"Naishi kama ndege" - Dkt. Shika afunguka kuhusu maisha yake ya kutangatanga na kulala stendi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 74

  • @twaibutwabibu8809
    @twaibutwabibu8809 ปีที่แล้ว +1

    Sleep well Dad. Naamini japo ulikuwa urusu kuna mengi juu ya maisha yako. Hakika mwenyezi Mungu ndiye atujuaye tunayoyapitia waja wake.

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kabisa ukitaka ujue ndugu sio wa kuwategemea ukipata tatizo,,ngoja uwe huna kitu ndio utawajua wao ni nani.tena watakupuuza na kukuona mjinga.

  • @philipowyinjones9645
    @philipowyinjones9645 4 ปีที่แล้ว +4

    Mie nakushauri ingia kwenye siasa mzee patakufaa sanaa

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Jamaa anafanana na Msanii mmoja pale Magogoni

  • @mwanzashinyanga8060
    @mwanzashinyanga8060 4 ปีที่แล้ว +2

    polee sana mzee wangu

  • @nemymtango4074
    @nemymtango4074 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaaah jamani kama kuna watu wanaweza kumsaidia wamsaidie anasikitisha😥😥

  • @lazaroletion2420
    @lazaroletion2420 4 ปีที่แล้ว +7

    No way true, 😂😂😂😂 anaitaji msaada kiasi Kwa wanaojiweza

  • @herrymwaipopo1170
    @herrymwaipopo1170 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani mbona mnazidi kumfuatilia huyu mzee kama hamtaki kumpa msaada simumuache achani kutake advantages na maisha ya watu

  • @engribertinnocent7536
    @engribertinnocent7536 4 ปีที่แล้ว +6

    Nakumbuk kuna ck alipiga picha na pesa pamoj na vipande vya dhahabu akisema mzigo kdogo umeingia, na akionesha kuwa umebebwa na kiwango security... Sasa anachoongea sasahv simuelew isee.. Mm naon msaada wa kwanza angepimwa akili na kupatiwa msaada

  • @jumahalifa6436
    @jumahalifa6436 2 ปีที่แล้ว +2

    ACHA AYAPITIE HAYO KAMA WAZAZIWAKE WALIKUFA HAKWENDA KUZIKA

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 4 ปีที่แล้ว +6

    hakika huyu mzee kiukweli sasa anapata shida mpaka kavimba mashavu

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 4 ปีที่แล้ว +4

    Nchi ya Tanzania ina watu wenye vituko sana

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 4 ปีที่แล้ว +2

    Pumzika kwa amani Dk. Shika

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah yani huo wimbo apo mwisho kidogo nianze kulia😭😭😥

  • @edsoniminani5785
    @edsoniminani5785 4 ปีที่แล้ว +3

    Haka kajamaa unajua katakosa hata msaada kwa sababu hakana ukweli wowote juu ya maisha yake anayoishi lakini aliwahi kuonekana akiwa anevaa suti ya mil1

  • @salimmohamedsalim2837
    @salimmohamedsalim2837 4 ปีที่แล้ว +2

    Eti naishi km ndege na ndege huweza kuhama

  • @yusuphamani72
    @yusuphamani72 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa anayoyasema ni ya ukwel au mipango miji

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 4 ปีที่แล้ว +3

    Labda anajua anachokifanya. Na ni siri yake

  • @jumamwadin8986
    @jumamwadin8986 4 ปีที่แล้ว +4

    kwanini serikali kma anadai hela hio ughaibuni wasimsaidie akazipata

  • @naimamwaibanje156
    @naimamwaibanje156 4 ปีที่แล้ว +5

    Anaoneka Pia hayuko sawa kama afya sio nzuri, kama kavimba uso🙁

  • @cosmasmheshimiwanjoonamwan2846
    @cosmasmheshimiwanjoonamwan2846 4 ปีที่แล้ว +4

