IMEFAHAMIKA: Hapa ndipo anapoishi Dr. Luis Shika, Majirani waongea

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • Anafahamika kwa jina la Dr. Luis Shika, ndilo jina alilolitaja siku anaingia kwenye Mnada na kushinda mnada wa kununua nyumba 3 ambazo malipo yake ni zaidi ya BILIONI 2.. baada ya hapo ikawa gumzo mpaka leo na anaendelea kushikiliwa na Polisi.

ความคิดเห็น • 353

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 7 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzeee yuko vizuri big up Dr luis Shika, nakuelewa sana safi ni wakat wako huu, yan mzee unafaa sana huyu anaetoa maelezo simwelew, chakula chake ni maji!? Nan anamlipia kodi ya nyumba!???? Acheni unafki, hyo nyumba anayokaa kodi yake si chin ya 50-60 kwa mwez kwa maisha ya dsm nan anamlipia!??? Achen unafki

  • @NYUMBANI2024
    @NYUMBANI2024 7 ปีที่แล้ว +1

    ukweli upo hapa bofya Icon

  • @evancemwalongo5071
    @evancemwalongo5071 6 ปีที่แล้ว

    Nampa salute kwa kujitengenezea heshima japo kwa kamda kafupi, aliyokua anaitamani but hakuipata kutokana na life yake ilivyo

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 7 ปีที่แล้ว +2

    Binaadamu wako kama kinyonga dakika mbili walikuwa wanamuona kama mfalme kwa kudhani ni tajiri hadi kumpepea lakini walipoona hana kitu wanamsema kwa kumdhihaki na kumcheka bila kujali kama ni mzima au mgonjwa wala kutafuta ukweli mmh Mungu ni mwema .

  • @venancebasil4656
    @venancebasil4656 7 ปีที่แล้ว +52

    Ni bora hivyo alivyoenda mnadani dunia imejua atasaidiwa sasa

    • @farajicom-wg7sm
      @farajicom-wg7sm 7 ปีที่แล้ว +2

      tangu nisome hizo comment ww ndio umeandika point

    • @mercygeofrey3644
      @mercygeofrey3644 7 ปีที่แล้ว

      Venance Basil 😹😹😹😹😹😹

    • @jackiejackie1272
      @jackiejackie1272 6 ปีที่แล้ว

      Venance Basil 😂😂😂😂😂umeonaeee

    • @bbakzuvciIii
      @bbakzuvciIii 4 ปีที่แล้ว

      ACHA UJINGA

  • @monikajoshua7305
    @monikajoshua7305 7 ปีที่แล้ว +6

    Jaman mzee alidhani serikali inaomba ushauri au . mmmh tufanye 900

  • @mbishiwakitaa2590
    @mbishiwakitaa2590 7 ปีที่แล้ว +29

    Ahahaa ety anaenda chooni anarudi we Dada fala nn ulitaka aende chooni asirudi

  • @gaspermassawe7397
    @gaspermassawe7397 7 ปีที่แล้ว +1

    Huyo ni MRUSI ATAKI MAMBO MENGI,Dr Lious Oyee!!!

  • @Msonjo
    @Msonjo 7 ปีที่แล้ว +46

    wanafki hao Huyu mzee anaeza Fanya maajabu yesu kageuza jiwe kuwa mkate lakini wayahudi hawakumuamini me bado namumini huyu Dr kama ni tajiri mtata katuonesha utata wake

    • @Mimi.Official76
      @Mimi.Official76 7 ปีที่แล้ว +2

      Msonjo Khan kuna watu wanapesa lakini wanaishi kimasikini ili wasijulikane wana pesa kwa ajili ya usalama wao

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 7 ปีที่แล้ว +1

      Msonjo Khan hahahaaaaa kumamake noma sana

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 6 ปีที่แล้ว

      Msonjo Khan uko kama mimi

    • @jackiejackie1272
      @jackiejackie1272 6 ปีที่แล้ว

      Msonjo Khan nenda kwenye website yake uangalie

    • @neemarobert6058
      @neemarobert6058 6 ปีที่แล้ว

      like

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 7 ปีที่แล้ว +7

    huyo dem anataka kiki nayeye sasa kwani nyumba zima mpangaji niyeye na babu tu? maana hatuoni mkihoji upande mwengine mmmfyux. utajuaje kama humo ndani kwake ni stoo.. huyo dem simuamin

  • @tianohmusic8259
    @tianohmusic8259 7 ปีที่แล้ว

    anaiwaza sana company ake ..ataikuza vipi na itaenea vipi dunia nzima ! go on tajiri mtata

