Hawa ndiyo marafiki ata mimi binafsi ndiyo naitaji kuwa nao karibu marafiki ambao siyo wanafki unakaa nao unajua kabisa kuwa niko nao kutokana na hela pasipo hela hawa rafiki zangu ni mabest tu kupshana ni muda wowote penda sana nyinyi kuliko marafiki wa huku tuliko wanafki mno naitaji watu wa namna hii na nikiwa nao sitotaka pesa kuniishia maana nitawakosa
Nimefurahi sana huyu mwamba karudi hapa aisee wanakuwaga na fujo lkn good combination, km ya mzamiru na Erasto nyoni 🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏
Kitenge ndani ya mjengo ❤❤❤wasafi pambeeeee
Daah, kitenge nakuelewa Sana ,unajua kunogesha Mambo
Sheikh Mansour hv vitu tulivimiss Sana Asante tunacheka tena asubuhi😆😆😆🙌🙌🙌🙌
😂😂😂Yani maisha ya studio hayana tofauti na maisha halisi ya mtaani vituko vyakitoto kabisa
Sheikh Mansour bin abdul bin juma..kwa kweli umeweza
wazee mna kila sababu za kufurahi ,pesa ni sabuni roho ... MashaAllah
KITENGE , HANDO ,BABUUU Mmetishaaaaaaaaa
Nimecheka sana jamani ,yaani ninawapenda sanaaaa
Safiii sn kaz nzuri jaman wasafiiii pambeeee
Wasafi mko poah sana hakuna wa kuwajamata
hahahahahah yani hapa chemistry imekamilika napenda sana mukiwa pamoja
Kweli chawa tunao wa kutosha hapa nchini
😂
Heshima kwako sheh mansoor
Hawa ndiyo marafiki ata mimi binafsi ndiyo naitaji kuwa nao karibu marafiki ambao siyo wanafki unakaa nao unajua kabisa kuwa niko nao kutokana na hela pasipo hela hawa rafiki zangu ni mabest tu kupshana ni muda wowote penda sana nyinyi kuliko marafiki wa huku tuliko wanafki mno naitaji watu wa namna hii na nikiwa nao sitotaka pesa kuniishia maana nitawakosa
Wasafi bwana hao watu wanajua sana
Daamond Uliferi Sana Kuwaachia hawa Jamaa Waende Kule Walipokuwa Nakupongeza Pia Kwa Kuwarudisha
Tutafute Sanaaa Pesa Tuje Kuwaajiri Watu Kama Hawaa Wachekeshe Watto Zetuu
I m Zambian I like these guys
🤣🤣🤣
Nyie jamaa mmefika watatu. Wasafi itaungua.
Kumbe jamaa ulikuwa umetumwa kwenu kumfuata pacha wako 🤣🤣
Hii nimeipenda sana
Mmmmh yaani hv vichwa aiseee
Wanafurahusha Sana
mimi naona utani uwepo ila matusi yasiwepo kama mai wangu sio maneno mazuri nawapata nikiwa mbeya
Nimefurahi sna mpaka machozi
Sector binafsi Tanzania kutoa mishahara mapema ni tatizo kuna Dhuluma kubwa hasa kule kwenye NSSF hawaweki
Wasafi Sasa itanoga majembe yamefika
Jamaa wanajua 👍🏼👍🏼👍🏼
Daaah bora tu
Kule efm tumeambiwa mpaka sikukuu ipite ndio tutalipwa😢😢
Tunawapenda kweli kweli
Njaa mbaya
Hivi hiki sound track ya wimbo gani
Nawapenda bure wasafi
Ila kitengee bna😅..ajengewe sanamu lake tu😅
Wasafi fm morogoro mjin mbona aishiki inafoka tu tulekebishieni bana tunakosa udambu wa wasafi
Kabit ka wimbo gan aka
Nawapenda sana jmn
Mmetoka Kuwa Wafanyakaz Wenye Ueledi Sasa Mmekuja Kuwa Vituko
Wewe ndugu umefanikiwa kupata elimu gani make ata lakwanza Hadi Saba wanafundisha Sanaa hiyo ni Sanaa acha ushamba
Sisi ndo tunapendaa hatarii
Wehu wa3 wamekutana ila mondi kwa teknik tuu soon anaenda kuwa second escofid
Kitenge Dodoma matangazo yamekata
Ila kitenge
Hatari sana
Kaka kitengee nzuriii hyooo
Hi kazi ya Hawa jamàa lazima uwe Kama chizi fulani hiv! Au mtoto mdogo, uchawa shughuli ipo
wasafi raha kwanza
Safi sana diamond
Wambaaa hao hapa
Kitenge ata aibu haoni malipo hapa hapa duniani
Koo ndio mnachekelea mshahara 😅😅
Namba moja wasafi.
Twaibuuu
hiv haya makot ya sut sir yake nn
Kikweli nime furahi.sana kuona kitenge umerudi mjengoni
Swaumu ni ya Allah na yeye ndie atakayeilipa. Kitenge ameamua kuisindikiza Swaumu yake kwa mziki.
Ni ujinga wa hali ya juu sana.
Sasa na wewe pia unakosea kumuita mwenzio mjinga.
@@aaa64sa13 Huwezi kunielewa. Pia sijamwita mjinga. Pia tafsiri ya ujinga sio tusi. Ni kutojua jambo husika.
nakubali wcb
Mibaba yenye familia
Hyoo imeendaaaaaaaaaaaa
Wewe maulidi kitenge umpendi mweshiwa makonda lakini makonda atabaki kuwa Makonda
Patachimbika....huku CHUMVI, huku NDIMU, huku MENDE.....😂😂😂
Gerald ana 🕺 kama mkikuyu
Hiii Combination ni shida tupu balaa zito hili nchi itasimama
Naombeni like zangu
Wasafi❤
Hawa ndo walkuw wakinishawishi kufuatilia hivi vipindi kusema ukwel sasa narudi rasmi
WASAFI MEDIA RAHA MPAKA INAFURAHISHA.MWENYEZI MUNGU AMLINDE DIAMOND PLATNUMZ AKA SHEIKH MANSOOR.
Mkipewa mishaara yenu tugawane maana sio kwkutumalizia mb zetu kwakucheza sebene🤭🙈
duu😂😂 raha sana ❤
Kumbe hando nae n mkichaa iv
Kitenge wa kitenge 😂😂😂
Hiyo ndioo wasafi
Pamoja sana wakumwa
Kuleni maishaa
Hatali ya mshahara
Wcb 💯 CKukuu yetu itaenda gud Sana.
Huyu hando wanamlazimisha tuu kucheza lakini wala si kawaida yake
Both team to score
Kumbe wat tinapenda pesa ety
Chezea kibunda wew
Kaziiii ipooo
noma
😂😂😂😂ila jmni khaaa unstaguta pesa kwa dizain hii afu mtu anakuona mavii khaa
Shehe mansul
Team imekamilika
Jamani raha si raha ❤️❤️❤️
Hahahahaha kwani hivi vyuma vimehama EFM jamani.
Hatari zembwela nimewakubari
😆😂🤣🤣🤣😂 haya mambo sasa ndio burundani kwangu mie
Usafini na comedian
Tutaona mengi huu mwaka
Ngoma mtu 3
Dah
Ila nyie wazee mnaraha sana
Kipaji ni hazina
Kufanya Kaz wasaf raha sana kwnz unaenjoy
Nyie kateni tu viuno zikiisha mapema msitukope
Wanashangiria ugalii😅😅😅
Sawaaaaa
Kazi IPO 😁😁😁
Man msoor
Jelard hando anayanyonga
Ndio kituo pendwa said