    mzee wewe ni ulikuja mjini na akili tuu sasa hata tabia imekuchenga

  • @zahoromzee5417
    @zahoromzee5417 3 ปีที่แล้ว +1

    Amakweri nimsimi aliejitambua

  • @muntazilusalum5377
    @muntazilusalum5377 4 ปีที่แล้ว +4

    Daah inamaana harakati zote kipindi kile ilishindikana kupatikana dola 200? Ebu Dr aseme ukwel kuhusu hali yake ya maisha ili watanzania tuone tunamsaidiaje lkn akiendelea kuwaza mabilion yake hayo ataendelea kutabika na sizan kama kuna ukwel hapo.

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 4 ปีที่แล้ว +3

    inatia huruma Sana.

  • @firtekfluidconnector1537
    @firtekfluidconnector1537 4 ปีที่แล้ว +2

    RIP Dr, Shika

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว +2

    amtafute piere wapige colabo

  • @barnabasstanslaus6895
    @barnabasstanslaus6895 4 ปีที่แล้ว +3

    mgnjwa huyu. mbona kavimba mashavu sana

  • @magrethjohn8576
    @magrethjohn8576 4 ปีที่แล้ว +1

    Catherine kahabi hebu mpangie huyu baba hata chumba kimoja kipindi kile we meneja wake vusenti vyake ulikula!

  • @enockcharles6835
    @enockcharles6835 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa bhana asitudanganye bhana, suti kali hivyo hana pakulala kweli!!!!

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 หลายเดือนก่อน

    Yote maisha lakin na kuchanganyikiwa kupo

  • @ruphertz9207
    @ruphertz9207 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahah sio siri kachoka mzee was watu mmuache tuu hahahah

  • @walivyojuma7095
    @walivyojuma7095 4 ปีที่แล้ว +3

    Uyu mzee anamapungufu asaidiwe jamn hayuko timamu kabisa

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 4 ปีที่แล้ว +3

    hakika kachoka sana yule maneja wa grobo yupo wapi?

  • @damsonwillison435
    @damsonwillison435 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Tapeli tu

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 4 ปีที่แล้ว +2

    Katepeliwa

  • @mathewndunguru6340
    @mathewndunguru6340 4 ปีที่แล้ว +1

    Analeta ubabaishaji mwingi sana duh dkt shika bora atafute kijiwe cha kutibu wagonjwa tu

    • @munuoisaack418
      @munuoisaack418 4 ปีที่แล้ว

      Yy mwenyewe hapo INI lina shida tayari

  • @gudluckndaro9027
    @gudluckndaro9027 4 ปีที่แล้ว +4

    mzee naona mashavu yamejaa utafikir anaongea nyagi

  • @josephdomi9393
    @josephdomi9393 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapa alimjibu kisomi

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 4 ปีที่แล้ว

    Ungempiga show yule manager wako

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu babu ni tapel tuu maneno mengi hatar

  • @lazarosule7761
    @lazarosule7761 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 4 ปีที่แล้ว +1

    Maskini amevimba uso,,,, Ila ni muathirika kiakili

  • @sqs735
    @sqs735 4 ปีที่แล้ว +4

    Dr Shika, na kuuliza , huyo meneja wako ulikuwa una mlipa mshahara? Kama ulikuwa unaweza kumlipa mshahara meneja ,ulisahau kama unahela zako uswiss

  • @danielhaule155
    @danielhaule155 4 ปีที่แล้ว

    Saiv kafarik utaona hao ndgu waliomfukuza wanajitia unafiki kulia na kujifanya walimpenda, SOKAPO HAPA!