  • @Msonjo
    @Msonjo 7 ปีที่แล้ว +21

    huyu Dada ni mnafki saana ukimfatilia alivyo hojiwa na global alisema anamsikiaga babu akiongea na cmu kwa lugha ya kingereza na lugha kadhaa alizataja na sasa anasema hajui kama babu ana simu me naamini ukweli tutajua cku za karibuni bora tukio umfate bubu akuulizee lakini waongeaji wataongea wanachokijua

    • @jamilajamaljj7976
      @jamilajamaljj7976 7 ปีที่แล้ว

      Msonjo Khan ehe kweli umeonaye haka kadada hakafai kaongo mno kweli kalisema huwa anamsikia akiongea na simu kingereza mara kisukuma hapa kanatuchaganyia maneno.hata yeye anahitaji kupimwa.

    • @halimkepa7766
      @halimkepa7766 7 ปีที่แล้ว

      Msonjo Khan ten mnafik haswaaa angenyamaz ingependez

    • @thadeipeter2592
      @thadeipeter2592 7 ปีที่แล้ว

      Msonjo Khan Me mwenyewe nimeshangaa sana mkuu,coz ile video ya global niliichek !

    • @masterdaveprojections
      @masterdaveprojections 7 ปีที่แล้ว +1

      Msonjo Khan majibu ya mtu hutegemea na anaemhoji, global tv walihoji vinginevyo lakini hawa ayo tv wamemfanyia interview kivingine pia

    • @Mimi.Official76
      @Mimi.Official76 7 ปีที่แล้ว

      Msonjo Khan huenda hiyo nyumba anayoishi huyo dada ni ya huyo babu.babu analala store vyumba amevipangisha wapangaji mbona ni Kweli

  • @davidtemba4893
    @davidtemba4893 7 ปีที่แล้ว +52

    😂😂😂😂😂 Kama kuchoka ni dhambi nisamehewe...kinachonichekeshaniwalivyokua wanampepea aiseee

    • @aishaelias986
      @aishaelias986 7 ปีที่แล้ว +2

      david temba hapo kwa kupepewa pia mimi pamenimaliza..., akaingia magari yote ukujua huna pesa .mjasirii

    • @davidtemba4893
      @davidtemba4893 7 ปีที่แล้ว +2

      Aisha ELIAS 😂😂😂 Hatarii

    • @bongoyetu8938
      @bongoyetu8938 7 ปีที่แล้ว +2

      david temba
      Mwenyewe anacheka.

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 7 ปีที่แล้ว +2

      david temba awa walitaka wenyewe aliwambia vizuri inaona ya pendeza 900 sasa mbona wanalalamika wangemliza anamanisha nini 900

    • @latifahissa1114
      @latifahissa1114 7 ปีที่แล้ว +5

      Hao waliokuwa wanajipendekeza kumpepea wakijua NI pedenjee mujini saizi wanasonya na wanajutia shobo zao 😂😂😂

  • @eddybrysonobi8323
    @eddybrysonobi8323 6 ปีที่แล้ว +1

    huyu binti anayeojiwa mrembo sana. Kenya watching

  • @khantv6949
    @khantv6949 7 ปีที่แล้ว +37

    Tukifanya vikombe viwili vya Maji ITAPENDEZA SASA haha 😅😅😅😅😅 like kwa DR LUI plz

  • @fajompangile
    @fajompangile 7 ปีที่แล้ว +9

    DADA anatoa siri hadi za kuoga dah! hana mume huyo eti ee!

  • @monikajoshua7305
    @monikajoshua7305 7 ปีที่แล้ว +1

    OK naanza na ofa ya millions 300 teh teh teh teh teh teh

  • @father3777
    @father3777 7 ปีที่แล้ว +9

    We Dada mbona unachanganya mafaili hivyo kumbuka uko on-line

    • @AloisNashali
      @AloisNashali 7 ปีที่แล้ว

      mr Ulaya 😂😂😂😂

    • @renensavyimana9484
      @renensavyimana9484 7 ปีที่แล้ว

      mr Ulaya inamaana anaishi kwakulishwa na wewe? dada acha maneno umezidi khaa

    • @father3777
      @father3777 7 ปีที่แล้ว

      +Rene Nsavyimana Naomba unielewa nasema huyo Dada anaeulizwa maana Jana alisema Kuwa babu anasim Leo kasema hana

    • @drroble.gurhan3594
      @drroble.gurhan3594 4 ปีที่แล้ว

      Anazingua!! Kavuta bangi huyo dada?

