanya kulalamika kwani siyo kweli? Mahakimu waliolalamika waliokuwa wanalalamika walikuwa uchawa au kweli? Jamani sisi tulikwisha kaa inje ya Tanganyika huwa tunaona kama serikali ya kujifanya ya kitoto. Yaani watoto wanapo jifanya kupika kupika unaweza kuona wazi kuwa ni watoto. Serikali ya CCM inafanya kuwa kila kitu kana kwamba wanajifanya. Ni kwa sababu ni CCM hata watu professional wanakuwa wachawa tu. Sasa hii ni serikali gani?
Bado tunawatu wanaakili mmno!!!!!!!
Ihubiriwe haki popote ulipo pasi kuangalia nani anafanyiwa uonevu.
chuma hicho
Tunataka katiba mpyaa"
Muda wa kupata KATIBA mpya ni sasa
Tufanye anzisheni
Tuanzishe wao wafanye ya kitaaluma.
Tumpate wapi mtu kama huyu
Aya mauupuuzi kamalile CHALAMILA ajafikaatalasaba yani stupide sijawai kuuona MATAKUYAKE
Ngumbalo mbona umeandika utumbo
Hiyo ya kuwavua watu nguo na
kuwaingiza vidole sehemu za siri hata mimi siikubali.
Kuna haja ya maandamano kupinga hilo ili serikali inunue vifaa vya uchunguzi kuliko kuwatia watu vidole sehemu za siri
tupo tayari kuiandika katiba mpya