  • @babafranco3366
    @babafranco3366 4 ปีที่แล้ว +2

    kavimba mwili mzima

  • @gastonamnon7005
    @gastonamnon7005 4 ปีที่แล้ว +1

    Apambane na hali yake

  • @walivyojuma7095
    @walivyojuma7095 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kafura mwili ivi jamn anakumywaga gongo au mbona yuko ivi uyu alishasemaga nimeneja uyu pia anamsanii wake bongo mbona tunamambo ivi

  • @rosejohn4666
    @rosejohn4666 ปีที่แล้ว

    Rest in paradise

  • @jonasluck5713
    @jonasluck5713 4 ปีที่แล้ว

    MZEE UNA HALI MBAYA, MBWEMBWE NYINGI MALA MENEJA, RUDI KIJIJINI KWENU USUKUMANI, UMEKWAMA KIMAISHA MZEE..

  • @shadidapikinini9230
    @shadidapikinini9230 4 ปีที่แล้ว +5

    Unakiburi mzee wewe sijawahi kuona,

  • @mashakabakarabdallah6545
    @mashakabakarabdallah6545 4 ปีที่แล้ว

    Kumuimbia wimbo wa kalubandika haipendezi huyu ni docter si mbumbumbu yote kwa yote nimaisha tu.

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว

    Dr miaka yote bado ujapata dola 200!!!!!!????

  • @emanuelmbise6283
    @emanuelmbise6283 4 ปีที่แล้ว

    duuuuh

  • @dastunluswaga5182
    @dastunluswaga5182 4 ปีที่แล้ว

    Azam wachokozi sana.. hv huyu babu anashindwa kweli kwenda kufundisha pale Chuo cha MUHAS,KAIRUKI,KAMPALA I.U na IMTU maana alisomea udaktari kabisa sasa kulala standi maana yake nn..Anakuwa kama Dr Machibya yule tall aliechanganyikiwa pale Mhimbili..

    • @muntazilusalum5377
      @muntazilusalum5377 4 ปีที่แล้ว

      MUHAS we don't hav school of psychiatry aende zake uswis huko ahhahahahahahaha huyo itakua hata resen ya udaktar hana

    • @bakalinjechele8012
      @bakalinjechele8012 4 ปีที่แล้ว

      Duh makubwa

    • @metulucas3436
      @metulucas3436 4 ปีที่แล้ว

      Atafundisha nn sasa huyo hata akienda huko?

    • @onesmoakwilini6254
      @onesmoakwilini6254 4 ปีที่แล้ว

      Vichaa wanafundishaga vyuo cku hiz

  • @reubenbusanji2904
    @reubenbusanji2904 4 ปีที่แล้ว +2

    Mnahangaika na kichaa.

  • @florakankutebe3987
    @florakankutebe3987 4 ปีที่แล้ว

    Azame tv

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman alisema Ananua nyumba na mabilion yameingia yeye kasema hili tone tu akawa anasherekea na kahabi Mmmmmm ha ha ha ha ufala kabisaaaaa

  • @robertnoel5232
    @robertnoel5232 4 ปีที่แล้ว

    Gonga like kama unasupport huyu jamaa kuchukua form za Ugombea Uchaguzi

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 4 ปีที่แล้ว +1

    Azam Tv mnamhoji mtu ambaye akili zake anazijua mwenyewe tu dah Tanzania ina watu wenye vituko sana

    • @wendoazaki2617
      @wendoazaki2617 4 ปีที่แล้ว

      Huyo ni jeuri saana na hana lolote

  • @shadidapikinini9230
    @shadidapikinini9230 4 ปีที่แล้ว +2

    Majibu ya mkato tuu

  • @h.rukuba7464
    @h.rukuba7464 4 ปีที่แล้ว

    maisha ni shida sana

  • @abubakarikisuju5374
    @abubakarikisuju5374 4 ปีที่แล้ว

    Huyu tapeli wa kinataifa mbwa huyu

    • @belak999
      @belak999 4 ปีที่แล้ว

      Haya na maneno yako yakuhukumu, ameshafariki endele kuandika
      Shame on you

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 4 ปีที่แล้ว

    hakika kachoka sana yule maneja wa grobo yupo wapi?