  • @bahatinicesongpaulo6749
    @bahatinicesongpaulo6749 7 ปีที่แล้ว +4

    sasa hela yakodi inatoka wapi nawew ?mbona unanichangany aa!

  • @thomassigorimrumbe2680
    @thomassigorimrumbe2680 7 ปีที่แล้ว +2

    jamani wale munaomutukana huyo dada sio vizuri kwa sababu hayo maelezo ni mazuri sana yanaweza hata kumsaidia huyo mzee kuachiwa.

    • @alexdukes5547
      @alexdukes5547 7 ปีที่แล้ว

      Thomas sigori ..huyu dada c vyema kimzihaki namna hiyo kwan kulikuwa na sbbu yakumwambia anaishi store mbele ya camera....fyuuuuu

  • @sahelsuwel6932
    @sahelsuwel6932 7 ปีที่แล้ว

    Maneno yoooteee aliyosema kuhusu shida za mzee huyu hazijawagusa, ila mnazungumzia kuhusu ana simu au hana. Kweli machoko wengi. Unazungumza kwa kujiamini bila kutafuna maneno, inaonyesha unasema ukweli...Dada endelea kumsaidia Mzee, Mungu atakulipa. Achana nao hawa Machoko wanayekusema.

  • @jshaibu3
    @jshaibu3 6 ปีที่แล้ว

    Mzee nimemsikiliza nimemuelewa sana ,Acha tusubiri kuna kishindo kikubwa kinaweza tokea.

  • @hassandre6434
    @hassandre6434 7 ปีที่แล้ว +2

    Namuonea huruma Sana mzee dk just imagine Kama angekua ni baba yako?

  • @angelamri8012
    @angelamri8012 6 ปีที่แล้ว +1

    daaa nimeumia story ya doctor Luis anahitaji msaada wa Cancer

  • @djmack1345
    @djmack1345 6 ปีที่แล้ว +2

    Stress za maisha zinafanya mtu kufanya kitu ambacho hukufikiria

  • @bensonfrank643
    @bensonfrank643 7 ปีที่แล้ว +8

    Amna Cha kuchekesha Hapo, Mzee yupo Depressed Na Maisha, Wewe Unaemsema Mzee Maskini, Wewe Tajiri? 😎

  • @bonniegtmagabe2009
    @bonniegtmagabe2009 7 ปีที่แล้ว

    We dada mzur sana una wisdom

    • @deussyndaki2284
      @deussyndaki2284 7 ปีที่แล้ว

      Wewe Dada naomba namba yako ya simu

  • @peterkimwaga8901
    @peterkimwaga8901 7 ปีที่แล้ว +4

    huyu dada alikuwa demu wa dr.luis shika anajua hadi chumba chake anatafuta kiki kwa doctor huyo

  • @daviekasinda6918
    @daviekasinda6918 7 ปีที่แล้ว +2

    Dada acha uwongo ulivyohojia global ulisema unamskia akiongea na cm tena lugha tofaut iweje saiv unasema hana cm.

  • @godfreywebiro4058
    @godfreywebiro4058 7 ปีที่แล้ว

    ok ok.nimekuelewa!!..tunaanza na hapo milioni miatatu😀😀😀😀

  • @mustafamndenge9981
    @mustafamndenge9981 7 ปีที่แล้ว +2

    huyu Dada na waandishi walio mhoji wote vilaza sasa kama hana hata pesa ya chakula anawezaje kulipa kodi ...

  • @mariammussa374
    @mariammussa374 7 ปีที่แล้ว +2

    We dada mbona muongo global walikuhoji ukasema huwa angea na simu na wazungu now unasema hujawahi kumsikia anaongea na simu

  • @bigkisanga5012
    @bigkisanga5012 6 ปีที่แล้ว

    we Dada atakujieleza hujui Dr luis shika ni msomi mzuri

  • @suzanrichard5428
    @suzanrichard5428 7 ปีที่แล้ว +3

    umesema umemkuta alafu unasema ajanunua kitu chochote chumba chake ni stoo mmmmh we dada be carefull niko na Dr apa tunatoa mia 900 ipendeze zaidi

  • @mctidohondoa1652
    @mctidohondoa1652 7 ปีที่แล้ว +5

    Duuu dunia hadaa ulimwengu shujaaaa siniwaombee na mm mtembeleee chanel yangu #mc tidoh ondoa nijulikane kama tajiri luis ingependeza

  • @kamalofanuel8120
    @kamalofanuel8120 7 ปีที่แล้ว

    nyinyi waandishi hiyo ndo imekuwa issue....Endeni vijijini mkaripoti vitu vya manufaa kwa wananchi....manake matuonesha mpaka nachoo anachotumi Huyu mtu

  • @robertabell9008
    @robertabell9008 6 ปีที่แล้ว

    Huyo Dada nae duh! tukisubir upelelez ufanyike "itapendeza zaidi"

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 7 ปีที่แล้ว

    Kwanza alijuaje kama kuna mnada wa nyumba??
    Ndio hayo magazeti
    Sasa mbona nguo zake zilinyoooshwa tu vzr

  • @nikkilaizer1707
    @nikkilaizer1707 6 ปีที่แล้ว

    mmmh!!!Dada hueleweki kwa kweli mwonekano tuuu.....Mzee hali chakula then anaishi ww.....hujui usemaloo.....usimdharauu usiye mjuaa.

  • @sirnyoniinspirationstv5327
    @sirnyoniinspirationstv5327 6 ปีที่แล้ว

    Dah,yaani hakuna mtu anayeni inspire wiki hii kama babu,ama kweli imependeza zaidi

  • @abelmirwatu544
    @abelmirwatu544 6 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania imsaidie huyu mzee.

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 7 ปีที่แล้ว

    Serikali ingefanya uchunguzi mapema (primary prevention) wa mental illness matatizo haya tungeyasolve mapema. Haya ndo matokeo ya kutokuchukua hatua kwa special group kama hawa.

  • @fauziawilifred6229
    @fauziawilifred6229 7 ปีที่แล้ว +2

    Yan huyo aliwanyooshaaa.navitambi sio mbya kulindwa na selikali

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 4 ปีที่แล้ว

    Mmmmh umbea c kazi jamani kazi kusutwa

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 7 ปีที่แล้ว

    Duh!

  • @nicomsafi5375
    @nicomsafi5375 6 ปีที่แล้ว +1

    Yawekeni na maisha yenu wazi tuyaone .yenu yanawashinda yawenzenu domo linawadinda

  • @neematemu2706
    @neematemu2706 7 ปีที่แล้ว +6

    huyu babu atakuwa na kitu kinamsumbua lbda alizulumiwa na ndio maana anasikitika jaman,lbda akipata mtu wa kuongea nae nakumfanyia cancele anaweza kurudi ktk hali yake mungu amsaidie

    • @kombab1112
      @kombab1112 6 ปีที่แล้ว

      Neema Temu amina

    • @josephjoseph1851
      @josephjoseph1851 6 ปีที่แล้ว

      Huyu Dada anaongea kwa kujisifu sana na dharau halafu anachanganya mafaili

  • @dj5_tz971
    @dj5_tz971 7 ปีที่แล้ว +18

    pepea babu pepea babu😂😂😂

  • @hussmuya5246
    @hussmuya5246 7 ปีที่แล้ว

    kheeh jamani !!!

  • @stewofai
    @stewofai 6 ปีที่แล้ว

    Napendekeza kama mic ya pili haitasikika plz naombeni muweke subtitle kuna mahali simsikii kabisa mwandishi

  • @sundaypapwi151
    @sundaypapwi151 6 ปีที่แล้ว

    Sasa Sahiv huyo Dada anajickiaje maneno yana mipaka kesho ni ya Mungu dada

  • @salimmohamedsalim4448
    @salimmohamedsalim4448 4 ปีที่แล้ว

    Da sister kwa kuropoka huko inaonekana hata siri zako za ndani unaweza kuzitoa njee ya box jifunze kuukanya ulimi wako utajifunza vingi mno!!!

  • @jacksonmodaha1590
    @jacksonmodaha1590 7 ปีที่แล้ว +1

    serikali na inamtia ndani na kumpiga makofi usikute badala ya kumpeleka hospitali

  • @tanescoperson3650
    @tanescoperson3650 7 ปีที่แล้ว +22

    Mzee angekua na account ya instagram saiv followers kibao 😂😂😂😂

    • @niaanthony9588
      @niaanthony9588 7 ปีที่แล้ว

      iftikhan baksh babu anapepewa hatingishiki duh noma

    • @neemahassan8786
      @neemahassan8786 7 ปีที่แล้ว

      iftikhan baksh live

    • @marymarwa8428
      @marymarwa8428 7 ปีที่แล้ว

      iftikhan baksh ni kweli

    • @bahatikone578
      @bahatikone578 7 ปีที่แล้ว

      hahahahaha

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 7 ปีที่แล้ว

      iftikhan baksh hahahaaa kick ya maana

  • @happynesssalimu2222
    @happynesssalimu2222 7 ปีที่แล้ว +33

    Acha unafki dada asile wiki nzima angewezaje kusimama kwenye Mnada Kama si umbea huo msenge kwel ww

    • @aishaelias986
      @aishaelias986 7 ปีที่แล้ว +1

      happyness Salimu hahahs

    • @muddyville
      @muddyville 7 ปีที่แล้ว +3

      happyness Salimu Tuliza tako ww, unamuitaje mwanamke mwenzio msenge? Boya weeee

    • @didamugya6039
      @didamugya6039 7 ปีที่แล้ว

      mbona kama povu sana, wewe ni mtoto wa huyu dokta?

    • @queenaggy534
      @queenaggy534 7 ปีที่แล้ว +1

      Huyu happy ajisomi kabisa uckute ww ndyo msenge

    • @denisteye9699
      @denisteye9699 7 ปีที่แล้ว

      happyness Salimu 😂😂 wanafiki hawa

  • @tropicallaizer4000
    @tropicallaizer4000 7 ปีที่แล้ว +3

    huyo babu ndo marufu hapa Tanzania ila huyo mdada kaongea ujinga tu

  • @fredmatata8688
    @fredmatata8688 6 ปีที่แล้ว

    me even do not understand reality this is movie...dada ww mzuri kbas

  • @frost6636
    @frost6636 6 ปีที่แล้ว +1

    Mzee ana food industry halafu huyu dada anasema mzee hana uwezo wa kula milo miwili kwa siku🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @halimkepa7766
    @halimkepa7766 7 ปีที่แล้ว

    Sas kodi hali pi

  • @triciaburavan9180
    @triciaburavan9180 7 ปีที่แล้ว +1

    Tabata mawenzi Itapendeza zaidi! 😅😅😅😅 kunajela jamani!!!

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 7 ปีที่แล้ว +4

    Mshukuru babu amekufanya umeonekana kwa TV

  • @nikkilaizer1707
    @nikkilaizer1707 6 ปีที่แล้ว

    Hivi ww wiki nzima usipokula utaweza kutembea kweli na iyo kodi nan alikuwa analipa!!!!?Fikiri kabla ya kutendaa!!!!

  • @aishaelias986
    @aishaelias986 7 ปีที่แล้ว

    jamani huyu mzee alifikiria nini? sio kwa ujasiri huo dah; anapepewa siangewaambia jamani ata msinipepee nimekuja tu kusaidia mnada

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 7 ปีที่แล้ว

    Kweli maana kila muandishi anamuhoji uyo tu hamna wapangaji wengine

  • @jacquelineidyanko4353
    @jacquelineidyanko4353 7 ปีที่แล้ว +2

    wew dda ngesa kwl yaan sasa story zote hzo za nn km sio mnafki??km umeweza kumjua kiundan hivyo basi hata bolo lake unalijua...mxeeeee

  • @niaanthony9588
    @niaanthony9588 7 ปีที่แล้ว

    Jamani duh nanyie wauzaji hata hamjaona tu

  • @deogratiasnjee5708
    @deogratiasnjee5708 7 ปีที่แล้ว

    Mtoto mrembo tu,,,##milion tatu itakupendeza sasa

  • @fauziawilifred6229
    @fauziawilifred6229 7 ปีที่แล้ว

    Kwa laha zake mwenyewe kapewa fursa ya kulindwa na police mmempepea wenyewe

  • @IbrahimMwakikoti
    @IbrahimMwakikoti 7 ปีที่แล้ว +1

    ulijuaje kama hajala week nzima😂😂😂😂

  • @artemisneoy9596
    @artemisneoy9596 7 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 Jamani Bongo kuna maigizo...sijui kwanini Holywood inatupita

  • @AjePicturez
    @AjePicturez 6 ปีที่แล้ว

    oya hyo bab namjua sna hashawah kukaa kigamboni

  • @berithaandersonn2234
    @berithaandersonn2234 6 ปีที่แล้ว

    Nmeangalia hii video nikiwa nafikiria hali ilivyo sasa hivi dah!

  • @kashindelukas123
    @kashindelukas123 7 ปีที่แล้ว

    endelea kuwashika we mzee shika

  • @magretangel5242
    @magretangel5242 7 ปีที่แล้ว +1

    Mahakama: "miezi 9 itapendeza"😊😊😊😊

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 7 ปีที่แล้ว

    Sasa alijuaje kama kuna mnada na alifikaje huko kwenye mnada

  • @barakamugeta5064
    @barakamugeta5064 5 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @Artedix9
    @Artedix9 6 ปีที่แล้ว

    Wapi Team #900 ITAPENDEZA.

  • @husseinnassor4523
    @husseinnassor4523 6 ปีที่แล้ว

    Huyu dada nahisi alikua anajua anahojiwa kwenye redio .hajui Kama tunamuona TH-cam

  • @saidmathias8850
    @saidmathias8850 7 ปีที่แล้ว

    mm naomba no ya huyo bnt

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 7 ปีที่แล้ว

    We usitukane huyu bint ni kweli zaid ya miezi hali si unamuona jinsi alivyo kaa anakunywa ukwaju tu maskin

  • @estacharles7315
    @estacharles7315 6 ปีที่แล้ว

    mmmmmmmm jaman mtu asileeee wikii mmmhhj haiwezekan jamaniii huenda anaendaga kula bas anarud mmmhh

  • @mariamsekalutu8385
    @mariamsekalutu8385 7 ปีที่แล้ว

    ungekuwa mchepuko wangu ingependeza zaidi

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 7 ปีที่แล้ว

    Yule mama wa yono alishaanza kupagawa kwa Dr shika walahi

  • @MrSoftBrains
    @MrSoftBrains 7 ปีที่แล้ว

    Yategee maisha, yakutege

  • @felixbombo6175
    @felixbombo6175 7 ปีที่แล้ว

    wee mwanamke,komaaa,nyoooooo!Fanya yak

  • @hezronngulwa9250
    @hezronngulwa9250 7 ปีที่แล้ว +1

    Inapendeza

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 6 ปีที่แล้ว

    mmmhh hafui mbona msafi

  • @jacquilinetenth3447
    @jacquilinetenth3447 7 ปีที่แล้ว

    wanatuchezea tu. hana hela ya kula nauli alitoa wapi. Na afande anadai hana mwonekano mzuri je hawakuuona wakati wanampepea. Haya ni maigizo tu

  • @dicksonmarwa189
    @dicksonmarwa189 7 ปีที่แล้ว

    Huyu Dada amwogope Mungu

  • @moseskayan3705
    @moseskayan3705 6 ปีที่แล้ว

    Sasa kama hakulagi siagekufa basi. Hayo dharau tu

  • @fajompangile
    @fajompangile 7 ปีที่แล้ว +2

    Ila 900 Itapendeza .....maana nahitaj mje na mashuka kunipepea !:)
    :) :) :) :) :) :)

  • @crianussyliacus1995
    @crianussyliacus1995 7 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂madada kwa kupenda vya bure amjambo,waliona mzee anamkwanja check wanavyompepea ilibaki kidogo walete fen

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 7 ปีที่แล้ว

    Duh! Akili yake Ni mzima lkn?

  • @frankjacksoni1433
    @frankjacksoni1433 4 ปีที่แล้ว

    R I P jasil muongoza njia

  • @athumanimashango3204
    @athumanimashango3204 7 ปีที่แล้ว +4

    mmh jirani mbea sana sasa rafiki sinyie mlokua nae na sirizote zandani mwazitoa sio poa kwaiyo wewe dada muda wote mwamchunguza umbea tu ungenyamaza ingependeza

  • @mercygeofrey3644
    @mercygeofrey3644 7 ปีที่แล้ว +3

    we mdada mchaga wa wapi ww ngja babu arudi utamtambua kudadeki

    • @mwantumumsumi6930
      @mwantumumsumi6930 7 ปีที่แล้ว +1

      Muongo we we iyo era yachumba umempawewe

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 4 ปีที่แล้ว

    Amewaonyesha wantanzania wale wakupenda pesa vile walivyo

  • @shebbyrockytz3946
    @shebbyrockytz3946 7 ปีที่แล้ว

    W dada mwongo ume sema hana sim mara anaingeaga na sim kwa lugha nyingi kweli

  • @jimmyjames3748
    @jimmyjames3748 7 ปีที่แล้ว

    Hivi hao waliokuwa wanaendesha huo mnada ni wazima kweli?

  • @mwafrikamnyonge6180
    @mwafrikamnyonge6180 6 ปีที่แล้ว

    ndio watu tunaowataka wenye ujasiri kama hawa